@@kidoesther yes kwa nini nidanganye NHIF imefutwa ata mimi pesa yangu imeenda theni akaleta ingine inaitwa Sha cjui ndio mboga gani hii 😭💔 uwanja wa ndege saa hii kuna muhindi ameuziwa jst imagine 30years ndio arudishe ni leo na tko tu na kizungu ytu
hebu niwasaidie, huyu dada amesema anaongea kiarabu na kifaransa, hiyo inamanisha anaweza Kuwa ni mwarabu kutoka Algeria Tunisia morroco Lebanon au mfaransa mwenye asili kutoka arab africa french colonies 😂
Si kwamba wazungu wote wanaongea kiingereza japo kwa kusema kwake kuwa first language yake ni Arabic na second language ni French my guessing ni kwamba she is of Arabic decent(just guessing though).
Huyu camera man hazingatii chino na mrembo anazoom mapicha ukutani 😂😂
Chino anataka ajifunze english kwa dada wa watu kama harmonize kwq Sarah 😅😅
Accent yake niya kiarabu sio mzungu huyu😂😂
Wakwe wa Chino wanamiliki visima vya mafuta 😂😂
Wa bongo huyo sio mzungu ,mfipa huyo yaani mfilipino 😂😂😂😂wamejaa huku Japan 🇯🇵
Waliosema anapsta wapi pesa mmepata jibu ss
Watoto wa 2000 mnapenda kulelewa sana...alafu eti mnamchukia P Diddy?😂😂😂😂
Waxnge kweli kweli mzungu mwenyewe hapo yupo wapi😮😅😅
R,i,p dida punzk kwa amn dad wenzio washa kusahau uku saiv wanfurahi2😅
Huyo ni mrang alie changamka
😂😂😂😂ila chino utaniuwa wew hapo mwisho khaa
huyu si mzungu jamani huyu mpolish
Mzuri shemu wetu karibu sana Tz
😂😂😂mzungu kawekeza❤😂😂😂
Umeona eeeh🤣😂😂😂 akichoka shwaaa ila tuombe mungu tuu
Chino anajipata Diamond 😅😅
Jmn mbona mnatuonyesha aibu uyo sio mzungu kwani tukion mtu mweupe lazm hawe mzungu, kumbe mkimuona mke wangu mtamuita mzungu, uyo ni mspanish sio mzungu
Wangu ndiyo watamuita mzungu wa Finland.
@@unclepwechnov1381 😂🤣🤣🤣
Mspanish sio mzungu😂😂 jaman
@@BadMaradona ndio Mspanish sio mzungu ndo tunapishindwa kutofautish hap 🤣🤣🤣
Wote ao wa spanisha, wagermany, wadutch tumewaeka group moja la wazungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤God bless this love ❤❤❤🎉🎉🎉🎉congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢🇨🇳
Congratulations 🎊 🎉❤
Mbona kama mbulushi
Kwahiyooo
Lely homey na weye kingereza bado shida
Mwarabu huyu ukwaju huyo
Huo Ni msauz hata matamshi yake anasikika
Chino anajua kucheza na media
Nakaona ladogo D kanachungulia tu
Atakuwa wa Morocco kwasababu Morocco wanaongea kifaransa. Sio mzungu
ni black america hyo mzungu gan
Alisemaga yeye ni mmisri
Ndooto yangu
Atakuwa wa Morocco kwasababu Morocco wanaongea kifaransa
Huo Ni msauz 100 / mlangilangi huo Hakuna cha uzungu Wala uwalabu
Wifi kumbe mix mwarab/Spanish
Mariam amekonda jaman
English Tanzania ni ngumu aki 😂😂
Ya nn itatuchelewesha kufkisha ujumbe
Aiseee umenifanya nicheke sana😂
Na bado wako mbele as usually na sisi na kizungu ytu wacha zakayo akule adi pesa za wagonjwa 😂😂😂
@@Sarah-e1o9k😂😂
@@kidoesther yes kwa nini nidanganye NHIF imefutwa ata mimi pesa yangu imeenda theni akaleta ingine inaitwa Sha cjui ndio mboga gani hii 😭💔 uwanja wa ndege saa hii kuna muhindi ameuziwa jst imagine 30years ndio arudishe ni leo na tko tu na kizungu ytu
Sio mzungu huyo wacheni ufala
Ammy girl haongei kitu apo, ingekuwa waswahili angewablock kina ommy apo hadi wakome😂😂😂
We mpole uyo Balaaa cheki aliweka mikono tu😂😂😂wanamuacha sana apo😂😂
Huyu msichana sio mzungu just becoz ni mweupe basi haimanishi nimzungu. Wote wawili itabidi wajifunze English vizuri
😂😂😂yaani waswahili wengi hawajui kama sio wazungu wote wanaongea kingereza.huyu ni mwarabu na mzungu inaonyesha Lugha yake kuu ni kifaransa.
@@souvenirweber7169Lugha yake kuu ni kiarabu kwa sababu ni Mtunisia
Mna wivu sana
@@souvenirweber7169
HAWA WANA HABARI WA BONGO WANAJUA KILA MTU MWEUPE MWENYE NYWELE NDEFU NI MZUNGU HALAFU ANAJUA KIINGEREZA
Sasa mbona inakuumiza hata kama siyo mzungu, kaaa roho mbaya bwana, fanya yako pimbi
hebu niwasaidie, huyu dada amesema anaongea kiarabu na kifaransa, hiyo inamanisha anaweza Kuwa ni mwarabu kutoka Algeria Tunisia morroco Lebanon au mfaransa mwenye asili kutoka arab africa french colonies 😂
Hao ndio waandishi wabongo bwana vilaza mnoo
Ur right..mi niko swiss big time ur right
Anatoka Tunisia
Atakuwa wa Morocco kwasababu Morocco wanaongea kifaransa
Atakuwa wa Morocco kwasababu Morocco wanaongea kifaransa
His family talking Arabic and Chino speak english, so she is not white from Europe or America, but she is Arab, stop laying.
Mmmh mzungu kama anajifunza kingereza ?
Si kwamba wazungu wote wanaongea kiingereza japo kwa kusema kwake kuwa first language yake ni Arabic na second language ni French my guessing ni kwamba she is of Arabic decent(just guessing though).
Kuna wazungu hawajui kingereza,lingered ni cha waingereza sio wazungu wote @@unclepwechnov1381
Ni mwarabu mixer France @@unclepwechnov1381