KUTOKA KUWA NESI HADI KUMILIKI KITUO CHAKE CHA AFYA AKIWA NA MIAKA 35 TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • Leo kwenye exclusive interview tunakukutanisha na mrembo Paskalinah mwenye umri wa miaka 35 ambaye aliamua kuacha kazi serikalini na kuamua kuanzisha kituo chake cha kutoa huduma ya afya kilichogharimu zaidi ya milioni 50 ambazo zimetokana na jasho lake maana alianza kutunza na kujinyima kwa muda mrefu lengo ikiwa ni kutimiza hiyo ndoto yake
    Paskalinah anaeleza kuwa ameamua kuanzisha kituo hicho kutokana na msukumo mkubwa alioupata baada ya changamoto ya kiafya iliyomkumba mtoto wake ndo akaamua kuanzisha kituo hicho kama kulipa fadhira kwa Mwenyezi Mungu na kusaidia jamii inayomzunguka
    Haya pamoja na changamoto nyingi alizozipitia mpaka hatua hii ameeleza yote kwenye exclusive interview ikiwemo kupoteza zaidi ya milioni 30 katika uwekezaji wa awali lakini hiyo haikumkatisha tamaa ya kuzidi kupambana

Комментарии • 134