Màashaa Allah: Hili ndilo lengo aliloletewa mtume Muhammad ( saw ) kuwatoa watu kwenye ukafiri kuwaleta kwenye nuru ya uislamu. Chapa kazi shekh !!! Jitahidi kuepuka kazi ya kusilimisha waislamu. !!! Allah akuhifadhi shekh sule
Maasha Allah.Hakika umefikasha na ALLAH ni shahid.Nakumbuka mihadhara Mwembe chai ikuwa unajitambusha naitwa Sulle bin Sulle bin Sulle na kina shehe magezi ALLAH amrehemu na Shehe Omar Bashir ALLAH amrehem..Japo nilikuwa mdogo lakini nilikuwa napenda sana mihadhara.ALLAH akupe umri mrefu.
@johnsonmichael-2993 hakuna alie katazwa hata katika uislam Allah amesema lakum dini kum waliyadiin ,nyie mna dinidini yenu na sisi tuna dini yetu lakini asi potoshe wengine
@prochesernest5439 hasbiya Allah wani'mal wakiil. Sisi tuna mjuwa yesu kuliko wewe na walio kuwa kama wewe pamoja na huyo mzandiq wenu, na ingeli kuwa mna juwa yesu wa kweli msinge potea kabisa na kuwa kwenye giza nene sana
@@prochesernest5439 hahaha wakristo mlipofeli ni kuwa dini YENU imebaguwa mitume wa Mungu, Uislam tunamtaja Yesu kwa kuwa katajwa katika Quran waziwazi, tuanbieni NYINYI wapi katajwa MTUME kwenye bible YENU, so hamuna Cha kutufunga vinywa vyetu kumtaja Yesu. Mmeelewa au tuongeze sauti.
Inshallah Allah akupe umri shekhe hakika watukama wewe dunia hii yaleo ni wachache sanah wanaotufundisha haki kwa dini yetu na vitabu vyake Mungu alivowapa manabii hakika umenyoosha sana tena kwa fact kubwa….🎉
ACHA KUDANGANYA WATU KUNA SINAGOGI, HEKALU, MSIKITI NA KANISA NI VITU VINNE TOFAUTI SINAGOGI SIO MSIKITI SOMA VITABU VYENU KAMA SINAGOGI NDIO MSIKITI.....
Asalamu alaikum Dr Sule Asante Sana kwa kutujuza na kutufungulia vitendawili kama hivi ambavyo vinahitaji watu kama ninyi kuvitegua ili waislamu wasisumbuliwe na aina ya watu kama hawa, mola azidi kukuhekima, afya njema na umri mrefu uweze kutufundisha zaidi inshallah.
We mtaalamu.wa dini lakini una roho wa Mungu na YESU akuwai kuwa muislaam kwa kuwa Yesu alikuwepo kabla uislaam aujaja mpk Yesu ameondoka uslaam umekuja.baadae Yesu alikua muislaam lini mmejaa matendo ya mwili amtaulithi uzima wa milele
Huwa asema kuna watu wametoka burund kuja kwenye kanisa lake kumbe hao ni ndugu zake upande wa baba yake 🤣🤣🤣🤣wallah doktora sulle unajua na unajua zaid kumchambua mtu na allah akuweke inshallah 🤲🤲nakupenda doktora sulle kwa ajili ya allah ❤❤❤❤halafu allah huwa hamfuchi mtu mnafiqi 🤣IPM kaumbuka kawa mpole km kamwagiwa maji ya baridi yaliyotoka kwenye freeza 😅😅😅
@ruqaiyamohammed345, upole na busara, ni ndio hulka ya wakristo kokote, ukiona mkristo anapaniki na kulumbana kwa mambo ya kiimani tunamjadili mara tatu ukristo wake, wakristo ni wapole na wanyenyekevu, hata nyie mnasema uislam ni unyeyekevu lakini Ipm, kawa mpol tena mnamuona mjinga, je mlitaka apambane?, aandamane ? kama nyie, kwa shida ipi wakati, yupo Yesu anayepamabana kwa ajili yake,? Amemjibu kwa upole na ki uungwana, sasa akili kichwani kwa aliyejibiwa, je ndicho alichotarajia? Au alitarajia vita ya maneno mitandaoni wakristo hatukufundishwa hivyo, Nawaonea huruma, endeleeni kupigizana kelele mitandaoni, waislamu walioujua ukweli tuko nao wamejazana makanisani kimyaaa,..huo ndio ukweli.
Mashaallah Dr. Sule Allah akupe kila lenye kheri na wewe akuepushe na kila Hasad kwa kutuelimisha sisi maamuna hakika tunapata faida kubwa sana juu ya Darsa zako Jazakallahu Kheri baghadal kheyri Janatu Naghimu🤲
MaaShaaAllah Doctor Sule Allah akuhifadhi ktk kuitetea Dini yke ... Uyo Kiumbe IPM mm mwenyew nishampga vita sn ktk coments na hujifanya eti kunitabiria na kila anaempinga humtabiria ktk maisha yke ..Huaga namwambia anzia kujitabiria mwnyew kwnz .
Dr Sule na kupongeza kwa mara nyingine, ningekuomba nikuunge Live kutoka DRC mjini Bukavu, kuongelea hii pointi kwa upana zaidi ili kuelimisha jamii ya kiislam wasije wakaanguka katika katika mtego wa IPM
Mashallah sheikhuna mungu akujaze kheri ndugu Dr sule, uislamu. Nidini ya haki bilaya Shaka,na na ndio mungu alipo iteremxha kur,ani tukufu akasema hakika sisi tumeuteremxha ukumbuxho( kur,ani) na sisi ndio tutaihifadhi alllah akulipe khery. Sheikhuna na akulipe pepo aameen.
Nakukubali shekhe wetu, hapo kwa kusoma dini, maelekezo na kufunza pamoja na kusimamia uisilamu, walai Allah azidi kukupa umri mrefu ili tujifunze zaidi kutoka kwako, MashaAllah u TabarakaAllah.
Nashukuru kwa huyu jamaa anaitwa sule kwa kumwita Yesu BWANA nakuombea nawewe sule Kuwa siku moja Uwe mfuasi wa Damu na Roho wa Bwana Yesu kristo. mtu anayemtambulisha Yesu Vema kwa ulimwengu Mimi Niko pamoja naye maadamu tu anahubiri na kuwajuza watu Njia ya ufalme wa Mbinguni Huyu apewe kusema zaidi na Mungu na abarikiwe.
Dr Sulle umesema kuwa Paulo alimchukua Petro wkakaa mwaka mzima Paulo akamfundisha Petro kivipi, wakati Petro alikua ni mwanafunzi wa Yesu. Paulo hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Aliyepewa mafundisho ni Petro na si Paulo. Umechanganya mambo hapo mzee

SEMA:WEWE SURE NIMEKUSHITUKIA UMEAMUA KUINGIZA PESA KWA NJIA HUYU MCHUNGAJI.BASI KUWA MPOLE TUSHA LIKE PESA ISHAINGIA KWAKO NAWE NI MSANII....BASI UZAUUZA KANDA YAKO..PESA ISHAINGIA KWENYE AKAUTI
Dr sule Point zako nne. 1,Kuwa Yesu alisujudu 2,alienda Kwa sinagogi 3,kuvaa kanzu 4, hazina mashiko hata kidogo. Nikianza kuichambua ya kwanza. Yesu kusujudu ndo kusema kusema hasiye sujudu hawezi kwenda Mbinguni? Hii sawa na kusema huyu anakula chakula Kwa kutumia kijiko na huyu anakula kutumia vidole . Lkn chakula kinaigia kinywani 2,kuvaa kanzu Ilikuwa ni nature ya zama zile WATU kuvaa makanzu , yaan ni kama vile ambavyo Karne ya Kwanza hapakuwa na magari kama ilivyo Leo Kwa hiyo. Lkn pia hakina Petro walikuwa Wana Vaa pia Makoti Tatu Kuingia Kwa sinagogi Hii Sio kwamba utuambie kwakuwa aliingia Kwa sinagogi ndo useme alikuwa mwislam Na je mbona alionekana Pia Kwa mahekalu? Pia mashambani Pia milimani Pia ufukweni Kwa hiyo tuseme alipo kuwa mashambani yeye alikuwa mkulima? Kikubwa aliingia kufanya Nini Ndo hicho umekisema kuwa yeye alipewaa injiri na hiyo injiri ndiyo ilikuwa nuru ya WATU imtiayo Kila mtu uzima Hivyo kama alipewa hiyo injiri ni vyema ukajua ijiri ni Nini? Injiri ni mafundisho yanayo husu ufalme wa Mungu na yanayo mfanya Mtu amgeukie Mungu kwa njia ya kuiamini injiri yaan kukubali kutubia madhambi yake ikiwa ni pamoja na kumwanini huyo aliyepewa hiyo injiri Na ndo maana walio msulubisha ni hao wa kwenye sinagogi baada ya kuona mafundisho yake yanabeba watu wengi na kuwabadilisha kwa kumwanini Yeye na kuiamini injiri . Ufunuo 3:6 inasemaje wewe mtu unayejisifia kuwa Yesu alionekana kwenye sinagogi. Imeandikwa TAZAMA NA KUPA WALIO WA SINAGOGI LA SHETANI WASEMAO KWAMBA NI WAYAHUDI NA SIO BALI WASEMA UONGO TAZAMA NAWAFANYA WAJE KUSUJUDU MBELE YA MIGUU YAKO NA KUJUA KUWA NIMEKUPENDA Kwa tafsiri hii inaonyesha wazi kuwa kwenye hayo masinagogi ndipo anapokaa SHETANI na kazi ya Yesu kristo alikuja kuwaokoa watu kwenye mikono ya shetani ivyo alikuwa Hana budi kuwafuata huko .. Ufufuo 2:13 imeandikwa napajua ukaapo ndipo penye kiti Cha enzi Cha shetani........ Dr sule na ndugu zangu watu WA Mungu kila mtu anajua kuwa Mungu ni mmoja hata wachawi wanajua Naam na mshetani nayo yanajua Hilo na kutetemeka Kwa Mungu ni mwingi wa rehema Kwa watu wake alipo ona shetani amekuja kuwadanganya watu wake wakwanza ni Eva na Adam nakupitia kosa lao . Adamu akaileta mauti Kwa watu wote . Na mpango wa Mungu haukuwa mwanadamu afe . Hivyo alipanga mpango wa ukombozi kwa mwanadamu kwa kumtuma nabii issa bin mariam ya Yesu kristo .. Ili kupitia huyu Yesu Kristo watu wote wapate kuamini na kuokolewa nahatimaye awape uzima wa milele. Yohana 3:16-19 Kolosai 1:13-14 naye alituokoa ktk Nguvu za giza akatuhamisha na kutuingiza ktk ufalme wa mwana pendo lake , ambaye ktk yeye tuna ukombozi, yaan msamaha wa Dhambi. Kwa hiyo Yesu hakuja kutangaza kutangaza dini Bali alikuja kujenga ufalme wa Mungu Dr sule wewe uko bizi na kujenga dini yako uko sahihi Kwa Hilo Ila kama hautaimini injiri itakuja kukugharimu na siyo wewe ni Kila aliye MKIRSTO au hasiye MKIRSTO.. injiri ni tobo na kumgekia Mungu na kuwamwini mwana wa Mungu Alafu dini ya kweli ni kuwangalia wagojwa na kuwapa wahitaji mahitaji Yao Na ufalme wa Mungu hauwi ktk kula. Wala kuvaa . IPM msiitambishe amechagua fungu jema Mwisho kama unaona uislam utakufanya uende MBINGUNI kaa huko Na kama ukiona kwa kumwanini Mungu na Yesu kristo utatenda Mbinguni kaa hapo hapo Acheni kupoteza mda kafanye kazi
Hapotezi muda anatuelimisha. Na tunakujulisheni kwamba Uislam HAUCHEZEWI. Na hatutokunyamazieni. Sisi tutaulizwa tuliitetea vp dini yetu. Dini yetu inajitosheleza bila yeye. Asitupotoshee waumini na dini yetu
Hata Wewe Usiwaaminishe Watu Wakuamini Wewe Kama Alichosema Ni Uongo Icho Kisa Chake Cha Kuokoka Basi Ungekiweka Wazi Watu Waone Kwa Macho Kama Nguvu Iyo Wewe Auna Uwezo Huo Wa Kutuonesha Alichokutana Nacho Basi Acha Kumuona Mwenzako Sio Bola Wewe Ndio Bola Ali Ya Kuwa Wote Amna Cheti Cha Pepo Cheo Cha Dini Akina Mwenyewe Kila Mtu Asome Na Kuomba Mungu Anakua Na Cheo Kwa Wasiosoma Hata Wewe Unapotosha Umma Kwanza Uzalendo Pia Tatizo Ulitakiwa Kama Uko Na Hekima Ungemfata Aliko Na Kusema Nae Kwa Hekima Kikubwa Wote Atuwezi Kuwaamini Vitabu Vyenu Simu Na Mitandao
Wewe uneshindwa kumuelewa shekhe shekhe kasema iv alimtaka ili wafanye mjadara babu akakataa sasa lengo la shekh nikuelimisha jamii ili wajuwe ,sasa ww km unamuona muongo sw huwo nintazamo wako sisi wenyewe wa islam tunamkbali napia tunamuombeya kwa allah amzidishie elimu na imani napia am,barik maisha marefu amin summa amin, kwa neema zamungu kalibu katika dini ya haki dini ya manabii uisilam kalibu sana wa bilai twa ufiqui
shida yako ni nini?yeye kasema aliyo yaona wewe unasema anapotosha unauhakikagani gani kuwa anapotosha?wakati mafundisho yako yanaonyesha waziwazi kuwa unapotosha niliwahi kukusilkia uki sema kuna majini wazuri wanao mtumikia Mungu ,tangu lini jini akawa mzuri? naamini hata wewe ikosiku Yesu atakutokea na wewe utajuwa kuwa anapotosha au la
Sule huna cha kujitetea kusujudu kwa yesu si kuhalalisha uislamu kuwa ni dini sahihi, na msikiti unaosema ni msikiti wa wayahudi sio wa waislamu ni wa wayahudi hauna cha kujitetea uislamu utajitetea wenyewe wewe huwezi kuutetea uislamu, ona sasa unazungumzia kanzu hoja dhaifu kabisa kanzu ni vazi la kiarabu tu arabuni kanzu watu wanaendanayo bar kanzu si fundisho la Yesu pole sana bila kuokoka hutaiona pepo lazima umkubali Yesu ili uokolewe,
Ukiristo ndio biashara kila siku mwaibiwa pesa na wachungaji wenu, kila siku mwauziwa upako😂😂😂😂😂 bila ya nyinyi kuibiwa pesa ukiristo unakufa utasikia nyimbo zao toa toa toa toa ulichonacho toa ubarikiwe😂😂😂😂😂
Hakuna vazi takatifu, ila utakatifu uko ktk moyo na matendo ya mtu yaliyo matakatifu. Wapo wavaao mavazi hayo na maisha Yao ni ya uasi hatari. Mbona unatumia nguvu kubwa kumkatalia huyu mtumishi wa MUNGU wetu aishie milele, wee mwenyewe umekiri kwamba alikuwa muislamu kama hayo ndio yaliyomtokea we unajuaje? Na ktk ufalme wa MUNGU wetu aishie milele hakuhitajiki elimu ya dini Bali utayari wa kuyaishi na kupita ktk matakwa ya MUNGU wetu aishie milele. Kama elimu ya dini ni kigezo, Bwana YESU KRISTO asingewakataa na kuwaita wanafki wazee wa dini na mafarisayo.
Bibilia zenu zinasema kansu na kofia ni mavazi matakatifu lakini wewe umekuja na kukanisha kwa maneno yako,huoni kama unakurupuka?au unataka kusema Bibilia ilidanganya?hebu tuambie hapa!
Hakuna Mtu Yoyote Yule Atakae Muona Mungu Asipo Mwamini Bwana Yesu. Yohana 14:5-6 [5]Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Thomas saith unto him, Lord, we know not whither thou goest; and how can we know the way? [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.
@@GadafiRashidi Maneno ya Thomaso yamo kwenye Biblia...na alimuanini Yesu ...."kitabu cha thomaso' tunakikataa kwa sababu ni kinyume na imani ya Thomaso aliyetembea na Yesu....kilitungwa na mtu mwenye imani ya kiislam- mpinga kristo!!!!
@@Catherine-mh8sw Yohana 17:3 ni umjue Mungu pekee wa kweli na Yesu Kristo.....sio Mungu na musa au Mungu na Ibrahim.....au Mungu na nabii yeyote yule.....bali Mungu na Yesu!!
Ww sulle unaonekana kukosa hekima na busara. Kwa jinsi alivyotoa majibu yake bw ipm ametumia busara Sana na ww ulitakiwa kunyamaza kimya. Kama yy anasema alitokewa na Yesu ww huwez kupinga mana hukuwa naye na kama paulo alitokewa kw jinsi hiyo haimanishi kuwa hakuna mtu mwngine anayeweza kutokewa na Yesu kw jinsi hiyo. Wako waislam wngi duniani waliohamia kwny ukristo baada ya kutokewa na Yesu. Ww sulle kinachokuuma ni kitendo chake cha kuhama uislamu na Kisha kuwaambia watu kuwa ameacha uislamu, Sasa ulitaka anyamaze?mm sioni kosa lake. Dr sulle acha chuki, fitina na udini
Huenda kuridati kwake kukafanya yeye ,waumini wa kabisa lake na wengineo Kwa kupitia mafundisho waliyotolewa na ustadhi doctor alhajj sule yakawafanya myoyo yao ikajawa na nuru,huruma unyenyekevu upendo baraka imani na kuingia katika dini ya haki Masha Allah maalim ustadhi dkt sule in shaa Allah!!
We're proud of you Dr Sule❤❤ we love you soo much ... Am proud to be a Muslim ❤
😂😂😂sasa tatizo nini mtu akiwakimbia 😂
Hajatukimbia ila hakuwa miongoni mwetu ndio mana Allah alitjtenganisha nae
Màashaa Allah:
Hili ndilo lengo aliloletewa mtume Muhammad ( saw ) kuwatoa watu kwenye ukafiri kuwaleta kwenye nuru ya uislamu.
Chapa kazi shekh !!!
Jitahidi kuepuka kazi ya kusilimisha waislamu. !!!
Allah akuhifadhi shekh sule
Shukran Dr Sule. Nakufata kutoka Oman. Allah akupe mwisho mwema na uwendelee kutupa vitu[ mafundisho]
Islam is perfect
Ndg yng nuhu
Mwisho mwema n kumuamin Yesu n bwana na mwokoz.njia ya kwel na uzima...n mm nakuombea mwisho huo Sulle..na n kwel Yesu amewaondoa wengi kwa njia iyo..
@@khalfanmaabick6795o❤❤❤
@@gudluckrwizakingVUA HELENI KWANZA ILI UWE MWANAUME KAMILI
Usilete maneno ya watu
Mashaallah,, Allah akulipe kila la kheri na akupe Umri mrefu wenye Kheri tupate Kujifunza mengi kutoka kwako!
Doct sulle Allah akulinde na kila shali hapa duniani na kesho akhera,ujumbe umefika huna dhima
Shk sule mungu akulinde kwa bidii zko japo kunao wanaokupiga vita mungu atawashinda ishaAllah 🙏🙏 TabarakaAllah.
Maasha Allah.Hakika umefikasha na ALLAH ni shahid.Nakumbuka mihadhara Mwembe chai ikuwa unajitambusha naitwa Sulle bin Sulle bin Sulle na kina shehe magezi ALLAH amrehemu na Shehe Omar Bashir ALLAH amrehem..Japo nilikuwa mdogo lakini nilikuwa napenda sana mihadhara.ALLAH akupe umri mrefu.
Allah akulipe kheri shekhe wetu
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu sheikh sule ili uweze kutulinganiya inshaallah❤
Allah akupe umri mrefu sheh wetu Dr sule amiin
Masha Allah tabaraka Rahman Allah akuhifadhi na akupe afya, nguvu uzidi ku upigania Uislam na kutu fundisha. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin
Mwache mtu afuatenjia impasayo nyinyi mna hubiri mkimtaja yesu hakuna Alie wazuia
@johnsonmichael-2993 hakuna alie katazwa hata katika uislam Allah amesema lakum dini kum waliyadiin ,nyie mna dinidini yenu na sisi tuna dini yetu lakini asi potoshe wengine
@@rayaalhabsi1725haaa kumbe mna dini yenu mbona huyo anasema Yesu alikuwa mwiislamu uho ni uongo na dini yenu ni ya uongo
@prochesernest5439 hasbiya Allah wani'mal wakiil. Sisi tuna mjuwa yesu kuliko wewe na walio kuwa kama wewe pamoja na huyo mzandiq wenu, na ingeli kuwa mna juwa yesu wa kweli msinge potea kabisa na kuwa kwenye giza nene sana
@@prochesernest5439 hahaha wakristo mlipofeli ni kuwa dini YENU imebaguwa mitume wa Mungu, Uislam tunamtaja Yesu kwa kuwa katajwa katika Quran waziwazi, tuanbieni NYINYI wapi katajwa MTUME kwenye bible YENU, so hamuna Cha kutufunga vinywa vyetu kumtaja Yesu. Mmeelewa au tuongeze sauti.
Inshallah Allah akupe umri shekhe hakika watukama wewe dunia hii yaleo ni wachache sanah wanaotufundisha haki kwa dini yetu na vitabu vyake Mungu alivowapa manabii hakika umenyoosha sana tena kwa fact kubwa….🎉
Mola wetu mlezi akusimamie Dr sulle inshaa allh
Allahumma Aamiin.
Dr sule unafanya kazi kubwa Mungu atakulipa ujira kamili Inshallah
Alipwe wapi 😂😂wakati ana wachanganya😂
Amin
@@gmbrown1429😂😂😂😂
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR MAALIM I AM PROUD OF YOU YOU SAY EVERYTHING IS TRUE ABSULTE MASHALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maashaallah safi sana Dr Sule kwa elimu tamu yenye kueleweka
Mashallah mashallah,,dr sulle kwaa kaz nzr
ACHA KUDANGANYA WATU KUNA SINAGOGI, HEKALU, MSIKITI NA KANISA NI VITU VINNE TOFAUTI SINAGOGI SIO MSIKITI SOMA VITABU VYENU KAMA SINAGOGI NDIO MSIKITI.....
@@dennisngonyani1795bibilia imesema sinagogi ni msikiti wa wayahudi.
Salamhalkm walamtulla❤❤❤
Safi sana shekh ❤❤❤❤❤
Uyo kufundisha uislamu ni kiki tu za kuwatoa wale watu wasio na elimu kuwaingiza kwenye ukafiri wake
Na historia zake zakutunga
Allah akuzidishie ilmu sheikh sule,Sheikh mazinge pls changia kuhusu ujinga wa huyu ipm
Safi sana mkono kwa mkono hadi peponi❤❤❤❤
Allah akupe nguvu shekhe wetu unafundish vema Sana na tunakufaham vizuri kabisa yaan.
Asalamu alaikum Dr Sule Asante Sana kwa kutujuza na kutufungulia vitendawili kama hivi ambavyo vinahitaji watu kama ninyi kuvitegua ili waislamu wasisumbuliwe na aina ya watu kama hawa, mola azidi kukuhekima, afya njema na umri mrefu uweze kutufundisha zaidi inshallah.
Upo sahihi Dr Sulle Allah akuweke akuzidishie na elimu.
Mashaallah dctr sule.mungu akuweke.
Allah bless you brother to explain all that and to defend Islam Allah give you more than this today and tomorrow hakhera inshallah
Uko tayari kuitetea usilamu kwa udi na uvumba kweli, much love kutoka Kenya 🇰🇪
Hi
@@KareemMkobe-sq8ym hi
Mashaallah I like this gentleman
Huyu ndio Alhaji Dr sulle ninaemfahamu mm,, lecture safi kabisa
Djazakallahu khayran yaa Dr sure .
Dr Sule anasema ukweli sana. Masha Allah
Allah akupe maisha marefu
Asante dr sulee kw majib mazuri na ajee kwny mezaa uyoo pm afundishwee uislam
MashaAllah Dr Sule Allah Akupe kla lakher na Allah Atujalie tukutanishe pepon,Wallah kma hawafaham Wala hawafaham Tena
Allah akulehemu . Mwenyezi Mungu akuzidishie ilmu na akujalie paradise amini amini
Allah akuongozr kwa jitihada zako shrkh wetu tunakupenda sana kwa ajili ya allah❤❤😂
Allah Akuhifadh Sheikh Dr Sule Umtufungua Ubongo leo
Allaah azidi kukupa afya ya kutetea uisilamu ❤❤
Subhana llah.....jazakahllah khairaaaa🙏msg sent&delivered.
Masha Ala tunawahitaj mabingwa wanamna hii ndan ya Wislma
Sin chakusem Ila nasem kwamb Mungu akulipe
We r proud of u Dr Sule......Allah akulipe unatuweka waislam kifua mbele
Am proud to be Christian
Good 🙏🙏
Mungu akupe mwisho mwema baba yangu mlezi wa Imani yetu,❤ unatulea wengi katka Imani yetu na unatuimarisha pia katka kuamni Imani yetu,.❤❤❤
Allah amfanye kuwa kiigizo chema na haione Nuru njema na mwisho hairejee dini ya haki ya Allah subhana wataala uislam ndio ngao ya Kila muislam
Asalaam alaykum doctor sulle allah akupe umri mrefu nami namuomba allah anipe elimu kama ya kwako wallah nakupenda kwaajili ya Allah
Allah akupee Elimu zaidi ya Dct Sule
We mtaalamu.wa dini lakini una roho wa Mungu na YESU akuwai kuwa muislaam kwa kuwa Yesu alikuwepo kabla uislaam aujaja mpk Yesu ameondoka uslaam umekuja.baadae Yesu alikua muislaam lini mmejaa matendo ya mwili amtaulithi uzima wa milele
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Allah akuhifadhi shekh wetu na akulipe kheri akikaa chini atafakari vyema atapata suluhu ☝🥰🥰🥰🥰👌👌👌🤲🤲
Mashaallah Allah Kareem Allah akulipe kheri shekhe
Huwa asema kuna watu wametoka burund kuja kwenye kanisa lake kumbe hao ni ndugu zake upande wa baba yake 🤣🤣🤣🤣wallah doktora sulle unajua na unajua zaid kumchambua mtu na allah akuweke inshallah 🤲🤲nakupenda doktora sulle kwa ajili ya allah ❤❤❤❤halafu allah huwa hamfuchi mtu mnafiqi 🤣IPM kaumbuka kawa mpole km kamwagiwa maji ya baridi yaliyotoka kwenye freeza 😅😅😅
Umeonaee
@@hanifatanzania7258 🤣🤣muongo yule 🤣🤣
@ruqaiyamohammed345, upole na busara, ni ndio hulka ya wakristo kokote, ukiona mkristo anapaniki na kulumbana kwa mambo ya kiimani tunamjadili mara tatu ukristo wake, wakristo ni wapole na wanyenyekevu, hata nyie mnasema uislam ni unyeyekevu lakini Ipm, kawa mpol tena mnamuona mjinga, je mlitaka apambane?, aandamane ? kama nyie, kwa shida ipi wakati, yupo Yesu anayepamabana kwa ajili yake,? Amemjibu kwa upole na ki uungwana, sasa akili kichwani kwa aliyejibiwa, je ndicho alichotarajia? Au alitarajia vita ya maneno mitandaoni wakristo hatukufundishwa hivyo, Nawaonea huruma, endeleeni kupigizana kelele mitandaoni, waislamu walioujua ukweli tuko nao wamejazana makanisani kimyaaa,..huo ndio ukweli.
😂😂😂
😂😂😂😂kabisa
Mashaallah Dr. Sule Allah akupe kila lenye kheri na wewe akuepushe na kila Hasad kwa kutuelimisha sisi maamuna hakika tunapata faida kubwa sana juu ya Darsa zako Jazakallahu Kheri baghadal kheyri Janatu Naghimu🤲
Unaeleweka vizuri sana Dr Sule , uko sawa katika maneno yako.
Wewe sule mungu akulinde my shaAhlla
Unateseka sana Sulle
wewe ujue huna akalyi ww nasule ninani anae teseka?
Mungu akupe kheir na baraka Dr sule ❤ tunakupenda sana
Assalaam alaykum
sheikh upo sahihi sana
MahashaAllah tabaraka Rahman...umeongea na hekma sana doctor..
Safi sana shekh Sule
Yeah i wish one day to be sn islamic master like dr. Sulley
The Muslim Legend Al Hadj Doctor Sule 🙏🙏🙏🙏🙏
Uyo njonwislam dini ya.Allah amna kuchenzea from🇧🇮🙏
Kakataa mjadala najua atashindwa kujibu maana dini ya Islam ndio dini ya mungu❤
Hakika always uislam ni ushind t
MaaShaaAllah Doctor Sule Allah akuhifadhi ktk kuitetea Dini yke ... Uyo Kiumbe IPM mm mwenyew nishampga vita sn ktk coments na hujifanya eti kunitabiria na kila anaempinga humtabiria ktk maisha yke ..Huaga namwambia anzia kujitabiria mwnyew kwnz .
Dr Sule na kupongeza kwa mara nyingine, ningekuomba nikuunge Live kutoka DRC mjini Bukavu, kuongelea hii pointi kwa upana zaidi ili kuelimisha jamii ya kiislam wasije wakaanguka katika katika mtego wa IPM
Mash allah Allah karrim Dr sule Allah akulipe Kwa hili amiin
Daah!! Wee Dr sule ni atali sana kwako sina comment shekh
Mashallah sheikhuna mungu akujaze kheri ndugu Dr sule, uislamu. Nidini ya haki bilaya Shaka,na na ndio mungu alipo iteremxha kur,ani tukufu akasema hakika sisi tumeuteremxha ukumbuxho( kur,ani) na sisi ndio tutaihifadhi alllah akulipe khery. Sheikhuna na akulipe pepo aameen.
Very very imressive advice.Haiwezekani tu lakini ningependa ujumbe huu umfikie kila Mwislamu popote alipo.
Mashallah, Jazakallahu kher Dr sulle, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏
Mashaallah
Mashalllh allh akujaalie siha njema wewenafamiliayako uendelee kuipigania diniyetu yakiislam
Wow
Nakukubali shekhe wetu, hapo kwa kusoma dini, maelekezo na kufunza pamoja na kusimamia uisilamu, walai Allah azidi kukupa umri mrefu ili tujifunze zaidi kutoka kwako, MashaAllah u TabarakaAllah.
Nashukuru kwa huyu jamaa anaitwa sule kwa kumwita Yesu BWANA nakuombea nawewe sule Kuwa siku moja Uwe mfuasi wa Damu na Roho wa Bwana Yesu kristo. mtu anayemtambulisha Yesu Vema kwa ulimwengu Mimi Niko pamoja naye maadamu tu anahubiri na kuwajuza watu Njia ya ufalme wa Mbinguni Huyu apewe kusema zaidi na Mungu na abarikiwe.
Kumwita yesu bwana Kuna shida hata baba ako anaitwa bwana na mama ako
MWANAUME MWENZAKO UNAANZAJE KUMUITA BWANA
Hyo pete uliyova nini kama co uchawi uislaam sio dini ya manabii unabii na utume walipewa wayahudi mtume wenu alikuwa muyahudi.?
Dr Sulle umesema kuwa Paulo alimchukua Petro wkakaa mwaka mzima Paulo akamfundisha Petro kivipi, wakati Petro alikua ni mwanafunzi wa Yesu. Paulo hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Aliyepewa mafundisho ni Petro na si Paulo. Umechanganya mambo hapo mzee
Dr Sulle umesema kuwa Paulo alimchukua Petro wkakaa mwaka mzima Paulo akamfundisha Petro kivipi, wakati Petro alikua ni mwanafunzi wa Yesu. Paulo hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Aliyepewa mafundisho ni Petro na si Paulo. Umechanganya mambo hapo mzee
Maashaallah DR SULE ALLAH AKUIFATHI inshaallah uzidi kuwapa elim wazushi kama hao huyo njaa tu wanaziendekeza
SEMA:WEWE SURE NIMEKUSHITUKIA UMEAMUA KUINGIZA PESA KWA NJIA HUYU MCHUNGAJI.BASI KUWA MPOLE TUSHA LIKE PESA ISHAINGIA KWAKO NAWE NI MSANII....BASI UZAUUZA KANDA YAKO..PESA ISHAINGIA KWENYE AKAUTI
We shee atar sana tunajivunia sana Allah akupe maisha na uzidi kutuongoza
Shekhe Sule achana naye jamaa tumjua siku nyingi sana na habari tunazo vizuri sana Ulimwengu ni mtoto wa watu (Shoga)
Tunakuelewa san doctor sule ALLAH akuweke
MashAllah tabarakallah Dr .Sule .
Kahama kwa tamaa ya kidunia, sadaka na dhaka zenu wakristo ambazo hazina miiko ktk kuzitumia.
maashaAllah,Dr Sule,mafundisho mazuri
Kwa uzima wa milele uwezi kupata bila yesu
Waislam wanamuamini yesu. Sheria ya kiislam usipomuamini yesu wewe si muislam. Muulize Ipm atakwambia
Na uzima wa milele ndiyo huu wakujuwe wewe mungu wa kweli na yesu cristo uliyemtuma,sasa hao ndiyo waislam wanaamin yesu ni mtume katumwa.
Umefikisha InshAallah Allah amfahamishe ,hili ulilofanya ni ktk chembe za imani
Upo sahihi maalimu allaah akulinde Isha allaah ❤️
Dr sule
Point zako nne.
1,Kuwa Yesu alisujudu
2,alienda Kwa sinagogi
3,kuvaa kanzu
4,
hazina mashiko hata kidogo.
Nikianza kuichambua ya kwanza.
Yesu kusujudu ndo kusema kusema hasiye sujudu hawezi kwenda Mbinguni?
Hii sawa na kusema huyu anakula chakula Kwa kutumia kijiko na huyu anakula kutumia vidole . Lkn chakula kinaigia kinywani
2,kuvaa kanzu
Ilikuwa ni nature ya zama zile WATU kuvaa makanzu , yaan ni kama vile ambavyo Karne ya Kwanza hapakuwa na magari kama ilivyo Leo Kwa hiyo. Lkn pia hakina Petro walikuwa Wana Vaa pia Makoti
Tatu
Kuingia Kwa sinagogi
Hii Sio kwamba utuambie kwakuwa aliingia Kwa sinagogi ndo useme alikuwa mwislam
Na je mbona alionekana
Pia Kwa mahekalu?
Pia mashambani
Pia milimani
Pia ufukweni
Kwa hiyo tuseme alipo kuwa mashambani yeye alikuwa mkulima?
Kikubwa aliingia kufanya Nini
Ndo hicho umekisema kuwa yeye alipewaa injiri na hiyo injiri ndiyo ilikuwa nuru ya WATU imtiayo Kila mtu uzima
Hivyo kama alipewa hiyo injiri ni vyema ukajua ijiri ni Nini?
Injiri ni mafundisho yanayo husu ufalme wa Mungu na yanayo mfanya Mtu amgeukie Mungu kwa njia ya kuiamini injiri yaan kukubali kutubia madhambi yake ikiwa ni pamoja na kumwanini huyo aliyepewa hiyo injiri
Na ndo maana walio msulubisha ni hao wa kwenye sinagogi baada ya kuona mafundisho yake yanabeba watu wengi na kuwabadilisha kwa kumwanini Yeye na kuiamini injiri .
Ufunuo 3:6 inasemaje wewe mtu unayejisifia kuwa Yesu alionekana kwenye sinagogi.
Imeandikwa TAZAMA NA KUPA WALIO WA SINAGOGI LA SHETANI WASEMAO KWAMBA NI WAYAHUDI NA SIO BALI WASEMA UONGO TAZAMA NAWAFANYA WAJE KUSUJUDU MBELE YA MIGUU YAKO NA KUJUA KUWA NIMEKUPENDA
Kwa tafsiri hii inaonyesha wazi kuwa kwenye hayo masinagogi ndipo anapokaa SHETANI na kazi ya Yesu kristo alikuja kuwaokoa watu kwenye mikono ya shetani ivyo alikuwa Hana budi kuwafuata huko ..
Ufufuo 2:13 imeandikwa napajua ukaapo ndipo penye kiti Cha enzi Cha shetani........
Dr sule na ndugu zangu watu WA Mungu kila mtu anajua kuwa Mungu ni mmoja hata wachawi wanajua Naam na mshetani nayo yanajua Hilo na kutetemeka
Kwa Mungu ni mwingi wa rehema Kwa watu wake alipo ona shetani amekuja kuwadanganya watu wake wakwanza ni Eva na Adam nakupitia kosa lao . Adamu akaileta mauti Kwa watu wote .
Na mpango wa Mungu haukuwa mwanadamu afe .
Hivyo alipanga mpango wa ukombozi kwa mwanadamu kwa kumtuma nabii issa bin mariam ya Yesu kristo ..
Ili kupitia huyu Yesu Kristo watu wote wapate kuamini na kuokolewa nahatimaye awape uzima wa milele.
Yohana 3:16-19
Kolosai 1:13-14 naye alituokoa ktk Nguvu za giza akatuhamisha na kutuingiza ktk ufalme wa mwana pendo lake , ambaye ktk yeye tuna ukombozi, yaan msamaha wa Dhambi.
Kwa hiyo Yesu hakuja kutangaza kutangaza dini Bali alikuja kujenga ufalme wa Mungu
Dr sule wewe uko bizi na kujenga dini yako uko sahihi Kwa Hilo
Ila kama hautaimini injiri itakuja kukugharimu na siyo wewe ni Kila aliye MKIRSTO au hasiye MKIRSTO.. injiri ni tobo na kumgekia Mungu na kuwamwini mwana wa Mungu
Alafu dini ya kweli ni kuwangalia wagojwa na kuwapa wahitaji mahitaji Yao
Na ufalme wa Mungu hauwi ktk kula. Wala kuvaa . IPM msiitambishe amechagua fungu jema
Mwisho kama unaona uislam utakufanya uende MBINGUNI kaa huko
Na kama ukiona kwa kumwanini Mungu na Yesu kristo utatenda Mbinguni kaa hapo hapo
Acheni kupoteza mda kafanye kazi
Sawa ndungu na unga maneno yako mkono ( matendo ya mitume 4:11-12
Matendo ya mitume 4:19-24
Matendo ya mitume 5:38-42
Namba zake zipo hapo mpigie simu,uchukue zamu ya IPM
Hapotezi muda anatuelimisha. Na tunakujulisheni kwamba Uislam HAUCHEZEWI. Na hatutokunyamazieni. Sisi tutaulizwa tuliitetea vp dini yetu. Dini yetu inajitosheleza bila yeye. Asitupotoshee waumini na dini yetu
@@mgazamhina840😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂asante umempa neno
Thakbir Allah akuhifadhi dr sule
Hata Wewe Usiwaaminishe Watu Wakuamini Wewe Kama Alichosema Ni Uongo Icho Kisa Chake Cha Kuokoka Basi Ungekiweka Wazi Watu Waone Kwa Macho Kama Nguvu Iyo Wewe Auna Uwezo Huo Wa Kutuonesha Alichokutana Nacho Basi Acha Kumuona Mwenzako Sio Bola Wewe Ndio Bola Ali Ya Kuwa Wote Amna Cheti Cha Pepo Cheo Cha Dini Akina Mwenyewe Kila Mtu Asome Na Kuomba Mungu Anakua Na Cheo Kwa Wasiosoma Hata Wewe Unapotosha Umma Kwanza Uzalendo Pia Tatizo Ulitakiwa Kama Uko Na Hekima Ungemfata Aliko Na Kusema Nae Kwa Hekima Kikubwa Wote Atuwezi Kuwaamini Vitabu Vyenu Simu Na Mitandao
Ata ingekua mwalimu wanafunz wasngekuelewa
Wew hunaakili na allh akuhifadhi
Hilo ndo tatizo lenu makafiri
Mkiambiwa ukweli mnachukia
Wewe uneshindwa kumuelewa shekhe shekhe kasema iv alimtaka ili wafanye mjadara babu akakataa sasa lengo la shekh nikuelimisha jamii ili wajuwe ,sasa ww km unamuona muongo sw huwo nintazamo wako sisi wenyewe wa islam tunamkbali napia tunamuombeya kwa allah amzidishie elimu na imani napia am,barik maisha marefu amin summa amin, kwa neema zamungu kalibu katika dini ya haki dini ya manabii uisilam kalibu sana wa bilai twa ufiqui
shida yako ni nini?yeye kasema aliyo yaona wewe unasema anapotosha unauhakikagani gani kuwa anapotosha?wakati mafundisho yako yanaonyesha waziwazi kuwa unapotosha niliwahi kukusilkia uki sema kuna majini wazuri wanao mtumikia Mungu ,tangu lini jini akawa mzuri? naamini hata wewe ikosiku Yesu atakutokea na wewe utajuwa kuwa anapotosha au la
Ma Shaa ALLAH I love you doctor sule
Dr sule kuvaa kanzu ni vazi la kawaida kwa wakati wake zama za mtume hakukua na suti wa jeans
Masha'allah allah akuzidishiye elimu sheikh wang
Sule huna cha kujitetea kusujudu kwa yesu si kuhalalisha uislamu kuwa ni dini sahihi, na msikiti unaosema ni msikiti wa wayahudi sio wa waislamu ni wa wayahudi hauna cha kujitetea uislamu utajitetea wenyewe wewe huwezi kuutetea uislamu, ona sasa unazungumzia kanzu hoja dhaifu kabisa kanzu ni vazi la kiarabu tu arabuni kanzu watu wanaendanayo bar kanzu si fundisho la Yesu pole sana bila kuokoka hutaiona pepo lazima umkubali Yesu ili uokolewe,
😂😂😂
we kam unajua sana mtafute uweke bato nae tutajua kwel umesoma kam huyu mwenzako
Na wewe ulikosa oja mpaka hii ya kanzu?? Ambia bwanako IPM aende debate tafadhali na aache hoja zake bandia
Km unamuweza Dr.Sule anapatikana muda wowote kamface uone km utachomoka
Hamna lolote Makafiri nyie ' yenu uchafu tu
Mashaallah sheikh wetu Jazzaqa llahu khayra
Doctor anafanya operation kunusuru mama na mtoto ipm akirudi ktk Nuru kundi la watu litaingia katika uisilamu tulieni inshallah doctor anafanya kaz
Unaota ww
Mwenyezimungu akuweke dr sule Uzidi kutangaza dini yamwenyezimungu❤❤
Tulieni... Dr Anaongea
Si kuongea tu ila ANATIBU biidhinllah 😂😂😂 maana hapa twapata daawa
🙇♀️🙇♀️
Allah akuhfadhi dr sule.shukran
Kuna biashara na dini Uislamu ni dini lakini zingine ni biashara na propaganda tu 😂😂😂😂😂😂
Ukiristo ndio biashara kila siku mwaibiwa pesa na wachungaji wenu, kila siku mwauziwa upako😂😂😂😂😂 bila ya nyinyi kuibiwa pesa ukiristo unakufa utasikia nyimbo zao toa toa toa toa ulichonacho toa ubarikiwe😂😂😂😂😂
@@Moc.khalfan😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Safi sana doctor sule Allah akbrk zaid
Hakuna vazi takatifu, ila utakatifu uko ktk moyo na matendo ya mtu yaliyo matakatifu. Wapo wavaao mavazi hayo na maisha Yao ni ya uasi hatari. Mbona unatumia nguvu kubwa kumkatalia huyu mtumishi wa MUNGU wetu aishie milele, wee mwenyewe umekiri kwamba alikuwa muislamu kama hayo ndio yaliyomtokea we unajuaje? Na ktk ufalme wa MUNGU wetu aishie milele hakuhitajiki elimu ya dini Bali utayari wa kuyaishi na kupita ktk matakwa ya MUNGU wetu aishie milele. Kama elimu ya dini ni kigezo, Bwana YESU KRISTO asingewakataa na kuwaita wanafki wazee wa dini na mafarisayo.
Mbona unaipinga biblia
Yenu?
Mbona unaipinga biblia
Yenu?
@@faudhiasaidi3669 wanadhani mawazo yao ni Bora kuliko maandiko na hapo ndipo wanapowaburuza waumini wao kwa visingizio vya roho mtakatifu.
Bibilia zenu zinasema kansu na kofia ni mavazi matakatifu lakini wewe umekuja na kukanisha kwa maneno yako,huoni kama unakurupuka?au unataka kusema Bibilia ilidanganya?hebu tuambie hapa!
@@nassorsharifu9837
Ndo walivyo hao wakienda kanisani na biblia zao makwapani wakija kanisani ni kucheza kwaya tu
Hawana lolote
Ahsantee doctor Allah akutangulie kw kila hatua
Hakuna Mtu Yoyote Yule Atakae Muona Mungu Asipo Mwamini Bwana Yesu.
Yohana 14:5-6
[5]Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia?
Thomas saith unto him, Lord, we know not whither thou goest; and how can we know the way?
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.
Na wewe acha kuropoka, unalete Maneno ya thomaso kwa Yesu halafu kitabu Cha thomaso mmekikataa (Zipo kichwani humo?
Yohana 17:3
@@GadafiRashidi
Maneno ya Thomaso yamo kwenye Biblia...na alimuanini Yesu ...."kitabu cha thomaso' tunakikataa kwa sababu ni kinyume na imani ya Thomaso aliyetembea na Yesu....kilitungwa na mtu mwenye imani ya kiislam- mpinga kristo!!!!
@@Catherine-mh8sw
Yohana 17:3 ni umjue Mungu pekee wa kweli na Yesu Kristo.....sio Mungu na musa au Mungu na Ibrahim.....au Mungu na nabii yeyote yule.....bali Mungu na Yesu!!
@user-eb5ml3km2x kwahiyo yesu si Mungu. Baba yake ndiyo mungu
Ww sulle unaonekana kukosa hekima na busara. Kwa jinsi alivyotoa majibu yake bw ipm ametumia busara Sana na ww ulitakiwa kunyamaza kimya. Kama yy anasema alitokewa na Yesu ww huwez kupinga mana hukuwa naye na kama paulo alitokewa kw jinsi hiyo haimanishi kuwa hakuna mtu mwngine anayeweza kutokewa na Yesu kw jinsi hiyo. Wako waislam wngi duniani waliohamia kwny ukristo baada ya kutokewa na Yesu. Ww sulle kinachokuuma ni kitendo chake cha kuhama uislamu na Kisha kuwaambia watu kuwa ameacha uislamu, Sasa ulitaka anyamaze?mm sioni kosa lake. Dr sulle acha chuki, fitina na udini
Ila ipm sio mdini?
Ndio
Hapana yesu hawezi kukutoke kwasababu sis sio uma wake yeye nikwejili ya waisrael tu
Acheni ujinga hayawahusu.wsislamu mnakosa busara Mwaipopo anausema ukristo mbona mnashangilia acheni ujinga
@@wilfredlukowo9476 nyie ndo mjielewe sio ushabiki tangia lini yesu akamtokea mtu kama sio uongo
Baraka llaahu fiiika yaa akhiy
Huenda kuridati kwake kukafanya yeye ,waumini wa kabisa lake na wengineo Kwa kupitia mafundisho waliyotolewa na ustadhi doctor alhajj sule yakawafanya myoyo yao ikajawa na nuru,huruma unyenyekevu upendo baraka imani na kuingia katika dini ya haki
Masha Allah maalim ustadhi dkt sule in shaa Allah!!