Dr.Sulle:Ukiota nyoka Umekwisha!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 144

  • @KoisiiEverlin
    @KoisiiEverlin 7 месяцев назад +1

    Asante nimekjif

  • @plastidiacasmiry2234
    @plastidiacasmiry2234 3 месяца назад +3

    Maamini asemayo huyu shee japo ni kristu
    Mungu akuzidishie hekima ili wengi tujue kweli

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 Год назад +9

    Allah atukinge na maadui🤲🏾😢

  • @shameemahmed1130
    @shameemahmed1130 5 месяцев назад +3

    Asalam alaikum mimi nimeota ndoto ya nyoka sasa hivi tena mkubwa atufukuza mimi na mtoto wangu mdogo wa kiume...Ndio nikaja direct kutafta maana nikaona alots of Video za tafsiri but mm Sheikh wangu ni Dr Sule nika fungua hii kuskiza na kupata majibu Subhana Allah

  • @ZainabHussein-fs2rd
    @ZainabHussein-fs2rd 28 дней назад +1

    Asalaam alaikum.mm niliota nyoka wapo ndani mmoja mkubwa na wadodo wengi lakini wale nyoka wamejifunga limekuwa Kama limpira nikamwita mume wng akaja akamshika yule mkubwa kichwani akawatoa nje.nn maana yake.

  • @Abdulkadrimbonde
    @Abdulkadrimbonde Год назад +23

    Assalm alkm niliota ndt ya nyoka na ikanijia tena mchana nikadharau nilipokua narudi masjd wakati wa isha nikamkanyaga mlangoni kwangu lakini allah akaniepusha nae akuwahi madhara alhmdulillah

    • @islaahislamictv9085
      @islaahislamictv9085  Год назад +2

      pole sana

    • @amylohluali7262
      @amylohluali7262 Год назад

      Mh! الله المستعان

    • @AmidaIRAKOZE-uz3in
      @AmidaIRAKOZE-uz3in 11 месяцев назад

      Ndoto y nyoka hatari sana.mi huwaga naziota mara nying san.n kuziona live .

    • @abdulazizzubery5136
      @abdulazizzubery5136 3 дня назад

      asallam alykum sheikh mm nimeota nyoka kamgonga rafiki wakat nataka kwenda kumwambia awe makini pale mtoni anapochota maji nikajikuta tayar nimechelewa na tayr kashagongwa na nyoka ivo nikakuta watu wanalia wanajua amekufa lkn mm nikaawaambia bado hajafa ni mzima na badae rafik yangu akamka je nin mana yake​@@islaahislamictv9085

  • @ConstanceneemaRobert
    @ConstanceneemaRobert 11 месяцев назад +3

    Umenigusa maana hii ndoto inanifuata sana

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 3 месяца назад +1

    Walah nakukubali shegh wangu mh alla akuweke sn uzidi kutuelimisha.

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 2 месяца назад

    Allah tukinge na ndoto mbaya subhanallah 😢😢

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 Месяц назад

    Shukran Jazaka Allah Khery

  • @AsmaRobert
    @AsmaRobert 7 дней назад

    Assalamualaikum mm naotaga nikiwa mjamzto

  • @SamiaLamama-zf6hk
    @SamiaLamama-zf6hk Месяц назад

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuhu walaahi sijaamini kwasababu kila aina ya ndoto ulizotaja zote naziotaga. Tukiachana na ile moja tuu la kunkatwa na nyoka. Na matokeo nipo nayaona. Na ndoto naota bado😢😢 najikuta nalia zaidi. Kwa kweli nilikua nawaambia ma watu ili nipate tafsili ila nilikua natafsiliwa tofauti ndo maana nikawa na puuza.
    Mtu anawez akaepukana nayo aje???
    Naomba tiba kama hutojal

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 9 месяцев назад

    Subhana Allha mm leo mida ya saa kumi na moja alfajili nimeota nyoka yupo ndani kwetu kabisa arafu hicho chumba tunakaa kuna shimo ainaingia na kutoka akiwa anawatt wakae baadae nikatoka nje nyoka akawa anatoka ndani anakuja nje akaja akanirukia shingoni akajivirishi shingoni kwangu kwangu mpaka nikaona nimekata pumzi nikastuka na kushika shingo yangu nikaisi kabisa nimekabwa subhanallha Allha atunusuru mara naona panya mkubwa sana kanikalia shingoni

  • @MamaSauda-yr7gm
    @MamaSauda-yr7gm 8 месяцев назад

    Asalam aleikum mm nikonzanzibar niliwahi kupata ndoto ya nyoka lakni alikua pembeni yangu tukitupiana macho nakuendlea kulala... lakni cha kusitajabisha mm saiv sipati ndoto ila nakumbana na nyoka live ndani mwetu na mm ndo hua naona mwanzo chooni mara mbili...katika kizingiti... ivi shekhe sule inamana gani na haya mmbo...

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Месяц назад +1

    Mm. Ninaziot San nyok zinanikimbiz azinishik ilaa nashanga majuz naot a nyok IPO bonden kwachin na muona ndug Yang mwiko naopikia ukageuk nyok nikakimbia ikanifat nakuni donow mikonon kesho yak nilitup ule mwiko yan

  • @Sssqw12Aaaq-ck8up
    @Sssqw12Aaaq-ck8up Год назад +1

    Shukrani Mimi naitasana nyoka naukweri ninamaadukiasiya kwambia awajifichi iranirikuwa naomba namaanaya kukimbizwa na ngongoti tena awaimoja wanakuwa wengi irawaawanipati nini maanatake shee naomba nisaidie

  • @KalumeShabi
    @KalumeShabi 26 дней назад

    Assalamu'alaykoum warahmatoullahi wabarakaatouh yaa oustaz.
    Sasa ukiota umefatwa na nyoka baadaye imemuuwa ao haukuweza kumuua Tasfiri yake ni nini ?
    Please usikose kutupa tiba la kuepukana na ozo shiri InshaaAllah.

  • @FrankKimario-w1t
    @FrankKimario-w1t 2 месяца назад

    Nakukubali sana mzee sule kazi njema

  • @ZamdaJuma-n1x
    @ZamdaJuma-n1x 2 месяца назад

    Shukran sana shekh 😢 niliota nyoka yupo chini ya uvungu kila nikitaka kumupiga anajificha mwisho nikamkatakata vipande vipande..nieleze shekh hii inamana gani

    • @BimlatJuma
      @BimlatJuma 21 день назад

      Adui alie Kua anataka kukuzuru umemuangamiza wenda malaika wako n wakali wanakulinda

    • @ZamdaJuma-n1x
      @ZamdaJuma-n1x 21 день назад

      @@BimlatJuma shukran sana shekh sasa nmeelewa

  • @SakinamohammedSakina
    @SakinamohammedSakina 4 месяца назад

    Asalam alaikum warahmatulilah wabarakatuh ustadh..mm nliota tukiwa nyumbani kwetu Na familia yetu ,,gafla kkatokea nyokq mkumbwa akainua kichwa kmudona kakangu ..kaka aka mpiga kichwa gafla akiwa chini huyo huyo nyoka alikuwa Na vichwa vitatu akip

  • @SULEYMANMAGINA
    @SULEYMANMAGINA Год назад +2

    Aisee shaikher mim hilo tatzo nnalo tena sana kwahio nnaomba mswaada jaman
    AS-SALAM ALEYKUM WALAHAMATULLAH WABARAKATUH

  • @KhamisHamad-r8c
    @KhamisHamad-r8c Месяц назад

    Assalamu alaykum.Je ukiona nyoka kwenye nyumba unatakiwa umuuwe au umzungumzishe kwanza

  • @NIYONKURUJumaine-fm4sb
    @NIYONKURUJumaine-fm4sb Год назад +3

    Assalam alaykum warahamatullah wabarakatul Vp hali yako sheikh Samahani kwani mtu aki ota iyo ndoto Mara moja kwani ina kuwa na madhara Gani sheikh Wangu

  • @Chimami-r9p
    @Chimami-r9p 4 месяца назад

    Aslam alykm warhmatullah wabarakatuh ustadhi ata mm nilitoa ikiwa nimelala nayo nanilipoamka ikanitamkia nisiogope nilale ilikuwa ya rang ya dhahabu maana yake nini?

  • @matindeofsa
    @matindeofsa 10 месяцев назад

    dr sule vzur sana,, ila ukitafsiri tueleze sasa tufanye nn tukiwa tumeota hizo ndoto

    • @RatifaMbabala
      @RatifaMbabala 10 месяцев назад

      Mim nikiotaga ntoto zanyoka lazima nakuwaga mjamzito

  • @nyiranshimiyimanamadine6070
    @nyiranshimiyimanamadine6070 5 месяцев назад

    Mimi niliota nyoka mweusi nanika lishwa uwo nyoka Subukhanallah nimeskiya uoga

  • @ashuraa9079
    @ashuraa9079 8 месяцев назад

    Kheeee subbuhanallah 😢

  • @fatumamussa8397
    @fatumamussa8397 10 месяцев назад

    shekh mimi nilimuotea mtoto wangu kagogwa na yoka lakini asikii maumivu nikamchukua nikaanza kumkamua lakini anao ishinao awakunionyesha ushilikiano asubhi nikaambia anaumwa usiku hakulala

  • @MouhamedNasra-v1u
    @MouhamedNasra-v1u 10 месяцев назад

    asalam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh shekhe shukran mi pia huwa naota ndoto hiyo pia mwanangu wa mwisho halali huwa anapiga kelele kwenye ndoto usiku mpaka akiamka anapiga kelele akisema nyoka inampandiya

  • @Fatmah-u8r
    @Fatmah-u8r 7 месяцев назад

    Asalam alaykum warakhmatullah wabaraqatul sheikh mm niliota nafukuzwa nanyoka mkubwa kweli yuataka kuniuma kiguu lkn ilipo nikaribia nkaonyeswa gongo nakaipiga kwa kicha maratatu ikafarika hapohapo nkastuka usingizini naangalia saa nsaa tisa za usiku je inamaana gani

  • @hassadfazal3418
    @hassadfazal3418 Год назад +1

    Assalam aleikum warahmatullah, je mtuu akiota amevua samaki kubwa mwenzako amevua ndogo

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад +1

      Duuh hyo, sio kwamba umetoboa zaidi yao

  • @MwalikoRashidi
    @MwalikoRashidi 2 месяца назад

    Assalamualaikum
    Ostadhi tunataka mawasiliano yako

  • @AshurahRamadhan
    @AshurahRamadhan 8 месяцев назад

    Asalamu alaykum sheikh,napenda kujua nini maana ya kuota ndoto kuhusu mtu amekuja kudaiwa madeni na watu wasiojulikana??

  • @noahjoshua5649
    @noahjoshua5649 3 месяца назад

    Mimi niliota nyoka lakini wakiwa wengi sehemu moja na wapole wala hawakunitisha na sikuwaogopa! Sijui ina maana gani tu

  • @LETICIAJOHANSEN
    @LETICIAJOHANSEN 2 месяца назад

    Asnt sas Bab ang ,maan tok nimesimamishw Kaz bila kuambiw kos Kila siku naot nyoka

  • @christianishengoma7038
    @christianishengoma7038 4 месяца назад

    Mm naota nikoshule au makaburini mala naolewa nazaa nanyonyesha sielewi maanahu

  • @haithamdahillard8746
    @haithamdahillard8746 5 месяцев назад

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. Je na mimi sheikh nimeota nyoka wadogo wengi napambana nao hawakunidhuru bali Nimewauwa wote kila anae nisongelea ninapambana nao vikali na kuwamaliza. Mmoja mmoja . Tafsiri yake nini Ustadh?

  • @nurukimea3804
    @nurukimea3804 6 месяцев назад

    Mm nimeota ndoto nyoka ananikimbia kila nikimfwat anakimbia tena kwa speed

  • @saidmbedha
    @saidmbedha 4 месяца назад

    Asalam alekum niliota nyoka mkubwa amenikunja mwengine mweusi akaniuma mkononi je ina maana gani😢😢

    • @mwamoyomoyo747
      @mwamoyomoyo747 3 месяца назад

      MAADUI WAWILI WANASHIRIKIANA IMA KWA KUJUANA AU LA ILA MAADUI WOTE VITA WANAKUPIGA

  • @MohamedMbwama
    @MohamedMbwama Год назад

    Assalam Aleykum Shekhe_ mimi nimeota nyoka wa kijana nilikua bafuni naoga ila nimlimkanyaga hadi nikamuua alafu tena siku ya pili tena nikaota nyoka nilikua bafuni pia yule nyoka wa pili alikua mweusi alafu mkubwa kiasi lakn nilitoka nje nikamuuita baba kisha tukamuua

  • @AnnaLinus-x3r
    @AnnaLinus-x3r 9 месяцев назад

    Mimi kila mwezi lazma niote ndoto naona nyoka nateseka muda mwingine na shituka usingizini yaani Shekh Dua tuu niombe ndoto ziniachie na ninaona uaduni ni mkubwa sna hapa mtaani ninapo ishi

    • @BakariMwayaga-q2p
      @BakariMwayaga-q2p 9 месяцев назад

      Kama Kuna uwezokano unaweza kugura bana pia uwa kunasaidia kusambaratisha uchawi kidogo

  • @MyunaMwalim
    @MyunaMwalim 2 месяца назад

    Assalamu alaykum sheikh nimeota nyoka alikuepo sheikh anasoma Dua na baada ya kumalizia kusoma sheikh alipoondoka alipokua amekaa nyuma yake walijitokeza nyoka 2 sikuweza kuwapiga na walitoka nje maana yake ni nini

  • @GladynessJohn-mi2kn
    @GladynessJohn-mi2kn 6 месяцев назад

    Daah ahsantee sana ila tuu tuombeane tuu jamanii

  • @IsmailKisesa
    @IsmailKisesa 7 месяцев назад

    Mm niliota nyoka wa3 wananikimbiza mbeleni nikakutan na mwanamke mtu mzm kwny nyumba yake aliponiona akanambia ingia ndan tujifiche ila sikumskiza nikaondoka na wale nyoka waliacha kunikimbiza na nikasikia saut yule mama akipiga kelele na wale nyok walikuw wakubwa

  • @Mussamatala
    @Mussamatala 21 день назад

    asalam alaykum shekhe me ni muhanga wa ndoto hizi aina tatu 1. naota sana nipo shule hii ndoto huu mwaka wa tano inanisumbua sana 2 naota sana ndoto za nyoka ila mara nyingi huwa siogopi na nakuwa nauwa huyo nyoka ila karibuni nimeota amenibana ila sikusikia maumivu tena aliniuma pindi tunachimba kaburi nilishituka kutoka usingizin hii ndoto inajirudia sana .3 naota sana nakutana na jini ila mara nying nazo huwa nakuwa jasiri siogopi na hajawai nidhuru maana kila ninapoota nakutana na jini ndan ya ndoto hyo huwa nasimaga zile sura tatu yan ikhlas ,surat nas na surat falaq huwa nikikutana tu na jini ndoton lazima nizisome hizo sura hi ndoto inajirudia sana nashhida nifanyaje??

  • @Shiraboy-p3h
    @Shiraboy-p3h 3 месяца назад

    Dr sulle mi nimeota ndoto ya nyoka nikiwa natoka nyumbani nikielekea kazini njiani nimekutana na nyoka mkubwa Sana yani chatu amenivinga alitaka kunumeza nikapambana nae mpaka nimemdhibi nilipo mdhiti t nikakulubuka kitandani hii ina Maan gani

    • @dianabosibori8476
      @dianabosibori8476 3 месяца назад

      Nyoka simply ni enemies 😅 nothing serious

  • @JafariAbdallah-ot9gp
    @JafariAbdallah-ot9gp Год назад +2

    Duh! Hizi ndoto zinanija maranyingi tofautitofaut mara nimezungukwa na nyoka wengi mara nifukuzwe na nyoka mara natapika nyoka alafu nimechoka kweli

  • @mariambashir7261
    @mariambashir7261 Год назад +1

    Asalaam aleykum mm nliota napingana na nyoka watatu weusi baada ya hapo nlikua mgonjwa sana

  • @mwanaishakama3381
    @mwanaishakama3381 6 месяцев назад

    Shekh naomba jibu mana wengi wenu uwa hamjibu kama amekugonga na ukatolewa sumu na kumuhuwa nyoka uyo ndani ya usingizi ina maana gani? Au utakua umeutoa uo uchawi ulio ekewa? Ama bado shuhuli unayo?😢

  • @TibaibaiOmary
    @TibaibaiOmary 7 месяцев назад

    Asalam aleikum.nimeota ndoto ya nyoka anaingia ndani sebuleni nikapambana kumuu lkn akaingia chini ya meza baadae nikaona tena uyo nyoka nimempiga kichwani.Madhara yake ni nini? Nanifanye nini juu ya ndoto hii

  • @UwadhanAbrahman
    @UwadhanAbrahman Месяц назад

    Nimeotq mwangu ameng'atwa na nyoka shingoni naogopan sanaa

  • @everlastingmiriam
    @everlastingmiriam 10 месяцев назад

    Habari mutu anisaidie kutafsiri hii ndoto Niliota nikiwa nimesimama nyoka kubwa kama barabara ikanijia mbio Sana kwa minguu yangu mbio nikawa na hofu sana hio nyoka ikanijia katikati ya muguu yangu Nika panua minguu yangu mwili hio nyoka kubwa ika pita katikati ya mingu na ikakwisha huku nikiwa nimepanua minguu na ikakwisha nikawa na hofu sana Hadi ikakwisha na huku nikaamuka nikiwa na hofu sana

  • @ZulphaMohammed
    @ZulphaMohammed 4 месяца назад

    Shekh asnte kwa tafsiri

  • @shariffkareem8045
    @shariffkareem8045 Год назад

    Mm ni mla kabisa uyo nyoka kwenye ndoto na nika ipata alufu yake ya kichoka

  • @HadijaToss
    @HadijaToss 25 дней назад

    Mimi naota nyoka mara nyingi ananigonga mguu wa kushoto siku nyingine namuua

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj 5 месяцев назад

    Sasa ufanyeje mana mm naota 😢😢😢😭😭😭

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Год назад +1

    Asalaam aleykum Sheikh hata kama nimemuua nyoka pia?

  • @MurjyNgose-wc8ep
    @MurjyNgose-wc8ep 11 месяцев назад

    Mm niliota nakimbizwa na nyoka pamoja na wenzangu lakini yule nyoka alipotaka kuning,ata alikamatwa na wale wenzangu sjajua hii inamaana gani

  • @Halima-k3v
    @Halima-k3v 11 месяцев назад

    Asalaam aleykum na ukiota umeingia miskitini je?

  • @RozinaHamisi
    @RozinaHamisi Год назад +1

    Mm niko saudia na nliota ya nyoka ambae anaongea ila mm ndio nlijua anaongea hadi nkawa naongea nae akashangaa mbona mm namskia na kumjibu ndoto hiyo alikuwa akimviringa Rais putin wa uingereza shingoni ndoto ya pili niliota kijana wangu alifariki kitambo lkn nilimuota amenijia juu niyy ila miguu yake ni nyoka 😢akiiniita Maa maa

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 9 месяцев назад +1

      🤔putini ni Raisi wa uingereza!?

  • @JoshuaKisiva-wu7gb
    @JoshuaKisiva-wu7gb 9 месяцев назад

    Asalam aleyku mwislam

  • @abdulrahmanhassan3439
    @abdulrahmanhassan3439 Год назад

    asalm aleyum mm niliota ndoto ya nyoka alinifukuza nikaja kuanguka akataka kunizuruu kunifikiaa yule nyoka akaniambia sio ww akaniacha ila nyokaa mkubwa sana

  • @BrianOchieng-cs8cc
    @BrianOchieng-cs8cc Год назад +2

    Assalamu Alaikum sheikh Al-Hajj 🙏🙏
    Ndoto linayo penda kunikujia usingizi ni ya maubwa mengi sana na Sio mara moja ama mara mbili ni mara kadha🙏🙏🙏

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 Год назад +1

      Mbwa maana yake ni rafiki waovu omba dua zitaacha hata Mimi ilikuwa hivyo alhamdullillah zimekimbia

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 2 месяца назад

    Mm nimeota linawaka nyoka macho taa😢

  • @sukhairamlisho
    @sukhairamlisho 4 месяца назад

    Assalam alaykum shekh niliot nasafar alafu mtu ananisindikiz ila ulivo fika usafili nikawa kam nime sahau tiket nikalud nyumban alafu nikashituka kwenye ndot co iyo ndot imeniijia malatatu yot co maan yake nn yatatu nikamuot namtu amekasilik san me kugaili safar

  • @TobaErty
    @TobaErty 2 месяца назад

    Mm zaman nilikua naota ndoto za nyoka nikawanaota nayakanyaga mayoka makubwa kila sehem ninayopita yamelala barabaran nilipodumu n kusoma qur-an na dua na visomo vya rukia nikaacha kuota ila juz I.ejirudia kua kuna nyoka wawili mmoja ni mwembamba anatembea km hna nguvu na mwengine ni mnene km alo na mimba yy ananitega yaan mda nilioacha kusoma ndio anakuja km ananitaq

  • @LatifaMbarouk
    @LatifaMbarouk 3 месяца назад +2

    Sheikh nimeota natafunwa na nyoka 😢😢

    • @Tai11432
      @Tai11432 2 месяца назад

      We huna bahati sasa😆

  • @SmilingRockBand-ju2cy
    @SmilingRockBand-ju2cy 3 месяца назад

    Assalamu aleykum shekhe mim niliota kuna nyoka wawili wanataka kunigonga ila nilipambana nae atimae nyoka mmoja nilimuua hii inamaana gani shekhe wangu

  • @Users2523
    @Users2523 Год назад +1

    Ndoto nyingi ni matatizo ya kisaikolojia ya mtu mwenyewe. Ni ndoto chache tu ndio za kweli.

    • @Fevouredjussey
      @Fevouredjussey 10 месяцев назад +1

      Ndoto mingi ni kweli change ndio za kisaikolojia 80% true

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Nilishawaigi kuotaga majoka megi na ya kutisha hiyo sehem niliyoota kuna bint alishawai kulala akapandishaga akasema kuna nyoka na mimi nilivyokuja kulala kweye kile kitada nikaota majoka makubwa na ya kutiasha nikasema kwel pale kuna nyoka, nyoka anawakilisha shetan au adui au muotaji anakuwa na mashetan

  • @HamissMpinga
    @HamissMpinga 3 месяца назад

    Shekhe ukiota umewaona wafungwa wanagongwa na nyundo kichwani inamaanisha kitu gani

  • @musnamihayo-ok1sm
    @musnamihayo-ok1sm Год назад

    Shekh haya yote yameshanitokea na kwa sasa niko na matatizo makubwa kiafya na kifamilia natokaje na matatizo haya maaana yameshanikuta tayari nahitaji tiba shekh

  • @najatysaid9282
    @najatysaid9282 9 месяцев назад +1

    Nyok mkubwa je😢

  • @BoboPro-x4y
    @BoboPro-x4y 23 дня назад

    Mm Kila Siku naota nyoka inanikimbiza naota kwl unasem kewel mm naamin kwasababu matokeo nayaon

  • @RamadhanMohd-i2i
    @RamadhanMohd-i2i 6 месяцев назад

    Nmekuelewa kabsa dr sure

  • @AshuraGoroba
    @AshuraGoroba Год назад

    Je nofanyeje sassshekhe ili niwe katika hali ya kawaida na kuepukana na naadui

  • @softlee9536
    @softlee9536 6 месяцев назад

    Na maana ya kumuona mara kwa mara😢😢?

  • @AudreyMuhimpundu-oo8ek
    @AudreyMuhimpundu-oo8ek 4 дня назад

    Mtuelezeye na mtuambiye suluhu ya kufanya ili ya kujingika na hayo mazara

  • @oman6024
    @oman6024 Год назад +2

    🙏

  • @logaloga5077
    @logaloga5077 Год назад

    Assalam aleikum mimi nilito nyoka ana mmeza samaki ninini maana yake

  • @khamismaestro2524
    @khamismaestro2524 3 месяца назад

    je ukiota uko na mwezako mwezako anakuchukua mukaue nyoka yy ndy ana mpga nyoka mpak anamgawa vipande viwil ina maana gan

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 11 месяцев назад

    Mimi mara nyingi huwa naota kinyesi
    Pia kwa upande wa viumbe huwa naota Simba

  • @willyclever725
    @willyclever725 7 месяцев назад

    Mimi niliota napigana na nyoka, kisha yule nyoka akazaa watoto maana yake nini?

  • @mwajumaally3383
    @mwajumaally3383 10 месяцев назад +1

    Sheh mimi Niko arusha nafsnyaje sasa maana mimi niliota yoka kaniuma kweny mguuu

  • @ZamdaNyagali
    @ZamdaNyagali 3 месяца назад

    NDOTO ZA NYOKA KANGU ZIMESHAKUWA KITISHO SIMALIZI WIKI LAZIMA NIOTE NYOKA MKUBWA MWEUSI ILA USIKU WA JANA NIMEOTA NYOKA MKUBWA SANA MWEUPE ANAELEA ANGANI NYUSO YAKE YA BINADAMU NAKUWA NA HOFU MUDA WOTE

  • @AminaHija-o9u
    @AminaHija-o9u Год назад

    Niliota nipo napamba na nyoka huku nimebeba mtoto yule nyoka nilikuwa nikimkimbia na aliendelea kunifata mpaka miguu lakini alipo fika miguuni hakuning'ata kabisa hiyo imekaaje

  • @ZainabuSaidi-n7d
    @ZainabuSaidi-n7d 3 месяца назад

    Nimeota mwanangu kangatwa nanyoka mguun

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 6 месяцев назад

    Nimeota nyoka nikawa na lala nao nikawa naona usiku watu wengi sana nikawa na pesa nyingi lakini nyoka walipo ondoka nikafirisika kabisa nikabakia na nyoka mmoja akaishia kuni gonga mkononi tangia hapo hakuna kinacho sogea

    • @janepherodouri3393
      @janepherodouri3393 4 месяца назад

      Mimi niliota nyoka mkubwa sana alikuwa amelala kando ya bahari Kisha alipo niona skashutuka na kuingia baharini hiyio

  • @سيوابورندي
    @سيوابورندي Год назад +1

    Nihatari sana

  • @اسماء-ع1ط3م
    @اسماء-ع1ط3م 8 месяцев назад

    Mimi. Naota .nawafanyaje

  • @InnocentCrescentMoon-vj3sj
    @InnocentCrescentMoon-vj3sj 9 месяцев назад

    Me nilishawah kuota nyoka ananinyonya damu alafu nimeamka asubuh nimekuta nnaalama na nimekuta alama za damu na maumivu shee

  • @joyjusuf9454
    @joyjusuf9454 8 месяцев назад

    Mmi juzi niliota nimeumwa na nyoka mweusi,kuamka naskia uchungu kabisa ni kama nimeumwa kweli

    • @jacklinedeus6068
      @jacklinedeus6068 5 месяцев назад

      Ukiota umeumwa nyoka na ukasikia maumivu wakati umeamka ni kweli tukio hilo limefanyika.tafuta msaada kidogo.kwa mashekhe au wachungaji kulingana na dini yako.pole na Mungu akusaidie

  • @MwanaidRamaha-td1hl
    @MwanaidRamaha-td1hl Год назад +2

    Mimi niliota nyoka mwenye mabaka anakatiza barabarani nikamkata na panga..basi ule mkia nilio ukata ukawa unanifukuza na kutaka kugonga lakin akufanikiwa kunigonga.

  • @Husna-f7n
    @Husna-f7n 11 месяцев назад +1

    Asante sana dr Sule

  • @JenifaJulius-x9e
    @JenifaJulius-x9e 4 месяца назад

    Mama niliota njoka ananingata

  • @SULEYMANMAGINA
    @SULEYMANMAGINA Год назад +1

    Pia nimeota majuz nimeshikwa ugon jamaa akaanza kunishambulia akanichoma na mkuki kifuan had nikahs kutikezea mgongon kwahio nikawa sjashtuka usingzn had asubh

  • @nurunhitu3148
    @nurunhitu3148 7 месяцев назад

    Shekh, nn maana ya ndoto ya samaki aliyeoza anatoka wadudu?

  • @MwanahamisiGona-t3c
    @MwanahamisiGona-t3c Год назад

    Je ukiota unakimbizwa na ng,ombe utapatikana na nini

  • @alimwanza7356
    @alimwanza7356 Год назад

    Mtu akiota ndoto kua nyumba imeja kombamwiko, kunguni na huku anawauwa halafu mtu atoke amwambie usiwauwe alfu amke usingizini. Je Ina dhihirisha nini

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio nyoka ata mimi nilikuwa najuwa hivyo nyoka inawakilisha uadui