Mbarikiwe kwa kuwezesha nyimbo hizi kupatikana na kimfikia kila mtu kwa urahisi, nabarikiwa kuzitazama na kushiriki pamoja na wengine Endeleeni kuzipakia tafadhali
Mimi mwenyewe ninawapenda saana kutoka 🇷🇼🇷🇼, ninafurahia kusikia nyimbo zenyu , lakini wimbo #jehova ( hakuna mwenye uwezo wa kupanbana na kanisa ) hiyi wimbo nimeikosa kwenye youtube channel , muuitengeneze kweli !
Nyimbo nzuri sanaa sauti ya jangwani SDA choir Mungu awabariki nyote
Nawe pia endelea kubarikiwa
@@Sautiyajangwanisdachoir1987 Kuna wimbo wanasema nimeimba nyimbo nyingi Mungu nipatie badiriko
Nyimbo nzuri,jangwani wangeendelea na utunzi kama huu, wangekuwa mbali sana.
Mbarikiwe kwa kuwezesha nyimbo hizi kupatikana na kimfikia kila mtu kwa urahisi, nabarikiwa kuzitazama na kushiriki pamoja na wengine
Endeleeni kuzipakia tafadhali
Tuendelee kubalikiwa sote
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli
Tunabarikiwa na nyimbo zenu naomba upload wimbo wa kipindi cha shindano la mwisho na Mungu alipowaona wakombolewa kwa damu
Amina tuendelee kubalikiwa sote
Karibuni sana Makambi ya Mtaa wa Tegeta - Dar es salaam
My favorite choir✊
Amen
Naomba nyimbo ile ya SASA NASIMULIA mtuwekeee jaman 😪
NaKumbuka enzi zile niko binti mdogo
Mimi mwenyewe ninawapenda saana kutoka 🇷🇼🇷🇼, ninafurahia kusikia nyimbo zenyu , lakini wimbo #jehova ( hakuna mwenye uwezo wa kupanbana na kanisa ) hiyi wimbo nimeikosa kwenye youtube channel , muuitengeneze kweli !
Amina Ombi limepokelewa.
Amina Ombi limepokelewa.
NYOTA ZA ASUBUHI TUWEKEENI PIA TUNAINGOJA KWA HAMU
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli