MWIJAKU AMZUNGUSHA HARMONIZE KWENYE MJENGO WAKE KIGAMBONI
HTML-код
- Опубликовано: 4 янв 2024
- Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
MWIJAKU AMZUNGUSHA HARMONIZE KWENYE MJENGO WAKE KIGAMBONI
#zamaraditv #mambonimengi Развлечения
I realy love how harmonize and Ibra socialize hawana maringo mingi...big up... straight outer kenye❤❤
Huzuri wa mmkonde hanaga zarau sbabu yye maisha aliyoptia anayjua vzr na sis tulianza mftilia tngu bss
Tembo🐘 ako so humble Mashaallah ❤
Sanaaaa mpk Raha mashaallah
Huwez Amin kumbe yule ambae unamfanyia uchawa anakupa pesa nawe ukatumia akili kuzitumia badae anakuja kukuheshimu Sana, congratulations Bro😊
Yani Master WA Bongo WA kiume skuizi Wana akili yakutafuta pesa na kufanya maendeleo ikiwemo kujenga na kuoa,sio zamani wakipata pesa wanaspend na mademu wmisho wake wanafilisika nakuanza kungada,Big up Mwijako,Baba levo,Aristooooteee,Dimond ,Harmonise na wengine wanaojielewa
Mwijaku mimi sikupingi baba keep up✊🏻
Allah azidi kukuzidishiye kaka yangu.
Kwa kweli umefaa kazi kubwa.
Congratulation once again
From Kenya congratulations DC
Hongera sana mwijaku ktk maisha ukifanya kitu kizuli lazima ujisikie faraja sana, ni mfano wa kuigwa maana vijana acheni kuiga ujinga igeni mambo mazuri, muulize kafanyeje mpaka kafikia apo ndio maisha sio leo kidimbwi anakuja msanii gani ilimradi mpate pombe zabule😂😂😂
Good up kaka umetisha ❤
Mungu akujaalie.iwe salama ,usije ukafikiri wote hao uliowaalika wanafurahia mafanikio Yako,ingekua na mie ningefanya tu Dua na kuhamia,wengine wangejua tu pole pole kwajili ya usalama
Haswaaa lkkn anainad mno
Yani uyu inaonekana alifunga naziri ndio mana anafanya Ayo kiukweri mfano kwa wasanii waliowengi wanapangatu
Inatakiwa wajifuze apo sasa kama kujenga sio KAZI aswapale unapotiania kilakitu hinawezekana wapunguze kujikubali wawekeze vitu kama ivi
Jamani ukifanya kitu kizuri kina Raha na hata Mwenyezi Mungu alisema zioneshe neema nilizokujaalia kwa kunishukuru na kwa waislamu wenye Nia njema wanawaombea Dua hi yo vitu visipatwe na husuda Ila kujizuia kutangaza si kazi ndogo
Tayari dua imepita ndiomaana Leo kawaharika wasaniwezake
Vyote sawa! Hongera sana! Tahadhari tu hizo ngazi kama meli ndugu yangu!
Hongera DC mwijaku,mungu azidi kukubariki
Ongera kaka mungu akuzidishie inshaallah
Wow mwijaku kelele. Zimeleta. Faida big up broo 😂🎉
Hongera sana my brother,bila shaka sasa wengine wataanza kujitambua kupitia wewe na watafanya makubwa zaidi
Hongera sana mwijaaku 👌👌
Hongera Sana mwijaku
Mashaallh hongera kaka mwijaku
Kusapotiwa ni vitu vya kawaida muhimu kutumia akil kama mwijaku, watu washaanza ooh anatakiwa amshukur diamond n sawa lkn nae amebebwa akajishikilia sio kama wengne wanabebwa wanajiachia, mwachen mwijaku katoa funzo kubwa kwa wengne wanaopenda kila bata sana bdo wpo nyumba za kupanga, hongera DC
Ni moja ya hatua mzuri yaaani kumbe Mwijaku yuko Perfect for 100% kiasi hiko duuuuh hii ni fundisho kwa watu ambao wanambeza Mwijaku
Mungu azidi kukuongoza vema mwijaku na muzidi kushikamana upendo uhendelee na konde famiry❤❤
Congratulations❤❤❤
ila mwijaku unaheshima sana Mungu akutunze.....nimependa unavyomwambia harmonise umeniheshimisha ...choppa mmeniheshimisha wallah....😪😪😪
Haahahha ad wanafik mnakubar shoo kwer hela noma
@@landmadvdmbeyacity9561mwanangu ukiwa na ela watu wansahau mabaya yote mamae
mnafki nan sasa hapo,,acha ulevi mkuu@@landmadvdmbeyacity9561
Mashallah umeupiga mwingi mnoooo ❤
Jamani wasanii tz chukueni mfano uliobora ombenimaarifa apo ongera sana mwinjaku umefanya kazi. Mzuri sana
Nina furaha kwa ajiri yako Mwijaku hongera sana broo
Hongera kaka🎉❤
Mwejaku congratulation for your villah.my Allah bless Harmonize for help to the poor
Hongera bro
Congratulations 🎉🎉
Hongera Sana bro 🙏 congrats
Ongera sana mwijaku acha wakusema waseme
Ongera sana bro mwijaku hii sio wale wanaopiga picha na nyumba za watu
Nampenda harmonize wallah Hana majivuno
Hana kabisa konde wetu
Congratulations mwijaku❤❤❤❤🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲
Hongera
Congratulations mwijaku
Tukumbuke fahari zote hizi mwisho wa siku Allah anatuhitaji tumwabudu.
Kumbe kaka mwijaku una akiri ivi hongera sana broo
Hongera xana
Hongera sana mwijaku siyo kazi ndogo
Ongera sanaa kaka
Waaooh inafrahisha sana kabisa hongera kwake mwijaku
Hongera mwijaaaakuuu🎉🎉🎉🎉
Big up brother
Mashaa alla mwijaku
Kwa kweli nakupongeza na mungu akulinde na macbo ya mahasidi kwa sbb kuna mastaaa wakubwa hapo tz bado wanakodi. Nyumba kutuonesa pesa tu
Ongera sana Mwijaku🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Zamarad unakuja kwa kas Sana ad raha
Bigup Kaka
Hongera sanaa
Hongera mwijaku
DC umeupiga mwingi Hongera sana 🎉🎉🎉
Hongera sana
Congratulations 🎊🍾🎉
Ongera sana ndugu yangu
Inapendeza sana
Nakubali sana mwijaku piga kazi baba usiwe kama baba levo maneno meng vitendo hakuna
Hongera sana kijan
Mwijaku hongera sana na pia Harmonize ni mtu mwema sana kwako yaani staa mkubwa ivyo kakuwakilisha 💯 kwa 💯
Nyumaba kubwa Ila kainyima nyumba, si ungefanya hata vyumba vitatu, waha wenzio tukija dar kufikie kwa Kaka mwijaku😅😅😅
Aise
Sijaipenda i video reason mbona Ibra hana time ya kuongea naye mbona ivo lakin Mash37 from kenya
Kuna mwimbaji aliimba wanaokudhalau siku moja watakusalimia kwa heshima leo watu wote walikuwa wanakuita majina matus kibao leo wanakupongeza hongera sana
Nina Iman wote tuliocomment hapa tunaenda kupambana ili tuweze kupata mjengo Kama wa mwijaku wote tuseme Amina, inshallah 🙏
Amen
Amen Nimependa sio kuonea wivu wa kijinga umesema poa
Amiin
Amina
Brother ongera sanaaa ila nilivo mtazama hermonaize kapenda sana ila kapenda zaidi ukojuu kawa surprised sana
🎉🎉🎉 mashallah 💝 ❤ 🎉
Congratulations chawa promax
Napenda mwijaku anavyo jifanya kama mjinga kumbe anajia anacho fanya
Congratulations home boy
HONGERA SANA MWIJAKU ENDELEA ZAIDI UMETHIBITISHA SANAA INA HELA
Good
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 on love 🤲🤲🤲🤲🤲
Congratulations
Hongera kwa mapambano kaka hatimae mafanikio yanao ekana
Hongera mwijako kiukweli lakin mimi nimekuwa Thomaso😂😂 kidogo siamin Mungu atupe umri kwa hapo baadae tutakujasikia waziri fulani anadai mwijako ampishe kwenye nyumba yake😂😅😂#time will tell
Hongera sana kama ni kweli nyumba yako ila hizo bei za milango za vitasa umetupiga umemtumia kazi yako ya usanii na kama unamtumia usanii kuwa sio nyumba yako hapo inafanya udalali kwa Mr. Khalid utanikera sana mwijaku udalali fanya kwa maana kazi ni kazi ila usijisifu kama sio chako.
❤❤❤🎉
Acheni uchawa na nyie mwenzenu akifanya kitu kizur anastaili pongezi, big up mwijaku
Mwijaku hawezi kujenga nyumba kma hii sema anapenda sana kiki yan hafanani na nyumba hii bhana mi sijawah kumwamini mwijaku, but hyo nyumba ni ya mkewake coz mkewe ni mwasibu bank flan hv
😮😮😮😮
🎉
Hapo harmonize hajara wara kuvuta bangi mwijaku nae hajaweka ugoro
❤❤❤
Doto magari yupo wapi
❤❤❤❤❤❤
Zamaradi jitahidi ku advance kwenye quality ya sound Za video zako
Konde ana sifaa
Courage vieux mujaku
Duu🤔🤔wewe sio chawa Tena ni muheshimiwa🤚🥰🥰🥰
mwijaku is big ft ulikua una bweka sana mm nilikuelewa nikakwambia wewe unatumia akili na elimu uliokua nayo ukaniambia asante mdogo wangu ona sasa umewaacha midomo wazi watu wewe umetisha sio kama huyo mapua na mwenzie h mama
Hbaba hana gari atakua na nyumba
Mapua anabonge la nyumba na nyumba nyingine nne exclusive hii nakupa
Nimesikia konde akimtonya mjaku kitu kuhusu watu wabaya😂
MashaAllah ❤❤ ongela DC mwija
Hata mimi nataka nikiwa mkubwa nikasomee uchawa choo kikuyu,hii fani inalipa ❤
😂😂😂😂😂😂
Uhakika
Kujenga jengo kama Hilo sio mchezo aisee mpaka Sasa Kuna watu haawaaamini
Hao nao mgambo wa harmonize 😂😂 kha!!
mpaka Leo sauti Zina washinda
alafu mnataka na wenzenu
mnatu malizia MB tuuu vilaza
ukiwa na ela.unaheshimika unapendwa watu wanasahu aibu zote
Ibra mrefu uyoooo