Ushauri Wangu Bora wa Maisha. Utakutoa chozi na kukufundisha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 467

  • @lonsmanempire9627
    @lonsmanempire9627 4 года назад +224

    Kama unamkubali brother Jeff gonga like

    • @lonsmanempire9627
      @lonsmanempire9627 4 года назад +1

      Kweli bro

    • @joycefrank3863
      @joycefrank3863 4 года назад

      Ilovehim jmn perfect

    • @irenejoseph5925
      @irenejoseph5925 3 года назад

      njema sana katika maisha nilazima kujifunza kupitia wengine hata mimi pia nimejifunza kitu kikubwa sana nakuombea Mungu akutunze

    • @sayunianania6183
      @sayunianania6183 2 года назад

      Shukrani kwa mafunzi.

  • @itNeza
    @itNeza 4 года назад +53

    Love from Rwanda 🇷🇼❤
    - Nimejifunza Vingi sana, Sina wazazi ila Nafanya Kila niliwezalo nijikwamue Kimaisha, Na Kupitiya ushauri wako Unanisidiya Sana.

    • @veronicacharles9993
      @veronicacharles9993 4 года назад +2

      Pole sana kwa kutokua na wazazi ..Mafanikio yawe sehemu ya maisha yako

    • @sifamdaki966
      @sifamdaki966 4 года назад

      Wewe ni mimi kbs😭

    • @itNeza
      @itNeza 4 года назад

      @@sifamdaki966 Ohhh Pole

  • @piusvictor8780
    @piusvictor8780 4 года назад +3

    Kaka Jeff,i see a Legacy in you,you are a true sign of hero, brave and legend,most of Tanzanians still they are lazy in thinking but fast in judging.Remember mti wenye matunda ndio upigwa mawe.I like your vision on this programme, unafanya kazi nzuri na kubwa trust me,wanaokuelewa wapo wengi hata kama hawa comment now but watakuja kutoa ushuhuda one day.

  • @muhajbunu2168
    @muhajbunu2168 4 года назад +25

    Bro Dennis umenisaidia na nasaha zako Mungu akuweke

  • @dannyerasto137
    @dannyerasto137 4 года назад +2

    Sikua na mpango wa kucoment but Kuna vitu vimenigusa nakuniamsha upya Nia yangu ya ndani ,Mungu akubariki bro jeff

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 4 года назад +13

    Its real i drop the tears,like the head of the story say!!jeff ur age its differ from the things u says God give u all u want without give up to help others

  • @amanidaudi3203
    @amanidaudi3203 4 года назад +12

    Sir Jeff Dennis sikupi pole katika yanayokukuta ila nakupa hongera. Amini pamoja na hayo yote bado kunamtu umeisha msaidia kupitia video zako. Wengi ya wale wanakutusi ni wale wenye wivu ambao hawataki wezao wafanikiwe au wapate kujua vile ambavyo unafanya wavijue. Ngozi nyeusi kaka hata ikifanikiwa haitaki mwingine afanikiwe sijui kwanini tunampa shetani nafasi kubwa kiasi hicho.
    Kumbuka hata Yesu alikuja kukomboa wanadamu lakini wale alikua akiwakomboa walimtukana, walimtesa na walimuua. Keep it up tupo tunaoguswa na video zako na zimetubadilisha usikate tamaa.
    Amini hiki unachokifanya Mungu kaweka ndaniyako kwaajili ya watu fulani wala nakuombea kwa Mungu azidi kukutia nguvu.

  • @issiket
    @issiket 4 года назад +29

    Jeff! You have touched my heart when you remind me of struggling for my only mom! I love you mom, one day in shaa Allah, you will stop crying

  • @gegasagwares8069
    @gegasagwares8069 4 года назад +2

    Dah!! Brother. Unajua katika maisha tunatofautiana mtazamo kabisa.. ndomana kwenye njia pameandikwa usipite hapa Ila mwingine anapita. Nacho kushauli brother endelea kutupa nondo.... Yesu alikuwa mwema ila alisemwa Sana na kupondwa Sana... Pia nakumbuka uliwai kusema kwenye kila kitu tufanyacho lazima kunakuwa na nguvu nyingine ya ukinzani... Kwaiyo hata hao waone Kama niwakinzani wako so inabidi uongeze nguvu zaidi.

    • @daudidaudi4077
      @daudidaudi4077 4 года назад

      Ni kweli kabisa..! lakin binadam hatuna fadhira kabisa hata kama ukifanyiwa kitu gan.....

    • @kelvinmhema37
      @kelvinmhema37 4 года назад

      uko sahihi sana

  • @fredpetter9457
    @fredpetter9457 4 года назад +1

    bro umenifanya niliee from inside heart kwa machozii mm km mwanaumee ubarikiwe sanaaa kaka Jeff u touched my life broh..

  • @rashy930
    @rashy930 4 года назад +5

    "Always dogs do what do what dogs do" no matter we huna lengo la kumng'ata lakin yey mmbwa anatakiwa kukung'ata sabu anatakiwa afanye ivo, Jeff I real adore u!

  • @LumajiJr-MD
    @LumajiJr-MD 4 года назад +19

    Heshima mlima bro..🙌👊!! Pia sio mama tu kwan bila baba pia tusingekuwepo..tuachane kujiasahau katika hili..wazaz wote wapo sawa kwan madingi wana sacrifice sanaa sema tu mama zetu huonesha mapenz kwa hisia that's why..let us love our parents ( both father and mother)no matter what 🤝

  • @greatman296
    @greatman296 4 года назад +10

    U change my life in Short time,,,, ur the top, the giant Jeff

  • @jacobmoringe234
    @jacobmoringe234 4 года назад +2

    Am get you much brother about what your produce to us daily and daily for learning, thanks God wish you a long life for sure i drop my tears down to this subject from now am remember my mum mostly at the day am complete strand seven she was sold one rooster(jogoo) for me in order to shines as richest guards, thanks blessed

  • @anthonydavid902
    @anthonydavid902 4 года назад +1

    Pole sana kiongozi unajua katika maisha kutukanwa ni jambo lakawaida sana hasa pale unapoonesha mafanikio......

  • @gwamakamassapa3673
    @gwamakamassapa3673 4 года назад +1

    Sijawahi comment anythig RUclips ila leo ndo mara ya kwanza binafsi namkubali sana huyu jamaa, i wish nmekutana nae npate at least an hour ya kuongea nae, he inspires me sana bigup Bro, i hope to be like you oneday🙏🏾

  • @tumainigodfrey1565
    @tumainigodfrey1565 3 года назад +1

    Huwezi kumzia mtu aseme anachokitaka kukisema juu yako.. let them talk ..Never give up brother. To have motivated videos like this ..lololo.. we are blessed bro. Keep going keep doing mzee

  • @younggsontz8381
    @younggsontz8381 4 года назад

    Thanks broo nimepata funzo kubwa sana Mungu akuzidishie

  • @muhammad_alhinai
    @muhammad_alhinai 4 года назад +13

    The video is touching me 😭 This man is really spitting some true facts.. Thank you Sir Jeff

  • @latifahjanja6679
    @latifahjanja6679 4 года назад

    Mungu akusimamie sana ktk ili,sikuzote mwenye roho mbaya afanikiwi na akifanikiwa bs utajili wake hua auna baraka anaekutendea ubaya wakat ulimfanyia mazuri jibu ni mungu mungu anaona na ipo siku atakuomba msamaha kwa ili

  • @suleymanally5761
    @suleymanally5761 4 года назад +4

    In Shaa Allah More Blessings kwa Wamama wetu sote Tujitahid kusimama nao na kuwatizama kwa macho mawili mama zetu jamani Kwani hakika ya mama ndo mafanikio yako hapa Dunia na Akhera tuendapo pia.

  • @ibrahimshauri9467
    @ibrahimshauri9467 4 года назад +2

    Asante Sir Jeff hongera Sana mungu akubariki
    Tufunze ili nasisi tuwafunze wenzetu

  • @daxdenso4
    @daxdenso4 4 года назад +23

    Leo nimekumbuka mbali sana kipindi nipo shule mama angu alikua ana nitumia ela nyingi kuliko mwanafunzi yoyote pale shuleni ila siku moja nilirudi nyumbani bila taarifa na nika kuta alikua ananipa ela yote anayo pata ili mimi nisome alafu yeye analala njaa na niliumia sana

  • @zacctv948
    @zacctv948 4 года назад +10

    You are my role model from now Mr. Dennis

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 Год назад +1

    That is how men are,keep going bro ,I like it🔥🔥🔥

  • @michaelnyangusi7417
    @michaelnyangusi7417 4 года назад

    Don't worry. Keep it up. Anayekutukana hawezi kukupunguzia chochote ispokuwa kama wewe utaruhusu hayo maneno yakuathiri. God is on your side and a bigger blessing is coming your way. Never give up. You are a blessing to many.

  • @abdul-aziznchirrah4598
    @abdul-aziznchirrah4598 2 года назад +2

    #hustler your real giant brother appreciate ❤

  • @spencerking2548
    @spencerking2548 4 года назад +19

    Never ever let a human being get control of your aspiration in life coz we live once to fulfill our life purposes,create and share our own stories and experiences to others in need.Sir Jeff,don't get despaired for the bad other people talk or think about you coz the content you offer is far much worth wile than considering a man's shitty words.please,still need you.

  • @deuscharles7844
    @deuscharles7844 4 года назад

    Nimeteseka sana sana kutokana na umaskin ambao tumish kaka kaka jefu daa naamin ipo sku umaskin utaisha na wazaz utajiskia fulaha sana japo skufanikiwa kwenda shule kwasababu ya maisha yetu nitaman kujua sana kingeleza lakin sikufanikiwa nitaweza kutumia fulusa hii yako kujitete kimaisha na familia yetu nakupenda mungu azid kukuweka tu😂😁😀🙌🙏☝

  • @deuscharles7844
    @deuscharles7844 4 года назад

    Jefu da nakupenda sana kaka yani hua nacheki video zako najarbu kwendana na ww lakin nafel lakn namuomba mungu na mtanguliza mungu nitapambana had nitoke nilipo na kuisaidia familia yangu nitakufatilia ww miaka yote mungu azid kukuweka ipo sku kaka niko pamoja na ww unapokanyaga nami nafata kaka

  • @AhmedSalem-gb1yl
    @AhmedSalem-gb1yl 4 года назад +2

    I watch ur videos once u upload but I hv never comment on any....But on dis video I cnt pass without saying something."Bro u inspire mme alot, u teach me to have self respect, to value those who stand with me in my tough time as well as to increase my effort on what I believe" BRO U ARE MY ROLE MODEL💪💪💪

  • @jumaahmad4117
    @jumaahmad4117 4 года назад +1

    Shukraan Sir Jeff umenifungua Akili ulipo zungumzia mzazi
    Ahsante broo.🙏

  • @rehemashabhay2205
    @rehemashabhay2205 4 года назад

    Kijana Jeff Molla yuko pamoja na wewe.Usikate tamaa kila mti wenye matunda lazima uchuchwe mawe.kumbuka hata manabii walisurubiwa kwa kosa lisilo lso.Endelea usikate tamaa.Hata Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake.big up my son.

  • @ayubumndulu6068
    @ayubumndulu6068 4 года назад +1

    Bro Jeff nakubali sana ushauri wako Mungu akujaalie afya njema siku zote.

  • @protasedward6281
    @protasedward6281 3 года назад

    Doooh! Huwa tunaxahau xan hilo swala makn sana bro salut kwako

  • @kingt6915
    @kingt6915 4 года назад

    Thenks br mungu akuweke

  • @josephmusyoka4493
    @josephmusyoka4493 4 года назад +1

    Mungu akuzaidie mno,from kenya.

  • @naftalimelita2997
    @naftalimelita2997 4 года назад +4

    Asante kaka yangu, vumilia matusi, kwa ajili yangu, na wengine Kama Mimi.

  • @nizigamabosco2095
    @nizigamabosco2095 4 года назад

    Thanks my bos God bless you.

  • @benjaminmarco5698
    @benjaminmarco5698 4 года назад

    Dah pole Sana bro Jerry. Binadam tupo ivyo but USIKATE TAMAA bdo tu nakupenda na tunaihtaj elimu yako. Pull up stand again.

  • @bethodlawrence3055
    @bethodlawrence3055 4 года назад +4

    Umeeeleze kwa hisia kali bro this is real big up kaka

  • @paulonkunga271
    @paulonkunga271 4 года назад

    Kaka jeff ahsante sana Mungu akubarki sana kaka

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад

    Asante bro nimekosa chakusema kwa hilo.moja tu nakuombea Kila lakheri

  • @kelvinchando1064
    @kelvinchando1064 3 года назад +1

    Keep going bro. Never care about who said what, it will always be you and you alone. I real admire the changes you bring to many lives. Thanks for the nice message.

  • @godfreymassoy9277
    @godfreymassoy9277 4 года назад +3

    Bro wewe ni mti wenye matunda, Lazima utarushiwa mawe....Keep it up bro 💪

  • @hamisitwahily2641
    @hamisitwahily2641 4 года назад

    Kiukwel kuna kaul imenigusa sana na pina natumaina itakuwa imewagusa watu wengi, nikwel kuna watu walipata tabu sana kwa ajili yetu na si wengini bali ni mama zetu. Ahsante sana broo

  • @Pips_Lab-v2f
    @Pips_Lab-v2f 4 года назад +12

    siku zote tenda wema nenda zako akifanya jambo tegemea malipo kutoka kwa mwenyez mungu sio kwa wanadamu unaambiwaga kuna watu na viatu.

  • @lilianviliman3695
    @lilianviliman3695 4 года назад

    Pole Sana kaka mungu u pamoja nasi

  • @nizcomorian1650
    @nizcomorian1650 4 года назад +2

    This guy is a gem. I wish I could meet up with him and learn more

  • @shamsiathalith942
    @shamsiathalith942 4 месяца назад

    Dah broh uko sawa kabisa

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Месяц назад

    Watu walio umia snaa Ndio wanajali na Wana huruma sna na wanaweza kukusaidia hata Mawazo shukran sn

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 4 года назад +3

    Inauma sana jeff, mm yalishanikuta makubwa zaidi ya hayo, unampa mtu mtaji wa milioni 100 halafu anaanza kukutangaza umempa hela za mashetani, majini

  • @alexgibbe3640
    @alexgibbe3640 4 года назад

    Nakubali sana brother ... You got the spirit of BROTHERHOOD.. Nice brother

  • @richardmushi5090
    @richardmushi5090 4 года назад +1

    Bro Jeff umenigusa kwa moyo😔hakuna kama mam... Mungu akubariki kwa madini unayotupa🙏🏾

  • @nelsonmasanja2616
    @nelsonmasanja2616 4 года назад +1

    Dah hii video inaumiza sana😿😿😿😿.. much respect kwko bro.. hatuna cha kukulipa ila kwa hizi dua za raia Mungu akuzidishie zaidi na zaidi pale unapo toa..

  • @rithapaschal4228
    @rithapaschal4228 4 года назад

    mti wenye matunda ndio hupigwa mawe na cku zote msema kweli hapendwi fanya kile unachoona ni chema na Mungu atazidi kukubariki
    napenda video zako zinanijenga sana nakuombea kwa Mungu uyashinde yote bro Jeff

  • @emmanuelmeela3065
    @emmanuelmeela3065 4 года назад

    Pole sana kaka, Mungu atakulipa kwa kile unachokifanya, u binadamu kazi

  • @johnngoza4164
    @johnngoza4164 4 года назад +4

    Strong brother✊🏿.. imekaa poa sana.. respected!

  • @3107young
    @3107young 2 года назад

    You are my role model brother ☺️☺️,may Almighty bless you🙏🙏🙏

  • @muhajbunu2168
    @muhajbunu2168 4 года назад +26

    Bro Dennis waswahili hunena tenda wema uende zako usitegemee malipo huo ndio ushauri wangu

    • @shimozeconstruction5017
      @shimozeconstruction5017 4 года назад

      Brian Tracy also anasema,malipo hutayapata kwa uliemsaidia Bali kwa MTU mwingine tofauti na kwa mda tofauti,hatakama hutaki malipo lakn ni unstoppable lazima yaje Tu.coz umeestablish law of attraction (Magnet)

    • @winfridajastine4883
      @winfridajastine4883 4 года назад +1

      Kwel asingoje malipo

  • @socialtv9879
    @socialtv9879 4 года назад

    Nakukubal San bro Ubarikiwe na Mungu

  • @natsach5849
    @natsach5849 4 года назад +1

    sir jeff money its not a source of evil but "love of money" Kumbuka daima changamoto zinakuja si kwaajili ya kutuangusha bali kutuimarisha na kutusogeza kwenye peek of our success. So be caregious strong and aim to finish your vision....

  • @joniajohn4716
    @joniajohn4716 3 года назад

    May God bless you
    Mungu akutie nguvu usonge mbele na maono uliyobeba 🙏🏽

  • @albertseneth704
    @albertseneth704 4 года назад

    Mwenye masikio naamini amesikia haya kutoka kwa Mr Jeff Mungu akupe uzima uzidii kutufungua macho

  • @greatdealsonlineonline6090
    @greatdealsonlineonline6090 4 года назад +1

    Asante kaka Jeff

  • @Adelkahenery-vv9xs
    @Adelkahenery-vv9xs 7 месяцев назад

    Pore sana Jeff mungu ajujarie uvumrivu

  • @bueno1818
    @bueno1818 4 года назад +5

    Keep going bro! Mama is everything that we have to keep and cherish! They sacrifice alot for us to stand!!

  • @ramadhaniibrahimu4626
    @ramadhaniibrahimu4626 4 года назад +8

    Kama unaweza tungeomba ufungue group LA Whatsapp kwa fansi wako wa karibu wa RUclips like me

  • @mfuneabdallah5957
    @mfuneabdallah5957 4 года назад +1

    napenda sana video zako zinanipa nguvu big up

  • @LadyveenOfficial
    @LadyveenOfficial 4 года назад +1

    Be blessed sir jeff. U inspire youth we keep praying on you

  • @truthknowledgetube2113
    @truthknowledgetube2113 4 года назад

    Namkubali sana brother Jeff na nimekuwa nikimfuatilia

  • @daviddonatus8121
    @daviddonatus8121 4 года назад

    Dah,,,,!! Nimeona Leo surA yako kaka umeikunja Yaan sio kawaida yako kabsa hata tabasamu Duh.. Binadamu cc sio kabsa ... Pole sana

  • @johnmtemi1613
    @johnmtemi1613 2 года назад

    kweli upo vizur kuna kitu nimejifunza natamani nikuone live Mungu akubariki sana kijana

  • @mohamedkhatibu1407
    @mohamedkhatibu1407 4 года назад

    Umenigusa sana brother Jeff mungu akubaliki

  • @daudisilomadaudisiloma
    @daudisilomadaudisiloma Год назад

    Thanks so much bro 🙏

  • @dyamwalesaid2176
    @dyamwalesaid2176 4 года назад

    Usichoke bro we n mmoja wa watu wanaonifanya niendelee kupambana Mungu azidi kukupa uhai na maarifa matusi yageuke yawe mibaraka

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 4 года назад

    bro jeff keep it bro yuda mwenyewe alikuwa rafiki wa yesu close kuliko hata huyo mshikaji wako rakn mwisho wa sku alimsaliti sembuse wewe na sio hyo tu shetani mwenyewe alikuwa rafki wa mungu mpaka mungu akampa umalaika mkuu rakini mwsho wa picha akajiona matawi kazingua pambana sir kama mtu mmoja anakuchukia ktk wa tatu hakupunguzii kitu huyo kwanii si mzazi wKO KUSEMA atakuachia laanaa but thenk kwa ujumbee

  • @dp__sales
    @dp__sales 4 года назад

    Broe! We appreciate and we value a lot what you doing. Esp, mimi ni naona kabisa ni kama njia ambayo mwenyezi mungu anaOngea nasi. #So broe. If you will maybe think about to Quit. Just remembering why you started.

  • @ABRAHMANALLY-s4g
    @ABRAHMANALLY-s4g Год назад

    You are so generous Brother 💙

  • @naahnicky4682
    @naahnicky4682 4 года назад +1

    Dah iv kwann hao wapumbavu wanakuoneaga sana jmn 😒😒 Pole sana kaka! Stay strong Mungu akutie nguvu.. 🙏

  • @ghalibsalim3029
    @ghalibsalim3029 4 года назад

    Mungu akubariki bro kaza moyo kande walimwengu hawaishiwi maneno!!

  • @dyleposner2987
    @dyleposner2987 4 года назад

    If there is anyone insulting this man may god curse him/her big up mzee jeff mungu atakulipa kwa mambo yako

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 4 года назад

    Fanya vitu jeff kwa ajili ya kumfurahisha mwenyezi mungu na si binadamu....unaweza ukamfurahisha binadamu alafu na mwenyezi mungu ukamkwaza at the same time uyo uyo mtu akakuchukulia poa tu

  • @letsenjoy631
    @letsenjoy631 4 года назад +2

    Thank you Broo thank you so much

  • @JuliusLaizer-e7f
    @JuliusLaizer-e7f 7 месяцев назад

    Good bless u my friend

  • @neemamroso6864
    @neemamroso6864 4 года назад

    Nakukubali.sana kaka.

  • @allysaid165
    @allysaid165 3 года назад

    Sema sir.jeff,unaongeaga fact sana ntafatilia na ni fan wako respects

  • @williamsmulla1590
    @williamsmulla1590 4 года назад

    Brother ninasoma bingi sana kwak umenifany niw na good life Thx sanaaa

  • @kelvinoscar363
    @kelvinoscar363 4 года назад +1

    Mr i get you well i really appreciate your works sijui swahili mingi mim elewa kidogo ...🤭🤭big ups for you buddy i purely and surely see you will live long 👉🇦🇺🇦🇺🇦🇺 stay blessed #Billionairekevi #jeffdenis.

  • @habibmalik3255
    @habibmalik3255 Год назад

    bro mungu akulipe kwa wema wako

  • @j4mnyuda851
    @j4mnyuda851 4 года назад

    Brother you are best keep it up. Lov u my mom.

  • @jamesmoricmsa9003
    @jamesmoricmsa9003 4 года назад +1

    Duuuuu broo pole sana kaka sisi wanadamu haturidhiki

  • @GeradiusGeras
    @GeradiusGeras 4 года назад

    Mungu akujalie Moyo wa chuma uendelee kutusaidia vijana.

  • @michaelakiba2780
    @michaelakiba2780 4 года назад

    You are the living soul.Mungu akusimamie

  • @gospelthusiast
    @gospelthusiast 4 года назад

    Jeff Keep up my brother.... As long as kuna watu watatu watabadilika watu elfu kumi watakutukana utakuwa umefanya kazi njema... Hao watatu wanakuhitaji! Ndio sisi! Endelea baba... Watu watapinga aand it may not be for them... It is for me.... It is for wachache.... 80/20 rule... Thumbs up kaka

  • @danleeplatnumz8292
    @danleeplatnumz8292 4 года назад

    @sirjeff nakukubali sana bro, kusimama pekeyako kwa ujasili ndo msingi wa mafanikio. Endelea tu kufanya wema ili kusaidia kijana wa kiTanzania. Binafsi nina moyo wa kusaidia sana na napenda kuona waTanzania wanafanikiwa. Kikubwa ni kukumbuka ulikotoka, Luna watu nawafahamu wako nje ya nchi lkn wanaidharau nchi yao, wanaona wazungu ni bora sana na kudharau wakwao; mambo ya kusikitisha kabsa.

  • @pablompasha9436
    @pablompasha9436 4 года назад

    Jeff usichokee sisi tuko pamoja na wewe achana na viborotooooooooo,,💝💝💝💝💝💝💝

  • @zedhabari8140
    @zedhabari8140 3 года назад

    Pole sana ndugu kwa kweli hii inaumiza sana

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 года назад +1

    ASALAM ALEYKUM!! kaka JEFF me huwa nafatilia video zako ila huwa sicoment!!! ila niseme kitu leo!!! NAKUPENDA SANA KAKA ANGU!! NIMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKO!! HIVYO USIKATE TAMAA WALA USICHOKE KUTUSAIDIA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE!!! KUMBUKA HATA MUNGU WETU ANASEMWA VIBAYA!! SEMBUSE SISI WAJA WAKE ( BINADAMU)!!! TUKO PAMOJA!!!!

  • @lusungungimbudzi4265
    @lusungungimbudzi4265 4 года назад

    Be Blessed Brother. Imenivutia na kunifungua kitu kikubwa Sana