PART2:NILIKUWA NATUMWA KUUA NA KUCHUKUA VIUNGO VYA WATU KISHA WANAENDA KUCHUKULIA UTAJIRI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии •

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 Год назад

    Mmmmmh ya mungu mengi kwa ushetan ulioufanya 🙌🏾

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Год назад

    Pole brother. Mungu akusaidie

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +2

    Huwa nashangaa Sana muuaji kuogopa kuuwawa

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Год назад +1

    Mimi naomba tu Mungu aendelee kuku adhibu Maana hapa Duniani hakuna laana kubwa kama kuwa kana wazazi mbele ya kadanansi ya watu endelea sana kutubu

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Год назад

      Kama ameshajifunza na amerud kwa muumba wake,,shida iko wap sista?wanadam ni lazima tukosee

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 Год назад +1

      Hapana kwakwelii sizani kama kasha tubu kwa sababu hadi saivi hajuwii baba yake yupo katika wakati gani

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад

    Dah aya maisha atari sana

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 6 месяцев назад

    Malipo hapa duniani

  • @marryjoely8091
    @marryjoely8091 Год назад

    Mpk hapo tu katubu

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 Год назад +1

    Finally, part 2 iko hapa

  • @mohamedngoshani2067
    @mohamedngoshani2067 Год назад

    Wapil leo cyo mbaya sanaaaaaa

  • @mysskibe
    @mysskibe Год назад +1

    Did you apologize to your dad? That is of utmost importance or else the curse on your head will never be lifted. Obedience to parents is the only commandment with a promise and that's to long life. Did you apologize to God? God doesn't take stealing from His house lightly, Ananias and Sapphira lost their lives because of that precisely.
    Seek your dad's forgiveness with urgency before it's too late, ask the Lord to forgive you for what you did to both your parents and the Church... And also the murders and crimes you committed, then from there you can start healing. Mungu akulinde 🙏🏾
    Alafu tungependa kujua uncle Yako alikufa aje?

  • @mulazsaid1907
    @mulazsaid1907 Год назад

    Good 💪

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Год назад +2

    story ina mafunzo makubwaa

  • @CherotichCaren-wc3ss
    @CherotichCaren-wc3ss Год назад

    Ulipata babako baadaye ??

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 Год назад +4

    Huyu jamaa story Ina uhalisia kiasi ktk episode ya kwanza, Ila hii ya pili, uhalisia Ni kidogo, haiwezekani ndani ya muda mfupi, umeshakuwa mweka hazina, Mara ununue nyumba bado hawajakustukia tu, halafu usiende kuwaona wazazi,, unakunywa pombe na kanisa linaendelea, kanisa gani Hilo?? Davister

    • @mahmoudmussa8
      @mahmoudmussa8 Год назад

      Mtangazaji Hajamuhojii Vizurii Hapoo
      1.Baba yake Yupo mpaka sasa?
      2.Chanzo Cha Kifo Cha Mjomba Wake?
      3.Walee Jamaa Vipii Wapoo Hai
      Nk

    • @neemadamian7989
      @neemadamian7989 Год назад

      Yes yes na story hyo ya watu kuuliwa buswelu niyaukweli lkn part 2 kiasi tumepigwa

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Ubaya ulipwa KWA ubaya. Kama movie hivi lakini utokea

  • @mwahijaali2074
    @mwahijaali2074 Год назад

    "Daah"

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Год назад

    MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE SHATANI YUKO NDINI YA WATU HI WASIONE MUNGU WAPOTEA

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Mrejeee Mola wako ufanye toba

  • @tututz100
    @tututz100 Год назад +1

    J.boys 1999

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад

    WE MTU GAN HUKAZI,,UNASHAWISHIKA KIRAHISI,,,NI SHIDA HIYO.

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Год назад

    🙈

  • @jackshila5592
    @jackshila5592 Год назад +3

    vip kuhusu mzee wake alimuomba msamaha au alibaki tu mjini na vip kuhusu mjomba wake bado anendelea na kazi za mauaji?

  • @earthgottalent7765
    @earthgottalent7765 Год назад

    Hii story inawezekana uhalisia 50% na uongo 50% na sikuzote MTU anayetunga uongo hawezi kupangilia matukio vizuri. Story haijanivutia kwasababu hiyo

  • @espinosapaemn4765
    @espinosapaemn4765 Год назад

    jamani wengine hutafuta pesa tu ila story halisi ni uongo

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Год назад

      Yako iko wapi?

    • @espinosapaemn4765
      @espinosapaemn4765 Год назад

      @@Irenes_Kitchen irene mg kazi yako ndo hio kusikiliza watu wanaenda kuzimu na kurudi aya sas Zumaridi uyo mbona mnakataa hakuend mbingun TUMIENI akili izo ni vimazingaombwe

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Год назад

      @@espinosapaemn4765 😂😂😂😂😂Sawa mkuu naona zumaridi alienda mbinguni akakutana na yesu Malaika na majengo. Malefu 😂