Samahani ndugu sasa tukiongelea mfungo wa nafsi je ukifungulia unaweza ukaendelea na ratiba zako mfano kuangalia tv au ni haitakiwi mpaka umalize mfungo wote?
Nianze kwa kushukuru kwa sababu kutumia muda kuandaa mafundisho na kukubali kutumiwa na Mungu katika kuwaelimisha wengine ni jambo zuri Ila ni vizuri kama kilafundisho linaweza na msingi wa neno la Mungu , kwa mfano hiyo mifungo ya nafsi na roho inaweza kuwa supported na maandiko yapi , bcse bila hivyo tunaweza tukawa tunajikuta tunafundisha mawazo ya wanadamu ambayo kiroho hayawezi kumsaidia mtu
Nafikiri umemnukuu vibaya amesema Mwili na nafsi vinafunga ila roho haitakiwi kufunga inatakiwa ile muda wote sio jumapili tu,kuhusu kuweka maandiko ni sawa kabisa yawekwe.
Ubarikiwe
Be blessed ume ni amsha
Ameeeeen! Ameeeeen!Hallelujah! "Ahsante sana mtumishi wa Bwana" Ubarikiwe sana..
Amen mungu akubariki sana nimepata elimu kuhusu mfungo
❤🎉 Somo zuri sana
Ameen
Thank you 👍 my brother God bless 🙏 you in the name of Lord Jesus Christ.
Ameen barikiwa sana
U barikiwa sana.🙏
Ubarikiwe sanaa
Ameeeeeen umenibariki sanaaa
🙏
God bless you
Thanks i never know that. May God bless you
Nomepata kitu apa
Amen amen
Amina
Asante Nimeelewa
Amen 🙏🙏
Amen.
Asante maana nilikuwa najiuliza sikutatu kavu kivip lakn sasa nimekuelewa
❤❤❤🎉
Amen
ubarikiwe MWALIMU, nakupata ku toka DRC CONGO
ubarikiwe MWALIMU, nakupata ku toka DRC CONGO
Samahani ndugu sasa tukiongelea mfungo wa nafsi je ukifungulia unaweza ukaendelea na ratiba zako mfano kuangalia tv au ni haitakiwi mpaka umalize mfungo wote?
Nianze kwa kushukuru kwa sababu kutumia muda kuandaa mafundisho na kukubali kutumiwa na Mungu katika kuwaelimisha wengine ni jambo zuri
Ila ni vizuri kama kilafundisho linaweza na msingi wa neno la Mungu , kwa mfano hiyo mifungo ya nafsi na roho inaweza kuwa supported na maandiko yapi , bcse bila hivyo tunaweza tukawa tunajikuta tunafundisha mawazo ya wanadamu ambayo kiroho hayawezi kumsaidia mtu
Ni wazo Zuri Lkn km Mtumishi waweza msaidia mwenzetu kwa kuweka vifungu vya Biblia kutokana na alichofundisha..!!!
Nafikiri umemnukuu vibaya amesema Mwili na nafsi vinafunga ila roho haitakiwi kufunga inatakiwa ile muda wote sio jumapili tu,kuhusu kuweka maandiko ni sawa kabisa yawekwe.
Amen