Mbunge amkosha Spika Tulia bungeni "Vijana wanaogopa kuoa kwa kukosa afya ya akili..."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2022
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Комментарии • 48

  • @ndetiyomafie4624
    @ndetiyomafie4624 29 дней назад

    Ubarikiwe Mbunge kwa kutetea haki za jinsia kiume.

  • @kambonanzogela6932
    @kambonanzogela6932 2 года назад +1

    Hongereni Sana Kiongizi Asiyekuelewa anatatizo la afya ya akili.

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 Год назад +2

    Aisee mama uko vizuli sana.unafaa kupewa uwazili kabisa maana kichwa chako kiko vizuli

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 2 года назад +3

    Sikuzote alieshba hua hamkumbuki mwenyenjaa!!! Hvo ndiomaaana alieshba huongea nenololote lile litakaro muijia mdomon

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 2 года назад +2

    Yaani mpaka raha,mama Jesca unavyotema madini tupu

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 года назад +3

    Weee mbunge umeongea point kweli ebu angalie chama cha ccm kimejaa viongoz wazeee na mabibi sasa vijana ccm watajifunza lini, kweli mbunge upo sawa

  • @thomasjabiir5914
    @thomasjabiir5914 2 года назад +2

    Hongera sana mama uliwaza kama Mimi MUNGU akujaalie maisha marefu

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 2 года назад

    Hongera dada umesema vema, ILa hapo katika kuandaa vijana umepigilia msumari wa moto.

  • @user-ff4zb2qn1l
    @user-ff4zb2qn1l 29 дней назад

    Hakika nakupenda sana dada angu .jimbo wenye m bunge hyoo msimuwache .ila nawe muwandaee kijana ukiachia ngazi unampigia debe kwenye nafasi yako ya ubunge .ili kulinda kauli yako hii kwa vitendo .nakukubali sana .makosa niyakibinaadamu lakini upo vizuri

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 2 года назад +2

    Mama umeupiga mwingi sana hongera sana

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 года назад +1

    Afya ya akili inasababishwa na ugumu wa maisha na lishe bora. Nyie mna afya ya akili kwasababu mnakilakitu. Ss hatina afya ya akili kwasababu hatuna kilakitu.

  • @beatrice3671
    @beatrice3671 2 года назад

    😄 🤣 😂 mkoba huo wa mama 😄 🤣 😂 ananifurahishaga sana huyu mbunge

  • @amanitety8792
    @amanitety8792 2 года назад

    Mama salute kwako, ingekua ni ridhaa yangu 2025 ungeingia white house. Bahati mbaya raia hutuwezi kumtambua kiongozi mzuri mpaka atakapo ondoka madarakani. Sanamu yako iwekwe kila chuo na sekondari zote just a joke.

  • @ngamugamahonzelosanga3316
    @ngamugamahonzelosanga3316 2 года назад

    Heshima kwako Mheshimiwa Jesca umeongea jambo zuri sana wanasiasa wengine wanaogopa kuwaambia ukweli wananchi wakiogopa kukosa kura wakati wa uchaguzi

  • @elishamaige2161
    @elishamaige2161 2 года назад

    Kweli mama,afya ya akili no muhimu Sana, watu wanakimbilia kufunga bisashara za watu na kuwekana ndani badala ya kutoa elimu.

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 2 года назад +1

    Je? Ye mbunge yuko tayale kumuachia kijana ubunge ili kutimiza maneno yake.tena amuachie @kenani kihongosi ndo kijana afaaya jimbo la Iringa mjini

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад

    Hongera Sana Dadaangu

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 года назад +1

    A.ti afya ya akili,WANA NCHI WANA LALAMIKA MAISHA MAGUMU VITU VIMEPANDA BEI,TENA BARA TU ZANZIBAR PAKO SHWARI,JE KATI YA VIONGOZI NA WANA NCHI NANI NIWAGONJWA WA AKILI,ACHENI SIASA KWENYE UHARISIA.

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 Месяц назад

    Mama hongera

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 Месяц назад

    Hata viongozi kula rushwa hawana afya akili

  • @sarafinafranci8481
    @sarafinafranci8481 2 года назад +2

    Nakuunga mkono mami, Mungu akupe afya njema.

  • @izraelyherman4627
    @izraelyherman4627 2 года назад +2

    Jescs na wewe mda umeenda mwachie mwingine sasa

  • @mossesimani5796
    @mossesimani5796 2 года назад +1

    Mam unaupiga mwingi sanaa

  • @ngatameliud8562
    @ngatameliud8562 2 года назад +1

    Mama Jesca umeubonda mwingi leo

  • @yohanakilima1582
    @yohanakilima1582 2 года назад

    Huna la maana ninyi ndo mnaowambia watoto wenu kujitafutia wakati hujawaandalia mazingira ya kujitafutia

  • @peterkabeke362
    @peterkabeke362 2 года назад +3

    Aahhhggggg😬😬

  • @aminamjema9753
    @aminamjema9753 2 года назад

    Safi sana

  • @salma-gf8ek
    @salma-gf8ek 2 года назад

    Siyo kama wanaogopa kuoa hawana Hakili Hali ngumu akioa atamuudumia nini uyo mkewe

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Год назад

    Ko rais nae hana afya ya akili 😂😂 maana kamteua wasirra😂😂😂😂😂

  • @everever2807
    @everever2807 2 года назад +1

    Katiba ivunjwe vyote vitaniseti tu

  • @berthakadaso3389
    @berthakadaso3389 2 года назад

    Huo ugonjwa wa akili umesababishwa na ugumu wa maisha

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 2 года назад

    Hii itakua ngumu matha yaani kodi ichukue serikali halafu wananchi tutatue matatizo hilo sahau,

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 года назад

    Jeska upo vizr sana

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 года назад +1

    Madini tupuuuuu

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 года назад

    👍

  • @ramadhansaid6261
    @ramadhansaid6261 2 года назад

    Safisanaa Dadangu

  • @ashaulaya7412
    @ashaulaya7412 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯❤️❤️❤️

  • @abelzawadi6616
    @abelzawadi6616 2 года назад

    Waambie hao

  • @wizmanhalinga1541
    @wizmanhalinga1541 2 года назад

    Mama upo vizur hoja nzur

  • @JohnMbatta-gb9vr
    @JohnMbatta-gb9vr 9 месяцев назад

    😅

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 2 года назад

    Serikali ndio mzazi wananchi watto lazm malalamiko yaende kwao.

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 года назад

      Siokila tatizo umpelekee mzazi wako umeshindwa kumtomba vizuri mkeo unaenda kumuambimbia mzazi badala yakujikagua tatizo nini unaenda kumuambia mzz Hilo nalo nitatzo la afya ya akili

  • @goodhelpnolland6792
    @goodhelpnolland6792 2 года назад +1

    Mimi naona viongozi wetu ndio wagonjwa wa akili,

  • @bujoratv9987
    @bujoratv9987 2 года назад

    ruclips.net/video/Lk1Cl6biVCA/видео.html
    MFAHAMU SARA BAARTMAN BINTI MWAFRICA ALIYEWAVUTIA WAZUNGU KWA SHEPU YAKE