Sekta isiyo rasmi ni nini? Kwahiyo Jeff hawezi sema MENTOR vizuri 😂😂ha-ha basi sawa Types of mentors - social M - spiritual M - health M - financial M - career M - YOU REASONS 1. Ashafanya, unachotaka fanya 2. Unakupa connections 3. Anaona we usipoona (5, 6 steps ahead) 4. She will keep you responsible 5. She will advice you on things you rarely speak about 6. Helps you shape your selections wisely 7. She understands the struggle 8. She helps you, not to give 🆙 9. She will share with you secrets that are rarely spoken in public. [Lobbying, dealing with Taxes, manipulation of systems…etc] Tafuta Mentor asiye na njaa 😂True. Steps of getting a mentor 1. Know thyself (Who you are, where do you want to go..) 2. find one who has reached your goals... Not a person how is still trying to reach there 3. Understand the personality of your mentor. SWOT analyse her 4. Prove yourself, by adding value to the person ---------------------------------------- *If you loved this review, kindly recommend to me. Another youtuber you enjoy his/her content.* Asante ---------------------------------------
Maneno mengi hayana maana,ukiamua kujitolea jitolee siyo maneno wakat hatujawahi kuona unavyotrade hata siku moja,nakusikiliza wee uwez unao lakin una roho ya korosho
Sio kweli hana roho ya korosho ila kuna watu ukiwasaidia hawakumbuki wema wako walau japo kwa kukuheshim Sir Jeff alikuwa hanatabia ya korosho ila wanadam wamemfanya awe hivyo alivyo
kaka wengine unaweza ukawafata akakufundisha na unaamini ataweza kukufikisha mahali hasa katka maalifa,ukimfata Kuna wakikutazama ulivo bac utajikuta unazungushwa na kukufanya ujitambue kabisa hapa umekosa pa kwenda ,,,napenda Sana mentor ila wap naanzia hawakuamini kwa hali yako ila naamini wenye kitu Cha thamani mala nyingi mwanzoni kinaonekana hakina thamani
Ungetusaidia sana ..angalau ungeanzisha classes za forex ..wengine huku tunatapeliwa ..tukitatuta forex classes ... Unazungumziaga forex kaka tunatamani ata tujue kuifanya iyo biashara ....ungetukomboa watu tunaokuamini ..nasi tuingize kipato kwa forex kaka 😫😫😫😫
Vitu viuri sana hivi Sir Jeff tafadhali nakuomba msaada mawasiliano yako nafahamu ni ngumu ila nina imani sitakata tamaa kukutafuta na naamini kupitia wewe vijana wengi tutakuwa mamilonea nipo na kitu kizuri ambacho naamini kama utakisikia utajua unisaidie nianzie tafadhali nafahamu upo bze sana namba zangu 0758 242 692
Kaka tunalipishwa garama za ajabu kaka kujifunza forex .tangu ulivotushawishi kuusu forex ..mimi ni mfano ..nimejaribu kujifunza sana kaka ...japo natamani nijifunze kutoka kwako ..angalao ungetoa video class za forex ungekomboa a big number ya watu ambao hatuna kazi kaka ...
Hakuna mwalim ambaye atakupa elimu ya forex ukawa unaingiza profite dayly,,, bt watakua wanakupa muongozooo jinsi ya kupita ili uwe profitable ila soko haliendeshwi na mwalimu aliyekufundisha forex, so wakati ulipata hint ya forex waitaji kujifunza wewe kama wewe, wakati umeshapata little knowladge, pambana, hata MR JEFF Anapokuja kutoa darasa kama hautajituma wewe kuona soko daily hautaweza fanya chochote,
RUclips ni mentor mzuri
Dah! Brother nime kuelewa sana natamani ungelikua karibu unge nifundisha mengi
What a powerful inspiration 🙌🏽🦾
JEFF! Today I don't wants to say anything your awesome JEFF! Thanks! God blessing you forever in your life bro!
Sir Jeff ur my mentor enough!!!!🙏🙏🙏
Real,ni ujumbe mzuri sana nitafanyia kazi .
God bless you bro,ahsante kwa maarifa yako
Uko vzr Sir Jeff
Thank you very much bro
Tunakushukuru sana bro umetoa elimu.kubwa sn wengin tulikuwa hatujui thank you so much
Thanks...be blessed
Amaizing God bless you kakak
Jeff hebu tufundishe project yako ya Kuku! Maana ndiyo ilikunyanyua mpaka ukaingia Forex.
Hivii ni kwl
Kazi nzuri Sana champion.... Unafanya mambo makubwa Sana kutusaidia.... Sisi....
🥳🥳🥳🔥🔥🔥lecture nzur
Good asnte sir jeff
The clip that total changed my life.....
Number one to view 😁😁
Tuishi humu
Bro una naturally skills....🤝💪
Nice videos always bro
Nazidi kujifunza Mambo mengi Sana kutoka kwaki Mungu azidi kukubariki Sana.
Great💯
Makin xna brooo!!🤝🤝🤝🤝
Great bro🤝 thanks
kaka natamani kujifunza forex sijui nawezaje kufika katika chuo chako?
Napenda video zako ziko powa
Katika masomo yakk yote hili somo la leo nimekuelewa sana coz umetoa kitu cha tofauti kidogo.
Nmekuelewa Sana Kaka✊✊
Very good sirjeff
Nakukubari sana bro sj
Daah bro unaongea ukwel always
Asante kwa mafunzo bro
Sekta isiyo rasmi ni nini?
Kwahiyo Jeff hawezi sema MENTOR vizuri 😂😂ha-ha basi sawa
Types of mentors
- social M
- spiritual M
- health M
- financial M
- career M
- YOU
REASONS
1. Ashafanya, unachotaka fanya
2. Unakupa connections
3. Anaona we usipoona (5, 6 steps ahead)
4. She will keep you responsible
5. She will advice you on things you rarely speak about
6. Helps you shape your selections wisely
7. She understands the struggle
8. She helps you, not to give 🆙
9. She will share with you secrets that are rarely spoken in public.
[Lobbying, dealing with Taxes, manipulation of systems…etc]
Tafuta Mentor asiye na njaa 😂True.
Steps of getting a mentor
1. Know thyself
(Who you are, where do you want to go..)
2. find one who has reached your goals... Not a person how is still trying to reach there
3. Understand the personality of your mentor. SWOT analyse her
4. Prove yourself, by adding value to the person
----------------------------------------
*If you loved this review, kindly recommend to me. Another youtuber you enjoy his/her content.*
Asante
---------------------------------------
Thanks 👍 mentor I need to join in your group
Imekaa Poa Sana Imekaa Vizuri Sana
Fataki,...p Boss!!!!!
Maneno mengi hayana maana,ukiamua kujitolea jitolee siyo maneno wakat hatujawahi kuona unavyotrade hata siku moja,nakusikiliza wee uwez unao lakin una roho ya korosho
Sio kweli hana roho ya korosho ila kuna watu ukiwasaidia hawakumbuki wema wako walau japo kwa kukuheshim Sir Jeff alikuwa hanatabia ya korosho ila wanadam wamemfanya awe hivyo alivyo
🔥🔥 madini
Bilionea under construction
Nilijua tu unachokitaka sir jeff nilikuwa naisubiria hii video........na sasa ume reveal unachokitaka😀😀😀
wa kwanza tena
Kama kuna mtu anamtukana jeff basi aende akapime akilii yakee alafu ndo ajuee anachokisemaa.... Jeff kaz iendeleee tunakusikiliza
Bro una weza kuni Add kwa group yko plz thanks for you advice
Where to get mentor especially in business #SirJeff Dennis
Winga nyalanga atakufaa
Keep it up
Iko poa sana @sirjeff denis
kaka wengine unaweza ukawafata akakufundisha na unaamini ataweza kukufikisha mahali hasa katka maalifa,ukimfata Kuna wakikutazama ulivo bac utajikuta unazungushwa na kukufanya ujitambue kabisa hapa umekosa pa kwenda ,,,napenda Sana mentor ila wap naanzia hawakuamini kwa hali yako ila naamini wenye kitu Cha thamani mala nyingi mwanzoni kinaonekana hakina thamani
Jibu Dm ...kaka tunakuaomba utufundishe forex ,,,step by step
Sheikh juzi alikua na darasa la forex la week nzima na katangaza IG
Imeanza Lin mbna sis tunafatilia hatuna taarifa
Mfollow instagram ndo kuna more information
Naomba appointment na ww brother.....
mentor wangu from now
JE MOJA YA HIZO BIASHARA ULIZOTAJA FOREX INAHUSIKA
Jeff katika biashara yako ya fx naitaj kutambuw ni broker gan unamtumia?
Globlex360
Ungetusaidia sana ..angalau ungeanzisha classes za forex ..wengine huku tunatapeliwa ..tukitatuta forex classes ... Unazungumziaga forex kaka tunatamani ata tujue kuifanya iyo biashara ....ungetukomboa watu tunaokuamini ..nasi tuingize kipato kwa forex kaka 😫😫😫😫
Kweli kbs lengo langu pia
Jamii Forum Umewakimbia brooo
Vizur sana
Iko poa sana
Ninakupataje bro nina kiu ya kufanikiwa sana
Imekaa poa san
Ntatafuta namna ili uwe mentor wangu kwenye biashara
Shida mbona hajibu sms zinazomtumiwa?
Naona Nuru mbele.
Kaka uwe unajibu DM
😫😫😫
aisee nilikuw na mentor mpk nilimkimbia kila kitu ananiomb ela mi mwenyew ndo nimeanz hustle sin kitu
Na wew ulikwama wapi unakuwaje na mentor ambaye hana hela anakushauri nini
Huyo siyo mentor
Duh yani bro umegusia sehemu muhimu hila tunaomba utupe pindi la Forex ambao ndo tunaanza
Hope this is full video
Nimekubari in kweri hat mm nimeshuka kwasabu iyo
@@shafiibakiri2318 ✊✊✊
bro upo makini san na speech zako
Kaka no yako tafadhari!!!!
Nani ako na number ya huyu jamaa.. Maana nshamuandikia Mara nyingi hapa wala huwa hajibu..
Hata nikaweka email yangu but no response😔
Mm
@@zainabjaffar515 alphaken71@gmail.com
Nifahamishe Zainab..
@@zainabjaffar515 mbona Kanienjoy pia wewe 🤔 hivi Sawa kweli.. 🤔
Jameni nik Burundi ila huyu jama ananisadiyak saana kweny biashara ya forex
Imekaa poa Sana Kaka... Push it up... Naomba upload video za financial kila siku kaka
Asante
Facts
Tunatamani uwe mentor wetu kwenye FOREX
Vitu viuri sana hivi Sir Jeff tafadhali nakuomba msaada mawasiliano yako nafahamu ni ngumu ila nina imani sitakata tamaa kukutafuta na naamini kupitia wewe vijana wengi tutakuwa mamilonea nipo na kitu kizuri ambacho naamini kama utakisikia utajua unisaidie nianzie tafadhali nafahamu upo bze sana namba zangu 0758 242 692
Kaka tunalipishwa garama za ajabu kaka kujifunza forex .tangu ulivotushawishi kuusu forex ..mimi ni mfano ..nimejaribu kujifunza sana kaka ...japo natamani nijifunze kutoka kwako ..angalao ungetoa video class za forex ungekomboa a big number ya watu ambao hatuna kazi kaka ...
Hakuna mwalim ambaye atakupa elimu ya forex ukawa unaingiza profite dayly,,, bt watakua wanakupa muongozooo jinsi ya kupita ili uwe profitable ila soko haliendeshwi na mwalimu aliyekufundisha forex, so wakati ulipata hint ya forex waitaji kujifunza wewe kama wewe, wakati umeshapata little knowladge, pambana, hata MR JEFF Anapokuja kutoa darasa kama hautajituma wewe kuona soko daily hautaweza fanya chochote,
Mbona kama hii video inarudia...??
🤝
Sasa jeff mimi nimtu nae kufatilia sana sana ila natamani kujifunza forex naanzaje ?
Angetufundisha siri za forex ata sisi tuanze ...me nishamfuata dm ila hajibu kabisa sir wetu
Mmmmh
Kitu nimegundua mzee biashara Haina nafac kubwa katika mafanikio yako bali ni FOREx so itakuwa ngumu.
well
💥💥💥💥💥💣💣💣💣
Please be my mentor bro
Kiongozi njema San
Ila class ya forex inaanza lini
@FIVE STAR FOREX AND VOLATILITY TRADING ACADEMY duh
Why you can't speak on air bro?????
📌📌📌
Brother tunajua yakua umeanza kufanya biashara ukiwa 0-level tunaomba utuelezee uliwezaje kumenej masomo na biashara mpaka sasa
uko vizuri sana broo naitaji maarifa kutoka kwako. my gmail.wilsonkabolegwa@gmail.com (0757890352)
Iina TAMKWA MENTA NA SIYO MENTWA!
Cha mcng concept, pronounciation co lazma tufanane .....!!!!!
Linaandikwa mentor sio mentwa 😁🤣😂🏃🏃
Linaandikwa mentor sio mentwa 😁🤣😂🏃🏃
sirjef im so sorry nahitaji uwe mentor wangu 0659 580187 tunaomba msaada wako jaribu hata kujibu text zetu tunahitaji msaada wako
Mentor wako awe winga nyalangs
Sijakuelewa please
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhvvvv0CV. Vv
So without mentor you can't move or successful in business
Strategy nzuri forex trading Kwa kiswahili
Hutachoma tena account
ruclips.net/video/Fx0YUsF9h5c/видео.html