nlikua naskia kichefuchefu kila ninaposkia jina la CCM ila kwa rais huyu najipa matumain labda anaweza kutupeleka mbele hata kwa hatua tatu..........hongera mh.rais kwa kazi nzuri unayoifanya
Muacheni Mungu aitwe Mungu jamani tulivyoteseka watu maskini sasa katuletea zawadi ambayo ni MH. RAISI MAGUFULI kila napomuona magufuli napata matumaini sana Mungu akulinde jmn wewe ni baba yetu wa kweli hasa sisi maskini
+shadrack stephene una uhakika alie imba sio mswahil? au kuna sauti unaipenda itumike labda...rafudhi zipo tofauti kulingana na mtu alipokulia au kuishi muda mrefu...nadhani wimbo unaweza kuwa record kwa rafudhi nyingi kisukuma kigogo etc au sauti ya mwanamke na mwanaume au kikundi ..lazima itatoka tofauti...usiwe sensitive sana kaka hahahaah
Sio mswahili, ninayo clip ya wimbo huo aliimbiwa rais wet aliyepitamktk mahafali ya chuo kikuu flani ulaya, yule dada aliimba vizuri mpaka rais/aliyepita alimsifia. Mi nnaona fahri tukiwa na sauti yetu, ya nyumbani kaka, uzalendo zaidi
Kama Magufuli anataka kufanya kazi vizuri na chama chake, kwanza amtimue Kinana ambaye anahusishwa na ufisadi hasa usafirishaji nyara za taifa. Ondoa mabaki yote ya Kikwete na kuweka watu wanaojua visheni yako na kasi yako bwana rais.
Msema ukweli kama huyu kutokea kwenye chama sasa nibahat waliowengi nipessa wameharibu chama, ccm ileya baba wataifa haupo sasa makundi ya uadui kwenye chama ndipo chama kimefika hapo
MUNGU AKULINDE RAIS WETU, NA KWA MISIMAMO YAKO MAMLUKI WATAJIENGUA WENYEWE NAKUKUBALI ZAIDI WE NI MTU WA KUMWAMBIA MTU UKWELI THEN TUNASONGA AKINUNA ASINUNE .., SISI TUNASONGA HONGERA ZA KUTOSHA KWAKO MR.PRESIDENT
Hao anaoongea nao ndiyo waasisi wenyewe wa uchafu anaoongelea Magufuli. Mfano, kwanini Kikwete aendelee kuwa mwenyekiti wakati ndiye chanzo cha yote haya kama siyo kujikanganya bwana rais? Ondoa hayo mafisadi.
baba Magufuli our prayers are with you, keep them on their toe! nilikuwa nimesubiri Rais shujaa kama wewe. Mh. Kuna wengine hawapigi makofi usikute ni majipu unawachoma hahahahahah! asante Mh. Rais Magufuli
Hakika maombi yetu MUNGU amejibu,atawale miaka hata 20,maana viongozi wa aina ya Magufuli ni adimu sana,tena sana,asante Mungu,mlinde mja wako,mpe afya njema na umuepushe na balaa zote,Ameen.

Mimi sio CCM, Lakini Namfagilia sana, sana Magufuli kwa haya!
Hapa kazi tu ndo our motto.
Mungu wajalie viongozi wote wa Tanzania wape afya njema wake fikra kubwa zenye manufaa iliwatanzani tunufaike. alhahuma takabar dua amina
hongera sn rais wetu. pole na kaz ya kusafisha uozo wa tz.
Muacheni Mungu aitwe Mungu jamani tulivyoteseka watu maskini sasa katuletea zawadi ambayo ni MH. RAISI MAGUFULI kila napomuona magufuli napata matumaini sana Mungu akulinde jmn wewe ni baba yetu wa kweli hasa sisi maskini
huu wimbo wetu ungeimbwa na mtanzania ingekuwa nzuri sana, please kama unaweza gaston tumia version iliyoimbwa na mswahili!
+shadrack stephene una uhakika alie imba sio mswahil? au kuna sauti unaipenda itumike labda...rafudhi zipo tofauti kulingana na mtu alipokulia au kuishi muda mrefu...nadhani wimbo unaweza kuwa record kwa rafudhi nyingi kisukuma kigogo etc au sauti ya mwanamke na mwanaume au kikundi ..lazima itatoka tofauti...usiwe sensitive sana kaka hahahaah
Sio mswahili, ninayo clip ya wimbo huo aliimbiwa rais wet aliyepitamktk mahafali ya chuo kikuu flani ulaya, yule dada aliimba vizuri mpaka rais/aliyepita alimsifia. Mi nnaona fahri tukiwa na sauti yetu, ya nyumbani kaka, uzalendo zaidi
+shadrack stephene kama ni hivyo..basi nakuunga mkono ..nadhani ni jambo jema..ushauri mzuri
Kama Magufuli anataka kufanya kazi vizuri na chama chake, kwanza amtimue Kinana ambaye anahusishwa na ufisadi hasa usafirishaji nyara za taifa. Ondoa mabaki yote ya Kikwete na kuweka watu wanaojua visheni yako na kasi yako bwana rais.
HE HAS GONE BUT HE HAS DONE ALOT
REST IN PEACE PATRIOT
We ndo ulikuwa mwenyekiti mwAdilifu kweli...huyu aliopo hamna lolote...
Msema ukweli kama huyu kutokea kwenye chama sasa nibahat waliowengi nipessa wameharibu chama, ccm ileya baba wataifa haupo sasa makundi ya uadui kwenye chama ndipo chama kimefika hapo
MUNGU AKULINDE RAIS WETU, NA KWA MISIMAMO YAKO MAMLUKI WATAJIENGUA WENYEWE NAKUKUBALI ZAIDI WE NI MTU WA KUMWAMBIA MTU UKWELI THEN TUNASONGA AKINUNA ASINUNE .., SISI TUNASONGA HONGERA ZA KUTOSHA KWAKO MR.PRESIDENT
Mungu akupe nguvu raisi wetu
CCM sasa tumepata mkombozi kamwe hawatatuweza
tunakuombea mheshimiwa
Hao anaoongea nao ndiyo waasisi wenyewe wa uchafu anaoongelea Magufuli. Mfano, kwanini Kikwete aendelee kuwa mwenyekiti wakati ndiye chanzo cha yote haya kama siyo kujikanganya bwana rais? Ondoa hayo mafisadi.
Mbona naona kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kimekatishwa ?

Manina zako