Nitasamehe wote na kumwacha Mungu apigane na madui zangu vita hii siiwezi.Mingu baba pigana na maadui zangu.Sitaki kukosana na Mungu baba nitasamehe kabisa MunguYesu kaa ndani yangu usiniache asante sana Yesu.
Ee Mungu Baba unirehemu mimi kuwa na maneno ya haraka hata nimekukosea. Asante kwa neema na ujumbe huu na neno lako linaniponya na kuniondoa katika maangamizo yangu. Naomba uweke mlinzi kinywani pangu na mngojezi mlangoni pa midomo yangu ZABURI 143:3,katika jina la Yesu Kristo Amina.
Asante Mtumishi Hakika Mungu wa mbinguni azidi kukutumia katka kufika ujumbe wa neno la Mungu kwa watu wote ubarikiwe na bwana Yesu kwa utumishi wetu ulio tukuka Amen.🙏🙏🙏
This word had come at the right time in my life may God bless you and your family and keep you longer for this country to hear the voice of God through you

Asante Mungu,hii neno ni kwa ajili yangu
Kwakweli Damu ya Yesu inanguvu👏
Aksante MUNGU kwamutumishi wako, long life
Ee Mungu Baba unirehemu mimi kuwa na maneno ya haraka hata nimekukosea. Asante kwa neema na ujumbe huu na neno lako linaniponya na kuniondoa katika maangamizo yangu. Naomba uweke mlinzi kinywani pangu na mngojezi mlangoni pa midomo yangu ZABURI 143:3,katika jina la Yesu Kristo Amina.
Ahsante kumtumia mtumishi wako kutupa chakula cha roho kuganga mioyo yetu ilyopondeka pondeka nakuabudu Mungu
Asante Mtumishi Hakika Mungu wa mbinguni azidi kukutumia katka kufika ujumbe wa neno la Mungu kwa watu wote ubarikiwe na bwana Yesu kwa utumishi wetu ulio tukuka Amen.🙏🙏🙏
Amina Mtumishi wa Mungu alie hai...binafsi nimebarikiwa mnoo na nazidi kuimarika kiroho na kimwili pia siku Hadi siku kwa semina hizi za neno la mungu
Amen mtumishi wa mungu kunawaki nilikuwa napitia ili linitenge na uwepo wa Mungu neno lako limeniponya Amen🙏
Asante Mungu nivushe eeh mtakatifu wa Israel uliniadi eeh Bwana uniachi adi mwisho wa dayari eeeh Bwana uniachi 2024 nivushe katika masomo yangu
Aminaa💃💃💃💃💃 hongereni wana kigoma nimependa japo sijui hiyo rugha❤❤
Mungu akubaliki mtumishi
Natamani kigoma naiona amani kuubwa kupitia kigoma barikiwa mtumishi
Ahsante Yesu kwaajili ya Neno lako. Ubarikiwe sana baba.
Utabaki kuwa MUNGU milele yote🙏 asante kwa kumtumia mtumishi wako lihimidiwe jina lako takatifu.
Hallelujah Mungu atukuzwe daima kwa ajili ya kondoo hawa wa Kigoma
Hata nikipita katika maumivu makali utabaki kuwa Mungu kwangu
Amina baba,
Neno lako huwa linanibariki sana karibu zanzibar pia uokoe nafsi za watu zilizotekwa.
Mungu azidi kukubariki
Watu wa Kigoma wana vibe saanaaa 🎉🎉🎉🎉
😅😅
Hadi raha jamani
Watu wa mikoani kanda za juu mnajua kujifurahisha mpo juuu❤❤
Amina mtumishi kwa semina hii nimepokea uponyaji
Kigoma moto fireeeeeeee
MUNGU akubariki kwa neno unatufanya tusonge mbele
This word had come at the right time in my life may God bless you and your family and keep you longer for this country to hear the voice of God through you
Asante Mungu kwa wema wako,mbariki mtumishi wako
asante 🙏 nasisi piaya tunajihuganisha kwenye maombi ya vijana mimi na watto wangu kwenye mambo hayo
Amina mungu hua hakosei kupandkza mbegu ambako anajua kabsa lazma itaota na kuzaa mia
Ameen
Hii sifa ya watu wa kigoma jamani hadi raha,huyu mama abarikiwe sana ❤❤❤
Amen Amen
Beautiful hallelujah hallelujah amen
Amen 🙏🙏
Baba wa mbingu na nchi na azidi kukuoa nguvu za utimishi ndani Yako
Vitabu vinapatikana wap