Dunia imeisha tazama huyu mdada alichokifanya kanisani daaah aibu tupu.usisahau ku subscribe.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 576

  • @petereliaselias4012
    @petereliaselias4012 2 года назад +16

    Wewe ndio mwenye aibu,unatoa makosa pasipo na makosa,hongera dada kwa wimbo wako mzuri.

    • @PhiligencySeleman
      @PhiligencySeleman Год назад

      My dear usipaniki nimchezo huo nyie hamjui

    • @derrickkiptoo
      @derrickkiptoo Год назад

      Hey you! Please listen to yourself. Hata biblia husema tuvalie nadhifu. You are setting a bad example.

  • @erickthomas4281
    @erickthomas4281 2 года назад +21

    Hakuna kosa Dada alilofanya naona imetumika mbinu ya kupata watazamaji wengi, wimbo ni mzuri Sana Dada ubarikiwe

  • @rosemumbua5904
    @rosemumbua5904 2 года назад +1

    Ako sawa huyu dada we unasema Ako mini?shidwe kwa njina la Yesu

  • @nellielililawrence9523
    @nellielililawrence9523 2 года назад +7

    Kichwa iii wewe 😂 unataka watu waview the song is so blessing,....🙏🙏🔥❤️

  • @mwendemutua3063
    @mwendemutua3063 Год назад

    Jamani nice song wengine mnapenda kuharibia n kuvunja moyo wa wezio

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 2 года назад +2

    Huyo mwandishi ni pepo ndo maana kamponda huyu dada mamy Mungu akuzidishe kwenye kipaji chako hongera sana wimbo unamvuto sana hauna papara umetulia

  • @kisimaflowers2485
    @kisimaflowers2485 2 года назад +11

    Beautiful song hongera dada

  • @bicotychepkemoi7730
    @bicotychepkemoi7730 Год назад +1

    Sioni kosa dada ana imba vizuri ubarikiwe dada kwa jina la yesu 👏👏👏

  • @veronyprotus5984
    @veronyprotus5984 2 года назад +1

    Nani mwengine amewatcha akabarikiwa akitafuta makosa dada aliyofanya 😆😆😆😆😂😂😂

    • @anitajosephine4651
      @anitajosephine4651 2 года назад

      Sasa aibu gani alifanya hapo mbona mnashangaza, eti aibu

  • @caroh_fwc
    @caroh_fwc Год назад

    Nice song keep up. The writer alitaka mwatch t kwa kutumia wrong words😊😊😊😂

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 года назад +1

    Wimbo mzuri sana sijui alimaanisha nini kusema aibu Kwa mdada

  • @aisajs8303
    @aisajs8303 2 года назад +4

    Jaman mtto wa watu kafanya ni kibaya, wimbo mzuri, 👌👌,pongezi kwao

  • @lenaanyona2357
    @lenaanyona2357 2 года назад +3

    Hata mimi nimeshangaa sijaona kitu cha aibu! Wimbo mtamu. Mwana dada hongera.

  • @andersonalfayo826
    @andersonalfayo826 Год назад +1

    Nini amefanya mbaya hapo sasa, a very nice song

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 2 года назад +3

    Good song 🎻 ,mungu akubariki dada

  • @muyangacaroline2014
    @muyangacaroline2014 Год назад +3

    N.a. umetumia akili ya kutafuta viewers...congratulations to the girl and to you too👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾😂😂😂

  • @eunicemsuyaa4473
    @eunicemsuyaa4473 2 года назад

    Aibu iko wapi hapo ushindwe ktk Jina la yes. Hongera dada nice song

  • @thomasonyango5800
    @thomasonyango5800 2 года назад +8

    Kama kwa hakika tunasema eti tunampenda Mungu ambaye hatumwoni kwa macho na tunachukia wenzetu wanao mtumikia Mungu, hata tujidai tunaenda binguni, Ni uongo na unafiki wa hali ya juu, ngoo, hatuta mwona Mungu, pengine shetani!

  • @chezariboy
    @chezariboy Год назад

    Hongera mdada umeimba,, umeeleweka,, sio kama mtoto wa nabii mkuu jodevie,, aarusha.

  • @ednahpraise1748
    @ednahpraise1748 2 года назад +24

    What has she done wrong? she has sang for God and she will minister and transform many people through this song,keep on beautiful gal.

  • @janerosegongoma5770
    @janerosegongoma5770 Год назад

    Walitumia hicho kichwa cha habari Ili tuweze kuuangalia huo wimbo,Kwa sababu watu wengi tunapenda matukio,hivyo tumetegwa wakati unaendelea kuuangalia huo wimbo uone kilichotokea ndivyo mtoa habari alitumia upenyo huo Ili ujumbe wa mwimbaji uweze kufika,hongera sana dhumuni lako limetimia.

  • @elizabethtom8584
    @elizabethtom8584 2 года назад +4

    Wimbo mzuri sana umesheheni uweza wa Mungu kwetu wanafamu. Hauna ubaya wote. Doreen endeleza kipaji chako cha uimbaji

  • @omuyaalphonce4387
    @omuyaalphonce4387 2 года назад +1

    Mnapotoa taharifa mjue jinsi ya kuandika kichwa cha taharifa husika ama mrudi shule. Hakuna jambo baya dada kafanya

  • @ruthmwende6982
    @ruthmwende6982 2 года назад +3

    Ata Mimi nimebarikiwa Sana ,mwenye anasema Kuna ubaya huyu dada amesema ashidwe kabia Mimi sioni ubaya

  • @nancyshimwendeshimwende
    @nancyshimwendeshimwende 2 года назад +3

    Amen sijeona aibu kwenye wimbo

  • @JONA38
    @JONA38 2 года назад

    Wewe ni ka mbwa Fulani,
    The song is a good stuff

  • @rayoumsalehe7875
    @rayoumsalehe7875 Год назад

    Barikiwa sana dad ang mung akuze vyema kipaji chako

  • @tabithambai1845
    @tabithambai1845 Год назад

    Shindwe katika Jina LA Yesu, hivyo unamharibia ,huyu mtumishi kwanini.
    Ili watu watazame,unajimaliza mwenyewe.
    Anamtukuza Mungu ,Wimbo wa Maombi.Mungu akusamehe.

  • @DoraNasinyari
    @DoraNasinyari 4 месяца назад

    Wanadamu wanapenda kuhukumu jamani sasa kosa liko wapi hapo hongera sana dada ❤❤

  • @louisamengoodjobwafula4304
    @louisamengoodjobwafula4304 Год назад +1

    Good song God bless you

  • @WillyMsyete
    @WillyMsyete Год назад

    Barikiwa sana dada mungu akuinue zaidi

  • @evansomboke95
    @evansomboke95 Год назад +1

    Unaosema dada amefanya nini?shindwaaaa nice songs

  • @stemturorialchannel7838
    @stemturorialchannel7838 Год назад +3

    Amen, these people are so relevant, what's wrong?

  • @michaelmuia5839
    @michaelmuia5839 2 года назад

    Good performance. Ukona ushetani mwingi sana na ushindwe

  • @solange-d9f
    @solange-d9f 2 года назад

    Ikiwa umeongelea mavazi umesema kweli KWASABABU Mwanamke asivae mavazi yakumubana sana

  • @ninabintizion1411
    @ninabintizion1411 2 года назад +5

    Asante Dada wimbo ni mzuri.

  • @karanikarani3058
    @karanikarani3058 2 года назад

    Sasa mbona sijaona kibaya hapa.God bless you young lady for the song.

    • @gospelpower1674
      @gospelpower1674 Год назад

      Kweli ametumia Hakili kupata views maana hata Mimi nimevutwa nione kafanya nini baya.kumbe wimbo ni mzuri kadanganya Ila faida amepata

  • @josephwamalwa5547
    @josephwamalwa5547 Год назад

    Wimbo nzuri sana👍💪👏kwn kimefanyika nni?!!

  • @williamchege4610
    @williamchege4610 Год назад +1

    Wacha wivu,huyo Mtumishi wimbo wake Ni mzuri Sana. Ungekuwa wamutia moyo bila kusema amefanya makosa. Tueleze loss alilolifanya hatuoni ss.

  • @margaretngithi4031
    @margaretngithi4031 Год назад +4

    May God bless and protect her for encouraging and inspiring people through her song, God blessings 🙏 innocent soul so please acha zako

  • @iopo9968
    @iopo9968 2 года назад +4

    A nyc song indeed..hakuna asiloweza Mungu

  • @myphone9388
    @myphone9388 2 года назад +5

    Ata mimi sijaona haibu Iko wapi barikiwa dada Kwa wimbo mzuli naude bari

  • @munezerofideli215
    @munezerofideli215 2 года назад +2

    Wimbo muzuri sana barikiwa dada yangu.

  • @jaredowino7992
    @jaredowino7992 2 года назад +6

    Asante kwa kutufanya tuusikize huu wimbo mzuri, ndiyo ilikuwa shida yako

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 2 года назад

    Mungu akubariki katika huduma lazima majenti waibuke kaza buti injili.isongembele

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 Год назад +1

    Barikiwa mtumishi.Wimbo wako ni mzuri.

  • @dolehakuna584
    @dolehakuna584 2 года назад +2

    Wimbo mzur xana dada yangu hajafanya yoyote mabaya mungu ambariki xana

  • @MonicaMassawe-eh4xf
    @MonicaMassawe-eh4xf Год назад +1

    Amevaa kwa heshima na ameomba vizuri nothing wrong Dunia inaisha kwa lipi.thanks

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 2 года назад +2

    Huu nao ni wizi na utaperi mkubwa wa bando zetu.. Maana kilichoandikwa na tunachokiona ni vitu viwili tofauti kabisaaa..
    Mmmmh hata wewe mwimbaji wa nyimbo za Mungu unaukubari UTAPERI huu!!!!! Dunia imekwisha jamaani..
    ★Kipato cha wizi wala hakina Baraka za Mungu wetu, ni kuweka kwenye mifuko iliyotoboka toboka

    • @shangwesombe4181
      @shangwesombe4181 Год назад

      Sijaona ubaya wa wimbo huu,mtu kila unachokinena ipo siku yakutolea hesabu kuwa makini sana mtoa habari,mwimbaji Mungu akutie kuutangaza ukuu wa mungu

  • @Jimmyapostle
    @Jimmyapostle Год назад +1

    NN dada amefanya tena and the way tumekula wimbo sisi Amazing Song Big up Psalmists

    • @leonardngwaida8590
      @leonardngwaida8590 Год назад

      Lugha za biashara hiz😂😂 good song❤

    • @edinaelikana1057
      @edinaelikana1057 Год назад

      Ni biashara yakipumbafu nakishenzi kabisa.Mungu akusamehe kabura haujaomba kusamehewa.Ulishindwa kuandika tu huyu dada anaimba vizuri sana Dunia nzima walio msikiliza wamefurahia?

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Год назад +2

    Actually the song is so good nothing wrong with it.may the lord of all grace be your protector.watching from Arabs countries

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 Год назад

    A very good song with a good message, what's wrong?uliye andika hicho kichwa may God ashame you Pepo machafu ndani yako ashidwe!

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 2 года назад +63

    Wimbo mzuri sana. Unasemaje dada amefanya nini mbaya.. ushindwe kabisa na watu wa kwenu

    • @veronyprotus5984
      @veronyprotus5984 2 года назад +2

      😆😆😆😂😂😂

    • @eliasnjuenjeru3501
      @eliasnjuenjeru3501 2 года назад +3

      I see no harm very nice song

    • @davidokumu2320
      @davidokumu2320 2 года назад +6

      Yeah ashindwe huyo agent wa shetani,...mwanadada amuimba nyimbo nzuri sana.

    • @debratonkei8230
      @debratonkei8230 2 года назад +3

      Imergin mm pia sioni shida hapo song iko poa

    • @agathakalinga4739
      @agathakalinga4739 2 года назад +3

      Huyu alikua anataka mfungue tu basi😆😆

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Год назад +1

    Mungu azidi kununua, ahsante sana kwa umetubariki na wimbo wako

  • @noahmukoto564
    @noahmukoto564 Год назад

    That's a good one. Hii ka'mtu kanasema eti aibu is an antichrist.

  • @vivianmrema
    @vivianmrema Год назад

    Ubarikiwe dada nyie mnaoona mabaya endeleeni kuyaona na yenu yataonwa

  • @esternsimbila5359
    @esternsimbila5359 Год назад +1

    Wimbo mzuri hakika umenibariki, hauna ubaya wowote wala aibu ila nahis anuani aliyoiweka ni kwa ajili yakuvuta watu kutazama

    • @rachelkweka5950
      @rachelkweka5950 Год назад

      Dada songa mbele usimwanaglie mwanadamu usiogope Mungu you pamoja nawe

  • @cvgpraysing5841
    @cvgpraysing5841 2 года назад +6

    Advert Pranks.... Hata kama, the cast is done in a mature and sobre way. God bless you mdada🙏🙏🙏

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад +1

    Hongera lwa wimbo mzuri

  • @fridahjoseph8361
    @fridahjoseph8361 Год назад

    Aibu iko wait? Nice song

  • @Angels_2024
    @Angels_2024 Год назад

    Ubarikiwe na bwana Songa mbele

  • @NancyOwano
    @NancyOwano Год назад

    Just great,very educating

  • @felixjuma381
    @felixjuma381 Год назад

    🙏🙏🙏
    Umenibariki saana 🙏

  • @mrclinker293
    @mrclinker293 2 года назад +4

    I like the intrigue of the title. Everyone will watch to the end. And that's the idea
    Nice one

  • @paulie8975
    @paulie8975 2 года назад

    Ubaya hpo uko wapi?nice song blessings to you siz

    • @ryzoryzen
      @ryzoryzen 2 года назад

      alisema hivyo ndo mukuwe interested kuwatch

  • @estherjonas5321
    @estherjonas5321 Год назад

    Very talented...mi sijaona ubaya wowote apa.... 🤭

  • @bettykiriungi4016
    @bettykiriungi4016 Год назад +1

    Nice song dear may GOD bless you all 🙏 nothing wrong with the song its amazing

  • @lydiawasai9439
    @lydiawasai9439 Год назад +1

    What a way of promoting a nice song. 😅😅😅 glory to God for this nice song.

  • @mulwamwendwa6002
    @mulwamwendwa6002 2 года назад +4

    Wimbo mzuri sana barikiwa dada

  • @peternjogu742
    @peternjogu742 2 года назад +1

    Motivating spiritual song......hakuna umbaya nimeona ......why negativity jamani

    • @nathanaelibenedict
      @nathanaelibenedict 2 года назад +1

      Anatumia hayo maneno kutafuta viewers 😡😡😡😡
      Ameniudhi!

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 2 года назад +2

    Watu hamuelewe, lengo ni kupata viewers wengi.

  • @madinaWilbrad-jr8cl
    @madinaWilbrad-jr8cl Год назад

    Dada uko vzr hongera snaa wimbo mzuri

  • @mellenmbaka8182
    @mellenmbaka8182 2 года назад +11

    Nice song indeed it has blessed me alot, much blessings to you sizkeep the fire burning 🔥🔥🔥♥️🙏

  • @PeterBlessing-vj6nw
    @PeterBlessing-vj6nw Год назад

    Mimi sione aibu hapa Hongera Dada kwawimbo wako

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 Год назад

    Barikiwa sna dada wimbo umenibariki

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 2 года назад

    Keep the fire burning.... Glory be to God.... nothing wrong I see

  • @chizcom4229
    @chizcom4229 2 года назад

    njaa mbaya sana uwezi kufanikiwa kwa mtindo huu

  • @dolphineongubo4841
    @dolphineongubo4841 Год назад

    Nimekaa hapa kuona makosa na sioni anyway bundles zangu zimeisha vile ulikua unataka 😅😅😅😅

  • @joycepamphil2777
    @joycepamphil2777 2 года назад

    Nyimbo nzuri tumevew,na tumebarikiwa,lakini sitasubscribe maana hujui kuteñgeneza kichwa cha habari,
    Ungeandika kinachoonekana wengi wangesabscribe

  • @tsiheriambooka1137
    @tsiheriambooka1137 2 года назад +3

    Aibu iko wapi surely! Some headlines though!

  • @jameschacha3192
    @jameschacha3192 Год назад

    I lk de song GOD bless you sster

  • @milkamakena3914
    @milkamakena3914 Год назад

    Woow amazing..sioni kaa amefanya kitu kibaya mimi

  • @AberaRweyemamu-ou9sr
    @AberaRweyemamu-ou9sr Год назад

    Asante.dada. Kwa.wimbo.mzuri

  • @jumakanuda-mg4lc
    @jumakanuda-mg4lc Год назад

    Thanks sister for good gospel be blessed

  • @zawadijoseph473
    @zawadijoseph473 Год назад

    🤔❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃 MUNGU akutunze

  • @keziahgikonyo5006
    @keziahgikonyo5006 2 года назад +1

    God bless you sister, grd song

  • @paulmosomi6217
    @paulmosomi6217 2 года назад

    Mwanadada Ako sawa na sijui mbona mada ni ya aibu na aibu yenyewe siioni.mwenye kupost hii mada pengine ana sababu zake.kuwa macho..

  • @ezbonmworiathemaker4190
    @ezbonmworiathemaker4190 Год назад

    4k subscribers. You have along way to go.

  • @RoseLutufyo
    @RoseLutufyo Год назад

    Wimbo mzur xan hongera

  • @jimmyclayo4152
    @jimmyclayo4152 Год назад

    😂😂😂😂😂 wote ni vipofu kumbe amuoni

  • @josephissangya6066
    @josephissangya6066 2 года назад +4

    Wimbo mzuri

  • @yuxu4real.908
    @yuxu4real.908 2 года назад

    UMEAMUA KUSEMA UONGO ILI TUANGALIE,😅😅😅 BASI DUNIA IMEISHA MAANA WEWE NDO UMRFANYA CHA AJABU.

  • @shikuciku2150
    @shikuciku2150 Год назад

    😂🤣🤣 mlitaka tuwatch nisawa tu nimebarikiwa

  • @anatolegrard9272
    @anatolegrard9272 2 года назад

    Vazi la kisasa
    Ni kweli wimbo mtamu

  • @johnmash6089
    @johnmash6089 2 года назад

    Sauti sawa sana..

  • @rotichchelangat-eo9lr
    @rotichchelangat-eo9lr Год назад +1

    Nice song ❤God bless you nothing wrong

    • @JanetyYohana
      @JanetyYohana Год назад

      Ubarikiwe sana dada kwa wimbo mzuri unaujumbe mzuri sana na aibu Iko wapi mbona mdada Yuko vizuri

  • @peter.i.mwangi9147
    @peter.i.mwangi9147 2 года назад

    Jamaa, una uongo mwingi sana,umetumwa na nani kumharibia jina Kipenzi cha Yesu kikimtukuza?ama watafuta wafuasi tu???? Koma kabisa.

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 2 года назад +1

    Barikiwa..

  • @samuelakello6297
    @samuelakello6297 2 года назад

    Huyo Mungu Unayenwimbia Anachukia uongo na waongo wote Anasema Atawarusha jehanamu. Mtumikie Unayemjua,sio Usiyemjua.

  • @joycelufunda9684
    @joycelufunda9684 2 года назад

    Watu bwana kwahyo hiyo ni gia yakutufanya tuone kwny midia si mngeandika tu vzr kichwa cha habar duuh