KARIBU ISLAAH ISLAMIC DUA CENTER. TUPO ILALA BUNGONI ,MTAA WA SHARIFU SHAMBA, NYUMBA NAMBA 3. MUDA: SAA 2:00ASBH - 1:00USIKU TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO, A.)MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE YA KIBAIOLOJIA B.)CHANGAMOTO ZISIZO ZA KIBAIOLOJIA KAMA; 1. Kusafisha nyota 2. Kutoa majini wachafu,Hassad,Mashetani 3. Kuleta mvuto katika biashara 4. Kumleta alie mbali kimapenzi 5. Kuboresha mahusiano katika ndoa WASILIANA NASI, DR.MSAIDIZI - +255764111616 +255710400200 DR.SULLE - +255710800400
mi sijakurupuka kuandika huu ujumbe wahadhiri WA kiislami nawasikiliza na wakikristu nawasikiliza kuna utofauti mkubwa Sana maswali mengi wanayo tuulize tunakosa majibu Ila tukiwauliza wao majibu wanayo kwani we ulipo mskiliza Dr suleh hujapata faida yeyote?@@Jifunzebure
@@AlexAmbrose-y8l Nimekuuliza kwa takwim gani?. Au unasema tu. Sulle ni muongo na kama ujaelimika huwezi kumuelewa. Kujua kati ya wakristo na waislam wapi wana Elimu. Vyuo vyote vikubwa vinamilikiwa na wakristo. Mashirika yote makubwa yalianzishwa na wakristo. Siasa na mfumo wa Dunia ilianzishwa na wakristo. Na wasomi wengi ni wakristo
kama umemsikiliza vizuri basi tuambie wewe katika vitu alivyo ongea hiki na hiki Ni uongobili na wewe uwe mwalimu Kwa watu wengine sasa ukisema muongo huku ubainishi huo uongo wake Nani ATA kuwa mkweli Kati ya wewe na suleh @@Jifunzebure
Cjawahi kuona watu wenye vichwa maji kama wakristo jitu limesoma Ana mastaz linadanganywa mungu Kazaa poleni nyee mungu anawasubiri akawafanye kuni za kutia motoni hi hatari mmewezwa na mapadri mnowapa pesa wanunue marenj ya kutembelea poleni nyee
@noorbazaar9063 ukweli upi, ule wa Muhamad siku anatolewa roho alianza kuulizwa na israel nichukue roho yako au nikuache?. Alafu akawa anatolewa roho uku anapepewa na malaika wakike wazuriii. Nielewe huo Upuuzi? Mkiambiwa Allah sio Mungu, ni rafiki ake Muhammad mnakataa. Sasa Mungu gani wa kufanya ujinga kama huo. Alaf wew umeamini huo ujinga ndo unaniambia mimi nisome nielewe. 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Pole ndugu, upe nafasi ubongo wako kuchanganua mambo. Vitabu vyenu vimerembeshwa mambo mazurii kuliko ata hadithi za mapenzi, Endeleeni kumpinga YESU kwa kuwa hana hadithi za kuvutia.
Please tufundishe na wewe sisi waislam tunapenda elimu kisha tuchuje, sisi sio kondoo wakuftwata tu. Zawadi ya akili ya Mwenyezi Mungu alotupa twapenda kuitumia na kuuliza maswali
Asalamu aleikum warahamatulilah dr sule sisi kama wakenya twakupenda laminitis masihala ya inji ya Kenya tuachie tunava kitu tutajua kinatufinya wapi uongozi tulionao kwa sasa nimbaya yatuchukii raisi wetu ilatunataka maendeleo na uhuru watu, twataka raisi watu akupe majibu vijana wanatekwa nyara wakipelekwa wapi ?Kwanini hataki kukosolea ukia kiongozi wa ainayeyoteile kumbali kukusolea
Someni jamani mnadanganywa vitu Vingi sana Kila kitu kipo ni uvivu wa kusoma wetu unawapa watu wenye elimu ndogo kuonekana wana elimu kubwa. Mungu atusaidie na atusamehe
Umejaa ujinga wakristo unao wasema kila siku sio wale wazamani waliokuwa hawasomi kuujua ukristo waleo ni wasomi tunavyo sherehekea ni tofauti na maelezo yako acha upotoshaji
SULLE ANA NYOTA KALI SANA, YANI PAMOJA NA KUUZA MAFUTA YA UPAKO, KNA KUFANYA IBADA ZA KUTOA UCHAWI NA UPEPO BADO WAISLAM WAKO NAE. YANI ALIKO WAPO.😅😅 PIGA ELA SULLE, MM MWENYEWE NAKUKUBALI.
Wakristo mmemuelewa Dr Sulle? Yakuwa ibada ya Missa asili yake ni ibada ya kipagani inatoka kwa Warumi, ni ya kumtukuza Mungu wa kipagani wa Kirumi anaitwa Janos. Dr Sulle shukran sana kwa kutupa fahamu hii. Nategemea kama kuna clip itatoka kutoka kwa Danieli au Ndacha ya kujibu yaliyo semwa hapa
SULLE HAWA JAMAA NDO WALIOANDIKA QURAN MUNAYOWADANGANYA IMESHUSHWA Abdullah Ibn Masud, Ubayy Ibn Ka'b, Zayd Ibn Thabit, Mu'awiyah Ibn Abu Sufyan na wengineo. WAKRISTO hautusumbui vichwa, labda mihemko unayowapa waislam wenzako wanaoamini UONGO wako na WA UISLAM.
Aisee ukiachana na matatizo ya makafir lakini huyu jamaa anadanganya danganya sana.................concept ya A.D kapotosha sana, sometimes sisi waislamu huwa hatupendi ku challenge other doctrines kisomi zaidi ya kutumia propaganda...........ofcoz wanawasilimisha watu lakini wanakuwa wamedanganya sana kuhusu dini na mambo mengine.
Calendar ya kislam ilitengenezwa tarehe 24/09/6022/ AD, miaka 17 baada ya kufa muhamadi, maswahaba, walikubaliana kua siku Ile muhamadi anahama kutoka maka kwenda Madina ndio iwe tarehe 1/1/ mwaka wakwanza,😂😂😂
Shehe una akili za kitoto . Kwa unachokisema wewe huijui dunia wenzako wanaoijua dunia wanajua jua linaweza kuzama Tanzania kongo likawa halijazama , china sasahv ni saa jua linazama kongo linachomoza una akili mgando shehe
Mnaamini filam aloekti brayan dacon yule mtu filamu kaekti tu c yesu yule nashangaa brayan dacon ndo mmemfanya sanamu mnamueka makanisani mnamuabudu ukweli upo palepale yesu ni mtume alioletwa kwa wana wa israil mtake mctake nyie endeleeni kumuabudu brayan dacon😂
@MohdJuma-w6l haaa ninyi mwatuchukia hamu Muhammad KABLA hajafa aliomba Dua Allah atuangamize SISI na wayahudi LKN Kiko wapi? Alijua mbingu ya bibi yake shubaamit
Ndomana nasemaga mimi, kile chuo mlichopewa na wakristo mkatoe ujinga hakitoshi, bora wawaongezee kingine siku moja akili itakuwa sawa, maana hata Quran inasema waislam ni wajinga
@ Umekubali kwanza waislam ni wajinga maana hawajuwi kusoma na kuandika akiwepo mudy wenyewe?. Sasa ni hivi Vyuo vyote vikukwa unavyolna Dunia vinamilikiwa au vilianzishwa na wakristo. Mf: Oxford, Harvard, Yale, MIT, Stanford nk. Mashirika Makubwa yote yanamilikiwa na wakristo Mf: Church World Services. World Vision, World Relief. Nchi Tanzania, wakristo waliwapa waislam Chuo ili wakatoe ujinga, maana wao hata chuo kimoja walikiwa hawana na walikuwa wajinga kweli kweli
Hayo ni maneno ya mkosaji kwa kukosa hoja hata pasta wako hana robo ya ilimu ya Dr sule. Dr kajibu kwa hoja haya sasa wewe kama mkristo tufundishe elimu ya miezi ya kizungu inatokana
@hafsakirao398 We bado sana una elimu ndogo kama ya Sulle. Hivi unataka kuniambia nini maana ya Mungu kuwapa watu akili na maarifa na utashi? Binadamu sio roboti amepewa maarifa ili atawale dunia. Sio kila kitu kinachofanyika kimeandikwa kwenye maandiko. Labda nikuulize hivi kwenye Q'uran au Biblia kuna You tube? Kuna internet? Kuna computer? Kama hakuna ndo uelewe kwamba sio kila kitu kimeandikwa. Mambo Mengine Mungu ameruhusu maarifa ya binadam yanafanyike kama yalivyo. Kama kalenda tunayotumia ni potofu basi acha kutumia hiyo simu ni upotofu pia maana haumo kwenye Maandiko. Hapo ntakuona kweli ww wa maana.
@@hafsakirao398 Wasingekuwa wakristo hata chuo msingekuwa nacho, Muhimbili hospitali isingekuwepo, Saut university usingesoma. Ukisikia Harvard, Yale, Oxford, MIT nk ni vyuo vinamilikiwa na wakristo, hata mashirika yote makubwa yanamilikiwa na wakristo. Sasa kati ya wakristo na waislam wakina nani wajinga?
@ FOR your information the first ever built UNIVERSITY was built by MUSLIM woman in MOROCCO. Hata elimu huna All those university came later, and they learnt from Muslim, algebra etc. your not even proud of people from your continent a black man was the first one to do a heart operation, etc. but sababu mwapenda kutukuza wazungu sana , you only see AMERICAN & BRITISH universities 😃JOKER
@@Jifunzeburesio kweli ni vyuo vya wayahudi na sio wa kristo ila kwasababu mayahudi wana wawezesha kwasababu lengo lenu ni moja lazima wawezeshe kuwa na vyuo vingi ili mzidi kupotea pamoja. Toa hoja zako ao pasta wako kuhusu miezi January mpaka December na siku za wiki Monday mpaka Sunday kwa ilimu ya pasta uone kama utatoboa wewe na unae muamini kama pasta. Ao jaribu ukamuulize pasta wako uone majibu yake ndipo utaamini waisisamu wana elimu ao laa
@@Jifunzebure poor you, you don’t even know the first person to ever built a university was a Muslim woman in Morocco. WTF is Yale and Oxford whatever they teach like math, algebras was started by Muslim, most of the first investors were Muslims, do your homework na badala kujifunza bure lipa ada/fees😂😂😂
KARIBU ISLAAH ISLAMIC DUA CENTER.
TUPO ILALA BUNGONI ,MTAA WA SHARIFU SHAMBA, NYUMBA NAMBA 3.
MUDA: SAA 2:00ASBH - 1:00USIKU
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO,
A.)MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE YA KIBAIOLOJIA
B.)CHANGAMOTO ZISIZO ZA KIBAIOLOJIA KAMA;
1. Kusafisha nyota
2. Kutoa majini wachafu,Hassad,Mashetani
3. Kuleta mvuto katika biashara
4. Kumleta alie mbali kimapenzi
5. Kuboresha mahusiano katika ndoa
WASILIANA NASI,
DR.MSAIDIZI - +255764111616
+255710400200
DR.SULLE - +255710800400
Dr sule mungu akuweke maisha malefu sana wanaokuchukia mungu awalani
Dr sule mm nakukubali kweli kweli mawaidha yako mungu akupe maisha marefu
Mungu atakufanyia wepesi kwa kila jambo n
Kwel hapo umetupatia za ndan kabxa doctor ❤❤❤
asante sana sulle umenipa elimu kubwa napaswa kujifanyia tasimini ktk masaa ishilini nanne
Assalamualaikum kiukwel doctor nakuelewa sana point zako Allah akubariki
Dkt sulee munguu akupee maishaa malefuu sanaa mashallhaa unajuwa ukovizurii
Mashallah wajina allah akuzidishie
I'm Cristian lakini ndugu zetu mmesoma dini na elimu ya dunia
Hata wewe soma usikubali kupotea kirahisi. Mwenyezi Mungu amekupa zawadi ya akili itumie.
@@AlexAmbrose-y8l wewe si mkristo. Waislam wa Elimi gani ya Dini na wana Elimu gani ya Dunia, kwa takwini zipi umetizoa?
mi sijakurupuka kuandika huu ujumbe wahadhiri WA kiislami nawasikiliza na wakikristu nawasikiliza kuna utofauti mkubwa Sana maswali mengi wanayo tuulize tunakosa majibu Ila tukiwauliza wao majibu wanayo kwani we ulipo mskiliza Dr suleh hujapata faida yeyote?@@Jifunzebure
@@AlexAmbrose-y8l Nimekuuliza kwa takwim gani?. Au unasema tu. Sulle ni muongo na kama ujaelimika huwezi kumuelewa.
Kujua kati ya wakristo na waislam wapi wana Elimu.
Vyuo vyote vikubwa vinamilikiwa na wakristo. Mashirika yote makubwa yalianzishwa na wakristo.
Siasa na mfumo wa Dunia ilianzishwa na wakristo. Na wasomi wengi ni wakristo
kama umemsikiliza vizuri basi tuambie wewe katika vitu alivyo ongea hiki na hiki Ni uongobili na wewe uwe mwalimu Kwa watu wengine sasa ukisema muongo huku ubainishi huo uongo wake Nani ATA kuwa mkweli Kati ya wewe na suleh @@Jifunzebure
Allah akbar
Nikumshukuru tu mungu
Dr Sulle,,Big Mind💪
Cjawahi kuona watu wenye vichwa maji kama wakristo jitu limesoma Ana mastaz linadanganywa mungu Kazaa poleni nyee mungu anawasubiri akawafanye kuni za kutia motoni hi hatari mmewezwa na mapadri mnowapa pesa wanunue marenj ya kutembelea poleni nyee
Yani mnapewa mpaka ushahidi wa neno kwenye iyo baibo yenu na pia mnakataa cjui watu gani nyie mmegubikwa kuckia hamckii Ata kuona pia hamuoni
Dr Sule ni mjanja mjanja kwenye Dini ni Mweupe sana ALLAH amuongoze
Kundi la 4 kumbe upo😅
@@sleyumngolowaislam ndo tegemezi lao uyo, na siku izi anauza mafuta ya uponyaji.
@@Jamal22-o5n Tegemezi la Waislamu ni Mola wetu mlezi ambaye ni Allah (s.w)
@@Jamal22-o5n Soma uufahamu ukweli, acha kukaririshwa.
@noorbazaar9063 ukweli upi, ule wa Muhamad siku anatolewa roho alianza kuulizwa na israel nichukue roho yako au nikuache?. Alafu akawa anatolewa roho uku anapepewa na malaika wakike wazuriii. Nielewe huo Upuuzi? Mkiambiwa Allah sio Mungu, ni rafiki ake Muhammad mnakataa. Sasa Mungu gani wa kufanya ujinga kama huo. Alaf wew umeamini huo ujinga ndo unaniambia mimi nisome nielewe.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Pole ndugu, upe nafasi ubongo wako kuchanganua mambo. Vitabu vyenu vimerembeshwa mambo mazurii kuliko ata hadithi za mapenzi, Endeleeni kumpinga YESU kwa kuwa hana hadithi za kuvutia.
Safi sana sulle kwa mafundisho
Wengine mna vichwa vibovu mnapew elimu lakini hamtaki kuelewa na ushahidi unaotolewa bado mnapinga
Dr Sulle anapambana sana kupeleka watu kuzimu...Hana ufahamu wowote kuhusu Kristo
Endelea kupotea usipoelewa hapa Utaelewa jahanam
Please tufundishe na wewe sisi waislam tunapenda elimu kisha tuchuje, sisi sio kondoo wakuftwata tu. Zawadi ya akili ya Mwenyezi Mungu alotupa twapenda kuitumia na kuuliza maswali
Wewe nikondoo ulie potea auwezi kukubali ukweli
Na Dr kakutaja miongoni mwa watu hawajuwi na hawataki kujuwa kama hawajuwi.
Tunakusubiri wewe sasa uje umkosoe mtandaoni au viongizi wako wakanisa waje kupinga kama Hawa kupinga Basi Dr sule atakua kasema ukweli
Wakristo nikama watoto tena wakuku maana mungu wao anakufa nakufufuka badae anasherehekewa kufa
MaashaAllah
Asalamu aleikum warahamatulilah dr sule sisi kama wakenya twakupenda laminitis masihala ya inji ya Kenya tuachie tunava kitu tutajua kinatufinya wapi uongozi tulionao kwa sasa nimbaya yatuchukii raisi wetu ilatunataka maendeleo na uhuru watu, twataka raisi watu akupe majibu vijana wanatekwa nyara wakipelekwa wapi ?Kwanini hataki kukosolea ukia kiongozi wa ainayeyoteile kumbali kukusolea
Mungu atakulipa
Someni jamani mnadanganywa vitu Vingi sana
Kila kitu kipo ni uvivu wa kusoma wetu unawapa watu wenye elimu ndogo kuonekana wana elimu kubwa.
Mungu atusaidie na atusamehe
Kama ningelikua mkiristo leo hii bac ningeliyachukua haya maneno nakuenda kuyafanyia kazi, hakika nisingeli yaachaa.
Haya tutasherehekea mwaka wa kiislam sawa
Assalam alaikum nyota mme zisema mbili tuu nyingine mbona hamja zisema ?
Zitaendelea hivi soon tulikua safari
😅😅😅😅😅😅
Umejaa ujinga wakristo unao wasema kila siku sio wale wazamani waliokuwa hawasomi kuujua ukristo waleo ni wasomi tunavyo sherehekea ni tofauti na maelezo yako acha upotoshaji
Njoo mbele uelezee kama yeye sikuizi vyombo vya habali vingi njoo utuelezee
Nyie waislaam watoto wa mamdogo sule anawapotosha hajui kitu
SULLE ANA NYOTA KALI SANA, YANI PAMOJA NA KUUZA MAFUTA YA UPAKO, KNA KUFANYA IBADA ZA KUTOA UCHAWI NA UPEPO BADO WAISLAM WAKO NAE. YANI ALIKO WAPO.😅😅
PIGA ELA SULLE, MM MWENYEWE NAKUKUBALI.
Wakristo mmemuelewa Dr Sulle? Yakuwa ibada ya Missa asili yake ni ibada ya kipagani inatoka kwa Warumi, ni ya kumtukuza Mungu wa kipagani wa Kirumi anaitwa Janos. Dr Sulle shukran sana kwa kutupa fahamu hii. Nategemea kama kuna clip itatoka kutoka kwa Danieli au Ndacha ya kujibu yaliyo semwa hapa
nikama ilivyo kuambu khaba mungu wa karamu Allah mungu mbalamwezi
@ Sijakuelewa wasema nini
@@alyaqdhan5206 Elimu huna lazima ukubali huu ujinga anao ongea hapa
@@Nehemiaayo-b8ctoa ushahidi kwenye vitabo hayo unayo yasema
Ni tafsiri yenu HATA ninyi si mnasujudia jiwe jeusi kule Saudi Arabia
Dr sule umetisha ukovizuri sana ila watu wanakukosoa kwenye majini tu kwanini hayo majini hebu yakemee kabisa kwa imani yako
KWA mujibu WA Imani yake majini ni waislam pia
@@josephwilliam5813pia majini wapo wakristo na wengine ni wapagani
waislam hamjalazimiswa kusherekea mnaweza mkasherehekea kalenda za kichina au za kihindi
Hata na ww pia hujalazimishwa kuacha kusherehekea, endelea2 ila hamtaki kufuata maandiko mnafuata matamanio ya nafsi zenu ili kujifurahisha
@@MohdJuma-w6lkwaio maandiko yanasema tusheherekee SIKU Muhammad alipohamia Madinah? Si NDIO chanzo Cha calendar yenu?
Siyo lazima ushelekee x smc km imani yako haikuruhusu
Hatukatai wakristo mna elimi ila kazi bure mana akili ya duniani ya akhera kweupeeee
SULLE HAWA JAMAA NDO WALIOANDIKA QURAN MUNAYOWADANGANYA IMESHUSHWA
Abdullah Ibn Masud, Ubayy Ibn Ka'b, Zayd Ibn Thabit, Mu'awiyah Ibn Abu Sufyan na wengineo.
WAKRISTO hautusumbui vichwa, labda mihemko unayowapa waislam wenzako wanaoamini UONGO wako na WA UISLAM.
Ngoja mfe mliwe nyama na wachawi
Dr sule sasa kabla ya huyo mfalme Gregory watu walikkua wanatumia nini kujua ma siku n mwezi.?
Wakristo hawajielewi wanashindwa na bata
Makafiri mnasema saan lakini uyo ndo ukwel mwesemeni tu mtachoka
Aisee ukiachana na matatizo ya makafir lakini huyu jamaa anadanganya danganya sana.................concept ya A.D kapotosha sana, sometimes sisi waislamu huwa hatupendi ku challenge other doctrines kisomi zaidi ya kutumia propaganda...........ofcoz wanawasilimisha watu lakini wanakuwa wamedanganya sana kuhusu dini na mambo mengine.
Sule kazaliwa mwaka gn wa kiislam?
Siku izi wakristo wengi wameacha kusheherekea Xmas wamebaki wachanga tu 😅
Calendar ya kislam ilitengenezwa tarehe 24/09/6022/ AD, miaka 17 baada ya kufa muhamadi, maswahaba, walikubaliana kua siku Ile muhamadi anahama kutoka maka kwenda Madina ndio iwe tarehe 1/1/ mwaka wakwanza,😂😂😂
Dr sule anachukiwa na wapumbavu wachache walio amua kujifungia katiika dunia yao
Tafuteni mtu yeyote mwenye elimu ya juuu kabisa wakristo ajibu hoja
hakuna kuma wa kikiristo mwenye akili
DUH, OYA WEWE NI KAFIRI MPAKA UMEPITILIZA, TENA MYAHUDI.
ILO TUSI APO ULIJUA UPO UWANJA WA KAMALI, ULIJUA UNACHEZA DUBWI.
😅😅😅😅😅😅
ILA WAISLAM
Katoliki maana yake ni jumla au ulimwengu wote
Hana ukweli ujanja tu
Unaeleweka shekhee
Shehe una akili za kitoto . Kwa unachokisema wewe huijui dunia wenzako wanaoijua dunia wanajua jua linaweza kuzama Tanzania kongo likawa halijazama , china sasahv ni saa jua linazama kongo linachomoza una akili mgando shehe
huyu muganga anajidanganya mwenyewe, jwani mtu akiwa na jina la kiarabu huwa ni mwislamu, sada wale kina muhamed wanao sherehekea tuwaiteje?
Swadakta, Allah akuzidishie baraka na akusamehe ulipoteleza.
Kwani Goliath alikuwa na urefu gani
Ukifuata jua ni ngumu kujua masaa . Na tambua kuna baadhi ya sehemu jua lina kaa miezi mitatu halionekani . Sheeh acha akili mgando
Tusday ni kiingereza sio kirumi wala kigiliki kama wewe ni mkweli taja hizo siku kirumi mbona unazitaja kiingereza acha kudanganya watu
Mnaamini filam aloekti brayan dacon yule mtu filamu kaekti tu c yesu yule nashangaa brayan dacon ndo mmemfanya sanamu mnamueka makanisani mnamuabudu ukweli upo palepale yesu ni mtume alioletwa kwa wana wa israil mtake mctake nyie endeleeni kumuabudu brayan dacon😂
We jamaa wadanganye ambao hawana elimu syo sisi wakristo
Shida wenu nyinyi wakristo mnapenda sana sifa kusifiwa sifiwa, hizo ndo zinazo waponza kusoma hamtaki afu mnajifanya mmesoma
Kam.a nihivyo waislamu woote wasipewe mshahara mwisho mwezi maana sio kaenda yenu Pumbav
@@MohdJuma-w6lhatutaki kisifiwa MUNGU akitusifia inatosha
@josephwilliam5813 ulimuona wp uyo mungu akiwasifia ama kwl jitu likisha elekea kupotea huwezi kumuongoa
@MohdJuma-w6l haaa ninyi mwatuchukia hamu Muhammad KABLA hajafa aliomba Dua Allah atuangamize SISI na wayahudi LKN Kiko wapi? Alijua mbingu ya bibi yake shubaamit
Ndomana nasemaga mimi, kile chuo mlichopewa na wakristo mkatoe ujinga hakitoshi, bora wawaongezee kingine siku moja akili itakuwa sawa, maana hata Quran inasema waislam ni wajinga
Hamjui na hamjijui kua hamjui. 🎸 mbuzi
Soma vzr Quran utaona aya inasema Allah amewapa mayahudi akili na amewapa manaswara/wakiristo ujinga
@ Umekubali kwanza waislam ni wajinga maana hawajuwi kusoma na kuandika akiwepo mudy wenyewe?.
Sasa ni hivi Vyuo vyote vikukwa unavyolna Dunia vinamilikiwa au vilianzishwa na wakristo.
Mf: Oxford, Harvard, Yale, MIT, Stanford nk.
Mashirika Makubwa yote yanamilikiwa na wakristo
Mf: Church World Services. World Vision, World Relief.
Nchi Tanzania, wakristo waliwapa waislam Chuo ili wakatoe ujinga, maana wao hata chuo kimoja walikiwa hawana na walikuwa wajinga kweli kweli
@ Tulia wewe
Hayo ni maneno ya mkosaji kwa kukosa hoja hata pasta wako hana robo ya ilimu ya Dr sule. Dr kajibu kwa hoja haya sasa wewe kama mkristo tufundishe elimu ya miezi ya kizungu inatokana
Acha uongo mwisho wa mwaka sio Disema 30 ni Disemba 31....siku inabadilika sio saa sita na dakika moja ni saa sita kamili usiku.
Lazima Mwenyezi Mungu awe mkweli, na lazima JAHANAM ipate wateja. Endelea kupinga you have free will.
@hafsakirao398 We bado sana una elimu ndogo kama ya Sulle. Hivi unataka kuniambia nini maana ya Mungu kuwapa watu akili na maarifa na utashi? Binadamu sio roboti amepewa maarifa ili atawale dunia. Sio kila kitu kinachofanyika kimeandikwa kwenye maandiko. Labda nikuulize hivi kwenye Q'uran au Biblia kuna You tube? Kuna internet? Kuna computer? Kama hakuna ndo uelewe kwamba sio kila kitu kimeandikwa. Mambo Mengine Mungu ameruhusu maarifa ya binadam yanafanyike kama yalivyo. Kama kalenda tunayotumia ni potofu basi acha kutumia hiyo simu ni upotofu pia maana haumo kwenye Maandiko. Hapo ntakuona kweli ww wa maana.
😂 yani umeamua sana kufuata shetani kabisa
@@khitamcaptainveca5045 ujinga tu mbona ndugu zako wanafuta comments sasa😃😃😃
Dr sule anazungumza unwell, hivyo ndivyo ilivyo
Saf
antiokia n uturuki co ugiriki
Wakristo hawana elimu hata kidogo, Maskini jina la KONDOO🐏 linawafaa kweli 😂😂.

😂😂😂😂😂