Toka nipo mtoto nilikuwa nasikiliza nyimbo hizi, Zikapotea hivi karibuni. Barikiweni sana kwa kuzirejesha tena katika zama za kidijitari Mungu awabariki sana, Naomba tutafute nyimbo zote bora za kwaya zetu kongwe kama Jangwani na Muungano ili injili hii isipotee Mungu awabariki sana Radio Adventista
Toka nipo mtoto nilikuwa nasikiliza nyimbo hizi, Zikapotea hivi karibuni. Barikiweni sana kwa kuzirejesha tena katika zama za kidijitari
Mungu awabariki sana, Naomba tutafute nyimbo zote bora za kwaya zetu kongwe kama Jangwani na Muungano ili injili hii isipotee
Mungu awabariki sana Radio Adventista
Faith of our fathers @2024 makambi.Umbali huku ni Mungu
Hizi nyimbo zimenifanya mpaka wa leo nisimame katika safari hii ya kwenda mbinguni, sana sana hawa waimbaji wa SAUTI KUTOKA NJANGWANI mungu awabariki.
Amina sana, tunakuombea uzidi kubarikiwa!
Wapendwa katika bwana jambo .
Hatujambo kabisa
Mgeweka mix twapenda sana hizi nyimbo zenu
Ujumbe mzul mbalkiwe na mungu wa mbingun
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo mungu awabariki sana WEKENI na ya mazishi ya shetani
Kabisa
Mungu akubari nyimbo zilizovuviwa Roho Mtakatifu.
Amina sana, Nathanael
nimefurahi sana kuiskia nyimbo hii. nyimbo nzuri sna na ina ujumbe mzuri sana
Endelea kubarikiwa ndugu!
O Lord Jesus build my Faith in you.. like these mighty men.
🙏 🙏 🙏
Mbarikiwe
Habari wiki imeisha bila ya ahadi yenu kutimiza ya kuwa wiki hii mtaweka nyimbo zote za zamani za Hawa sauti ya jangwani Kama mlivoahidi
Samahani kwa hilo kwani lilikuwa nje ya uwezo wetu, ila sasa unweza kuangalia wimbo huo.
Mungu awatangulie ktk kazi yake
mch zephanih peter KAT MAKORONGO PARISH NYIMBO HIZI ZINATUJENGA KIIMAN
Ameen
Kuna nyimbo nyingi Sana za zamani mbona mtandaoni hazionekani Kama nyimbo ugeuze USO wako na nyinginezo nyingi tuwekeeni jamani tunaomba
Asante kwa ujumbe, tutauweka wiki hii, usisahau ku subscribe ili usipitwe kila tuwekapo wimbo katika chanel yetu ya @radioadventista
Nitafurahi nikiziona
Nawapenda Sana sauti ya jangwani
😭😭😭😭