Manshaallah Allah akutangulie sheikh wetu. Namuomba Allah akujalie uweze kufanya ziara Ya Jordan kuutembelea mti wa ajabu "The only living Swahab". maana ulitoa historia yake vizuri sana. Natamani ufike Sheikh.
Ndugu huo sio uislam ,,yy aseme kama ameenda kutafuta dawa ila asitumie kigezo cha kini ,,hakuna ki lichoachwa kufundishwa kwenye dini yetu,, tena sure amche Mola wake mlez
Mpunguzage ujinga kwani kua wa kwanza ndio nin unaacha hata kumshujuru mungu na azid kumpa saha na afya Dr sulle unakumbilia wa kwanza kwaio tuku fanye nin
Elimu ni muhimu sana...Dr wa Dini hawezi elewa what is Nature and Geography hapo basi amesimama bila kuelewa what is Volcanic force and Tectonic Forces.
Yaani jamani, Dr Sulle kiukweli kutoka kwa ndani ya moyo wangu, Mungu wa kweli ktk Kristo Yesu, natamani kuona unamhubiri Yesu Kristo. Mungu afanye njia juu ya hili
Mbona ana muhubiri sana Yesu ..... fwatilia video zake za zamani amemuhubiri sana Yesu Kristo ....amehubiri Maryam Mama wa Yesu kuwa ndio Mwanamke Bora duniani kuliko wanawake wote duniani tangu kuumbwa ..... amehubiri sana habari za Yesu mfwatilie
Ustadh wangu wewe ni msomi mzuri na umesema kuwa ni volcanic lake na sifa hizo ni za volcanic lakes pote duniani. Cha kushangaza na uelewa wako wote, bado unataka Ku tap Imani za watu. subhanAllah sheikh, tumia elimu yako vizuri. Allah akupe mwisho mwema ustadh wangu.
Shukran sana.. Inshaallah jitahid sana Kuufuatilia/Kuusoma Uislamu na ukikupendeza fanya Maamuzi Magumu uwe Muislamu Muumini. Kuna baadhi ya Wakristo hudhani, husema na huamini eti Mwana wa Maryam tu ndiye aliyefanya Miujiza na Kwa Miujiza yake basi eti wamefanya (Yesu) ndo Mungu Wao!🤫
Asalaam aleykum warahamatullahi wabarakatu! hongera sana Doctor sure mwenyezimungu akupe unlike mrefu inshaallah, pia hapa kawe mzimuni liliwahi kutokea tukio kama hilo ila hapa msikiti na kijiji vyote vilizama na eneohilo kwa Sasa linatumika kuzikia walimnyima maji sharifu
Vipi unaamini Biblia badala ya kuamini INJILI?? Vipi unaamini MUNGU wako ametoka kwenye tumbo na uchi wa Binaadam badala ya kumwamini MUNGU asiye zaliwa asiye na mama wala babu?? Hivyo kuamini jambo ni juu ya mtu mwenyewe.
Siyo kweli maelezo yako yanakinzana nadharia za kutokea kwa maziwa Kama hayo, kwetu Rungwe Kuna ziwa Ngozi . Ni mabwawa au maziwa ya asili yanayotokana na mripuko wa magma kutoka chini kitendo hicho kinaitwa volcanism
ALLA akuzidisheye umri na kupe memakatika duniani na kesho akhera
Manshaallah Allah akutangulie sheikh wetu.
Namuomba Allah akujalie uweze kufanya ziara Ya Jordan kuutembelea mti wa ajabu "The only living Swahab". maana ulitoa historia yake vizuri sana. Natamani ufike Sheikh.
Huko ndio kuna stori ya kweli sio hio comorro
@@Fardadihdacha ujinga kama hzo za uongo andaa channel yako ya ukweli
Mungu anakudrazake Kwakwelii sheikh allah akupeumri mrefu kwakutujuza ulichokiona atupe nia tufike kotehuko
Mashaalah shehe wetu Kwa kutupatia elimu hiyo, mwenyezi Mungu akulipe heri zaidi,,,, naomba zawadi ya maji kutoka bwawa hilo la maajabu.
Mashaallah allah jalia umaty Muhammad ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Allah akuzidisheye Ameeena yarabi 🤲🤲🤲
Amina yarabby atujaalie sote na sisi tuje tujionee
fanya kazi shekh kosowa dini ya Allah malipo yako iko kwake Allah ❤
Ostazi dr sure mashalla kwa historia muku akupe maisha malefu
Ma shaa Allah
Jazakallahu khairah alhaj sule, kwa kutujuza hayo. Kwakwel tumepata faida
Allahu Akbar kweli duniani kuna maajabu mengi shukran sheikh wetu tumepata faida bila kwenda huko Comoro
Hahaaa iyo kaaba imejengwa na wanadamu
@@AdnanMohammed-l6indio ni Nabii Ibrahim na mtoto wake
Mungu akujalie shekh wetu
Allah akuzdshie na mm naomba nifke ili nijionee lshalah❤
Karibu Comoro …na hapo kuna maajabu sana nishawahi kwenda chini ….may Allah protect our continent nd the the rest of the world insh’Allah..🙏
Mwenyezi Mungu akuinuwe zaid nduguyang
ALLAH akufanyie wepesi sheikh, katika tafiti zako mbalimbali
Mashaallah Dr Sule kiukweli din yetu ni dini ya kwel Allah awajaalie wale ambao sio Waislam wabadilishe din na kua Waislam inshaalah
Kweli kuna maajabu Allah akulinde shekhe wetu
Mungu akubariki amimo Moçambique
ALLAH AKBAR,,,HII KUBWA SANA SHEIKH JAZAKALLAH KHEIR
Ndugu huo sio uislam ,,yy aseme kama ameenda kutafuta dawa ila asitumie kigezo cha kini ,,hakuna ki lichoachwa kufundishwa kwenye dini yetu,, tena sure amche Mola wake mlez
Mashalla ndugu apo kuna mazingatio mm natia Nia inshallah nitafka apo
Allah akuzidishie
Màashallah.... Allah azidi kukuzishia umri mrefu shekhe wetu uzidi kutupa elmu
MashaAllah. nakuelewa sana
Allah ndie ajuwae.sio Allah na Mtume Swalah Allahu alayhi wasalam
Mashallah Allah akulipe kila la kher shekh🎉
Allahu Akbar Dr sule Allah akulipe kheri
Allah akubariki sana dr.sule ziara zako zinanipatia darasa kubwa sana
Mashaallah sheikh wetu
Mashallah sheikh unatufundisha mengi
Allahu akbar ❤Allah akup umri mlefu sheikh wangj
Shukrani sana sheikh..
I have learn a lot
Shukran shekh wetu, tunaomba utuulizie huyo mtu mwema alikuja hapo mwaka gani kwa miaka hii ya kidunia au karne gani.
SubhanaAllah ALLAH nimjuzi wakila kitu
Sio miujiza apo kuna mizimu
Alhamdhulillahi kupitia channel hii nimejifunza
Pongezi Kwa kazi nzuri yenye mungu alitumia wwe Ili watu wawese kupona,,Nina swali Niki nikihitaji hayo maji naweza peta kweli ,juu mmi nko kenya
Mashaallah mungu akuluzuku
Masha'allah ila Utapingwa na wengi sana khaswa waislam wenzako,na wakristo
Nakupenda sana Dr Sulle
DR sulee nakuoba ufikee mjinikwetuu unaitwa M'vouni babao hukoo utafurahi sanaa kwasababu kunavitu ambazo huwezi kuzipataa mahalaa popotee nahukoo nimjii abaoo ngazijaa zimaa wanapwajuaa kwamajabuu
Hello
Duuuh leo umetupa kiboko ustadh Allah akulipe kila la kheri tulikuwa hatujuwi
Allah akubarik❤
karibu sanaa Comores 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲 ❤
Asalam akeykum hivi naomba nikulize kufika comoro nauli yake sh ngapi
I admire to go back home
@@ayshazambia6509 inategemeaa kwasababu inapandaa inashikaa wakatii inakuaa million mojaa au lakii 9 ndio navokuaaa
@@abdullazaqjuma7592 semakiswahilii
Like zenu Leo nimekuwa wa kwanza
Mpunguzage ujinga kwani kua wa kwanza ndio nin unaacha hata kumshujuru mungu na azid kumpa saha na afya Dr sulle unakumbilia wa kwanza kwaio tuku fanye nin
❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️😂😆😆
mungu mkubwa jamani
Hawa watu wa like kumbe wako kila pahali mtu aniambie ni za kazi gani?
Asante sana
Masha Allah Al ustadh
Maashaala tabaraka lah Amin Amin Amin yarabil ❤
Sheikh nimepata kitu safi sanaa kwakuelimisha kwa kina MUNGU azid kukupa mwanga
Doctor Sule fanya mazoezi ndugu
Tulia wewe karuke ruke huk na karate zako
Allah akupe afya na jannat Ila Mimi ninaumwa ninaomba Allah wangu allahu rahman arahim anipe AF ya na mwisho mwema
Nimependa Hi
Shukran sana sheikh
ماشاء الله 💫
Wcs watahmatullahi wabarakatu
Mungu nimwema sana
Elimu ni muhimu sana...Dr wa Dini hawezi elewa what is Nature and Geography hapo basi amesimama bila kuelewa what is Volcanic force and Tectonic Forces.
Yeah ni volcano
Subhanallah AllahuAkbar
Amin
MashaAllah 💕
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuna kazi kubwa!
Wewe Unautumia Uislamu kwa kuchumia Tumbo Yako baas but Fahamu kuna siku Utaulizwa mbele ya Allah
Innalillah wainna ilayh rajioun
kwa hiyo ulitaka atumie ukristo kujaza tumbo lake?
@@salimchimwaga8384 Unataka Kusema Uislam ulitumilizwa tujazie matumbo ...?
Acha ukicha sawa
Acha chuki zako za kidini hii channel haikuhusu nenda channel zenu
Subhana’allah 🙏..
Yaani jamani, Dr Sulle kiukweli kutoka kwa ndani ya moyo wangu, Mungu wa kweli ktk Kristo Yesu, natamani kuona unamhubiri Yesu Kristo. Mungu afanye njia juu ya hili
Mbona ana muhubiri sana Yesu ..... fwatilia video zake za zamani amemuhubiri sana Yesu Kristo ....amehubiri Maryam Mama wa Yesu kuwa ndio Mwanamke Bora duniani kuliko wanawake wote duniani tangu kuumbwa ..... amehubiri sana habari za Yesu mfwatilie
Ustadh wangu wewe ni msomi mzuri na umesema kuwa ni volcanic lake na sifa hizo ni za volcanic lakes pote duniani. Cha kushangaza na uelewa wako wote, bado unataka Ku tap Imani za watu.
subhanAllah sheikh, tumia elimu yako vizuri.
Allah akupe mwisho mwema ustadh wangu.
Ku tap iman za watu ?
Hiyo message sijui inamuhusu nani! Mimi ni muislamu ndugu yangu.
Machala❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah is great for all people ❤❤
Salam alayku naomeni nomba ydr sule
Tutembee tuone maajabu ya Allah SHW. Kwani Allah ametutaka tutembee ulimwenguni ili tuone dunia alivyoiumba.
Subhanallah ☝️ Allahu Akbar
Amina ❤❤
Historia ya kweli kabisa hata mie naijua hio histiria ya komoro kweli kabisa
Mwenyenzi Mungu Ndiye Ajuaaye mambo yote ya dhwahiri na ya siri
Ok..
Mwenyezi Awabaliki
Mimi ni Mkristo ila namwelewa sana Dr Sulle
Shukran sana..
Inshaallah jitahid sana Kuufuatilia/Kuusoma Uislamu na ukikupendeza fanya Maamuzi Magumu uwe Muislamu Muumini.
Kuna baadhi ya Wakristo hudhani, husema na huamini eti Mwana wa Maryam tu ndiye aliyefanya Miujiza na Kwa Miujiza yake basi eti wamefanya (Yesu) ndo Mungu Wao!🤫
Asalaam aleykum warahamatullahi wabarakatu! hongera sana Doctor sure mwenyezimungu akupe unlike mrefu inshaallah, pia hapa kawe mzimuni liliwahi kutokea tukio kama hilo ila hapa msikiti na kijiji vyote vilizama na eneohilo kwa Sasa linatumika kuzikia walimnyima maji sharifu
MA SHA ALLAH
Usiamini kila unaloambiwa, Mungu ndiye ajuae
Vipi unaamini Biblia badala ya kuamini INJILI?? Vipi unaamini MUNGU wako ametoka kwenye tumbo na uchi wa Binaadam badala ya kumwamini MUNGU asiye zaliwa asiye na mama wala babu?? Hivyo kuamini jambo ni juu ya mtu mwenyewe.
Masha allah
Ni nchigani hapo iko wapi inshaala ❣️
Allah is the greatest.
Allhu hu Akbar 💖
Dah inashangaza sana hii
Muogope Allah sule subhanaullah Yani uongo kwako unaona kawaida sana
Mtu akishakuwa mshirikina owongo kwake kawaida
Amedangany nn
Hili lisha kuwa chawiii
Subhuhanallah ongea ukwel wako sasa tukuskie
Nenda uko uko comoro acha kuongea usichokijua
Shukran
很好
Hakika Tunapata elim nyingi kupitia wewe shekhe sule,, allah azid kukupa umri mrefu
I (if not we) really need tangible evidence of all that you are saying. Written history😊
Ungeanza na Bismillah halafu ndiyo urushe Hilo jiwe utapata majib sahihi
Shekhe Acha Utapeli kuna qiama...
Subhanallah!!
Siyo kweli maelezo yako yanakinzana nadharia za kutokea kwa maziwa Kama hayo, kwetu Rungwe Kuna ziwa Ngozi . Ni mabwawa au maziwa ya asili yanayotokana na mripuko wa magma kutoka chini kitendo hicho kinaitwa volcanism
Akili yako ni mgando sio kola kitu chanzo kinafanana na kingine hata sayansi ipo hivyo!
Allahu akbary😢
INSHAALLAH
Gravitational force vipi hapo hai apply kwenye kurusha jiwe?
Twende tukafanye tafiti ndugu yangu tuingie apo bwawan tuangalie kama Kuna Gravitforce!
Twende tukafanye tafiti ndugu yangu tuingie apo bwawan tuangalie kama Kuna Gravitforce!
Tagadharini Nduguzanguni Na Hawa Mashekhe Matapeli.
Watakunyishweni Maji Machafu na Pesa Mtoe.
Hawana Hata Haya
We hunaiman nd maan unaktan na hao matapeli kw7b unafanya maomb kw majaribio yaan we unamjaribu allah
Maashaallah ❤
❤❤❤❤❤Takikibiriii
Allahu wakbar
subhanallah 😢😢