GHARAMA YA KUTUNZA NENO LA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2022
  • Neno la Mungu siku zote linapokuja kwako huwa liko kinyume kabisa na mazingira yanayokuzunguka, lakini pia huwa kinyume kabisa na uwezo ulionao. Mungu haangalii uwezo ulionao nje bali uwezo aliouweka ndani yako. Siku zote kutunza Neno ambalo Mungu ameliweka ndani yako huwa kuna gharama, kuna muda huwa sio njia rahisi kabisa na inaumiza lakini mwisho wake ni mkuu sana. Huyu mwanamke aliingia kwenye gharama ya kutoa chakula cha mwisho alichokuwa nacho ndani na kumpa kwanza Eliya, usidhani kuwa alikuwa anatoa akiwa anafurahia, inaumiza lakini kupitia hapo aliingia kwenye muujiza mkubwa na umasikini na njaa vikaondoka kwake kabisa.
    Kwa yule ambaye unapitia hali hii Mungu akutie nguvu, safari hii usiishie njiani maana kuna Utukufu mkubwa mbele yako.
    #PastorSunbella#Gharama#KutunzaNenoLaMungu

Комментарии • 68