Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hii nyimbo naipenda hadi kesho
Tam sana liujumbe wewe mwenzangu nichukie ilaloo niachie
hii nyimbo imenikaa Leo kutwa mzima unakereketwa na Nini wakati siombi chako hodi sjakupigia mashallah leyla
Noma sana kipindi icho
Nimekumbuka tuliimba hii taarab some years ago music festival. Leo nimejipata nikiimba nikaamua kuitafuta
Yaani nilikuwa naiwaza nkasema ngoja niitafute aiseee hii nyimbo unaweza lia😢😢Naipenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama chuki ndo mlango ungekwisha nifungia na Kama hinatoa chongo ungekwisha nitofoa wew 👈 nipige madongo ya mungu hutopanguwa😌😌
Riziki hutoka kwa Mungu
Chuki nichukie roho yangu niachie🇰🇪 Na siombi chako😒Niache sana na Nilichopangiwa kitanifika tu👍Asante Malkia Leila Rashid
AMINA nami mungu atanipa Rizki yangu lnshallah 🙏🙏🥰🥰👌
Unaambiwa ridhiki hutoa mungu sio mwenzangu NA mie na unaambiwa kama chuki ndio mlango ungekwisha nifungia NA kama ingekuwa chongo ungekwisha nitofoa bibie Leila Rashidi Jahazi Modern taarabu
Umetishaaa
😍😍😍😍Aichushi nyimbo hii naipenda sana
Saana yani nzuri Sana
Napend sn ii nyimb ❤️😍❤️❤️👌👌
Kwani nimekosa nin hata ichafukwe roho yak na hay majaaliwa duuh naipenda mnoo
Mashallah bi Leyla
I miss these types of old taarab
Naipenda hii taarabu kwa kweli
Rizik haivutwi kwa kamba
Yaani hii nyimbo yanikumbusha mbali walai😢
❤❤❤
Aaaaaa reylawee mh haya
Alopewa hupokea maneno kuntu
Pindi icho isha yupo kama binti shomvi tu
Chuki
We mau swaiba up kk wp fatuma wa tanga
Fs ii nymb ilitugwa maneno kuntu
Amazing
Hii nyimbo naipenda hadi kesho
Tam sana liujumbe wewe mwenzangu nichukie ilaloo niachie
hii nyimbo imenikaa Leo kutwa mzima unakereketwa na Nini wakati siombi chako hodi sjakupigia mashallah leyla
Noma sana kipindi icho
Nimekumbuka tuliimba hii taarab some years ago music festival. Leo nimejipata nikiimba nikaamua kuitafuta
Yaani nilikuwa naiwaza nkasema ngoja niitafute aiseee hii nyimbo unaweza lia😢😢
Naipenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama chuki ndo mlango ungekwisha nifungia na Kama hinatoa chongo ungekwisha nitofoa wew 👈 nipige madongo ya mungu hutopanguwa😌😌
Riziki hutoka kwa Mungu
Chuki nichukie roho yangu niachie
🇰🇪 Na siombi chako😒Niache sana na
Nilichopangiwa kitanifika tu👍Asante Malkia Leila Rashid