Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wanadamu ni nomaaaa
Niatari Mungu wangu😢😢😢😢😢
Hii stori ni nzurii lakini ina umiza sana kila kitu mnasingizia shetani tu 😢😢wakati mengine mnafanya kwa akili zenu
Huwezi fanya bila shetani
Kwanini shetani cz shetani ndo chanzo cha dhambi cz yy ndie chanzo cha dhambi
Jamani jamani Dunia hi mungu wangu shatani Hana baba Hana mama Hana ndugu wala Dada shatani ndiyo Hapendi watu kuwa na Amani
Thanks Davistar, without Sunglasses, the Videos look better now...
Ewe Allah nakuomba utulinde kutokana na shari ya ulivyoviumba
Sasa unasema unachukua mtoto hujui hata unamfanyaje😮 na huku unasema umemtia binti Mimba..mbona hapa kama mashokolomageni.
Duuuuu😅😅😅😅😅
Daaaa eee masela mie najiona nimepitia makuu sema kuna watu noma ....kukata mtu kinchwa??? Kweli?? Nononooooo
Naona mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza eee hahahaa
Blazah Davistar,hii story mbona kama ya kutunga kuna mambo ukiyasikiliza kwa makin yanatia mashaka
Tunga yako ulete😅
@@msaysha5886 nitumie email yako bi mdogo nikutumie story
Alaf wakwetu duh
Aah mjomba wako alikua na roho mbaya aiseee
Nkt.sheria Iko wapi.ona huyu.
Duuh kumbe ni ninyi mliitikisa Tanzania kwa vitendo vile vibaya kabisa, tulikuwa tunajiuliza sana mnawezaje kuthubutu
Kwa story zote this is the saddest.😢
Mtangazaji umepoa sana. Uliza maswali hapo. Walipewa sh ngapi? N.k.
Ni vema huyu jamaa angefichwa sura...
Uuh mbona Kuna ukakasi kidogo uteke mutu unaye mkata alafu umuachie kizembe zembe ivyo
I hope this guy and his gang were arrested..
Duu ivi kaz zashetan kuna msamaha sijui
Mimi ni polisi nakuja kukukamata haiwezekani
Hahahaaaaaa
Good 💪
Hizi ni HABARI NGUMU Sana ni hatari HATA KWA mtoa HABARI
Watu Wana unyama mwingi sana
Dah shetani mbaya sana
Mmmmmh shetani Hana MAANA kabisa
@@geitandelwa299 kweli huyu anavyosema hivi serekali ingemkamata kwamaana ushahidi ukowazi nimuuaji wengine wanaponzwa na story kamahizi
HIYO STOR MUHUSIKA MKUU NI MJOMBA.
Tuendelee
Story kama hii, huwa ninaziona kwenye Maigizo ya Bongo Movie. Kumbe kweli yapo!!!!!!
Ukicha mwana kulia utalia wewe leohii ulimficha mtoto wako akatekeleza binti ya wenyewe akiwa mja mzito leohii anakuibia
Ni ujinga unaua mwanadamu mwenzio kisa mali hali nawe ni marehemu mtarajiwa
Duh
Muuaji mkubwa anafaa akamatwe
Anatubu
Ungemficha sura Mzeee hii ni atar
Naendelea kufatilia
Uyu ndio anasimlia haya siamini naisi ni uongo mtupu yaani nimuongo balaa namjua vizuri ni jirani yetu uko mwanza jamani kwann aongee uongo
Story tamu
J.boys 1999
Sema shetani
@@avitusmichael5 😂😂kwamba shetani
😁😁😁😁
Mbona ishahid uko wazi police fanyen kazi yenu
Kwahiyo polis wakish mshika mbn wachaw wasishikwe waliofany unyama zaid yahaya