BI FATMA ISSA AFUNGUKA MAKUBWA DKT MWINYI ATAJWA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 24

  • @AminaOthman-b4f
    @AminaOthman-b4f 2 месяца назад +5

    Allah atakufanyia wepesi wa kila jambo bi Fatma Issa.. Ameen

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 2 месяца назад +1

    Mashaallahu ddaaah Natamani ningekuwa kijana enzi za Hawa. Lkn diamond anatuharibia Watoto

  • @sweetylove9918
    @sweetylove9918 2 месяца назад +6

    Mrudie Munguwako Mamaangu iyo kutetemeka mpaka unaanguka ukisimama niishara tosha yakuonesha umekua nasimdogo tena mrudie Molawako basi inatosha ulipoimba sasaivi jikaribishe kwa Mola kwani maisha nimafupi mno Allah atujaalie mwishomwema kwasote jamiilmuslimina.

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 2 месяца назад +5

    Kazeeka lkn ngozi yake bado iko vizuri km mtoto haina makunyanzi... black is beauty ❤

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 месяца назад +3

    Hii ndio saana na inafika kwa jamiii na watu wanaelewa sio sasa kila kitu matusi makali. Kazi ya sanaa ni kufikisha ujumbe jaamii ifaidike. Ubarikiwe bi f

  • @SAMJIKASSIM
    @SAMJIKASSIM 2 месяца назад

    Magwiji wangu wa mda wote ni huyu mama, Marehemu Khadija Baramia na Sihaba Juma

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 месяца назад +2

    Ooooh! Binti huyoooh🎉🎉🎉

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 месяца назад +5

    Jamani ana lafdhi nzuri ya Kiswahili….Bi. Fatma

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 месяца назад +4

    Dingi Daru jua lishazama tubia Tena Rudi Kwa mungu wako

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 2 месяца назад +1

    Macho Mbona hayatulii Au kushangia uchawini

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 2 месяца назад +1

    Maishallah

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 2 месяца назад +3

    Sauti natural haijachuniwa wala habani sauti km kina .......

  • @AbasRaiya
    @AbasRaiya 2 месяца назад +1

    Next place

  • @FadhilAbdulrahman-mw8nu
    @FadhilAbdulrahman-mw8nu 2 месяца назад +1

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @SeifRashid-bd1qn
    @SeifRashid-bd1qn 2 месяца назад +1

    Asalamalykm eny waandishi ,mbona wazee Badsworth tena wanaumaarufukwa kiwango Chao mfano yupomzee seif (Al sahaf)) nambayake nihiyohapo yupokijichi nayuppolive.

  • @threyahejre6405
    @threyahejre6405 2 месяца назад +1

    Alekom salam🎉🎉🎉

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 2 месяца назад

    njaa kali

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 2 месяца назад +1

    Hamzeeki wazee as zamani kwa mafuta ya NAZI Tu. Hamkuwa na Mambo mengi ya kujichubuwa km Watu wa Leo.

  • @maymunakhelef2154
    @maymunakhelef2154 2 месяца назад +1

    Viwanja vipo bi Fatma mm nataka

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 месяца назад +1

    DaFatma mrisho yuko wapi mtoto wako tulisoma wote

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 2 месяца назад

      Ukitaka kumpa mrisho Ssdun watafute wapenzi wa Jang'ombe boys

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 2 месяца назад +6

    😂😂😂Uyo rais bas wako peke ako kuimba kote uko bado unaomba vitu kama hivo

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 2 месяца назад

      Anatembelea nyota ya mwanahawa...kila Mmoja na nujumu yake