Forex tamu sana... Niwashukuru Godfather's of Forex TZ kutuexpose vizuri na hii industry @sir_Jeff @Clintz_Travellah @Elkana_fx. Japo bado tunasuasua but after years am sure Big boys/Sharks watashangaa kwanini pesa mingi inaenda Tanzania😅Vijana wa serikali ya awamu ya tano 😅iyo background music yenyewe... Cant wait for the next...
Nahitaji forex coach Kama Wewe. You are so determined, transparent, self-motivated and willing to disseminate your knowledge to others. Nakupataje mkuu?
Motivational speakers Wa Bongo huwa wanaassume kila kitu kiko straight hakuna changamoto kitu ambacho siyo kweli, wakubwa fanyeni business hakuna kitu rahisi hiivyo, jamaa hata hii anayofanya anatumia flip chart, camera na You Tube Chanel zote hizo ni gharama, hakuna mtelezo, unaeza kukuta hata jamaa hafanyi yote hayo, msihadaike na lugha za kigeni mara Forex, Mara stock hivyo vyote ukivibadilisha katika kiswahili mambo ni yale yale... Tafteni pesa, no thing easy
Jeff is unasoma hizi comments? Pls andaa darasa la beginners for few days. Hizi tunaziona you tube always but we are not able to enter the market. Think about it. Naona wapo wahitaji humu nawasoma
Bro sidhani kama Jeff anaeza soma ila sikwambii kwaubaya m mwenyewe nimwanafunz wake ila msg yawhatsap Leo sku yatatu. Labda uwe unamfatilia kwenye page yake Instagram kama atapost tena maana juzi kamaliza training ilivoanza j3 namm nilihudhuria
Big up Bro Jeff...ila unazungumzia sana kuhusu kupata.......nahivyo unaweka ushawishi mkubwa wa watu kudhani swala la kutrade na kupata ......kuwa more transparent.....hii Forx trading ni sawa na betting au kamali yoyote zinavyochezwa......Risk ni kubwa lakini na faida pia nikubwa ukipata halikadhalika hasara nayo nikubwa ukikosa.......waeleweshe viajana wenzako wasije wajue yote ili waamue kunyoa /kusuka....hata palle lasvegar dar upanga unaweza cheza hizo na ukakopa kudabo pesa yako halafu ukapata pesa kubwa na kurudisha......USHAURI WANGU TU>>>Kama unamtaji wa kuazima au mdogo uliobaki dont risk kufanya hii Foex trading fanya kitu kingine kwanza halafu mega kidogo ujaribu na hii ya FD......ili ukipigwa ucife kifo cha mende....
Bro imekaa poa sana! Nko nahitaji kujua zaidi about fx na naamini siko peke yangu so,ningeomba uone utaratibu ambao utaweza kutusaidia bro tunataman sana nasi siku moja tuwe watu wa kutoa ushuhuhuda abt fx confidently kama wewe🙏🙏
Binafsi bado nasubiria kwa hamu sana ahadi yako ya kutufundisha namna ya kuanza biashara ya FOREX nimeandaa capital kila siku na chungulia RUclips Please Jeff tunyooshee roho tuanze Ku Trade pia
Usianze na ku trade real kwanza ndani ya mwezi mmoja wa kwanza ukisha ona umeanza kuelewa anza kuweka pesa kidgo kidgo hakikisha unapata faida faida katika kiasi kile ulicho kiweka ndio uje u invest ukiweka mtaji mkubwa utakuja kuumia sana cha msingi bro anza kuweka pesa kidgo kidgo usianze kuweka pesa nyingi kwa mara yako ya kwanza mana mwanzoni lazima upate loss kwasababu kuna vitu unakua huvijui
Ili mtu ajue forex na awe na adabu anatakiwa ajifunze kwene real account kwa micro lot 0.01 hii itamfundisha emotional na kuku push kutafuta Elimina sahihi baada ya hasara
Sir jeff si bora ungeanza topic one ya forex hadi topic ya mwisho. Na utupe softcopy books maana bro tumeshagundua forex ni bomba ila hatuwez kuifanya hatuna mtu wa kutuongoza . So ni bora tumalize forex kabisa bro kisha uende mada nyingine . Tujaze material za kutosha bro kuhusu iyo forex
Sirjeff nimekupata hapo kwenye leverage swali langu n hili inakuaje sasa mpaka mtu anachoma acc ikiwa ame deposit 100usd kwa leverage ya 1:300 ambayo n 30000usd?
Nawashangaa sana,ukweli ni kwamba jamaa anaeleza yake maana yy ameshafanikiwa,kasoma mjauu awez toa anavyotrade kamwe,ndo tatizo ya walioendelea awez kukwambia anavyopata profit,tunamwona mjanja
Si rahisi kama unavyosema, levarage hiyo uliyoigusia hapo ni upaga wenye ncha mbili, inakupa fursa ya kupata faida maradufu, na pia incase of a loss, inakuwa maradufu vile vile waeleze watazamaji uwezekano wakupoteza pesa zote na hiyo levarage upo.
Uelewek brother naona umefungua kupiga pesa tuuu maana kila siku unafundisha kipya umalizi. Ingia kwa walim wanaofundisha elimu ya ujasiriamali ujifunze
Naogelea kwenye pips za blue af napata notification Jeff kapost darasa huko RUclips.. basi siku yangu inaenda vizuri zaidi. Be blessed Mr Shark 🦈
Nomaaa sanaaa wa kwanza ku watch great content from great mentor and best personel ever in tanzaniaaaa go virall bro much respect ma boy
Forex tamu sana... Niwashukuru Godfather's of Forex TZ kutuexpose vizuri na hii industry @sir_Jeff @Clintz_Travellah @Elkana_fx. Japo bado tunasuasua but after years am sure Big boys/Sharks watashangaa kwanini pesa mingi inaenda Tanzania😅Vijana wa serikali ya awamu ya tano 😅iyo background music yenyewe... Cant wait for the next...
Hi mkuu mini nikijana nataka nijikwamue Naomba msaada wake up
Kaka nakuomba
Ahhahha kaka me najifunza kwa nguvu sana hii kitu
I love what you are doing Sir.! God bless you..
You're the best in Tanzania I have dream to be like you. I have dream to be successful trader in Zanzibar
Vipi ushakua tayari successful miaka minne hio
Nahitaji forex coach Kama Wewe. You are so determined, transparent, self-motivated and willing to disseminate your knowledge to others. Nakupataje mkuu?
Forex najiiunga. Vp
@@lidasimbababalaoislam2679 naweza kukupa muongozo
nicheki 0674445190 ester john
😂😂akireply nishtue
@@esterjohn3403 hello habar
Sirrjef you're the best nataman kupata angalau siku moja kuzungumza nawewe
Nice video, I love forex and I made tons of money too Iakini tukumbushane kidogo forex is very high risk business so be careful
I've always liked your extraordinary contents. Salute bro.
Nakukubali brother Sirjeff I am from Udsm, pamoja sana
Big up bro 👍👍
Kuwa na kijana kama ww katika taifa letu,, is the blessing brother
Kijana upo vizuri, umeni inspire. Everything is possible under the sun
Am so excited to be among your student bro.....Mungu akubariki sana 🔥🔥🔥
Ningetaka kuwa student pia,nitafanyaje
@@hackersforex Mi Najua bro Sihitaji vitu vingine
@@bonifacemutisya3272 nipigie 0746117909 nikueleweshe kitu kinagaubaga bro
You're the best mentor
Sirjeff ubarikiwe Sana mkuu kwa madini mazito...📈📉💰✍️🌍
Brother nashukuru sana, umenifanya nipate motivation zaidi ya kujifunza forex
Be blessed brw,ungefungua darasa ingekaa poa sn, km lipo toa maelekezo na moungozo kwa watakaohitaji plz
Yes nakupata kk kama kubeti tu
Skills ya kununua bando umenichekesha sana broo
hi from dubai..like your content...would you mind introducing weekly chart analysis...ningependa kuona unavyotrade
Kaka nakukubali sana mungu akuzidishie hekima mara dufu
Motivational speakers Wa Bongo huwa wanaassume kila kitu kiko straight hakuna changamoto kitu ambacho siyo kweli, wakubwa fanyeni business hakuna kitu rahisi hiivyo, jamaa hata hii anayofanya anatumia flip chart, camera na You Tube Chanel zote hizo ni gharama, hakuna mtelezo, unaeza kukuta hata jamaa hafanyi yote hayo, msihadaike na lugha za kigeni mara Forex, Mara stock hivyo vyote ukivibadilisha katika kiswahili mambo ni yale yale... Tafteni pesa, no thing easy
Mindset huwa ni kitu Cha Kuzingatia sana unaweza kumuona huyo jamaaa anachosema hakina maana lakini kuja kuzinduka unakuta uko mbali kwa kumubeza
Thank you so much bro
Upo vinzuri mungu akulinde maadui
very good teacher
Nice presentation 👏
Nice Bro. Am motivated through yuh
Brother unaachia vitu Nondo sana. Big up to you. Naisubiri kwa ham sana video ya uchambuzi wa brokers. Kip it comming bro!!
Jeff is unasoma hizi comments? Pls andaa darasa la beginners for few days. Hizi tunaziona you tube always but we are not able to enter the market. Think about it. Naona wapo wahitaji humu nawasoma
Kweli
Kwel kabisa
Bro sidhani kama Jeff anaeza soma ila sikwambii kwaubaya m mwenyewe nimwanafunz wake ila msg yawhatsap Leo sku yatatu. Labda uwe unamfatilia kwenye page yake Instagram kama atapost tena maana juzi kamaliza training ilivoanza j3 namm nilihudhuria
@@meddy_upette9511 tuwasiliane mkuu 255768407977
Asante kwa icho kitu bro ila bado tunaitaj tujifunze tuwe kama ww au Zaid yako
Nifundishe vizuri
Kaka Je! na hii volatility index ni nzuri kutrade.
kaka wewe ni zaidi ya genius nakukubali sana yani
Great explanation,nakupataje mwanangu?
I love this guy wallah
Moto Uendeleeee Kaka Coz Kimya Kwa Mda Hadi Sasa
Nice lesson Sir
Yesss sir nipo mkao was kula ili tuchimbe elimu
I love so much forex trading. Napenda Sana videos zako. Kwasasa naweza ku trade without stress
Big up Bro Jeff...ila unazungumzia sana kuhusu kupata.......nahivyo unaweka ushawishi mkubwa wa watu kudhani swala la kutrade na kupata ......kuwa more transparent.....hii Forx trading ni sawa na betting au kamali yoyote zinavyochezwa......Risk ni kubwa lakini na faida pia nikubwa ukipata halikadhalika hasara nayo nikubwa ukikosa.......waeleweshe viajana wenzako wasije wajue yote ili waamue kunyoa /kusuka....hata palle lasvegar dar upanga unaweza cheza hizo na ukakopa kudabo pesa yako halafu ukapata pesa kubwa na kurudisha......USHAURI WANGU TU>>>Kama unamtaji wa kuazima au mdogo uliobaki dont risk kufanya hii Foex trading fanya kitu kingine kwanza halafu mega kidogo ujaribu na hii ya FD......ili ukipigwa ucife kifo cha mende....
@@CM-sf8lb forex sio kubeti na wala haifanani na kubeti kwa sababu ukibeti unapoteza kila kitu tofauti na forex
Tuko pamoja kila wakati, #tunaendelea kujifunza
bro you are nice aisee nakubali kazi zako
daah nakubali sana kaka angu issa kutoka bukoba natamani sana kunifunza kuusu forex
Bro imekaa poa sana! Nko nahitaji kujua zaidi about fx na naamini siko peke yangu so,ningeomba uone utaratibu ambao utaweza kutusaidia bro tunataman sana nasi siku moja tuwe watu wa kutoa ushuhuhuda abt fx confidently kama wewe🙏🙏
Your good brother
Binafsi bado nasubiria kwa hamu sana ahadi yako ya kutufundisha namna ya kuanza biashara ya FOREX nimeandaa capital kila siku na chungulia RUclips Please Jeff tunyooshee roho tuanze Ku Trade pia
Usianze na ku trade real kwanza ndani ya mwezi mmoja wa kwanza ukisha ona umeanza kuelewa anza kuweka pesa kidgo kidgo hakikisha unapata faida faida katika kiasi kile ulicho kiweka ndio uje u invest ukiweka mtaji mkubwa utakuja kuumia sana cha msingi bro anza kuweka pesa kidgo kidgo usianze kuweka pesa nyingi kwa mara yako ya kwanza mana mwanzoni lazima upate loss kwasababu kuna vitu unakua huvijui
Ili mtu ajue forex na awe na adabu anatakiwa ajifunze kwene real account kwa micro lot 0.01 hii itamfundisha emotional na kuku push kutafuta Elimina sahihi baada ya hasara
@@kwisa4899Hahhaha fx sio biashara ya kuvamia lazima ujifunze kwa utulivu
Tupe kaka vitu konki😂😂🔥🔥imekaa poa Sana
Upo vzr sn mzee
Wow👏👏👏👏👏
Good unatisha kiongozi
Brain food thanks Man
Hongera sana bro
#Shukrani kwa kutuelimisha
Nakukubali sana bro
Thank you so much Jeff
Can't wait for the next video, bless up
Samahani unaweza ukanifundisha namba yakutumua traderdan
Broo nimefatilia video zako almost zote,,i've deducted you got high iq and almost genius.Salute you broo
God bless you bro hapo kwenye kuwafundisha wanao nme papenda san
Thank you
Sir jeff si bora ungeanza topic one ya forex hadi topic ya mwisho. Na utupe softcopy books maana bro tumeshagundua forex ni bomba ila hatuwez kuifanya hatuna mtu wa kutuongoza . So ni bora tumalize forex kabisa bro kisha uende mada nyingine . Tujaze material za kutosha bro kuhusu iyo forex
great bro.. natamani kukutana na wewe once,,,
JAH BLESSING YOU BROTHER.
Samahn kaka mm nmeanz hii meta trade lkn sjui naanzaj kubuy na kusell na kupta hyo hela
Sir GOD bless You
Ila wewe kaka unavutia unavyo toa elimu mchangamfu sana😂😂😂😂
Oi sir jeff tifanyie mwelekezo jins ya kujifunza ayo mambo maana bado sielew nahis wengi tumejaribu ila hatuelew profit ipoje wala loss
0746117909 nikupe ushauri ntakueleza vtu vyamsing ili viweze kukusaidia kama mbeleni utapenda kuwa trader....Free sihitaji chochote
i love it my self tooo,
Nc bro get u well
Imekaa poa sana...
am so excited...brooo
Naomba mawasiliano yako Boss
Hii no kweli laki kuwa million
You r doing a great job bruh...but can you teach how to enter into a market and buy or sell
jombaa. nakupataje ili na mm nije kujifunza kijana mwenzio
Hili somo ni somo pana saana wachache ndo wataelewa mie najitahidi kufatilia saana hapa cjaelewa
Hello kaka
Naitwa said mhangwa
Natokea morogoro
Kiukweli naitaji msaada maana
Nimepoteza sana pesa mpaka sasa
Bro SirJeff kamaliza mentorship jana ilikuwa ni lakimoja tu
@@meddy_upette9511 aise huwa anafanya tu dar bro @menipo Arusha naomba akiwa na plan ya huku unichek boss
Hii kitu ilipostiwa around 2yrs ago. Vp kwa sasa as we speak 2023 ikoje, any update please
Asante sana Kaka lakini kitu Kimoja iwant to do this business but idont know how I start au natakiwa kudownload nini nifanyeje pls?
Forex ni biashara nzuri Ila nyuma yake Kuna brokers, wanaliza watu
Sirjeff nimekupata hapo kwenye leverage swali langu n hili inakuaje sasa mpaka mtu anachoma acc ikiwa ame deposit 100usd kwa leverage ya 1:300 ambayo n 30000usd?
Nawashangaa sana,ukweli ni kwamba jamaa anaeleza yake maana yy ameshafanikiwa,kasoma mjauu awez toa anavyotrade kamwe,ndo tatizo ya walioendelea awez kukwambia anavyopata profit,tunamwona mjanja
am interested...
ILIVONGUMU FOREX KAMA HUNA UTAYARI WA UHAKIKA TAMAA ATAKUNYEMEREA LKN NI TAMU UKISHAIFAHAMU
Fx is not for a weaker person need strong 💪 people
Nakuelewa sana bro!
Bro asante Sana kwa elimu ambayo unatupatia kila siku.....naomba uweze kuwazungumzia "brokers" ni wapi wazuri na ambao hawafai
How do you deal with taxes. ? How do you claim and pay taxes in Tanzania for trading Forex and other financial market? Thanks.
Nakupataje ili unifundishe nipo dar
Si rahisi kama unavyosema, levarage hiyo uliyoigusia hapo ni upaga wenye ncha mbili, inakupa fursa ya kupata faida maradufu, na pia incase of a loss, inakuwa maradufu vile vile waeleze watazamaji uwezekano wakupoteza pesa zote na hiyo levarage upo.
Bro mimi naisubiri sana hyo video kuhusu ma brokers natamani kujua ni broker gan mzur ambae hana limitation nyingi
Ivi uyu Dennis alienda wapi adi siku izi hana video mpyaa
Jeff kama jeff ani we jamaa ujui tu venyewee unathaman kubwa kwa vijana kwa content zako
Uelewek brother naona umefungua kupiga pesa tuuu maana kila siku unafundisha kipya umalizi. Ingia kwa walim wanaofundisha elimu ya ujasiriamali ujifunze
Asante kwa Video nzuri inayotupa maarifa,Je nawezaje kuanza ku trade ikiwa sijawahi kufanya trading
Uko powa xan bro.....
Brother .... good content....
But can you manage my forex account .
We need class sir jeff
Ulianza na mtaji wa shilingi ngapi????
imekaa .poa sana imekaa vizuri sanaa
Perfect
Very lucky
Nice