Dini ya kweli na ya haki ni uislamu pekee huko kwenye kuokoka ndipo kulipojaa nguvu za giza.....uislamu ndio dini ya kweli na ndio dini ya manabii wote wa mungu kina Abraham kina issah (Yesu) wote pamoja na wa mwisho Mohammed s.w.s.....
Hapakuwa na muombaji hapo apige fire babu afe Sasa magari ya watu yamemkosea nini hadi akae jirani na barabara si asogee mbele kati kati ya pori ili kukwepa kelele
Jamani wa kwanza mimi Asante davistar kwakutuletea wa mayo kua hivyo hyo mpka tuakikishe wamayo ameokoka😢
Dini ya kweli na ya haki ni uislamu pekee huko kwenye kuokoka ndipo kulipojaa nguvu za giza.....uislamu ndio dini ya kweli na ndio dini ya manabii wote wa mungu kina Abraham kina issah (Yesu) wote pamoja na wa mwisho Mohammed s.w.s.....
Story iko sawa sana huu mkwa akuna kama kama hii🔥🔥🔥🔥
Anastahili tuzo ya Grammy 😂 mwanaume mdogo aliye pitia matatizo mengii sanaa kuzidi umri wake tuzo ya mwaka apewe 😅😅
Uyu jamaa ni the best mwangu arafu ni diri kubwa embu mtoe uyu jamaa kimaisha kwamitihani aliyo pitia dah mungu ana jambo juu ya huyu mwamba
Tuombee watoto wetu jamani wachawi ni watu wabaya 😢😢😢
Sana tuwe tunaamka usiku tunawaombea watoto wetu inasaidie hata ubaya auwafiki
Kupitia huu mkasa ndio nimeanza kuelewa kwa nini bible imeandika kesheni mkiomba ,shetan anazunguka hukunahuku awameze
Nakwambia Bibilia iko sawa kabisa
@@rerisamba kweli Dada angu tuombe sana
Sahihi kabisa usemayo
Kabisaa
Your right
Asante davista mata mtu makini
Kali Sana hii
Huyu jamaa ukimfuatilia utagundua kuwa ni genius,Ana akili kubwa Sana ya kumbukumbu ya aliyopitia
Pole bro umefundisha wengne
Kali Sana
Kila episode kama finally 🫡
😍😍😍😍😍😍😍davista una baya
😂😂😂 wamayo mpaka aokoke
Kumbe apa chini ya jua kuna dunia nyingi,,,,,kha watu wanakulana nyama kwao ni kawaida
Kumbe weusi ndo watamu,🙌🙆
Yn hapo ndio uliuona uchawi kweli babu noma hiyo
Dav enderea kuweka namba na kuomba kwa Alie guswa kumchangia wamayo
God is good
Good
Umshukuru mungu
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢daaa mtihani kweri
Wakwanzaaa
Nilikuwa nakulaaah heee
Vizuri mnoooo🙌
Duuh!! Hii kiboko, dunia hii jmn😢
Huyu anahitaji mtumishi mwenye upako kweli,sio yeyote
Yani kila saa nachungulia youtube kusubir upload😅
Tupo wengi
Nyama ya watoto tamu sana 😍
Subwanalah 😭🥺 weww wasema nini
Wamayo 🔥
Wee Wamayoo Uliona Mengiii dah!
Kwaiyo. Wwe. Wamayo. Apo. Kwababu. Mulipokwenda. Ulikuwa. Unalla. Wapi. Nawwe. au. Ulikuwa. Unalla Pamoja. .na. Babu
👊✌.
Jamani 32 pls
Mwamba ana story kali sana
Mwamba unyama sana
Hapakuwa na muombaji hapo apige fire babu afe Sasa magari ya watu yamemkosea nini hadi akae jirani na barabara si asogee mbele kati kati ya pori ili kukwepa kelele
Dunia ina mambo kwakweli
Yaani ni ajabu. Mtu huonekani na watu.
Duuuh babu n mchawi konki 😢
Mpanda poli gani hilo mimi nimeishi Mpanda sijalisikia hilo poli? Dunia ina mambo
Hivyo ni vilinge vya wachawi, wewe ukiwa nyumbani kula wali ulale upumzishe roho!
Kuna mlima fulani cjui panaitwaje lkn ni mlima mkubwa hv kabla ujaingia mpanda
@@elishalema6374 mlima mpanda kuna mlima njia ipi bus au trein maana njia zote nimepita sijawahi ona mlima?
Ilikuwa kuzimu huko
Naomba number ya bamayo pls wakwetu
Kwani. Wamayo. Nimuisilamu. Au. Mkrito
Wakwanzamo
Wamayo kweli ulijionea mengi😢
Imagine
Davista tuwekee story za kueleweka bana
Ukiona story uwelewi anaacha unaangalia nyingne maana zipo nyingi,,,,hata mimi uwa nafanya ivyo zingne naziacha naona nitaharibu bando langu
Imeisha gafla.
Tupo
.WAMAYO MAMBO YOTE HAYO.BADO UNAAKILI TIMAMU. HUKO.ULIKUWA.KUZIMU. NA ULISHAUNGANISHWA SIKU NYINGI SANA
we wa mayo huo ni mwaka gani
Mh!
Nakosa kutafautiaha muskule na gisi ulivyokuwa
Mbna anatuchanganya c kasema babu hajawah kuw na mke wala watoto xx hao watoto kawatolea wap tena
Watoto wa dawa