- Видео 25
- Просмотров 157 929
Radio Adventista
Добавлен 23 сен 2022
Ni Channel Pekee Itakayo Kusogeza Karibu Na Mungu Wako Kwa Njia Ya Ibada Ya Nyimbo! Usisahau Ku Subscribe Na Ku Share Kwa Ndugu na Marafiki Zako..
Ikiwa wewe ni Muimbaji au kwaya na unahitaji Kubariki watu kupitia channel hii basi usisite kututumia ujumbe na wimbo wako kwa njia ya email ⤵️
worldwidearplus@gmail.com
Ikiwa wewe ni Muimbaji au kwaya na unahitaji Kubariki watu kupitia channel hii basi usisite kututumia ujumbe na wimbo wako kwa njia ya email ⤵️
worldwidearplus@gmail.com
Видео
Walio Kombolewa - Sauti ya Jangwani
Просмотров 43610 месяцев назад
Sikiliza na tazama wimbo kutoka Sauti ya Jangwani Kwaya iliyoko Kanisa La Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Tanzania
Ni Kushangaa - Sauti ya Jangwani
Просмотров 17310 месяцев назад
Ni Kushangaa ni wimbo ulioimbwa na kwaya ya Sauti ya Jangwani iliyopo Mkoa wa Shinyanya nchini Tanzania
Alishuka By Sauti ya Jangwani Choir
Просмотров 6 тыс.11 месяцев назад
Sikiliza na tazama wimbo kutoka Sauti ya Jangwani Kwaya iliyoko Kanisa La Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Tanzania
Sauti Ya Jangwani Adventist Choir - Miriam
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
Sauti Ya Jangwani Adventist Choir - Miriam
Sauti Ya Jangwani Adventist Choir - Makambi
Просмотров 11 тыс.Год назад
Sauti Ya Jangwani Adventist Choir - Makambi
Kumekucha - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 3762 года назад
Kumekucha By Sauti ya Jangwani Choir please subscribe and share
kizazi Hiki - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 9 тыс.2 года назад
Kizazi hili by Jangwani Choir, please subscribe and share
Ugeuze Uso Wako - Sauti Ya Jangwani
Просмотров 4,8 тыс.2 года назад
ugeuze uso wako by Sauti ya Jangwani kutoka Kanisa la Ushirika Shinyanga, tafadhari usisite ku ku subscribe na ku share
Naiwaza - Sauti Ya Jangwani Choir Ft. Pr. #Godfrey Mbwana
Просмотров 8 тыс.2 года назад
Naiwaza - Sauti Ya Jangwani Choir Ft. Pr. #Godfrey Mbwana
Kila Kukicha - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 22 тыс.2 года назад
Kila Kukicha - Sauti Ya Jangwani Choir
Bahari Ya Shamu - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 5662 года назад
Bahari Ya Shamu - Sauti Ya Jangwani Choir
Ibrahim Na Mwanawe - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 5682 года назад
Ibrahim Na Mwanawe - Sauti Ya Jangwani Choir
Najua Ananipenda - Kurasini SDA Choir
Просмотров 5 тыс.2 года назад
Najua Ananipenda - Kurasini SDA Choir
Niambie Ee Mlinzi - Kurasini SDA Choir (We will always Remember Mwl Kibaso)
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Niambie Ee Mlinzi - Kurasini SDA Choir (We will always Remember Mwl Kibaso)
Ninakuomba - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 4,2 тыс.2 года назад
Ninakuomba - Sauti Ya Jangwani Choir
Lini Bwana Utarudi - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 4,8 тыс.2 года назад
Lini Bwana Utarudi - Sauti Ya Jangwani Choir
Mwokozi Yesu - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 12 тыс.2 года назад
Mwokozi Yesu - Sauti Ya Jangwani Choir
Mtumaini Bwana- Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 3,3 тыс.2 года назад
Mtumaini Bwana- Sauti Ya Jangwani Choir
Kichwa Cha Yohana - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 26 тыс.2 года назад
Kichwa Cha Yohana - Sauti Ya Jangwani Choir
Yusuph Kasema - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 11 тыс.2 года назад
Yusuph Kasema - Sauti Ya Jangwani Choir
Bwana Nishike Mkono - Sauti Ya Jangwani Choir
Просмотров 3,9 тыс.2 года назад
Bwana Nishike Mkono - Sauti Ya Jangwani Choir
Ok
God knew me before 2024
When gospel was gospel
Nice song
Faith of our fathers @2024 makambi.Umbali huku ni Mungu
If you happen to visit Kenya, please be in touch. Your songs come from Almighty God. Be blessed
Yaanj enzi hizo tukiwa watoto in the early 2000s kule bariadi vijijini na marafiki zangu daaah! Hakika inanikumbusha mbali sana hii kwanya coz it was our favorite na hadi leo bado naipenda. Mungu awabariki sana sauti ya jangwani 🙏 naomba muappload na wimbo wa "Jua Laangaza"....
❤❤❤❤❤❤❤
That is not changwani original
mch zephanih peter KAT MAKORONGO PARISH NYIMBO HIZI ZINATUJENGA KIIMAN
Amen be blessed
Amina nawapenda sana hìi kwaya sauti ya jangwani.
Mbarikiwe
Kuna albamu Moja Huwa naitafuta siioni mwenye kuipata tafadhali anijulishe ndani kuna nyimbo kama;;;;;;;vijana wamebobea,watu wanakula Dunia na maganda yake,na nyinginezo mwenye kufahamu
Unaweza kumbuka Zimeimbwa na kwaya gani tafadhali?
@@radioadventista nafikiri ni sauti ya jangwani aidha ni albam ya nyuma ya alishuka au ya mbele
Choir yangu hii nzuri Sana,hongerenii
Nabarikiwa sana nahitaji flash yenu
Nahitaj flash jamani Hy ya nyimbo zenu zote
Munanibariki sana
Amina sana. Zidi kubarikiwa
From Nairobi Kenya, blessed my fellow Christians of Tanzania singing until we finished our mission to bring all of the lost souls to Jesus Christ.
Amen, be blessed much dear Alphayo
Mungu akubari nyimbo zilizovuviwa Roho Mtakatifu.
Amina sana, Nathanael
Naomba nyimbo za jangwani Alishuka Sasa nasimulia pamoja na ule wa kisukuma zipo vol 15
Alishuka tayari, Barikiwa sana!
Wimbo mauri sana tatizo ni hizo sauti za remix ety
wow thank you so much sauti ya jangwani ,,, huu Wimbo niliutafta sana
wanaoimba siyo wa ushirika
Sauti ya jangwani are second to none. My favorite choir ever. Be blessed watumishi wa Mungu.
My favorite song♥️ huu wimbo unanibariki sana. Hakika mbarikiwe. Tafadhali muuweke na ule wimbo wa bwana tunazama wa sauti ya janwani sda choir
😭😭😭😭
Ameen
TAbora ni sehemu ambayo watu wake walijua kuimba zamani mno
Mbarikiwe mfikebali katika Bwana
Mgeweka mix twapenda sana hizi nyimbo zenu
Toka nipo mtoto nilikuwa nasikiliza nyimbo hizi, Zikapotea hivi karibuni. Barikiweni sana kwa kuzirejesha tena katika zama za kidijitari Mungu awabariki sana, Naomba tutafute nyimbo zote bora za kwaya zetu kongwe kama Jangwani na Muungano ili injili hii isipotee Mungu awabariki sana Radio Adventista
NINAITWA KASIS ZEFANIA PETER ANGLIKANADK PARISHMAKORONGOWAPENDWA UIMBAJIWENUUNANIVARIKSABA
Mungu azidi kukubariki sana Zefania
Very nice song
Be blessed 🙏 🙏
Nabariwa sana na huu wimbo Nimeutafuta kwa zaidi ya mwaka Niliusikiliza kwa Mara ya kwanza kwenye mahubiri ya kizota net event
Zidi kubarikiwa 🙏 🙏
Hizi nyimbo zimenifanya mpaka wa leo nisimame katika safari hii ya kwenda mbinguni, sana sana hawa waimbaji wa SAUTI KUTOKA NJANGWANI mungu awabariki.
Amina sana, tunakuombea uzidi kubarikiwa!
No no s4
Nabarikiwa sana na huu wimbo jamani.
hizo picha unazo weka zenye mawigi sio za jangwan
sauti ya jangwani you really inspire a lot
O Lord Jesus build my Faith in you.. like these mighty men.
🙏 🙏 🙏
Wimbo wanguuu huu,na bado ule.kisha nikaona mnyama.
Wapendwa katika bwana jambo .
Hatujambo kabisa
Hongera sauti ya Jangwani ninyi ni sauti ya Mungu kweli..mnanibariki sana Kila nisikiapo nyimbo zenu huku Kenya Barsiele kwetu ni Rev. Kimeto be blessed
Zidi kubarikiwa
Tunabarikiwa kwa nyimbo zenu nzuri
Asante sana, zidi kubarikiwa
This song has more blessings
Ni kweli muda ni mchache
Mfike mbali wa2mish, malipo yenu hasa yako mbiguni, nabarikiwa sana
AMEN 🙏🙏🙏 BE BLESSED ALL OF YOU AND YOUR FAMILY TOO
Amina