Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nikiusikia huwa naria mama angu kipenz ndo ilikuwa ndo nyimbo yke na sasa marehemu
Naupendo,huu wimbo nilikua nautafuta Asante 23.7.2022
Tena😢
We dziwa peleka salamu na kuweleza 🎤🎤🎵🎵🎶🎶♩🎙🎙🎻🎻🎺🎺🎹🎹🎸🎸🎷🎷😇😇😇😇😚😄😄😄
Kesha staafu zuhura shaaban haimbi tena majukwani
Ata muone uchungu mpae mruke haaaloooooo👌👌
Nakumbuka enzi hizo nikiwa na marehemu mdogo wangu alikuwa akiupenda sana wimbo huu, 2003.
Kaimba hadija yusufu wimbo unaitwa mnikome upo album ya melody iitwayo taxi bubu
Amina kassim polee kwa kufiliwa na mdogo wako
@@rasykizanjbari4996 sante dear kwa kweli maisha ni fumbo, Mwnyz Mungu ndo mfumbuzi
Pole sana
Khaaa acheni choyo 2020 bado naskiliza Kwa sana
Nimekumbuka mbali wallhah haka kanyimbo enzi shainayz na melody mtambaji maarufu
Natafuta wimbo wa taarab "kumbe kweli huyawezi" east african melody
Natafuta wimbo fulani wa taarab unaimbwa..Litalokuwa na LiwePata potea ichezwePotelea mbali nifeNa hitima nisomeweNi radhi mimi mwenyewe.🎶🎶Jamani waitwaje na umeimbwa ni nani?
ukiupata nami unirushie...uliimbwa na khadija yusuf ila jina pia silijui.......muhisika tupe kitu hicho
Mkikipata please mtume link
@Sheshi_Beshi njoo huku
Naipenda sana hii nyimbo
Les vrai parole vive le taarab (twarab🇰🇲)😇😇😇😇
Hii wimbo nilikua naytafuta ahsante kwa hili 💗💖😍🇰🇲🇹🇿🇫🇷
Mouhamad Bakri naipenda sana hii nyimbo
❤❤❤
Bi zuhura,, kama hujaolewa nicheck fasta!!
😘😘😘😘😘😘 haingiliwi karima kwa alichokiamuaa
Sakata lako
Congrats madam ...bado rungi tuu wale Msa mpoooo 🙋
Congratulations, kazi nsuri
Mashallah
Pambee✌️✌️❤️❤️
Best song forever
👌😙😙my lovely song
Asanteeeeee
Hatariii
Asante zuhura
Zuhura wanidai
safi
Dada huwa ananyyimbo zuli
Kiswahili hicho!!!
💖👏
Nzuri sana
Siza Mahfoudh ❤️❤️
Pambe
Manusura
Nikiusikia huwa naria mama angu kipenz ndo ilikuwa ndo nyimbo yke na sasa marehemu
Naupendo,huu wimbo nilikua nautafuta Asante 23.7.2022
Tena😢
We dziwa peleka salamu na kuweleza 🎤🎤🎵🎵🎶🎶♩🎙🎙🎻🎻🎺🎺🎹🎹🎸🎸🎷🎷😇😇😇😇😚😄😄😄
Kesha staafu zuhura shaaban haimbi tena majukwani
Ata muone uchungu mpae mruke haaaloooooo👌👌
Nakumbuka enzi hizo nikiwa na marehemu mdogo wangu alikuwa akiupenda sana wimbo huu, 2003.
Kaimba hadija yusufu wimbo unaitwa mnikome upo album ya melody iitwayo taxi bubu
Amina kassim polee kwa kufiliwa na mdogo wako
@@rasykizanjbari4996 sante dear kwa kweli maisha ni fumbo, Mwnyz Mungu ndo mfumbuzi
Pole sana
Khaaa acheni choyo 2020 bado naskiliza Kwa sana
Nimekumbuka mbali wallhah haka kanyimbo enzi shainayz na melody mtambaji maarufu
Natafuta wimbo wa taarab "kumbe kweli huyawezi" east african melody
Natafuta wimbo fulani wa taarab unaimbwa..
Litalokuwa na Liwe
Pata potea ichezwe
Potelea mbali nife
Na hitima nisomewe
Ni radhi mimi mwenyewe.🎶🎶
Jamani waitwaje na umeimbwa ni nani?