KIJANA ALIYECHOMWA KISU NA KAKA YAKE ARUSHA ALIZA WATU MSIBANI “NI HUZUNI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024

Комментарии • 48

  • @hasanitemba2045
    @hasanitemba2045 22 дня назад +7

    Kiukweli huyo jamaa kaongea hulka najua kuna namna hawa watu wa aruha wanatakiwa wawe makini wamepitiliza ubuni

  • @briankarua2131
    @briankarua2131 21 день назад +2

    Rest in Paradise Mathayo.

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 18 дней назад

    Hapo ni kama hauko karibu na mungu.Uwezi kuelewa Ilo tatizo siyo Arusha tu.
    Juzi Tanga Tena shule watoto ambayo ni mabinamu wameuana kisa kuzima taa alafu shule boarding hizi ni roho za kurithi za mababu lazima mungu ahingiliye kati mnagombea ardhi haya mwisho wetu ni ardhi kutumeza amini Kila mtu atafunikwa na udongo

  • @Kapandetv
    @Kapandetv 22 дня назад +5

    Malipohapa hapa dunia mungu anajua

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 21 день назад +1

      Arusha nasikia wanatafuta pesa sana sasa mbona wanamind vitu vidogo vidogo utakuta mtu anashamba heka moja wanakuja kuzozana kwa hatua moja na jirani yake,mtu anaviwanja 10 anakuja kumtoa mtu roho kwa kiwanja kimoja,haya ndizi tu mtu kamchoma mwezeka kisu, mtu tena mdada kamtoa uhai mzazi wake kwann hauzi mashamba wagawane mali ni shida mtu tatizo hawaangalii tatizo kwa upeo wa mbele zaidi na hao ndo wanajisifia wamesoma. nini kifanyike kupunguza matukio ya kijinga na vifo?

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 22 дня назад +2

    Ya Raby! Maziko na nyimbo.

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 19 дней назад

    Arusha wanapenda sana mashamba kuliko uhai wa mtu😊

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 21 день назад +1

    Nimalezi ya wazazi tumeferi hapo vijana wamekua tegemez na wapotayar kuuwana kwa milasi. na wamekua wavivu sana. Nazuruma. Afya ya akiri nitatizo kubwa san wao kama nifashen kua vile ikichangiwa mapombe. Bangi nk serikal ibadilishe sheria za uharifu. zuruma kama nikunyonga au kutaifisha mali za wiz isichukue muda ili kukwepa rusha. za maamuz ya hak. Pia Mungu apewe nafasi yake. Kwa lolote🙏

  • @emmanuelmilawi8037
    @emmanuelmilawi8037 22 дня назад +2

    Nina kila sababu yakusema kua police huwa wanazembea kwenye utatuzi wa vyanzo vya migogoro hiyo na mwishowe kupuuza mpaka mtu anachukuwa uwamzi huo

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад

    Bangi nyingi arusha

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 19 дней назад

    Mgomba una sababisha mtu ana muua mwenzie 😢😢

  • @mtotowapili6114
    @mtotowapili6114 22 дня назад

    Duh!!!! Hii dunia ipo mwisho sana😢😢😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 20 дней назад

    😢😢

  • @ellianoah1416
    @ellianoah1416 22 дня назад +1

    Inauma kwakweli nilikuepo leo hapo msibani,poleni wana ndugu

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 22 дня назад +3

    Arusha laana ya majina mabaya kwa watoto wenu, itawamaliza. Hamkuzaa wadudu.

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 21 день назад

      Wadudu ni aka ya wahuni ila sio jina halisi

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 19 дней назад

    Arusha wanapenda sana mashamba kuliko uhai wa mtu

  • @user-rh5iy3ei3g
    @user-rh5iy3ei3g 19 дней назад

    Mambo ya wazaz kuchukukua vitu poa sasa wamewakosa watt wote,katili anaenda magereza,mwingn ndio huyo hayupo tena 😢..yaraby tunusuru

  • @hasanitemba2045
    @hasanitemba2045 22 дня назад +2

    Mbona sisi wahuko lakini haruwi hivyo dhambi kiukweli

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r 20 дней назад

    Jaman unamuua mwanadamu mwenzio kama mnyama bila huruma😭😭 apumzike mahali pema

  • @rozirashidi5950
    @rozirashidi5950 21 день назад

    Safari yake kamaliza je?alibaki anaenda wapi? Mrudie I mungu siki za mwisho hizi.

  • @felistamollel9899
    @felistamollel9899 20 дней назад

    Du ARUSHA kuna nini jamani mbona hivyo 😭😭😭😭🙆🙆🙆 ee Mungu tuhurumie!!!!!

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 21 день назад

    Mmuaji altakiwa awepo gerezan mda mrefu

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 22 дня назад +1

    Ukiskiaga hel za nyoka ndio hizo sasa

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 21 день назад

    Kanda maarum ya Arusha noma

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 22 дня назад

    MUUAJI WAJIBU AUWAWE.....BILA KUPOTEZA MUDA.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 22 дня назад +1

    Mbona huyu dada anaongea bila ya
    Huzuni.

    • @bina2557
      @bina2557 21 день назад

      Sio kila mtu anaruhusu huzuni umtawale

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 22 дня назад +1

    Ugomv hauelewek mtu anapig kisu

  • @user-tw9wu2gz4g
    @user-tw9wu2gz4g 22 дня назад

    Arusha mtaelimika lini?

  • @user-se9no4rg3k
    @user-se9no4rg3k 21 день назад

    Arushaa kwamatukio mnaongeza fanyani ibada jaman

  • @marygracemsigwa5757
    @marygracemsigwa5757 22 дня назад

    Arusha mna mapepo

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад

    Bola hukumu itolewe anaeuwa naye auwawe

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 22 дня назад

    Ameuwawa na mukubwa yake nasiyo mudogo yake

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 21 день назад

    hivi mvayo sema kwa madai kwamba kachomwa kisu? kwa madai, ina maanisha hakuna uhakika. sasa wewe mtanganzaji tuambie basi amekufa na nini?.mkiambiwa mjifunze lugha hamtaki.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 22 дня назад

    Daah! nawaza ni jinsi gani huyo muhusika anajisikiaje kwa sasa

    • @njuka3515
      @njuka3515 22 дня назад +1

      Ana Aman Kwa vile katimiza lengo Kwani kashindwa mara kibao

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 21 день назад

      Naye yupo gerezan

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 21 день назад

      ​@@njuka3515hana amani, mqana ni ndugu yake. Guilty will haunt him until anaenda kaburini

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 19 дней назад

    Arusha kuna watu wahuni mji wa kijinga sana 😢😢

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 22 дня назад +1

    wamezoeya kuchinja ngoombee kwahiyoo hata binadamu wanajua nigoombee tuu yni nishidaa sanaa

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 22 дня назад

    Usela mavi,hamna lolote chuga chuga nn

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад

    Sasa wazazi kwl watalia au ndo watafanya sherehe

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 20 дней назад

      Watafurahi watoto wameuana sasa wataishi kwa amani !

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 22 дня назад +3

    Bangi za Arusha ndo shida, unaweza usivute lakini mzazi aliipiga nakuingia kwenye ubongo wako ukazaliwa ukiwa kichaa

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 22 дня назад

      😂😂 kumbe hiyo ipo

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 21 день назад

      Nimekua nao japokuwa si mvuta bangi, bangi kama pombe ilivyo ukiwa na malezi mabovu kwenu yenyewe ina boost hizo tabia. Bangi sio kisingizio

    • @bbclondonulimwenguwasoka6126
      @bbclondonulimwenguwasoka6126 21 день назад

      Kumbuka mvuto 1 Miaka 7 kichwani