Yanga inawatu wakazi kitenge na zembwela watangazaji maarufu pamoja na msemaji wa Yanga manara Yanga day imefana kweli kweli hii rekodi iliyowekwa na Yanga hakuna timu ya kuifikia kweli sisi Yanga hatuna jambo dogo Yanga tumetambulisha wachezaji simba wao walitangaza wachezaji.
Sherehe ya wanaume wavulana awatakiwi kutia neno🎉
Manara ni Mtaalam wa mambo haya.
Jaman manara kwenye boli ana dunia yake
Yanga inawatu wakazi kitenge na zembwela watangazaji maarufu pamoja na msemaji wa Yanga manara Yanga day imefana kweli kweli hii rekodi iliyowekwa na Yanga hakuna timu ya kuifikia kweli sisi Yanga hatuna jambo dogo Yanga tumetambulisha wachezaji simba wao walitangaza wachezaji.
Utambulisho wa Azizi k 🔥🔥🔥
Ahmed ally hamna kitu kwa manara na ally kamwe best❤❤❤
yangaaaa daima mbeleee💛💛💛💛💛💛💛
Mashabiki wa Yanga wamepoa utafikili wapo kwenye mkesha wa mauridi day
Mnatambulishaa kama mnaombolezaa😂😂😂
BUGATİ wallah unalaaana😅😅
BUGATI HUNA BAYA🎉🎉🎉🎉
Kwatiketi za bure
❤mashallah
Mwananchi Yanga bingwa
Amna kazi hapa
Yani wasemaji wote hao. Yanga kweli timu kubwa
Kawaida sanaaa huna jipyaaa
Tuachie yanga yetu💚💚💚💚
Hivi simba mlipiga salut za fatak kweli au mlisahau😂😂😂
💚💚rfuioteio! Excellent I yeyirpi fetro ieueuv
yanga nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa mmetisha zaidi ya jana.
Ao makolo Wana nn washamba awaiwez😮yanga
Yet😢😢
Simba mbn munawivu jmn ngoj date8😅😅😅
Simba mmefunikwa kwa kila kitu,acheni wivu
Tamasha hili jezi mpya zilivaliwa sana zinapendeza sana
Nice yanga
Pamoja na yooote nimeona mwaka huu Simba bingwa,nitafte mwisho wa msimu kama bingw ni mwingine niko na zawadi ako.
asante uongozi wa Yanga
😂😂😂😂😂simba kaeni chonjo kwani shingap
Manara ,Ally Kamwe , Zembwela ,kitenge ,kwa Ahmed Ally Mmoja na tamasha limedodaa
Kweli
Kidile mwali kivika naleo mwali ametoka 😂
Historia imeandkwa , haijawah kutokea tamash km hl
Kazi kazi
Safari hii atawezekana tu iwe Kwa. maneno au kwa ngunmi atatulia tu hapa kwa wananchi
KinGilio-anapokea-mama-lamama-gold
Wasaniimbalimbali
Waandishii njoeniii😅😅😅
Huo utambulisho daah, au ndo mnamtafutia mume Hamisa Mobeto?
Ni kweli hapa alichemka
acha mbwembwe ahamed na msemaji au mwimba taarabu tu
Unagawa wachezaji ina maana wachezaji ambao hawakuitwa hapo hawana thamani....
Sio wivu Simba washamba
sijapentaaa kumtambulisha azizi
Nyie makolo wasenge acheni makasiriko ahmedi Ali si shoga tu kama mashoga wengine tu
Me simpendi Ahmed Aly Ile kulegeza mdomooo km vleee eti anaboli uyooooo anafunga uyooo kazeni midomo sio poa.
Mpelekee marehemu mama yako
Uone atakacho mfanyaaa
❤
Sasa kitenge maulid naye ana nn?
Leivan-utampa-gold-pesa
Huna hakiri
Kiukweli siku ya WANACHII imeharibika kwa kumdhalilisha mobeto tu hivi kama kila mchezaji or kiongozi anaweza mtelaa mwanamke wake jukwaani
Kizazisana
Hakuna ktu
Kwanini Mobeto atajwe
Unatumia UKIWA WP?
Penguin na yy angetajwa ila shida nyotaas
Ahmed sy mchezaj mpila sisi tunadili na vikombe t
Hapo ni bila jina Mobeto hamna ki2
Simba washamba hawaelew
Jumapili-kwaley
Penda sana manara
Umeona Kaz iyo
Kulakunywa-pombe-ailuhusiwi
Chama acheze yanga
Mbona Ma MC wengi ivi
Hawa jamaa hata wawe 100 hawamwezi Ahmed Aly
Itakuwa umekunywa ulanzi wewe
Sasa Ahmedy Ally kajifunza wapi kama sio kwa Buggati
Haya karudi tu full house viwanja viwili na bado huyo kisauti mtamsahau soon
Kilevi unachokitumia kiache kitakufanya umuite mzazi wako mchumba, yan yule mmakonde ndo umfananishe na watoto wa mjini 😂😂😂
Wew mwenyew all kamwe anamtosha
Matak yak
Huyu manara
Hata muungane hakualolote hapo
Kwa uongeaji Gani amed Ali mate yanamjaa mpaka basi Kuna mtu pale
Huyo mzungu ndio anajua kuongea ukimchukia mtu kaa kimya
Wazee fc😂😂😂😂😂😂
Manara habadiliki na mbinu zimeisha sjaona ajabu
Manara anajua acheni unazi
Watu wabara wanautumia alizeti izo Nazi peleka kwani ahmedi Ali anajua tuache utani huyo mlopokaji wk kampeleke kwako nyumbani
💚💚💚💚🧡🧡
Et kacholile kachora
Mm niyanga san lkn tamasha km halijaandaliwa vile sijapenda
Ni kweli Manala si mtu wa itifaki
Hamna kitu
WW NI kolo, KWA lipi MWENYE SAUTI KAMA demu, HIZO ni machine ZIPO kimpangilio KILA M2 na KAZI YAKE.
Simba b
Simba mnamfaamu uyo
Saut inapenyaa hapo wamekua hao wanapiga kelele kma vichaa wameona jalala jipya
Aziz KEY..key ni funguo
Vani-
Washamba tuu makelele kibao
Ety kiiiiiiiiiiiiii
😂😂😂😂
Manara nane nane tunakuziba mdomo kwa goli 1 mtungi ubaya ubwela haitowaacha salama 😂😂
Utatafutwa kama nyama
Kwe
Utoto
Yaani haujapendeza kiukweli yaani kama wahuni wa uwanja wafisi nyie watatu ahmed mmoja2 anatosha
Kwendraaa
🐖🐖 kakojoe ulale
Pole sana kolo 😂wivu utakuuwa
Acheni makasiriko😂😂😂
Walikuwa wanailazimisha fulaha, walikuwa wanatumia nguvu nyingi sana kuilazimisha fulaha
Wasaniimbalimbali