Marioo badnation more love from Kenya I love the Album cover.(Umeshuka binguni ukitumia ngazi )more love bro you are my favorite artist you inspire me a lot ❤❤❤
Marioo amezoea kufunika wanamziki wote kutoka kenya.... This time amemkuta fundi mzee mzima bien... All in all marioo remains one of my favourites from tanzania
Unfortunately, bien has been diluted in this song! Now in solvent form. Waiting hopeful for Mario to evaporate so that he may remain in the ile sufuria. 😂
Pale penye Bien ako, legend has it that lazima kukuwe na mazishi, siku zingi hazijapita tangu a-kill ile collabo yake na Nadia Mukami, na bado kwa hii ngoma bado vibe ni moto❤🔥🙌💪
Bien si upoze kidogo aisee, hiyo ngoma umeshirikishwa ndugu, unakuwa kama Eminem, unashirikishwa lakini unafunika mwenye wimbo. Chukuwa mauwa yako legend.
Dah Bien umetishaaa sana napenda sana ulivoimba hapo yan muda wote napenda sana ulipoimba japo wote mmetisha ila Bien katisha sana habari gani mbona uko lonely
My favorite song on the Godson album. Bien understood the assignment. Thanks Marioo for the best collaboration 2024. Great talent.💖🎹🎹🎷🎷🎵🎵🎺🎺🎼🎼🎶🎶🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
My brother @@BienOfficial ❤️🇰🇪 THE GODSON out now on all platforms 🎉
africori.to/thegodson
Marioo badnation more love from Kenya I love the Album cover.(Umeshuka binguni ukitumia ngazi )more love bro you are my favorite artist you inspire me a lot ❤❤❤
Mwalimu
una ji abonné naji abonné [.1M.]
Teacher 🎉
🇰🇪🇰🇪
Asante Mario. East Africa tuzidi kuungana. 🚀🚀🚀🚀🚀
Kipara shida Una kizungu kingi tuliosoma chini ya mti unatunyanyasa Sana.
Bien our only 🇰🇪❤️💯💯
Word 👊🏾
Hapo noma kaka uliuwa vaibu,am a performing bongo artist,just support me
@@NgasaMaduhuwe unataka aiimbe kisukuma
Alooo....wale wanaona bien verse iko lit piga like
Kali sana❤
Kazi ya Bien nikuosha watu kwa wimbo zao. 😂
😂😂,,@@benedictadipo3175
on particular rewind
Let the two brothers shine. There is enough space for them both. I don't see why we have to compare
Ukikaa vibaya bien anakufunika kwa ngoma lako🇰🇪🇰🇪
Huyu mario acha kbsa
He is 🔥
Wakenya wale tuna represent bien
From tik tok
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilijua Bien hii kitu anazika💯💯🇰🇪🇰🇪
😅😅🚀
254 imeuwaaaaaaaaaaaaaaa
Kishenzi 😅😅😅@@Ommywhity7
Bien hakoseii respect from Tz🇹🇿
Bien is the baddest...Marioo kapotezwa humu
Bien never disappoints😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🦣💨🫡
So as Mario
Suree bien ✨️🎶 love from tanzania 🇹🇿
Marioo amezoea kufunika wanamziki wote kutoka kenya.... This time amemkuta fundi mzee mzima bien... All in all marioo remains one of my favourites from tanzania
Pitia huku pia
Bien chill mzeee album si yako 😂😂😂😅kali sana
I came ju ya Bien,,, crazy lines there 🔥
Bien Sol is one of the biggest vocalist artist in Africa
Love from Lagos Nigeria 🇰🇪🇳🇬🇹🇿
Mkoi et Lagos masuzigo
True
IHI NYIMBO BIEN AMETISHA SANA KAMA UNAKUBALI GONGA LIKE 🇹🇿🇹🇿🙏🙏
Hajui jokes bana😂😂
Mr. Bien probably umetisha kinyamwezi... Big up to Kenyan panther 💯
The way Bien write his lyrics this guy is on top 🇿🇦🇰🇪🇰🇪
.Bien is currently the big artist in the whole of East Africa waki collabo na Diamond. Bien will wash him asubuhi na mapema.
using this same brain for your daily tasks, should be illegal
Diamond haezi collabo na bien anajua hio
Mariooo kafunkiwaa kama wakubali bandika like hapa
Huyu ni mwamba inakubalika😂
Bien nailed amemkalia mwenye Ngoma
Kidogo mzee alisahau album si yake😂😂
"Alinipita kama Meli
Anayumba yumba anadondosa kishenzi😂😂😂😂😂" BIEEEEEENNNNN!!!!!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯😂😂
Kumamaako bien umetisha kishenzi bruh👊💯umesema unaichapa usiku na mchana😂,wapi likes za legend
🫡
Duuh…congrats nyingine bana!!!🙌🙌
@@goon5804😂😂
hii ndo ngoma ambay kaifanya sas
Naichapa usiku na mchana😂
We now need a video for this 🙌🏾
ULIOLITAFUTa KWA bien umelipata , màaana vocal kakuumizaaa badiii
🫡🫡
@KingKiddy-gi2kd 🤝
Unfortunately, bien has been diluted in this song!
Now in solvent form. Waiting hopeful for Mario to evaporate so that he may remain in the ile sufuria. 😂
Kenyans in here use me as your love button for this two❤🇰🇪🇰🇪&🇹🇿
Huyu jamaa ni mnoma kiasi kwamba nyimbo unaskip ufike alipopita😊
Walai😂😂
😂
Kenyans mshafika ama bado?? 😅
🇰🇪🇰🇪💯
Bien sio mtu mzuri kabisa daah 🔥🔥🔥
Nairobi Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 This is a hit Already🔥 Am a die hard fan wa Marioo🇹🇿
Biens levels man,huyu ndo mana anajaza shows europa wengine wakipiga kelele home😂😂
Ulaya Gani na ww?! 😂
Bien haunanga adabu ngoma si yako na unashine hivo ... its a big tune
Bien umetuwakilishe vyema wakenya kwa kumfunikaa marioo kwa ngoma yake mwenyewe nairobi to the world ngoma kali sana
"Bien and Marioo, you’ve raised the bar again! Keep giving us bangers like this!
"This is exactly what the industry needed. Nairobi is a masterpiece
It's an EAST AFRICAN Affair. The best of EAST AFRICA singing in the most romantic language known as Swahili. Let's GO!
Our own Bien killed it.. Rooting for them both. 🇰🇪Kenyans hallooo
Pale penye Bien ako, legend has it that lazima kukuwe na mazishi, siku zingi hazijapita tangu a-kill ile collabo yake na Nadia Mukami, na bado kwa hii ngoma bado vibe ni moto❤🔥🙌💪
Ukitaka kuua Bien kwa ngoma there is only one person to look for & that's Bensoul
Disagree ❌
Uongo huyo bado mdogo sana
Zima io kitu
nakubali, ni the only person ameweza kukimbizana na Bien kwa ngoma bila kufunikwa
@@kenmwendwa1882💯💯💯
Bien has Already Represent us Kenyans🇰🇪🇰🇪Very well💯,I mean he's our G.O.A.T 🔥 Vocals and everything,Bien to the World 🌎
Nikweli jamaa anajuaaa sanaa tuna muappreciate sanaa na ss piaa
KENYA TO THE WORLD,,,,
You already know its madness when bien touch a song 😩 obsessed already
Hii nayo ni experience ❤❤❤
Honestly speaking, Kenyans em mlipeni huyu jamaa anawork overtime🔥🔥.. Bien mnoma kabisaaa! NA HII NDO YENYEWEEEEEE KATIKA ZOOOTEEEE🎉🎉🎉🎉🎉
Bien just proved that without Kenyans there is no East African Music look at it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tukipatana Bongo...Mikocheni❤❤
Bien anafunika kuzika,,kali sana
Mm mtanzania but weka like za bien hapa
hapa kwa bongo ulikosea ilikuwa nairobi...am loving this song#mario+Bien...all way from kenya
Bien Ni Mzii, GOAT
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 to the world
Bien button>>>>
Bien amemwosha Marioo.....Bien mnoma🔥🔥🔥
The godson🎉🎉🎉🎉mkubwa marioo nyimbo zina vutia san kaka ila nilio ipenda zaid pin pin
Mziki mzuri❤
Kama unahisi hii ngoma kali kwa hii album gonga like
NAIROBI ❤
NAJUA MKO HAPA, MNIPE LIKES, MAPANGALEE
Bien si upoze kidogo aisee, hiyo ngoma umeshirikishwa ndugu, unakuwa kama Eminem, unashirikishwa lakini unafunika mwenye wimbo. Chukuwa mauwa yako legend.
Ata hizi lines zinafanana za Bensoul
Bien moto kama pasi 🔥🔥🔥🔥
wakenya wenzangu tuipeleke trending hii ngoma
Fire track …. Two of my favorites…. On repeat guys faya!!!!
Oyaa kaka Marioo unajua kaka!! leo mbaka nizimalize zoteee
Bana this record is tuff🔥🔥
What a way to end 24 and welcome 25🔥🔥🇰🇪🇹🇿
Mario to the world 🌍🌍🌍 much love brazaa kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
It is said the only person mwenye ashai bishana na Bien kwa ngoma ilikuwa Nviiri
Remember you are here because you great taste in music 😌🎶🎶
Bien all the way
Nkamchagua yeye katikati ya wenzake watano... My best line
Best Song Can be performed Live 🇰🇪
Wanaosema marioo kauwa humu piga like nzito afu acha comment
I relate to this track since bien is in it🤧🤧💯
Perfect Collabo, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 well represented!
Ngoma yangu akufungia mwaka I love ommy ❤
Dah Bien umetishaaa sana napenda sana ulivoimba hapo yan muda wote napenda sana ulipoimba japo wote mmetisha ila Bien katisha sana habari gani mbona uko lonely
From TZ kwa nyerere ila Bien ni noma
My best truck kwenye hii album good job biem
Listening to bien's verse on my way home from work..Yani na maanisha kwamba naupenda huku wimbo sanaa❤❤❤
Ngoma kali sana 🔥🔥🔥 Bien 🫡
If only the world spoke swahili they'd give this 100 million views
Bien on a collabo atakufinish...great song indeed..Good job guys
Bien is on fire 🔥🔥 fire
Kenyans let's gather here🤩🇰🇪🇰🇪💪
Tamu sana
Bien 🔥🔥🔥 umemuosha marioo hakuna msani mwingine anaeza hapa Kenya
Banger🔥🔥🔥
Bien this is you doing this bruh🫡you’re a legend bruh🕺🎶umeuwa bruh our legend,umeturepresent vizuri kwa hii album
Bien 🔥🔥🔥💯💯💯🙌🏽🙌🏽🙌🏽
bien huwezekani mkuu aaah marioo hii imeweza
Kenya marries Tanzania 🎉
Nikikosa likes nakuja kufuta hii comments yangu
Njoooh ufute comment yako🎉🎉
Ifute😂
@@socialtv3471 mwambie
@@Mrishowalengamina-bx2to 😂
@@socialtv3471 😅
Yani marioo sijui nimuweke kwenye kundi gani, Motooo!!! Bien Noma kama K. Sasa wanifanyie moja ya Marioo, Bien na King Kiba. Mad Love from County 001.
Smoothest song in the album 😊 guys like this comment so that I come back and watch again
Mario Kenya tunakupenda Sanaa,,kushinda msanii yeyote tz
ngoma kari sana
ulie mshirikisha bien haaa noma
Bien reminds me of talent beats hardwork
Uganda boy Baraka on this one 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Check this out too
Bien ♥️♥️♥️
Hawa wanaume wawili wameamua kuharibu kabisa Our Music industry 🙌🙌 alooooo
Ali kiba kumamako tena…kutoka kenya…huku ukiambiwa hivo ujue umeimba fiti sanaaaaaa
Mnajuwa kuyimba nyinyi dhaaa yani mnanikosha Moyo kama tunamkubali Marioo zigonge izo like
Uganda 🇺🇬 Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 ❤
Bien all the way from 254🎉🎉🎉
This Bien guy is Top Notch mazee, thanks Marioo for this blessing featuring Bien
My favorite song on the Godson album. Bien understood the assignment. Thanks Marioo for the best collaboration 2024. Great talent.💖🎹🎹🎷🎷🎵🎵🎺🎺🎼🎼🎶🎶🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
Bien alikuja Mazishi wueh😅 🔥🇰🇪
Mzee mzima Bald man🎉
Ngoma Kali zaidi kwenye Album