HII NDIO NJIA YA KUENDA PEPONI // SHEIKH ABUU IDDI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 20

  • @hamoudrashid8044
    @hamoudrashid8044 2 дня назад +6

    Msiba kubwa kwetu sisi Waislamu M/Mungu amsamehe dhambi zake ampe kaul thabit Amin Amin!

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 День назад +1

    Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi 😭 😭

  • @husseinkatana4573
    @husseinkatana4573 День назад +2

    Allah amjalie pepo iwe makaazi yake..
    Amiin thuma amiin

  • @nadiaba6418
    @nadiaba6418 День назад

    Alikuwa hodari kuzugumza na ilimu Mungu amueke na Mtumi alayhi swalatu.wa.salam amin

    • @alfayomfuru2974
      @alfayomfuru2974 День назад

      Swadakta, alikua anajua mambo. Daaa, kweli ALLAH anaiondosha elimu.

  • @twahahango3968
    @twahahango3968 День назад

    Allah alinawirishe kaburi lako kwa nuru yake
    Akufufue pamoja na mtume mohammad s.a.w
    Allahumma aaameen...
    Umetutoka kama masihara

  • @KungutiKhan
    @KungutiKhan День назад

    Tumuombe sana kwamungu mzee wetu 🤲🤲🤲

  • @KhaddijaaAli
    @KhaddijaaAli День назад

    ALLAH akujaalie pepo ya ya Juu🤲

  • @YahyahassanYahya
    @YahyahassanYahya День назад

    Tupambane kujenga akhera yetu shekh abuu iddi ashapata pepo yake kwa swadakatul jaaria inatufaaa sisi allah ampe fardaus aaala

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney День назад

    MashaAllah TabarakaAllah

  • @SarahSudi-jx6pr
    @SarahSudi-jx6pr День назад +1

    Swalallah alayhi wasalam

  • @AbdulrahimAmiri-d5g
    @AbdulrahimAmiri-d5g День назад +1

    Amiin

  • @Hawa-b2j
    @Hawa-b2j День назад +1

    Allah ampe. Kauli thabit

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 День назад

    Allah akueke pamoja na mtume wetu Muhammed s.a.w

  • @zainabmirza4581
    @zainabmirza4581 День назад

    Allah akupe qauli thabti yaraab

  • @AshaSaleh-qu8rk
    @AshaSaleh-qu8rk 2 дня назад +1

    Allah ampe nur kwenye qabri yake

  • @KibwanaSimba-k8z
    @KibwanaSimba-k8z День назад +1

    Yani kwakweli waislan tumeondokewa mwenyezimungu atupe bali ya shekhe muhammadi idi

  • @SarahSudi-jx6pr
    @SarahSudi-jx6pr День назад +1

    Amiin