Nondo za Askofu Bagonza kwenye kongamano la dini Mwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 июн 2024
  • Mwanza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza ameshiriki kongamano la viongozi wa dini mbalimbali lililojikita kujadili umuhimu wa dini katika kusimamia maadili na amani ya jamii nchini.
    Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa katika kongamano hilo lililofanyika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (Saut) jijini Mwanz, leo Juni 23, 2024 ni baadhi ya viongozi wa umma nchini kutokubali kukosolewa, huku baadhi wakiwachagulia maneno na namna wakosoaji wanavyotakiwa kukosoa.
    Askofu Dk Bagonza amegusa kwenye eneo la maadili ya Kitanzania, dini kukosa mvuto ambapo amedai kizazi cha sasa hakisikilizi tena viongozi wa dini katika kufanya uamuzi wao, pia amegusia suala la upatikanaji wa Katiba bora.

Комментарии • 4

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 дней назад +1

    One of the wrist knows himself who is into cresianity into Tanzania population never fear any leader always he stand on right darection we have seen ather religious leader coruption fear to stand on they national without fear we love this prist into our national god bless prist bangoz a PhD with the value to Tanzania population

  • @user-uj4mi2mz3p
    @user-uj4mi2mz3p 5 дней назад

    Fact

  • @jaspertito5343
    @jaspertito5343 5 дней назад

    Askofu Bagonza (PhD) kaeleza kilicho bora kwa kuonesha sura halisi ya taifa.
    Hongera sana.

  • @JonasLauson-sv5jo
    @JonasLauson-sv5jo 5 дней назад

    🫡🫡🫡👏👏👏