MAPOROMOKO YA MATOPE MBEYA, SHULE IMEFUNIKWA LIMEBAKI DARASA, NYUMBA 20+ ZABOMOKA, NG’OMBE WAFUKIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 апр 2024

Комментарии • 118

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад +33

    Tuacheni kumuudhi mwenyezi Mungu jamani,mala ushoga,kuuwana ovyo,ulawiti hatuna huruma kabisa hivyo Mungu hutukumbusha waja wake kwamba msisahau Mungu ndio muumba wenu na mfuate Sheria zake,tuombe

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад

      HILO ENEO HAMNA MITI HUWEZI KUTA HILO TATIZO SÃO HILL MAFINGA INABIDI TUWE NA TABIA YA UPANDAJI MITI MINGI

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Месяц назад +3

      Inaonekana ni shule yako ndogo sana hiyo ni landslide ni uharibifu wa mazingira

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 Месяц назад +3

      Kila kitu mnamsingizia Mungu wakati Hilo tatizo limetokana na uharibifu wa mazingira elimu hapo ienda kushoto

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy Месяц назад

      ​@@yustomwaisomania2587
      Hilo ndio tatizo walilonalo wanadamu wa sasa. Wanadamu waliotutangulia kuishi katika hii dunia, waliheshimu sana mazingira. Mizizi ndio inashikilia udongo uliorundikana. Mlima ili usimomonyoke lazima miti iwepo, tena yenye mizizi inayokwenda chini na inayosambaa. Ushauri wangu kwa waishio pembezoni ya mlima, wapande miti kwa usalama wa maisha yao.

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 Месяц назад

      Ndio tatizo la kuishia darasa la pili

  • @user-mo4gu3uc8m
    @user-mo4gu3uc8m Месяц назад +5

    Hatua ya kudhibiti ni kukumbuka kumuomba MUNGU Tuache kutenda dhambi TUTUBU MUNGU NI MWEMA....AAMIIN

  • @julieeliah5511
    @julieeliah5511 Месяц назад +2

    Mambo haya yaanzapo kutokea iweni tayari, mkajiimarishe ukombozi umekaribia, mbingu na nchi zitapita lakini maneno ya Mungu kamwe hayatapita. 🙏🙌

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Месяц назад +3

    Mtoto mwaka mmoja na miezi.analawitiwa vijana wanapewa.hela wawe mashoga wamkufuru Mungu dunia itapita.pembamba sana Mungu.hajawahi.kubari ujinga wa namna hii lazima upanga upite.katikati ya dunia waombaji.wainjilisti manabii.mitume kazi.kwenu.hela.ziache kwanza.jaman kemeeni.watanzania.watafakali.njia.zao.damu.ipo.itatakasa.dhambi

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Месяц назад +7

    Mwenyezi mungu amekasirika tuachen kumudhi hi ni mwisho wa dunia Allah atujarie mwisho mwema

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 Месяц назад +5

    Polen jmn ndugu zangun ila hii yote ni kumuudh mungu Sasa inakuwaje matope Tena! Eeh mungu tusamee sisi watoto wako mana majanga ni makubwa mno

  • @joycesethmwangonda8088
    @joycesethmwangonda8088 Месяц назад

    Poleni sana ndugu zangu.Mungu awatetee.

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 Месяц назад +14

    Muda umeisha yesu anarudi

  • @fredabunga6578
    @fredabunga6578 Месяц назад +1

    Kweli siku za mwisho zaja Mwenyezi Mungu tusamehe viumbe wako kwa haya maafa 😢😢

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 Месяц назад

    Pole Ndugu, Hili Janga nini Jaman Kama lilotokea huku Kwetu Hanang' , Mungu Utuhurumie Utusamehe Tulipokosea AMEEN

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 Месяц назад +9

    Lakini tukubali tu huu ni mwisho mwisho wa mambo hayakuwepo kabisa haya 1 PETRO 4:7-11.

  • @dayanaheliasi7769
    @dayanaheliasi7769 Месяц назад

    Mungu tusaidie jaman polen mbeya

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 Месяц назад +2

    Mungu wetu utusamehee sisi na madhambi yetu utuepushe na haya majanga""

  • @swabymbava6663
    @swabymbava6663 Месяц назад

    yaan ALLAH bwana akiamua jambo lake ni just easy kwake Sasa ona tope linavyoend taratibu ila ndy ata akuna wakuzia apo, na still tunaendlea na jeuri ,ALLAH ATUEPUSHE KWA KWL.

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Месяц назад +2

    Maasi yamezidi jmn kilasiku Mungu anatufunua lkn binadamu hatusikii Allah tusameh ss

  • @abdulishaban7795
    @abdulishaban7795 Месяц назад +3

    Hakika tumemukasirisha ALLAAAH tumrudie ALLAAAH hii miaka cyo ya kawaida kila mda majanga mara ugonjwa wa macho mara maporomoko

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd Месяц назад

    Tukumbuke kuwa mungu yupo na anaona kila kinachotendeka nikuomba allah atuhifadhi na mitihan

  • @elishasichone8977
    @elishasichone8977 Месяц назад

    poleni sana wananch

  • @wemapetro3335
    @wemapetro3335 Месяц назад

    Mungu ni mwema Sana katutetea na hii hatar🙏🏼🙏🏼

  • @marymwasha3878
    @marymwasha3878 Месяц назад

    Duh.poleni sana

  • @user-kp1bv5rn2c
    @user-kp1bv5rn2c Месяц назад

    Mungu uturehemu,pole sana ndugu zangu

  • @JudithZakayoMamyjj
    @JudithZakayoMamyjj Месяц назад

    Mungu tusaidie sana

  • @laurencejuma1377
    @laurencejuma1377 Месяц назад +3

    Poleni nyumban

  • @madesauni.3135
    @madesauni.3135 Месяц назад

    Nianze kwa kutoa pole nyingi kwa waathirika.
    Nyie watu, Mungu awasaidie sana! Mkuu wa mkoa Kasema waliofukiwa ni ngo'mbe watatu, mbwa, lakini pia chifu kasema na nyoka ambaye atajiondoa mwenyewe. Swali, je unadhani huyo ni nyoka wa kawaida? Ikiwa naye kapigwa, mtarndelea kumtumia? Mtaendelea kuomba mungu aliye mbinguni, muumba wa mbingu na nchi na kumfanyia ibada nyoka? Je, Mungu asikasirike zaidi? Tubuni.
    (Fanya kama sijui nisemacho, mimi ni mkazi wa mbeya-hawa ni majirani zangu)

  • @FaridaMwaiswelo-qu9bl
    @FaridaMwaiswelo-qu9bl Месяц назад

    Mungu tusimamie

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h Месяц назад +1

    Aiseee poleni sana duh

  • @vedaster7894
    @vedaster7894 Месяц назад

    Poleni Wana uyole wenzangunmungu awatete kwakweli

  • @jesusbrother7684
    @jesusbrother7684 Месяц назад

    Mbeya ina takiwa ifanyiwe “MASTER PLAN”, ili watu wajenge katika maeneo yaliyo salama! Ita saidia sana ku zuia maafa kama haya! Tuna mshukuru MWENYEZI MUNGU kwamba, hakuna madhara yaliyo tokea kwa binadamu, Amen 🙏🏾

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Месяц назад +1

    Poleni sana wana Mbeya.

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 Месяц назад

    Poleni sana wapendwa

  • @RoseFundi-el4ss
    @RoseFundi-el4ss Месяц назад

    Mungu amewatetea ahimidiwe kwakweli

  • @LydiaMwakibibi
    @LydiaMwakibibi Месяц назад

    Poren sana ndugu zetu mungu awwfunge mikanda

  • @upendokiwanga9538
    @upendokiwanga9538 Месяц назад +7

    Tutubu Tanzania mapigo hayatatuacha

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад

      HAKUNA DHAMBI, NIKUPANDA MITI TU ENEO LIPO WAZI SANA HILO MUNGU HAUSIKI NI VILE HATUJUI KUTUNZA MAZINGIRA

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 Месяц назад

    Jamani tusali Sana huyu Mungu wa mbinguni anasikia Kabisa anajibu tusichoke kuomba

  • @rahalugano598
    @rahalugano598 Месяц назад

    Poleni sana wanambeya wenzangu

  • @nikolausishillingi378
    @nikolausishillingi378 Месяц назад

    Poleni sana

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Месяц назад

    Land sliding hiyo,poleni kwa wahanga

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад

    Dah mungu atuhurumie

  • @Shadrackbicco
    @Shadrackbicco Месяц назад

    Mungu atutetee

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Месяц назад

    Mungu asaidie

  • @daliahmachendenice8543
    @daliahmachendenice8543 Месяц назад

    Poleni Wana mbeya

  • @FelixKikoti
    @FelixKikoti Месяц назад +2

    Ni uelewa mdogo tulionao hivi hapo Mungu anahusikaje!! Ndio maana alisema tutaangamia kwa kukosa maarifa hivi ukilima mlimani ikija mvua kubwa kitatokea nini hayo ndiyo majibu

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Месяц назад

      Nikwer kabisa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад

      ​@@zulekhasaud483 nawe kweri ni kitu gani, ni kweli 😅😅😅😅

    • @martinemifuko71
      @martinemifuko71 Месяц назад

      Hakika umenena maana watu wanakomaa land slide wakati wao ndo sababu

  • @emilynathanielluvanda8298
    @emilynathanielluvanda8298 Месяц назад

    Mh hivi na binadam wanaswagwa?

  • @AidaIsongo
    @AidaIsongo Месяц назад

    Mungu atuepushe jaman

  • @brothsunitedfocash
    @brothsunitedfocash Месяц назад

    Dunia Ina shift Kila baada ya miaka 2000...no kawaida hiyo,..renew solar eclipse kupatwa kwa just na ndio matokeo yake....

  • @user-cz2jo2to2q
    @user-cz2jo2to2q Месяц назад

    Ingekuwa jpm halaka sana maombi ya ichi zima

  • @mwanakhamisimwinyimatano1185
    @mwanakhamisimwinyimatano1185 Месяц назад

    Subhana Allah

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h Месяц назад +1

    Sijui ndomwisho wa dunia jaman

  • @fridamwenda5728
    @fridamwenda5728 Месяц назад +1

    hiyo siyo sababu ila Mungu amechoka maovu yetu
    tuacheni jamani

  • @user-gc7cv1tf1z
    @user-gc7cv1tf1z Месяц назад

    Poleni.sana.jamani

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 Месяц назад +1

    Hizi ni adhabu zambi zimezid watu wanauliwa kama kuku,ubakaji watoto malaika jamani tumrudie mungu

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 Месяц назад +2

    Siku za mwisho jamani tutubuni

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 Месяц назад

    Ni mda hii nchi ikachukulia swala la Disaster Relief kwa userious, tukiona ni Mungu ameleta tu tutaona ni kazi ya Mungu tutaachia hapo. Itabidi nchi iweke budget ya kueleweka mwezi huu wa 6 kuhusu majanga kwasababu yanatokea na yatatotea

  • @aqmmsm55
    @aqmmsm55 Месяц назад

    labda volcano hio

  • @leahmwagiru4999
    @leahmwagiru4999 Месяц назад

    Pole jamani

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 Месяц назад

    Tumuombe mungu sana

  • @halimarahma7450
    @halimarahma7450 Месяц назад +1

    Tumrudien Allah kwakweli

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Месяц назад

    kwa yanayoendelea saiv katika nchi hii,turejeeni kwa mola kwa kumuomba msamaha, tusijitoe mishipa ya fahamu tukijadai sijui kilimo, madhambi yamezid jamaniiii

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Месяц назад

    Nomaa hii😢😢

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Месяц назад

    Acheni kulima milimani na kukata miti ovyo pandeni miti

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 Месяц назад

    Polen san ndugu zetu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Месяц назад

    Watanzania wenzangu.Mungu awafaliji.wenzetu.waliopatikana.na majanga.ila watanzania uhuru umezidi tutubu.jamann.ndugu zangu watanzania.dhambi.inaharibu miundo mbinu.za.nchi.tukumbuke.kipindi.cha Eliya serikali.ilikuwepo.lakini.nchi.nzima.ilikumbwa.na.ukame.ngugu.zangu.tanzania serikali imewekwa na Mungu serikali.inaweza.kulimotiwa na Mungu isiweze kufanya.chochote.Tanzania wewe na watoto wako.na.mifugo.yako.na nchi y'ako tubu.ghadhabu ya Mungu ni.kali sana heri taifa.ambalo.Mungu muumba.mbingu na nchi ni.Mungu wake Tanzania shawishi.watoto wako wamheshimu Mungu viongozi wa din.na serikali tusaidiane tuachane na hela kwanza kipindi.hivi.kibaya kigumu.tungemtambulisha.Mungu mbele.ya watoto wetu.hela tutazikutaga.baadae

  • @fridamwenda5728
    @fridamwenda5728 Месяц назад

    Mungu atunusuru jamani hali ni mbaya siku hizi
    😪😪😪😪😪😪😪

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun

  • @LizenMaker
    @LizenMaker Месяц назад

    Polen sana

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Месяц назад

    Kuna mahali kama nchi tumemkosea Mungu.

  • @christophermwampashe465
    @christophermwampashe465 Месяц назад

    Najiuliza maswali bila kupata majibu. Serekali mpaka iliamua Kujenga shule hapo haikujua kuwa kuna kuwatumia wataalamu wa miamba? Kama taasisi ya Serekali inajengwa hapo watu wengine wangeshindwaje kujenga?

  • @kijaziwakijayo6833
    @kijaziwakijayo6833 Месяц назад

    Miti ipandwe milimani na kusitisha shughuli za kilimo kwenye milima

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 Месяц назад

    Mkoa gani hii😢

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Месяц назад +2

    TATIZO NI WATANZANIA HAWATUNZI MAZINGIRA,WATU WANAKATA MITI OVYO WANAHARIBU UOTO WA ASILI

    • @AnthonyAnatory
      @AnthonyAnatory Месяц назад

      Pole utakesha huo uwoto ndio umeona mwak huu n mwak jana kituchamsingi n kumrudia Mungu tu hakuna cha uoto wala nn kujinyenyekeza mbele zake tupate kupona

  • @alphonsinamwakyembe6903
    @alphonsinamwakyembe6903 Месяц назад

    Nyerere aliyepanda miti huo mlima mlifikiri ni mjinga?Maana serikali na viongozi wake walikata miti yote na mlima ukabaki tupu. Watu wanalima mashamba huko juu. Utafikiri

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Месяц назад

    hee mtihani inakuwajee au milimaa naona matope mengii

  • @user-vp6ol3kq6g
    @user-vp6ol3kq6g Месяц назад

    Milima hiyo ilikuwa hailimwi sasa sijui ni ongezeko la watu wenyeji wameuza mashamba huku chini wameanza kulima kwenye milima hiyo yani wametatua matatizo kwa kutengeneza matatizo makubwa unapima kina cha bahari kwa miguu yote miwili alafu mungu akusaidie😅😅😅

    • @HellenMakori-ky4dm
      @HellenMakori-ky4dm Месяц назад

      Bora umesema maana watu wamekazana tutubu tutubu dhambi hiyo sisi wakati tunahamia kulikua kuna miti mikubwa mirefu serikali ikavuna miti yote na wakawa wanapima viwanja

  • @NsobiLema-wq9vh
    @NsobiLema-wq9vh Месяц назад

    Maeneo hayo yana gawiwa nanani naje kabla ya kufanya matumizi ya aldhi je uwa hakuna wataalam wakupima kabla ya kujenga naomba nishauri serikali kabla ya kufanya maamuzi vitu vichunguzwe kwanza tunashukulu kuwa hakuna vifo

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Месяц назад

    Dah polen xna ndg

  • @user-ze5ps6uc8m
    @user-ze5ps6uc8m Месяц назад

    Uwii

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Месяц назад

    Wananchi tumewASWAGA WOTE ETI

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs Месяц назад

    Jengeni itewe inyala sio mnakimbilia milimani

  • @user-bv7mp5ou9b
    @user-bv7mp5ou9b Месяц назад

    Kama serikali haitamsikiliza mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile waliekuwa wamemfunga mambo hayatapoa kabisa.

  • @user-jr3xs9sb9x
    @user-jr3xs9sb9x Месяц назад

    Eee jmn km kwetu hang Des 3

  • @BarakaGabrielMwampamba-kj8ci
    @BarakaGabrielMwampamba-kj8ci Месяц назад

    Niongee ukweli tuu mazingira tunaharibu sisi wenyewe binadamu wataaramu wa majanga wanasema majanga yanayotokea duniani % 96 yanasababishwa nasisi binadamu % 4 tuu ndo ya mwenyezi MUNGU mwenyewe nahuo ndo ukweli

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 Месяц назад +1

    Tumcheni Allah tuache dhami Ili tupate mwisho mwema Kuna watu ukiwaambia dalili za kiama hawakubali ndio haya jamani

    • @drpeter3760
      @drpeter3760 Месяц назад

      Allah? Mmmmh huyo ni miungu(mungu jiwe lililoko macca) Acha mapokeo sio Mungu.

  • @summerjz4641
    @summerjz4641 Месяц назад

    mbeya miti inakatwa hovyo huko milimani lazima hayo yatokee,tusimzingizie mungu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 Месяц назад

      Ujue ndugu yangu sisi tumeumbwa maasi yamezidi Kama hakuna muumbaji ,, zinaa, ushoga, ulawiti, mauaji, ushirikina, dhulma za Kila aina , rushwa, ibada na hofu ya Mungu haipo kwa hivyo hayo Ni katka maovu tuyafanyayo Mwenyezi Mungu anakasirika

  • @justice607
    @justice607 Месяц назад

    Nyoka mwafuga pia, watu wa bara mna mambo😅😅

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 Месяц назад

    MUNGU tusaidie 😢

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Месяц назад

    Miti milimani wazazi wetu hawakulimalima milimani tahadhari nayo iwepo fujo ni nyingi kila mtu anataka afanye anachotaka watanzania tuache kujiamlia

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x Месяц назад

    laana zetu Mungu ameamua kutuadhibu😢😢

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 Месяц назад +1

      Acheni kumsingizia Mungu wakati uzembe ni wetu unaambiwa watu wamelima hadi mlimani ,sijui hamjasoma shule!?? Hizo ni athari za uharibifu wa mazingira yetu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад +1

      Yani mijitu mingine haijatambui hapo MUNGU anahusigaje na uharibifu wa mazingira😅😅😅😅

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад

    SASA HUYOMPUMBAVU ANAKUJA KWENYE MATATIZO ETI KAVAA SUTI. HUO SI UJINGA.😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @mbembetyson05
    @mbembetyson05 Месяц назад

    Mungu mkubwa

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 Месяц назад

    PANDENI MITI IJAYE, MIZIZI HUNYONYA MAJI MUNGU HATA TUMUOMBE HAWEZI SAIDIA KAMA TUSIPOJAZA MITI HUMO 🫣

  • @centboy1680
    @centboy1680 Месяц назад

    😢😢😢

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Месяц назад

    😢

  • @Shameem12-pc6im
    @Shameem12-pc6im Месяц назад

    😢Poleni

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Месяц назад

    HUU MWEZI,,,ULOISHA,,,SHOTI TU

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 Месяц назад +1

    NiANZE KWA KUMSHUKURU RAIS WA JAMUHURI YA MUANGANO WA TANZANIA Kwa......read more

  • @Imaniamockgmail
    @Imaniamockgmail Месяц назад

    Polen sana ndugu zangu wa mbeya💔🤔