- Видео 25
- Просмотров 1 021 989
THE MOON ENTERTAINMENT
Добавлен 25 июн 2019
Видео
karibu kutazama trailer ya filamu ya USHOGA SIO DILI chini ya THE MOON ENTERTAINMENT usisahau subscr
Просмотров 373Год назад
Mambo ni moto USHOGA SIO DILI
vituko vipo tazama hawa watoto hadi mwisho
Просмотров 223Год назад
Tazama walichokifanya hawa watoto wa regna masonoku kwa zuchu
KARIBUNI SANA KUTAZAMA FILAMU NZURI YENYE KUBURUDISHA#UKOMBOZI#
Просмотров 327Год назад
KARIBUNI SANA KUTAZAMA FILAMU NZURI YENYE KUBURUDISHA#UKOMBOZI#
Daaaah hakuna kazi ngumu kama huu mtihani wa huyu jamaa kwa mke wake
Просмотров 230Год назад
Daaaah hakuna kazi ngumu kama huu mtihani wa huyu jamaa kwa mke wake
HII SIO NJIA SAHIHI YA KUTOA STRESS
Просмотров 1262 года назад
WATU WENGI HUAMINI HII NDIO NJIA SAHIHI YA KUTOA STRESS
BONGO MOVIE TANZANIA#TAZAMA VITUKO VYA BROTHER K HATARI SANA
Просмотров 1622 года назад
bongo movie bhana tazama vituko vya brother k
BONGO MOVIE INARUDI TARATIBU
Просмотров 1192 года назад
Uongo bhana angalia mpk; mwisho ujinga hautaisha duniani
kuna muda hatupaswi kuwaamini marafiki kabisa
Просмотров 2272 года назад
kuna muda hatupaswi kuwaamini marafiki kabisa
Tazama timbwili la mganga kutaka kumla mteja wake
Просмотров 1592 года назад
Tazama timbwili la mganga kutaka kumla mteja wake
Wanaume kama hawa hawastaili kuwepo duniani
Просмотров 1582 года назад
Wanaume kama hawa hawastaili kuwepo duniani
Dunia imeisha tazama huyu mdada alichokifanya kanisani daaah aibu tupu.usisahau ku subscribe.
Просмотров 1 млн2 года назад
Dunia imeisha tazama huyu mdada alichokifanya kanisani daaah aibu tupu.usisahau ku subscribe.
ANGALIA BALAA LA GONGALAI NA KADINDILI NIVURUGU NDANI YA KIKAO subscribe ,share and coment
Просмотров 2392 года назад
ANGALIA BALAA LA GONGALAI NA KADINDILI NIVURUGU NDANI YA KIKAO subscribe ,share and coment
TAZAMA BALAA LA GONGALAI WA FUTUHI ALICHOMFANYIA KAKA YAKE INASIKITISHA SANA.
Просмотров 2852 года назад
TAZAMA BALAA LA GONGALAI WA FUTUHI ALICHOMFANYIA KAKA YAKE INASIKITISHA SANA.
TAZAMA FILAMU MPYA YA MCHAFU ILIYOONGOZWA NA DIRECTOR RICH ADAMS ANGALIA UWEZO WA BROTHER K HATARI.
Просмотров 3,7 тыс.2 года назад
TAZAMA FILAMU MPYA YA MCHAFU ILIYOONGOZWA NA DIRECTOR RICH ADAMS ANGALIA UWEZO WA BROTHER K HATARI.
tazama jamaa alivyoangaika kuimba live nyimbo za watu ebhanaee angalia kilichomkuta
Просмотров 1752 года назад
tazama jamaa alivyoangaika kuimba live nyimbo za watu ebhanaee angalia kilichomkuta
karibu kutazama trailer ya filamu ya MILEMBE pia usisahau Ku subscribe,like,share and comment
Просмотров 2242 года назад
karibu kutazama trailer ya filamu ya MILEMBE pia usisahau Ku subscribe,like,share and comment
Pepo wewe
Wanadamu wanapenda kuhukumu jamani sasa kosa liko wapi hapo hongera sana dada ❤❤
Pole xan kwa kwel
Kazi kazi
Nakubali kaka
The comment was given to inspire people to listen to the end. Thanks for the comment for it infuenced people to watch to the end results
Dada uko vzr hongera snaa wimbo mzuri
Tumuombe mungu tu
Gooood
Thnks
🤜🤛
Safi sana
Pamoja
🤜🤛
Sawa mwana harakati wa ukweli
Pamoja Sana
Just great,very educating
Barikiwa sana dada mungu akuinue zaidi
mbona kaimba fresh
Wimbo mzuri cha ajabu nini! MUNGU akubariki dada
Me sijaona nililotalajia kuliona make watu wanapenda udaku kuliko ukwer ko hata vichwa na yaliyomo ndani vikiwa tofauti Ni sawa tu
Mbona ipo vizuri tu
Hapo kuna shida gani? Amemrudia Mungu na anamtukuza.
Hamja muelewa mtuma post hii ametaka apate views wengi kwa kuandika ivyo maana amesoma psychology ya watu kuwa tunapenda kusoma udaku hahahahah. Kweli dada upo vizuri Mungu aendelee kukuinua.
Kafanya nini of course sijaona BAYA alilofanya kacheza TU vizur kavaa vizur na wimbo mzuri pia
Aibu iko wait? Nice song
Asante.dada. Kwa.wimbo.mzuri
A true saved person can never give credit to this lady...her physical outlook is not Godly.what master does she serve
Thanks sister for good gospel be blessed
Hongera dada wimbo mzuri
Some are here to get followers not to appreciate what others did shame on your self.
Katia aibu gani? Pepo ww
Huyu jamaa yuko sawa kabisa aiseeee akomaee tu.
Walitumia hicho kichwa cha habari Ili tuweze kuuangalia huo wimbo,Kwa sababu watu wengi tunapenda matukio,hivyo tumetegwa wakati unaendelea kuuangalia huo wimbo uone kilichotokea ndivyo mtoa habari alitumia upenyo huo Ili ujumbe wa mwimbaji uweze kufika,hongera sana dhumuni lako limetimia.
Congratulations sis for your song
Sioni makosa yoyote hapo what wrong mwenye kuona makosa ,are you okay?
Mambo mengine ni ya kipumbavu Sana yaani wewe kosa ni lipi Sasa,mmh.Alafu unataka tu subscribe wewe ndo ume kosa,na so huyo mdada
Ameeen sis Mungu akubariki sana injili ya Yesu isonge belee Aibu anayo ibilisi na vibaraka wake maana wanachomwa na moto wa Roho Mtakatifu!!
Wimbo mzur xan hongera
Shame on you the moon entertainment channel, I see nothing wrong with the lady You need to post real facts or clips but not propagating irrevant titles, is there anything wrong sing for our God?, That's why I can't subscribe to your channel .
🤔❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃 MUNGU akutunze
🙏🙏🙏 Umenibariki saana 🙏
Amen
Nothing wrong with this girl nor the song,some people though,,keep going dear ,inspire many more souls❤❤❤
Aibu hipi isiyoonekana na wengine kasoro wewe tu?
Dada umevaakimalaya nguo imebana na minywele kama jini mnacheza kidunia .
The one who posted the video has a dirty mind., didn't see anything wrong na huyu mwanadada
Amen,Amen,Amen.
Aibu is you nah
Hakuwa ahelew maana ya wimbo
Mimi sione aibu hapa Hongera Dada kwawimbo wako
Ni viewers wanatafuta
Sioni kibaya mie....kamati roho chafu wewe na ushindwe na ulegee