Mbosso - Kupenda (Official Visualizer)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @BenjaminNickson
    @BenjaminNickson 23 часа назад +967

    Tangia nianze kumshabikia mbosso sijawahi kupata like hata moja na Leo nimekuwa wa kwanza😢😢😢

    • @MweluMuthungu
      @MweluMuthungu 22 часа назад +10

      Am here to spot you

    • @pugahtalent5071
      @pugahtalent5071 22 часа назад +16

      Like kama kwel unampenda mboso

    • @Emmanueljastas
      @Emmanueljastas 22 часа назад +8

      Oy

    • @V_VODDY
      @V_VODDY 22 часа назад +4

      ruclips.net/video/gQhX3jpdoV0/видео.htmlsi=0Gaa0xB4FeXsRYKK

    • @V_VODDY
      @V_VODDY 22 часа назад +4

      Open

  • @JumaZakaria-f9z
    @JumaZakaria-f9z 15 часов назад +242

    Hivi nitakua bwege kiasi gani nisikilize hii song nisirudie em weka like apa kama umerudia hili song

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 4 часа назад

      ruclips.net/video/LQsJc79K-E8/видео.htmlsi=tgU15_WDzo0Fj8jp

    • @BennieSimwanza
      @BennieSimwanza 58 минут назад

      Mbosso mwamba

  • @Young-Valentin
    @Young-Valentin 23 часа назад +307

    Mbosso Nîme kunasa Leo toka Congo liké ni zangu 🇨🇩

    • @ALIMASIEMMANUEL-mg8ev
      @ALIMASIEMMANUEL-mg8ev 23 часа назад +1

      ❤❤❤

    • @V_VODDY
      @V_VODDY 22 часа назад

      Fungua hii
      ruclips.net/video/gQhX3jpdoV0/видео.htmlsi=0Gaa0xB4FeXsRYKK

    • @RamaFungo-l6b
      @RamaFungo-l6b 15 часов назад +2

      Uyu muacheni aimbe peke ake ukitaka kumshilikisha uchukue tizi lakuimba miaka mitatu

    • @Officialpackyshujaa
      @Officialpackyshujaa 14 часов назад +1

      ruclips.net/video/c-LFCO3J2Ko/видео.htmlsi=-mo7Cslan1vA8OdF

  • @NicholusNick-og8ph
    @NicholusNick-og8ph 14 часов назад +138

    Kama unampenda mbosso kutoka kenya gonga like tujuane 💯

    • @makaoyafutaa1302
      @makaoyafutaa1302 14 часов назад +2

      Support ethic pia😂😂

    • @marytomas-x4b
      @marytomas-x4b 11 часов назад

      @@NicholusNick-og8ph nagonga nawe unigongee
      Constantly

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 10 часов назад +2

      MKINISAPOTI WALAI NAWEZA FIKA APO JUU😁😁😁😁

  • @theeaglefilmproduction4567
    @theeaglefilmproduction4567 23 часа назад +219

    WANAOSEMA mbosso ni king 👑 kweny MAPENZI GONGA like apa kwa ZOMPAH💪💪

  • @Salim-ko3pp
    @Salim-ko3pp Час назад +1

    Yaani nimeupenda huu ngoma sana naurudia mara ya kumi sasa😊

  • @abuukulinga7921
    @abuukulinga7921 23 часа назад +161

    Wa kwanza naomba like za mbosso apa chini

  • @chef_ramashawarma812
    @chef_ramashawarma812 2 часа назад +1

    Kusema ukweli hapa pangekua na sauti ya konde hii ingekua bonge LA ngoma.......... Mtazamo wangu tu

  • @kasejatv47
    @kasejatv47 16 часов назад +52

    Hivi Kuna nyimbo gani mbovu ya mbosso kama umewahi kuisikia nambie ila kwangu hakuna

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 4 часа назад

      ruclips.net/video/LQsJc79K-E8/видео.htmlsi=tgU15_WDzo0Fj8jp

  • @MohamedBwanamkuu
    @MohamedBwanamkuu 48 минут назад +1

    Mbosso amekufa kwa yammi yammi❤

  • @TheLuckyboy-l6k
    @TheLuckyboy-l6k 14 часов назад +13

    Mboso angalia wengine uwape nafasi.wimbe Nimependa.sana.ngoma..naliludisha.mara mbili mbili❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Eady_Bwoy
    @Eady_Bwoy 8 часов назад +2

    na mbosso khan tena❤❤❤,,,from Kenya

  • @hemedmbondejr
    @hemedmbondejr 13 часов назад +13

    Hii nyimbo hata mama yangu kipenzi anaweza kusikiliza huku akiwa anatabasamu. Akikumbuka kipindi akimpenda baba kwa moyo wake wote na kwa dhati ana tabasamu na kufarijika. Ahsante mboso khan, hii kubwa mno umeandika kaka. 👊👊💪💪❤️❤️✌️✌️

    • @CharlesRodges
      @CharlesRodges 12 часов назад +1

      Sure

    • @hemedmbondejr
      @hemedmbondejr 9 часов назад

      @@CharlesRodges hakika kanyimbo katamu bro na kana hisia ❤️✌️

  • @hassanali-y9w7p
    @hassanali-y9w7p 7 часов назад +1

    Huyu jmn kabarikiwa na kuimba love songs ❤️❤️🤩🍅 nakupenda Bure mbosso

  • @AffemoAbelly
    @AffemoAbelly 14 часов назад +26

    Mwaka huu tumeuanza vizuri na mbosso khan, mbosso kwa nyimbo ya mapenzi kweli anajua❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MarsellaMoraa-d2u
    @MarsellaMoraa-d2u 2 часа назад +2

    Nimekuja hapa baada ya kutumiwa hii wimbo na babe wangu love you hun ....mbosso big up

  • @MustafaMustafa-s8i
    @MustafaMustafa-s8i 22 часа назад +17

    Ila mbosso duuh! Kwani hizi nyimbo anatunga akiwa wapi maana ni fire🔥🔥🔥 unajua kaka

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 часа назад +2

    Ngoma kali Sana never disappoint my mwamba mbosso Kila penzi litaonja umauti chaque amour goûtera la mort 🦁🦁 ❤❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥💥🌟🌟

  • @ChadrackIrankunda-p2w
    @ChadrackIrankunda-p2w 21 час назад +8

    Leo kachelewa sana ila samahani nimefika nikakuta usalam upo hii song kali mpe mbosso maua yake kama unampenda 🇧🇮🇧🇮🥀🥀🥀🥀🔥❤️❤️

  • @ElyasMula
    @ElyasMula 12 часов назад +2

    Mbosso wew ni msani wangu ili ufike bujumbula nikias gani cha pesa unakula wlcm burundi

  • @Dullahdulla
    @Dullahdulla 23 часа назад +38

    Wanao amina mbosso ndo anajua kuimba nyimbo za mapenz tz🇹🇿 weka like hap❤❤

  • @marefuclassic8911
    @marefuclassic8911 12 часов назад +1

    Sijawah sikilza nyimbo had nikahisi npo dunia nyingine duuh....hatar sana mboso

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 11 часов назад +4

    𝐌𝐛𝐨𝐬𝐬𝐨 𝐊𝐡𝐚𝐧 𝐌𝐬𝐡𝐞𝐝𝐞𝐝𝐞...uyu kija apewe mstu wake... Ila nisaidie nataka kumjua uyu dada yupo kwenye backing vocal.

  • @Edouardnaza
    @Edouardnaza 12 часов назад +4

    My brother mbosso unajuwa sana kk🎉🎉

  • @SadamAbdallah-q7p
    @SadamAbdallah-q7p 6 часов назад +3

    mbosso we ni mtu hatari sana kweye uandishi ni noma

  • @AishaShaban-s5r
    @AishaShaban-s5r 12 часов назад +38

    Mie shabik wa mbosso lakin sinawah pata like hat moja hebu tunao mkubali mbosso tujuane kwa like na comment ❤❤❤

  • @Auddyplatz1670
    @Auddyplatz1670 23 часа назад +14

    N mm hapo mbosso khan tena,,,,ngoma tamu kama asali zidi kutamba bratha,,,mwenzako huku kenya nairobi,,,,tunaompenda mbosso gonga likes❤

  • @AntishowMkNk-c6y
    @AntishowMkNk-c6y 11 часов назад +2

    Mbosso wee vipi mbona unamaliza Vitabu vyote vya mapenzi nakukubali bloh duuh atari❤❤❤

  • @wisemanlutomia4781
    @wisemanlutomia4781 4 часа назад +4

    Kama kupenda wimbo ndo huanga kama hivi,..mi mwenzenu chizi naunguliaa...

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 3 часа назад +2

    Mbosso unajuwa mpaka imepitiliza akika nomaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Husna-l5r
    @Husna-l5r 15 часов назад +12

    Mbosso ivi hii mistari unatoaga wapi au unaundugu na shalkan ❤❤❤

  • @aminaali792
    @aminaali792 10 часов назад +1

    Mmmmh Mbosso unazidi kutumaliza na mapenzi maa sha Allah mume wangu anazidisha mapenzi kwa nyimbo zako 😜🥰Allahummah Bareek🤲🏽🙏🏽

  • @stephanombutira7341
    @stephanombutira7341 22 часа назад +19

    Huyu akamatwe afanyiwe upasuaji haraka itakuwa alimeza daftari la nyimbo aloooooo🙌🙌🙌🙌

    • @V_VODDY
      @V_VODDY 22 часа назад

      Fungua hii
      ruclips.net/video/gQhX3jpdoV0/видео.htmlsi=0Gaa0xB4FeXsRYKK

    • @princessopendibabii7923
      @princessopendibabii7923 16 часов назад

      For sure zina ongeza feeling, watching from Dubai

  • @richardmlimila5384
    @richardmlimila5384 12 часов назад +3

    Mbosso anahatari❤

  • @AsmoreTune07
    @AsmoreTune07 16 часов назад +7

    Sikiliza No ya d voice alafu uje huku utajua kuna mdada anahusikaga kwenye back vocal she is so talented🎉🎉

    • @Zitha-v7j
      @Zitha-v7j 16 часов назад +3

      𝑀𝑏𝑜𝑛 𝑘𝑚 𝑘𝑖𝑠𝑎𝑢𝑡𝑖 𝑐ℎ𝑎 𝑧𝑢𝑐ℎ𝑢 𝑐ℎ𝑢 𝑐ℎ𝑢𝑢❤

  • @dennismajor7207
    @dennismajor7207 20 минут назад

    Diamond anaharibu mziki wa bongo venye alianza kuimba amapiano, thanks mboso kwa kusimama kidede na bongo

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 22 часа назад +6

    Uje umuimbie Mungu ata wimbo moja kaka.

  • @RamadhaniBisimwa
    @RamadhaniBisimwa Час назад +1

    Waoo wewe Kaka mbosso jamani utatuhuwa na raha mashabiki wako

  • @Officialphilboydrc
    @Officialphilboydrc 22 часа назад +15

    Mbonge moja la ngoma yaaani 💥💥💥💥

    • @V_VODDY
      @V_VODDY 22 часа назад

      Fungua hii ruclips.net/video/gQhX3jpdoV0/видео.htmlsi=0Gaa0xB4FeXsRYKK

  • @ImeldaMushi-c9u
    @ImeldaMushi-c9u 12 часов назад +2

    Nakupenda mdogo mboso khan ❤❤❤

  • @anniemagayane2984
    @anniemagayane2984 23 часа назад +79

    @mbosso ukipigwa vizuri utasema unapotoaga mashairi 😅😅 🔥🔥

    • @Freddymedia-p7d
      @Freddymedia-p7d 16 часов назад +1

      Daah huyu jamaa kichwa chake kina hakiri isio ya kawaida kabsa

    • @anniemagayane2984
      @anniemagayane2984 14 часов назад

      @@Freddymedia-p7d yaani kila wimbo anaotoa ni hit daah 🙌

    • @Freddymedia-p7d
      @Freddymedia-p7d 14 часов назад +3

      @@anniemagayane2984 ama ni yeye aliye iba lile daftari la yamoto band🤣🤣

    • @anniemagayane2984
      @anniemagayane2984 13 часов назад

      @@Freddymedia-p7d 🤣🤣🤣 itakua ni yeye kabisaa, make wengne wakijaribu hawasikiki

    • @Freddymedia-p7d
      @Freddymedia-p7d 13 часов назад

      @@anniemagayane2984 ama ukute hua anachukuaga muda mwingi kusoma vitabu, hivi wewe maneno yote anayotumia unayajua tafsiri zake??

  • @HamidMutrahMoullah-rr6jn
    @HamidMutrahMoullah-rr6jn 13 часов назад +4

    Mbosso mbosso nimekuita mara mbili unataka nirudi kwenye mausiano🎉🎉🎉🎉

  • @jumathabiti-dn6mq
    @jumathabiti-dn6mq 23 часа назад +39

    Wakwaza hapaa simbaaaa😂

  • @filbetdaud4597
    @filbetdaud4597 7 часов назад

    HAKUNA MSANII APA BONGO ANAYEIMBA NYIMBO YA MAPENZI KUMZIDI HUYU MBOSSO AISEE HAKUNA 💥💥⭐⭐⭐

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 23 часа назад +26

    Wa kwanza tulokuwa tukiisubiria kwa hamu hii ngoma tujuane❤🎉

  • @Swarakenya
    @Swarakenya Час назад +1

    Safi sana kaka mimi swara kenya from Mombasa ila pongezi kwako sana

  • @vualemakame1362
    @vualemakame1362 13 часов назад +7

    Wacha zile kelele pale Wasafi huyu jamaa ndo number moja wasafi👐👐

  • @juntezjuniorofficial
    @juntezjuniorofficial 3 часа назад +2

    Mbosso never dissapoints He always Delivers ❤much love from kenya

  • @SuleimanRashidMohammed
    @SuleimanRashidMohammed 22 часа назад +68

    Mimi wa 604 Isiwe sababu ya Kuninyima Like zenu Team MBOSSOKHAN 🎉🎉🎉🎉

  • @PrinceMafuwe
    @PrinceMafuwe Час назад

    Mboss Khan da hatari

  • @DERIASEDWIN-t2q
    @DERIASEDWIN-t2q 22 часа назад +22

    Wapi fans wa mbosso kutoka bamburi Mombasa Kenya wpi likes zake🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖

  • @BenjaminKinga
    @BenjaminKinga 8 часов назад +1

    Mbosso mbosso wewe Nani alikuumba? Au wewe ndo mungu wa mapenzi?🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Pachafilm
    @Pachafilm 10 часов назад +5

    sema mbosso khan mshedede Huana baya kama kilaka popote anapita nomaaa🫡

  • @KhadSmiths
    @KhadSmiths 18 минут назад

    Mbooso uko vizuri kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wa kenya wenzangu muko wapi nimechelewa ila nimefika nipeni like basi

  • @Husna-l5r
    @Husna-l5r 14 часов назад +22

    Mbosso wambie mashabiki zako wanipe like jaman ❤❤❤

  • @austinwachera2246
    @austinwachera2246 3 часа назад +4

    Naitwo stevo Niko Nanyuki Kenya msiguze comment yng always a big fan

  • @HUpendo
    @HUpendo 16 часов назад +5

    Msanii anae ngiza pexa nying wasafii wakiume ni mbosso ❤❤❤❤

  • @clementbrandon
    @clementbrandon 3 часа назад +2

    King khan Utatuuwa na Mapenzi 😊❤
    Me mwenzenu uchizi naugulia😊

  • @DavidProsper-e6w
    @DavidProsper-e6w 23 часа назад +10

    Kirungi🔥🔥🔥🙌

  • @shabanimaulid5398
    @shabanimaulid5398 11 часов назад

    Mmh we bab weee......konga nafsi zetu bab weeeeee tupe marahaaaaaaaa❤❤❤

  • @ShawalTitus-s9e
    @ShawalTitus-s9e 21 час назад +23

    MBOSSO apa Kenya twapenda goma zako kaka,,mwanzo ukiweka beat za Tarabu wamaliza mwananga 🇰🇪🇰🇪,,any Kenyan in the house let's ✋

  • @mrkayg
    @mrkayg 12 часов назад +2

    Mbosso kama mbosso umetisha sana hakuna anae Pinga nyimbo ni hit . ❤❤❤❤❤

  • @RYDANNTIGER
    @RYDANNTIGER 11 часов назад +33

    Nimesikia sauti ya zuchu humo ndani kama umeisikia gonga like hapa

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 12 часов назад +2

    Mfalme wa nyimbo za mapenzi mbosso Khan 💯🔥

  • @Sportycorner
    @Sportycorner 14 часов назад +6

    Mwaka umefunguliwa na Kufungwa

  • @SophiaErick-e7j
    @SophiaErick-e7j 13 часов назад

    Yaani nimeirudia sana zaidi ya sana sema sehem ya kudanlod haijaruhisiwa yaani mboso baba unatuweza

  • @NimubonaExcellent
    @NimubonaExcellent 11 часов назад +5

    Mwarimu kapatikana Wa Music hii imekwenda anaye bisha aje tupinge🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @guzomc255
    @guzomc255 14 часов назад +4

    Hiki kiumbe kimenishinda 🎙️💪💕

  • @BoniventureMassawe-i9s
    @BoniventureMassawe-i9s 15 часов назад +52

    Kweli nimeamini daftar la YAMOTO BAND unalo Mbosso..🔥✅......... See more

  • @floodboytz
    @floodboytz 12 часов назад

    Khan utawaua 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VivianFather
    @VivianFather 21 час назад +4

    Naona kaka ulikimbia na kitabu Cha ya moto bend hatar sana❤❤❤🎉🎉

  • @WingoMwaijengo
    @WingoMwaijengo 12 часов назад

    Jamaaaaaaa unajua sana kaka Kwa heshima

  • @comm611
    @comm611 11 часов назад +3

    mbosso kiboko. yawo

  • @kelvinmuasya2816
    @kelvinmuasya2816 37 минут назад

    Nilibisha nilibisha mama alipo niambie ukipenda jeuri kwisha😢 kama kupenda ndo huaga hivi me mwezenu naugulia ❤❤❤ mbosso Khan

  • @justusotieno5981
    @justusotieno5981 12 часов назад +3

    The only language understood by all races.
    What a masterpiece🤩🤩🤩

  • @AfroMax_Tz
    @AfroMax_Tz 11 часов назад

    Yule fundi wa hizi kazi kalipua tenaa🔥🔥❤️

  • @SelemanKayange
    @SelemanKayange 15 часов назад +7

    N ww tena mbosso khan n ka song ka kupenda ❤. Kama unamkubali mbosso weka like

  • @kibongeyakobo4025
    @kibongeyakobo4025 12 часов назад

    Ongera sana My bro wangu kazi zuri tuko pamoja My bro wangu nakuwaka nakukubali sana My bro wangu❤❤❤

  • @ZackyFlavour
    @ZackyFlavour 15 часов назад +16

    Tulio ielewa vers yapili tujuane kwa like hapa❤

  • @AbdulkarimuMatimbwa
    @AbdulkarimuMatimbwa 15 часов назад

    Mbosso ni hatariii aseee Unajua sanaaa

  • @BishooUkoko
    @BishooUkoko 23 часа назад +5

    Ooh mbosso khan ni 🔥🔥🔥🔥 namba moja nipo hapa

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 13 часов назад

    Bro unajuwa kuimba yani unatugusa kwenye nyoyo zetu respect walio irudisha mara nyingi tujuwane ❤️✌️

  • @Mukomariboy
    @Mukomariboy 18 часов назад +11

    Nice jam kama unaamini mbosso anastahili afanye bongo flavour Na si hzo kelele ZA Amapiano Basi nipe like

  • @Newsoundsworldwide
    @Newsoundsworldwide 4 часа назад

    Eeeeeh Sasa huu ndo mziki wetu hauna kelele hakuna kufokewaa yani ni mziki umetuliaaa Cong big #lyzee

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 22 часа назад +15

    KAZI NZURI SANA MA BROTHER TUMEIPOKEA SALAMA 🎉🎉🎉 KAMA NA WEWE UMEIPOKEA UKIWA NA FULL HAPPY GONGA LIKE TUJUANE 🎉🎉🎉

  • @rockeakara112
    @rockeakara112 7 часов назад +1

    Upendo toka Malawi ❤ mbosso you are my favorite receive ur flowers dear

  • @stanny1564
    @stanny1564 23 часа назад +22

    Nomaaaa likes za mbosso apa 🔥🔥

  • @KhanifaMtisi-b1k
    @KhanifaMtisi-b1k 2 часа назад

    Mungu akufikishe mbali nakubali vibaya sana haswa sio kwa kinyimbo hiki aisee nainjoi sana nikupe mauwa yako 🌼🏵️🌸

  • @tushwamutemitv7007
    @tushwamutemitv7007 11 часов назад +9

    Huyu jamaa anaimba kweli....wengine wamebebwa na majina yao makubwa tu🎉🎉🎉 nipeni like za mboso

  • @TOKDADDY-vc6gj
    @TOKDADDY-vc6gj 6 часов назад

    Aaaaaah mbosso Khan hajawahi kufeli hata siku moja nilisema mbosso ni fire🔥

  • @mcoastgamer9472
    @mcoastgamer9472 23 часа назад +19

    First on the comment section twakukubali huku kenya mbosso💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @daudimwanza
    @daudimwanza 15 часов назад +1

    Am from Kenya to support mbosso ,,

  • @ahabujastin
    @ahabujastin 16 часов назад +12

    MBOSO NI NYOKO ❤😂😂😂

  • @stevembembela9609
    @stevembembela9609 7 часов назад +1

    Team #mbosso tunaendleza tulupo ixhia 2024
    another hit 💥

  • @kisia_vin4964
    @kisia_vin4964 19 часов назад +20

    Mbosso anafanya nionekane yatima wa mapenzi 😭😂😂
    Love from Kenya ❤️🥰

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon 7 часов назад +1

    Jamaa creative sana🙌

  • @Truthfulmen_women
    @Truthfulmen_women 21 час назад +8

    Wacha wimbo ufike at least 3.5 minutes inaisha haraka kama shoti ya kwanza jameni , 😂😂Kenyans , we love you. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂

  • @maalimzingizi4221
    @maalimzingizi4221 12 часов назад

    Aaaaaaa mbosso weee unaua baba 🎉🎉

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa 23 часа назад +19

    BABA MBOSSO UNAJUA SANA.... 🎉 gonga likes kama unajua kupenda huwaga hivi❤

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 7 часов назад +1

    Kupenda by mbosso Khan 🔥❤ umetisha sana kaka na hii ni fungua mwaka 🙌hatariiiiii 🔥🔥🔥💪