Maua Sama feat Jay Melody - Nitampata Wapi (Official Lyric Audio)
HTML-код
- Опубликовано: 24 янв 2025
- “NITAMPATA WAPI” is a vibrant Afro-pop collaboration between Maua Sama and Jay Melody that delves into the emotional journey of searching for true love. The song combines Maua Sama’s soulful voice with Jay Melody’s smooth melodies, creating a heartfelt dialogue about longing and the hope of finding “the one.” With rhythmic beats and catchy hooks, “NITAMPATA WAPI” offers a blend of romantic lyrics and irresistible groove, making it both a love anthem and a danceable tune perfect for fans of modern Tanzanian music.
Stream/Download:ziiki.media/SA...
► Listen to Maua Sama on Digital Streaming:
Spotify: open.spotify.c...
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / maua-sama
Boomplay: www.boomplay.c...
► Connect with Muaa Sama on Social Media:
Instagram: / mauasama
Facebook: / mauasamaofficial
Twitter: / mauasama
TikTok: / mauasama
Maua Sama's Booking Info:
mauasamalive@gmail.com | +255713922508
©️2024 Sama Music.All Rights Reserved.
#MauaSama #JayMelody #NitampataWapi
Daha sema we jay ninoma umembadilisha saana maua hum ndani melody kali kama jina lko
Sema umetisha sana🎉kam unamkubli jay gonga like apo
Maua sama ni hatari kwa melody 🎉🎉🎉
huyu mtoto jay ameshindikana kabisaaaa ❤❤ i love him 😍
Dullah makabila Uko tafauty sana bro na wasaniii wengine Salute kwako Brother
Wow nimekuwa wa kwanza ngoma kali sana hii collabo🔥🔥🔥
Jaymelod najua hujawai kutuangusha mashabiki zako like za 🎶 melody please 🥰
Namkubali Sanaa Maua Sama,kuliko msanii yeyote wakike tzn
Huyu maua sama ni hatarii kwenye sauti🎉❤❤
Kwann hii ngoma imeshindwa kuongoza namba 1 wakati goma kali sana kuliko uchafu wote ambao upo namba 1
Aaah 😂😂 huyu Jay Wasage hapana kwa kweli 🙌🙌🙌🙌🙌 anajua sana
Olololoooo Nishakufa kwa utamu wa huu wimbo❤❤
kuna wasanii halafu kuna Jay Melody ❤❤❤❤❤❤
Jay kammezesha verse maua ila ngoma Kali +ile ya mbosso mpya daah mwaka unaanza vizur kabisa 🤝👏
Ebanaaa eeeh huyu jay melody awekwe kando 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Humuu samaaaa kauwaa sanaaa .Dada anguuu🎉🎉🎉🎉
Jmniii siimalizi hamu iko vzr hii ngoma ❤
❤❤❤❤Wa kwanza jamani nimeipenda hii ngoma atari
Jay melody our star boy keep shinning .let's gather jay melody fans
Ngoma ni kaliiii mmetisha Sana 🔥🔥🔥🔥🙌
daa sema maua sana unaimba sana lakini anajua sanaaaaa
Two genius in one track ❤❤
Jamniii...nani producer wa hii ngomaa...daaah
Samaa hii ni hit nyingine.. 🎉🎉🎉🎉
Jay once again hajawah kukoseaaa popoteee anakaaa na anawakalishaaaa wenzakee sanaa😂😂❤❤🎉🎉
Huyu jay nyie muacheni tu 🎶🎶🥰
❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥 nakupenda jay melody
Eeeeiii mapenzi tena 😳😳
Jay melody wee unatafanya the single people tu fall in love again . Anyways hottest hit 🔥 for 2025 big up 💪 jay
Aaah jaman hii ngoma ❤❤
Nampa salute huyo producer
Waauh❤mumetisha san 🔥
Maua tena 🙌🙌🥰🔥💯
Once again na Samaa best duo indeed😍🥳HII NI HATARI❤🔥❤🔥
Jay melody flever yko nimoja chunga kabla mashabiki hwajakuelewa twatka ladha tofauti tka kwako
AAAAh huyu jay ni mutu mubaya sanaaaaa
❤ bonge dubwashaa
12:00pm for treatment of brain from magical voice by Maua Sama and epic melody by Jay once again ❤, you made my day and Friday am so proud of you artists🎉
YES
From Sam🔥🔥🔥🔥
Hivi gawaga tuzo huwa wanamchukuliaje jay melody naumiagaaa sana mtu kudhurumiwa😢😢
Unyama apa umezidi,sama x melody kauwa Kwa izi verse kali
Ngoma Tamu sana❤❤❤,Wale ambao tuko single, In-Shaa-Allah Mungu atatupea Wetu walioa sahihi Kwetu🤲💗
Inshallah
Wewe mnaniita industry
Banger 💣 💣 💣 💥 💥 💥
❤❤❤❤ mumeweza sana Mombasa enjoying best music🇰🇪🇰🇪
Tamu sana❤❤❤❤❤
Samaa 🎉🎉🎉🎉
Very nice Kaka jay melody mbon ulisema utatoa mpya ya Christmas 😊
Moto kama pasi
Next project ntauwa mwenyewe ucntafute utanipata wapi nipo apa🔥🔥🔥✈️✈️
Fax kama fax naqubar bro
Goma la kwendaaaa🔥🔥🙏💪
Hii ngoma nomaaa🎉🎉🎉
Noma sana
Wimbo wa Ccm myaka tote😂ndohuuuu salute law King kiba ❤
Great🔥🔥🔥#Jaymelody #Mausama #Trestartz #Trestartz hot saana imenifikia #Trestartz✅🙏
Moto sana ❤❤
Ila kusema kweli SAMA unajua sana
Naipenda san ❤
Sama ft jay melody ❤❤❤
nyimbo kaliii sanaaaa ❤️🥰
Nyimbo nzuli atali 🥱🥱🥱🥱🥱🥱
Ni kelelee xna jaya umetixha
Goma kali sana maua nakupenda sana bint
Nyimbo nzuri sana
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nawakubali san
Jay Once Again🔥🔥🔥🔥
yeye tu 🎶🎶🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hatari sanaaa
I love this song ❤❤❤
Ntampata wapi mimi kama uyoo😢😢😢😊
Ololoh samaa ❤❤❤Kama umesikiliza zaid ya mara tatu gonga like hapaa
Likes za jay once again ❤
Huyu jay ni balaaaa
ngoma tamu
Tu lokuja Kwa ajili ya jay melody tujuane🎉🎉🎉🎉
Ololoh samaaa❤❤
Tunakupa kama zote🎉🎉🎉
Unajua sana kwakwel ❤❤❤ wakwanza kukomenti
Jay nom mwang san niko
Moshi umetisha san aii
Bonge la ngoma
On top! Wapi likes za first viewer 😊
Namba moja hapa
YEYE TUUU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤❤
maua umeuwa sana....yani kazi ni nzuri sana
Bonge moja la ngoma
Good music wenye zaidi ya protin
Samaaa👊
Already a banger 🔥💓 before hata visual idrop😊❤
Waliogundua kuwa hii tungo zoote za Sama katunga j melody gonga like hapa 😂
Hongera aliekuandikia wimbo ndio umeimba nae😂😂
Hlf hajapendezea kabsaa kuimba style hii ya mziki🥲🤣
Kitu hurudisha wa Tz chini...watakiani...hawa supportiani
@@maxxylid22 mpaka tumeview na kucomment tayar tushasupport namkubal sama ila kwa style hii ya mziki haijampendeza hutaki...Kila mtu na maoni yake
Mimi nipo hapa kwa ajili ya jaymelody
WE LOVE YOU MAUA SAMA❤❤
Team Jay Wasageen like zetu ziwe nyingi apa
tuliokuja hapa kwaajil ya once again tujuanee❤❤❤🎉🎉🎉
Love from meghalaya❤
Uhakika 🎉
M a u a samaaaaaa!!!!
WASAGEEEEENNNN
Belíssimo trabalho jovens 🎉🇲🇿💯
NITAMPATA WAPI JANAIIIII
Jay Once Again 🔥😊olololo
Samaaaah
254 representing...
Kenya love
Wakwanzaaa