🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 17

  • @AbbasMagambo
    @AbbasMagambo 2 дня назад +1

    Sawa doctor mm naamini upo vizuri wala comments za watu zisikukatishe tamaa

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 7 дней назад +1

    Allah akupe Hidaya brother dah na kuoenea huruma muogepo Mola wetu inna lillah wainna illahi duh msiba una wapoteza umati wa Muhammad S,A,w

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 7 дней назад

      Chizi ww endelea kuwa maskini wa akili unajiona unaelimu ya kumuogopa mungu kumbe unaelimu uchwara tu

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 6 дней назад

    Allah atujaalie tuwe wenye kutafuta elimu ya dini yetu ya uisilam ili tuepukane na washirikina wenye kujivika guo la uumini, aamin

  • @AbbasMagambo
    @AbbasMagambo 2 дня назад +1

    Ulioongea ni sahihi kabisa watu wenye herufi A M na Y ni kweli kabisa wapo hivo

  • @MuhammadWesonga
    @MuhammadWesonga 7 дней назад +3

    Hakuna hoja ya nyota katika uislamu,watanzania wamekugundua sasa umerukia kenya! Usituhadae,umekuwa mwongo wa kimataifa,kenya utapata hela na moto pia utapata,tuelimishe kwa Qur'an na sunna,siyo haya mambo ya kikristo.

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 8 дней назад +3

    Assalam Aleykhum Dr. Sule. Kipindi ni kizuri sana ila sauti ndiyo mtihani! Na sio video moja, ni karibia video zote ulizo record in Nairobi.

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 7 дней назад

    duh!!! 😢😢😢😢

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 7 дней назад +2

    Dr sule mwambie anaye kurikodi asikilize video aliyokurikodi kabla hajapost maana sauti zenu zinapotea kwa dakika kadhaa.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 7 дней назад

    Fundi degital kazingua sana

  • @FadhiliMnyonge
    @FadhiliMnyonge 7 дней назад +1

    Kujifunza elim ya nyota ni ushirikina

  • @amanathabiti2520
    @amanathabiti2520 7 дней назад +1

    Tunaomba kipindi kiludiwe tena hakuna sauti

  • @muksiniabdul7155
    @muksiniabdul7155 7 дней назад +1

    Nataman kuamwanafunzi wako unayosemaga niyaukwel watu wanaangamia kwakukosa maalifa

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 8 дней назад +1

    Sasa hatujui ni Nyota ipi ndiyo wakali, sauti ilipotea kbs.

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 6 дней назад

    DR Ukwaju mushrik wewe na watu wako..Kondoo uliepotea

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 7 дней назад

    Kwani mtu aneza kuwa na nyota
    Mbili ama tatu