Jamaa mwaka huu 2019 amepoteza takribani shilingi za kitanzania billioni moja za watu ambao wanainvest kwake , so don’t think forex is easy just like that psychology is one of the important key to trade
Video nzuri, lakini sote tunapaswa kujua kwamba hata kwa hali isiyotabirika ya soko, unaweza kupata faida kubwa kutoka kwa soko, kama nilivyokuwa nikifanya kwa muda sasa. Soko ni thabiti sana na haiwezekani kujua ikiwa ni ya beige au ya mkazo. Wakati wengine na mimi tunafanya biashara bila hofu ya kupoteza, wengine wanavumilia kufanya bei kuongezeka. Yote inategemea muundo unaofanya biashara nao na chanzo cha ishara zako. Napenda kusema biashara zinaenda vizuri kwangu baada ya kujilimbikiza zaidi ya 3BTC katika kipindi cha wiki 6 bila kujali wimbi la bei. Nimefanya hivyo kwa kunakili ishara za biashara zilizotolewa na mfanyabiashara mtaalamu, Salomao Luciano.
Hata baada ya kutazama video nyingi za biashara nilikuwa bado nikipata shida kupata, karibu sikuwahi kufikiria ingewezekana kupata hadi nilipopata faida yangu ya kwanza kupitia Luciano
Hii ni kweli, tunahitaji ishara sahihi ili kukuza kidogo tunachoshikilia sasa .. nimekuwa nikitafuta ishara kama hizo za faida kama ile ya Luciano. Asante rafiki!!
Forex inahitaji trading plan na hiyo trading plan itakuwezesha kutengeneza trading system na hiyo hiyo trading plan itakuwezesha kuhimili mihemko na tamaa kwenye forex hivyo utakuwa mvumilivu ,mimi binafsi ni trader wa forex na ninaipenda forex kuliko kawaida kikubwa watu wasiitafsiri forex kulingana na uwezo wao kufanya biashara ya forex bali waitafsiri forex kama ilivyo forex yenyewe ilivyo utapata majibu sahihi
@@worshipandmeditation8273 Suala la ku deposit pesa kwa Broker yeyote kawaida tu inategemea na namna njia unataka kuitumia. Pia mimepiga kitabu cha kutosha kuhusiana na hii business kikubwa ni kuwa na strategy ambazo ziko powerful 0752876826
great for you bro av been in forex for 2yrs 2018 is my third year but still making a penny per day interested invest on forex education first before loosing as i always lost the last two years......trade forex guys need no employment
+pita kiongo hongera peter. Hakikisha unafuata trading strategy bila kuivunja, kuwa mwanafunzi kila siku ili uongeze maarifa. Kwenye forex yule anaejua zaidi na kuwa na nidhamu ndiyo hutengeneza pesa. Hakikisha unalinda mtaji wako kwa kutumia lot size inayoendana na mtaji wako
@@worldrapamako3960 Ni ngumu kuelekezwa kwa simu bro udanganyike na wala sio simpo hivyo, inahitaji kusoma sana na kujifunza sana, lasivyo utaishia kupata hasara. Asante
I am from Kenya, but many people talk what we want is proof of payments to your bank account, trading is not an easy as people think, what you see people like that guy is explaining by showing previous charts to fool people. Someone needs to learn on his/her own don't buy courses regarding for ex trading.
You are right my brother forex is not as easy as he sounds, if he was making big money from it he would not wasting time teaching people. it has been two yers now since i started doing forex i made nothing from it than losing, it takes so long time to master it
@@stablegenius3223 y abusing ? shit head ...do u know how many people have lost money from that guy till now? do u want proofs ? the guy gets money from teaching ...not real trading coz he is not a good trader ...ppo have proofs here ..some of them paid money to the same guy bt they got nothing , some invested and lost everything
ndugu zanguni.mimi binafsi nimeamka forex mwaka 2016.kwa kweli bongo ni wasanii sana.nimepoteza hela nyingi kwa kuchoma account.mpk last year August 2018 nikaamua kwenda South Africa.ndo tokea hapo sijachoma account tena mpk Leo.hii kitu no knowledge inahitajika sana.ila forex sio ngumu.ni techniques ndogo ndogo na kujiongeza.utatulia kwenye game vzr sana.
@@mpendutv7440 Sio rahisi kufundishwa kwenye simu hivyo wala sio somo la siku moja au wiki moja ukawa tayari umeiva. Inahitaji muda na kujifunza sana, lasivyo ndo kama hao unaona wanalalamika walipata hasara
U thought wise but remember teaching you doesn't cost him or you cant share customers....you don't need a boss it's possible you teach others as you continue trading
Jamaa hasemi ukweli....fx trading ni biashara tata sana,ina mambo mengi ya kuzingatia,kufuatilia,inahitaji muda na focus ya hali ya juu. Zaidi sana ELIMU...jambo ambalo watanzania wengi ni wavivu kuwekeza kwalo. Pia mtaji mkubwa. Fx ni njia ngumu ya kupata fedha rahisi. Kuna leverage...hii ni hatari ingine kwenye fx. Usipoelewa utapoteza fedha zako haraka sana.....halafu kuna brokers,hawa nao wanakublock usipate faida kwa urahisi. Usikurupuke SOMA ELIMIKA KWANZA,JUA UNACHOFANYA......vin ginevyo Fx ni biashara nzuri sana lakini hatari kupoteza mtaji wako!
+Fredrick Mgongolwa ....nakubaliana sana jamaa ninachosema ni kwamba usiwaaminishe watu kwamba fx ni profit all the way....no..nono..! Narudia tena Fx ni hard way of making easy money......Wekeza kwanza kwenye elimu ndo uanze kutrade fx.!!😐
+Shomari Issah ahsante sana kwa kutembelea gamechangerTV, hakikisha umesubscribe kuendelea kuona interview za vijana mbalimbali wakiongelea mbinu za kutengeneza pesa.
+Shomari Issah ahsante sana kwa kutembelea gamechangerTV, hakikisha umesubscribe ili kuona interview za vijana mbalimbali wakiongelea mbinu za kutengeneza pesa. Share na wengine ili waweze kujifunza zaidi.
Hongera bro, nimekuwa nikiifuatilia kuijua biashara hii bila mafanikio, sijapata mtu sahihi wa kuniongoza, clip yako imenipa mwanga, itakuwa vyema sana kupata namba zako za simu, ahsante.
Wabongo wengi sana wamepigwa hii kitu forex. Hii ni biashara ngumu kweli kweli huyu jamaa hasemi kweli Mabrokers wengi ni matapeli tu. Uwizi Na utapeli in mwingi sana forex
this tutorial is awesome and educating, however i would advise or rather advise re-uploading or enabling the subtitle for better understanding especially those of us from the other part of the world. Meanwhile its a beautiful concept and appreciable effort...............thanks
SMARTrader tapeli kakutapeli nini haya maisha bhn hizo ndo fitna na roho mbaya mwisho wa siku Mungu hawezi kukufanikisha katika jambo lolote lile Coz hupendi kujifunza ila chuki ndo umetanguliza haya maisha bhn watu siku zote kuna watu wa aina mbili wale walio tayari kupambana na umasikini na wale wanaopambana na wale wanaoupambania umasikini badilika roho mbaya ikizidi matokeo ni UCHAWI na USHIRIKINA tu.
Kila mtu anataka kuwa mwalimu Wa trading inaonekana kufundisha kuna pesa kuliko ku trade,kwanini kama nyie ni good trader sisi wene pesa tuka investment kwenu nyie ili mtulipe kila week hizo faida, Forex ni probability Bness yene higher risk ndio mana nanyi pia mu nataka kuvuna pesa kwa wanafunzi kubtrade amuwezi acheni kudanganya watu.
Kuna mtu niliwahi kusoma kitabu chake mwaka jana mwanzoni ni mtanzania hapahapa alijaribu kutoa vitabu vilivyoichambua forex kwa lugha ya kiswahili unaweza kumtafuta hopefully kitakupa mwanga zaidi mawasiliano aliyoyaweka kwenye kitabu chake ni watsap 0625934471.
Jitahidi lugha uijue lasivyo biashara itakuwa ngumu dada na pia watakupa notes za kiswahili ndiyo but hutakiwi kupokea mawazo ya sehemu moja inabidi uchambue chambue sasa lugha ikiwa shida inakuwa mtihani.
Kaka habari yako, nafahamu hii video umepost mda sana, naomba nisaidie ni bank gani unayotumia kudeposit na kuwithdraw? Au unatumia bank za kitanzania au zp??
Ndugu kastory tunashauri kujifunza hii fursa ukawa unafanya mwenyewe itakuwa vyema zaidi. Kuwekeza fedha kumekuwana changamoto kwa baadhi ya watu. Kama unawekeza hakikisha mtu unaewekeza kwake unamuamini na unaukaribu nae.
kama mnaona mnakutana na changamoto kubwa kwenye hii business tuko tayari kuwasaidia mimi ni trader pia na ninaitegemea hii business kuliko ajira yangu ya serikalini nikikuelekeza namna ya kufanya ukazingatia lazima utengeneze hela 0752876826
Jamaa mwaka huu 2019 amepoteza takribani shilingi za kitanzania billioni moja za watu ambao wanainvest kwake , so don’t think forex is easy just like that psychology is one of the important key to trade
Dah hatar sana..
Video nzuri, lakini sote tunapaswa kujua kwamba hata kwa hali isiyotabirika ya soko, unaweza kupata faida kubwa kutoka kwa soko, kama nilivyokuwa nikifanya kwa muda sasa. Soko ni thabiti sana na haiwezekani kujua ikiwa ni ya beige au ya mkazo. Wakati wengine na mimi tunafanya biashara bila hofu ya kupoteza, wengine wanavumilia kufanya bei kuongezeka. Yote inategemea muundo unaofanya biashara nao na chanzo cha ishara zako. Napenda kusema biashara zinaenda vizuri kwangu baada ya kujilimbikiza zaidi ya 3BTC katika kipindi cha wiki 6 bila kujali wimbi la bei. Nimefanya hivyo kwa kunakili ishara za biashara zilizotolewa na mfanyabiashara mtaalamu, Salomao Luciano.
Jina la Luciano Te le gram ni nini
Kuuliza?
@@joselynchelsea6109 *{@ Luciano_Salomao}*
Nilitengeneza 1 btc yangu ya kwanza na mkakati / ishara za Luciano, yeye ni mtaalam wa kweli ikilinganishwa na hizi mizizi
Hata baada ya kutazama video nyingi za biashara nilikuwa bado nikipata shida kupata, karibu sikuwahi kufikiria ingewezekana kupata hadi nilipopata faida yangu ya kwanza kupitia Luciano
Hii ni kweli, tunahitaji ishara sahihi ili kukuza kidogo tunachoshikilia sasa .. nimekuwa nikitafuta ishara kama hizo za faida kama ile ya Luciano. Asante rafiki!!
Forex inahitaji trading plan na hiyo trading plan itakuwezesha kutengeneza trading system na hiyo hiyo trading plan itakuwezesha kuhimili mihemko na tamaa kwenye forex hivyo utakuwa mvumilivu ,mimi binafsi ni trader wa forex na ninaipenda forex kuliko kawaida kikubwa watu wasiitafsiri forex kulingana na uwezo wao kufanya biashara ya forex bali waitafsiri forex kama ilivyo forex yenyewe ilivyo utapata majibu sahihi
Ahsante kwa comment yako yenye maarifa ya upeo mkubwa. Ni kweli hakuna budi mtu kuongelea biashara kama vile ilivyo.
@@worshipandmeditation8273 Suala la ku deposit pesa kwa Broker yeyote kawaida tu inategemea na namna njia unataka kuitumia. Pia mimepiga kitabu cha kutosha kuhusiana na hii business kikubwa ni kuwa na strategy ambazo ziko powerful 0752876826
niaje kaka
Naitaji kujifunza zaidi juu ya ili nane naweza kukupata wapi ili kujifunza
@@arenjm5735 Kwa upande wa Forex Kuna changamoto kubwa kwa anayeanza business.
Hongera sana
great for you bro av been in forex for 2yrs 2018 is my third year but still making a penny per day interested invest on forex education first before loosing as i always lost the last two years......trade forex guys need no employment
+pita kiongo hongera peter. Hakikisha unafuata trading strategy bila kuivunja, kuwa mwanafunzi kila siku ili uongeze maarifa. Kwenye forex yule anaejua zaidi na kuwa na nidhamu ndiyo hutengeneza pesa. Hakikisha unalinda mtaji wako kwa kutumia lot size inayoendana na mtaji wako
Contact me in my number ,, i am interested
mwenye uwelewa na forex anipigie 0746230070 anielekeze kidogo make maisha yamenitaiti sana
@@worldrapamako3960 Ni ngumu kuelekezwa kwa simu bro udanganyike na wala sio simpo hivyo, inahitaji kusoma sana na kujifunza sana, lasivyo utaishia kupata hasara.
Asante
napenda sana biashara hii.tukupate wp utujuze zaidi.
Video mzuri sana hivyo nilikuwa naomba namba yako ya whatssap niweze kukuliza vizur namna ya kutrade
I am from Kenya, but many people talk what we want is proof of payments to your bank account, trading is not an easy as people think, what you see people like that guy is explaining by showing previous charts to fool people. Someone needs to learn on his/her own don't buy courses regarding for ex trading.
Arnet Mideva it’s scam be careful
meygaag kabacalaf keep talking Asshole, people are making money and they don’t have to prove to anyone
You are right my brother forex is not as easy as he sounds, if he was making big money from it he would not wasting time teaching people. it has been two yers now since i started doing forex i made nothing from it than losing, it takes so long time to master it
@@stablegenius3223 y abusing ? shit head ...do u know how many people have lost money from that guy till now? do u want proofs ? the guy gets money from teaching ...not real trading coz he is not a good trader ...ppo have proofs here ..some of them paid money to the same guy bt they got nothing , some invested and lost everything
Semhine Shauri find something so easy! So easy that you can become a millionaire without any pain.
nimeipenda sana biashara nahitaji kujifunza zaidi kwenye hii biashara naomba mawasiliano ya huyo kaka kwa msaada zaidi
ndugu zanguni.mimi binafsi nimeamka forex mwaka 2016.kwa kweli bongo ni wasanii sana.nimepoteza hela nyingi kwa kuchoma account.mpk last year August 2018 nikaamua kwenda South Africa.ndo tokea hapo sijachoma account tena mpk Leo.hii kitu no knowledge inahitajika sana.ila forex sio ngumu.ni techniques ndogo ndogo na kujiongeza.utatulia kwenye game vzr sana.
Emma Joseph nifundishe na mm
Emma Joseph tufundishe na sisi
bos habar samahani kwa usumbuf ningependa tuwasiliane nimoja kati ya FX treda
0719202024
@@mpendutv7440 Sio rahisi kufundishwa kwenye simu hivyo wala sio somo la siku moja au wiki moja ukawa tayari umeiva.
Inahitaji muda na kujifunza sana, lasivyo ndo kama hao unaona wanalalamika walipata hasara
sasa c ufundishe na wengine? my no 0655486035
i dont think so ....if some one who earns much can be interested in teaching i think teaching is more profitable than the trade itself
Du! Hatar
Ila ni kweli
Dat true
U thought wise but remember teaching you doesn't cost him or you cant share customers....you don't need a boss it's possible you teach others as you continue trading
Aiwezekani,tena matajiri wengi ni wachoyo,awezi kukufundisha kitu kitkachokupa wewe utajiri
Nifundishe namm my dear npo tu hm sina kazi plzz🙏🙏
Salute chief
Mr na hitaji kujifunza, una patikana wapi
Boss upo
Jamaa hasemi ukweli....fx trading ni biashara tata sana,ina mambo mengi ya kuzingatia,kufuatilia,inahitaji muda na focus ya hali ya juu. Zaidi sana ELIMU...jambo ambalo watanzania wengi ni wavivu kuwekeza kwalo. Pia mtaji mkubwa. Fx ni njia ngumu ya kupata fedha rahisi. Kuna leverage...hii ni hatari ingine kwenye fx. Usipoelewa utapoteza fedha zako haraka sana.....halafu kuna brokers,hawa nao wanakublock usipate faida kwa urahisi. Usikurupuke SOMA ELIMIKA KWANZA,JUA UNACHOFANYA......vin ginevyo Fx ni biashara nzuri sana lakini hatari kupoteza mtaji wako!
True!
+Fredrick Mgongolwa ....nakubaliana sana jamaa ninachosema ni kwamba usiwaaminishe watu kwamba fx ni profit all the way....no..nono..! Narudia tena Fx ni hard way of making easy money......Wekeza kwanza kwenye elimu ndo uanze kutrade fx.!!😐
Edwin Mbunda hata hii ni ya uhakika but ukibuni ww inatosha kila mtu ana njia yake.
Milion 9 alf iyo ndo sehem anayo ingizia pesa aina hadhi iyo asichukulie poa fx dadek
Kweli kabisa
this video is very useful for gathering knowledge about forex tanzania. Thanks.
bro sorry do you think if you work for forex you can get good money
Gud sana bro.
+devis anselmo karibu tena devis, hakikisha umesubscribe ili uweze kujifunza zaidi
Nampata Huyu Mshkaji 👏
Rim Raz mtafute instagram @fx_moneyindustry
Aingize faida yote iyo alafu awe Ba kaofc uchwala ivyo,tucdanganyane plz
Interview ilifanywa before ajafungua ofisi na kuhama hapo alipokaa.
Imekaa vizuri sana hii,,,
+Shomari Issah ahsante sana kwa kutembelea gamechangerTV, hakikisha umesubscribe kuendelea kuona interview za vijana mbalimbali wakiongelea mbinu za kutengeneza pesa.
+Shomari Issah ahsante sana kwa kutembelea gamechangerTV, hakikisha umesubscribe ili kuona interview za vijana mbalimbali wakiongelea mbinu za kutengeneza pesa.
Share na wengine ili waweze kujifunza zaidi.
Shomari Issah uko vizri my my my ulipo nipo
Hongera bro, nimekuwa nikiifuatilia kuijua biashara hii bila mafanikio, sijapata mtu sahihi wa kuniongoza, clip yako imenipa mwanga, itakuwa vyema sana kupata namba zako za simu, ahsante.
Kama bado unastruggle kuhusu forex hebu nicheki hapa 0659993194 may be naweza nikakuadvice kitu cha kukusaidia coz it's my life business
@@hydrazineazine8764 hlw
@@hydrazineazine8764 oi
Easy Come Easy Go..... Naskia yupo kijijini kwao kakimbia madeni..
GETA JO acha wivu ww mbona kwanza wabongo mnapenda majungu
If you think forex is easy then fuck you 😄...ume semaje easy come
Umetisha budaa nitakupataje
Wabongo wengi sana wamepigwa hii kitu forex. Hii ni biashara ngumu kweli kweli huyu jamaa hasemi kweli
Mabrokers wengi ni matapeli tu. Uwizi Na utapeli in mwingi sana forex
Hapo umeongea ukweli mtupu. Mtu yeyote akikuambia Forex ni rahisi, mshuku sana
victor g forex is hard way of making simple money
Mwenyew nahtaji kuanza hila nachangamoto za Elimu!!!
Go go broeee
Kak naomba unitumie namb zako
I need to join too, msaada
Bro wangu me nimekuwa tred kwa nuda mlefu bot sina mafanikio coz sijapata mafuzo vizuri naweza nikapata mafunzu vipi
Sio rahisi jamn ukitaka kujuwa jalib
Yupo vizuri ktk trading
Nakupataje
Mafunzo ya biashr hyo nawez pataje
Brother how do I get you for help
Yaani huyu mbwa ni muongo jamani dahhh.. huyu mbwa ni mwizi jamani
Atuonyeshe magorofa aliojenga.. huu ni utapeli mkubwa sana. Tena huko ulaya watu wanatapeliwa
Huna unalolijua punguza lopolopo
this tutorial is awesome and educating, however i would advise or rather advise re-uploading or enabling the subtitle for better understanding especially those of us from the other part of the world. Meanwhile its a beautiful concept and appreciable effort...............thanks
Thank you so much for the feedback. We will soon add subtitle for this video so that you can enjoy a great content shared.
We love your feedback
vp
Aloo vp nampata broker mzuri wa forex!?
i have been trading for 7 months and i havent made even 500 k forex is not get reach quick it needs patience and knowledge, but anyways congra
Pole san
The problem is knowledge and experience
Pole
Broo naomba nambko
@@brytonybrytonyblowsmlowe309 my Instagram is Med_Ibrahim_Abdi
Ho me there
Nimeikubali sana kaka lakini nifanyeje ili nami niwe mmoja wapo wa kufanya biashara hiyo
kuna baadhi ya watu wanafundisha ila hakikisha unatafuta mwalimu nzuri na wa uwakika
Boss nsaidie na mm nahitak kujua na kuifanyaa mheshimiwa
Weak number
Weka number
0764482150 na tigo no 0673432433
Mbnaa kimya wakuu
yah am interested but tunahitaji kujua seminar utakayoifanya ya mafunzo itakuwa ni lini na wapi na kama ni bure au kutakuwa na entrance fees
unaweza kumpata instagram kwa jina @fx_moneyindustry huko ndiyo hutoa majibu kuhusiana na semina anazofanya
Naomba niunge watsap kwa no 0673895754
It's very nice brother , to share this with us.....
Please can I get your contacts
M nafanya fx ira nabadirisha Cash Kwa cash si unifundishe na hiyo
Mim naitaji mafunzo hayo online kutoka kwako
fanya acha domo domo mingi. kwanza ata chart zako haziko sawa..tapeli burukenge
SMARTrader tapeli kakutapeli nini haya maisha bhn hizo ndo fitna na roho mbaya mwisho wa siku Mungu hawezi kukufanikisha katika jambo lolote lile Coz hupendi kujifunza ila chuki ndo umetanguliza haya maisha bhn watu siku zote kuna watu wa aina mbili wale walio tayari kupambana na umasikini na wale wanaopambana na wale wanaoupambania umasikini badilika roho mbaya ikizidi matokeo ni UCHAWI na USHIRIKINA tu.
beautiful work, nimeipenda
Vip kuhusu Training sasa brothe?
kwa trader hutumii nguvu nyingi kuelewa kuwa jamaa ni mznguaj😂
Duhh
😂😂😂😂😂😂
Naomba namba yako plz niko na plan ya hii forex tafadhal kaka nisaidie baadh ya mambo
Ukihitaji details zozote nitafute.
Sauti ndogo san
Samahan bro naomba namba yako kwa maelezo zaidi
Jamaa sasa ivi kapoteza pesa zote sasa ivi anatafutwa forex sio mchezo wa kuugusa kabisaa
Namba yako mheshimiwa
ALL THE BEST
nimeipenda sasa tupe namba yako kwa elimu zaid wote tutoke kimaisha
Unapatikanaje kaka
Mnapatikana wapi kaka
Kila mtu anataka kuwa mwalimu Wa trading inaonekana kufundisha kuna pesa kuliko ku trade,kwanini kama nyie ni good trader sisi wene pesa tuka investment kwenu nyie ili mtulipe kila week hizo faida,
Forex ni probability Bness yene higher risk ndio mana nanyi pia mu nataka kuvuna pesa kwa wanafunzi kubtrade amuwezi acheni kudanganya watu.
Umenena mr...wauliz wao wamesomea wapi HII kitu..na trader kibao waloanza kupitia hawa jamaa wameloose mbaka nawahurumia
Mawasiliano
Kwaiyo hii Biashara mpaka uwe na laptop au computer, nataman nifanye but Sina wa kunielekeza Na lugha ya wenzetu sometime inazingua,
Kuna mtu niliwahi kusoma kitabu chake mwaka jana mwanzoni ni mtanzania hapahapa alijaribu kutoa vitabu vilivyoichambua forex kwa lugha ya kiswahili unaweza kumtafuta hopefully kitakupa mwanga zaidi mawasiliano aliyoyaweka kwenye kitabu chake ni watsap 0625934471.
@@hydrazineazine8764 shukran
Jitahidi lugha uijue lasivyo biashara itakuwa ngumu dada na pia watakupa notes za kiswahili ndiyo but hutakiwi kupokea mawazo ya sehemu moja inabidi uchambue chambue sasa lugha ikiwa shida inakuwa mtihani.
Interested
Nataka training. I'm from Kenya. Namba yako ya simu?
Training kenya iko
@@johnrigha3348 niwada awongo
Sere
Ukumoni kwaichi agha malagho gha Forex? Jingi kwatimie?
@@KingKong-yf2oj sasa nakuzera kilambo nisechiichi loli?
Naomba namba ako ya simu
Jamaa pole nasikia umeunguza account za watu
Daud Sango acha utan mwanangu
Kaka forex imeifatulia kidgo but nijue zaidi Kam autojal naomba msaada wako niweze kuingia
naomba namba
Naomba nambazako kaka yangu
Ulipoteza vipi milioni 3 ndani ya 6hrs.
Number plz.
iko powa sana. tusaidie mawasiliano ili kutujuza xana
Vicent Baichak
about forex nichek
Whatsapp 0719202024
kaka wher to start???
ok ukipata unstoaje izo pesa
swali zuri
Darasa lenu lipo wapi na kujiunga bei gani?
Biashara ya forex vipi kuhusu lugha za nchi mbalimbali au unafanyafanyaje? Je unaposema unaanza na elfu kumi unaanzaje? Toa elimu zaidi.
naomba namba ako kaka angu ili tuweze kuwasiliana zaidi
Kaka habari yako, nafahamu hii video umepost mda sana, naomba nisaidie ni bank gani unayotumia kudeposit na kuwithdraw? Au unatumia bank za kitanzania au zp??
alisema barcalays tz
Ahsante @kilaza jr.
au zinaingiaje kwa account yako ya bank au yoyote
Mwanangu ujatoa namba sijui kwanini
Is the business age limited to youngsters only?
18+ yrs
Kiukweli hii biashara siwezi kuiacha ... Forex itakubadilisha maisha yako.
ulisomea couse gan
haijui muongo tu
Mil 75 miezi 7😦😦😦😦😦
Mil 75 miez 7, shida za hizi mambo watu hawawagi wa kwel yan
kaka naweza pata mawasiliano yako?????? mana nimependa sana hii trade..but napata shida sana kuielewa..
Nitoe namba yako bro. Nina pesa lakini sijui ku tredi
Weka yako
Saf ndg yng pambana
mbana hajaweka namba ya sim
Weka namba tukutafute elim bado ndogo
MNA2CHANGANYA SASA
Kwo bro samahan inajisali vp kwenye company ya forex maana
Ndugu nimekuelewa kiasi chake ila
ungetupa mawasiliano yako ingependeza zaidi.
Huyu jamaa, anatafutwa, kuna raia wamepigwa...
ELIAH MWINGWA
Wajinga ndo waliwao
Nawezaje kuwekeza fedha yangu?
Ndugu kastory tunashauri kujifunza hii fursa ukawa unafanya mwenyewe itakuwa vyema zaidi. Kuwekeza fedha kumekuwana changamoto kwa baadhi ya watu. Kama unawekeza hakikisha mtu unaewekeza kwake unamuamini na unaukaribu nae.
Habar
Unafanya vipi ss
mawasiliano kaka angalau tutafutane na tuweze kuelekezana zaidi juu ya hiyo biashara
mawasiliano ya nini mwizi huyo shauri yako
Tunampataje....???? Kwenye mitandao Ya kijamiii...??? Hasa Instagram
@fx_moneyindustry
Instagram Francisco_Magnetics
sio lahis nduguzangu mtapoteza kilakitu
kama mnaona mnakutana na changamoto kubwa kwenye hii business tuko tayari kuwasaidia mimi ni trader pia na ninaitegemea hii business kuliko ajira yangu ya serikalini nikikuelekeza namna ya kufanya ukazingatia lazima utengeneze hela 0752876826
@@thomasphilipo2009 tunakupataje