BILA KUPEPESA MACHO DR.SULLE AYASEMA HAYA JUU YA KIFO CHA SHEIKH MOHAMMAD IDD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #drsulle #tanzania #africa #islaamic

Комментарии • 99

  • @Nguvukazi-t9s
    @Nguvukazi-t9s 7 дней назад +13

    Nilijifunza mengi kwa darsa zake kupitia Radio Rahma Mombasa 2005-2006
    Allah amueke Jannatul Firdaus, ameen.

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 8 дней назад +28

    YARABI mjaaliye PEPO kwa huruma yako YARABI na kukutanisha na MTUME wetu MOHAMMAD (S.A.W) amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲

    • @IddyAlly-p5g
      @IddyAlly-p5g 7 дней назад

      Siokiraisi ivo pepo ngumu

    • @hassanally446
      @hassanally446 7 дней назад +2

      ​@@IddyAlly-p5gwanafki hamkosi

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 дней назад +1

      @@IddyAlly-p5g wewe mjinga sana na kama muislam huwezi kuongea kitu hicho manake yeye anamuombea Dua ulikuwa uitikie Amin. Manake m/mungu ndie wa kuombwa tu

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 дней назад

      @@hassanally446 huyu sio muislam sahihi

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 дней назад

      ​@@Mumewangu😅😅

  • @khaledalkharousy8420
    @khaledalkharousy8420 8 дней назад +12

    Inna lillah wainna ilaih raajiun, allah amuepushe na adhab za kabr na amsamehe madhamb yke Ameen ya rabby

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 8 дней назад +14

    YAA ALLAH utujaliye mwisho mwema waja wako..na uwasamehe ndg zetu walio tanguliya mbele ya khaki.. amiin 🤲 YAA Rabb Alaamiin 🤲

  • @munic6686
    @munic6686 8 дней назад +9

    Innalillah wainna ilaihi rajiuun Allah amuweke shekh wetu mahali pema peponi

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 7 дней назад +5

    ❤❤❤isilam wote❤ kitu kimoja na wote tutaludidi kwake Allah Karim❤❤❤

  • @ramadhanikola3899
    @ramadhanikola3899 2 дня назад

    Innah Lillahi Wainnah illah Rajiun, Allah ampe kauli dhabit, Shekhe Muhammad Idd Darsa zake za Ndoa na Mirath Nilijifunja mengi Inshaallah

  • @HuseinYusuph
    @HuseinYusuph 6 дней назад +1

    Allah amfanyie wepes sheikh wetu insha'Allah

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 7 дней назад +5

    Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲

  • @KhalfanHaji-ec4lo
    @KhalfanHaji-ec4lo День назад

    Allah amsamehe madhambi yake ishallah

  • @MustafaAli-w4x4s
    @MustafaAli-w4x4s 4 дня назад +1

    Amiina inshaallah

  • @SalamaJuma-i6v
    @SalamaJuma-i6v 8 дней назад +5

    MASHAALLAH MASALAFI MUNAZISIKIA QAULI HIZI

  • @AllyAmir-e9c
    @AllyAmir-e9c 5 дней назад

    Allah S.W alimjalia uwezo mkubwa wa kielimu na ukarimu hakika tumenufaika naye waIslamu na wasio kuwa waIslamu na mada zake za kidini na kijamii zenye weledi mkubwa . Allah alituazima na sasa ameichukua amana yake. Ewe Allah muwekee nuru kwenye kaburi lake Sheikh wetu Muhamad Iddi .Amin

  • @albinajacob-i9e
    @albinajacob-i9e 7 дней назад +1

    Allaahumma ghfirlahu, warhamhu, waafihim, waafa'nhu Sheikh Mohammad Iddi. Allaahumma Thabbit-hu Bilqauli Tthaabit.

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 7 дней назад +2

    Kwakeli sh Muhammad kafanya kazi kubwa katika mm Nilimjua katika masuala ya Mirathi Allah amsameh

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 дня назад

    Inna Lillah Waina Illayh Raj'uun! Tunamuomba Allah Amrehemu shehe wetu,Amiin.

  • @AbdallahAlly-zz6kx
    @AbdallahAlly-zz6kx 6 дней назад

    yaa Quddus mulehemu sheikh wetu mohammad iddi mulaze mahali palpo pema ameeen

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 8 дней назад +3

    Inalillah wainaillah rajoon,Mungu amsamehe madhab Yasir na dhahir makubwa na madogo na amuondolee Adhab za kabur,nasi atupe mwisho mwema AmiinYarab

  • @amanimohamedi-y1g
    @amanimohamedi-y1g 5 дней назад

    Inna Lillah wainna ilaih raajiun, ALLAH amuepushe na adhab za kabr na amsamehe madhambi yake,Ameen ya rabby

  • @JazilaAbdala-x2k
    @JazilaAbdala-x2k 7 дней назад +5

    Huyu shekh ndio alikuwa sababu ya mim kisilimu....Allah s.w.t akusamehe na ukupe pepo inshaallah

  • @Oman-ue5el
    @Oman-ue5el 7 дней назад +1

    Inalillah waina illah rajiuna 😢 mungu amraham shekhe wetu kipenzi chetu .mungu kakupenda zaid hatuna jins

  • @alawialawi4412
    @alawialawi4412 7 дней назад

    Aamin inna lillah wainna ilayhi rraajiuun inshaallah mw mungu ampe kauli thabit amsamehe madhambi yake amuweke pema peponi.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 7 дней назад

    ALLAH AMSAMEHE NA KUMRAHAM SHEIKH WETU NIMEUMIA LAKIN DUNIA NI MAPITO ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 7 дней назад +2

    Innalillah wainna ilayhi rajiu'un, Allah tujaalie mwisho mwema.

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 7 дней назад +1

    Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi 😭 😭

  • @ramadhanidadi6805
    @ramadhanidadi6805 7 дней назад +1

    Mwenyeezimungu amsamehe makosa yake shekhe wetu, hakika nitamkumbuka daima hasa hasa mwezi wa ramadhani alikua akitoa mawaidha mazuri sana channel ten

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 7 дней назад

    Allah atusamehe na u tujaalie mwisho mwema kwa huruma yako

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 7 дней назад

    Allah amrehemu sheikh wetu Inshallah

  • @MustafaJahazi
    @MustafaJahazi 4 дня назад

    Yallab ilaze mahara pema peponi shekhe; we2 kwahakika 2tamkumbuka kwa wema Allah akbar

  • @AzizaMengwa-wg5ik
    @AzizaMengwa-wg5ik 2 дня назад

    Amiina

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 7 дней назад

    Innalilah wa inna ilayhi rajiuun Allah awe radhi naye fii dunia walakhera ,allahumma latahrimna ajirah walataftina baadahu

  • @hassanally446
    @hassanally446 7 дней назад +1

    Kweli kabisa kakayangu Sule , Allah akuhifadhi

  • @FatumaSuleiman-ti7vq
    @FatumaSuleiman-ti7vq 5 дней назад

    Dr Sule Mashaallah unasema ukweli salafi. Chukueni mifano.upendo ni muhimu sana.

  • @RUKIASULEIMAN-h7g
    @RUKIASULEIMAN-h7g 7 дней назад +1

    Alikuwa mwalim maahir jaman mawaidha yake hakika yalikuwa dawa INNA LILAH WAINNA ILAIHI RAJIIN.ALLAH amuweke ktk pepo zake tukufu inshaallah

  • @AbdalaMomba-m7s
    @AbdalaMomba-m7s 7 дней назад

    Allahu amrehemu shekhe muhammad

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 7 дней назад

    Ya allah mjalie akawe miongo mwawaj wema Mazur ananyo zungumziwa allah amjalie akawe miongoni mwawaja wake allah

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 7 дней назад

    Ahsante Doctor Suleiman

  • @abdulrazackkanyetamisa6926
    @abdulrazackkanyetamisa6926 3 дня назад

    Innalinllahi wainnailayhi rajiuun qadarallahu maasha'a faala

  • @AshuraMutumwinka
    @AshuraMutumwinka 7 дней назад

    Allah amrehemu ampe pepo ya firdausi

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 6 дней назад

    Amina yaaraab

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 6 дней назад

    Allah ampe kauli thabit sheikh Mohammad idi

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 7 дней назад

    أللهم غفر له ورحمه وعفه وعف عنه.

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 5 дней назад

    Kwakweli tulimpenda na tuna tunampenda na Mola mlezi pia amependa zaidi

  • @mbeyusaid4688
    @mbeyusaid4688 7 дней назад

    Wallah shekhe kwa mambo ya talaka na mirathi ametuelimisha Sana,

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 дней назад

    Inalillah wainaillah rajooni mungu mpe nafasi jema

  • @WachunyaTebeka
    @WachunyaTebeka 8 дней назад +1

    ALLAH Ampe kauli Thabiti.

  • @ramadhaniomary9241
    @ramadhaniomary9241 6 дней назад

    Umesema kweli Dr sure tujiandaeni na mauti mungu mpe kheri nyingi Shekhe Abu Idd

  • @MohamedAlly-h4u
    @MohamedAlly-h4u 6 дней назад

    Innalillah

  • @Bishamba
    @Bishamba 5 дней назад

    Innalillai wainnaillahi rajiun

  • @PascalMwita-bv8kr
    @PascalMwita-bv8kr 7 дней назад

    Inna lillahi wa inna lillah rajun amekufa na msimamo wake wa biddah Allah amsamehe sababu ni muislam

  • @abuabdimanan4065
    @abuabdimanan4065 8 дней назад

    اللهم أغفر له و ارحمه برحمتك التي وسعت كل شيء

  • @abdirocha4490
    @abdirocha4490 8 дней назад +2

    Innalilahi wainnailleih rajiuun

  • @OmarKalita-le9uo
    @OmarKalita-le9uo 8 дней назад +1

    Inna Lillah waina ilayhi rajiun

  • @MtulyaMussa
    @MtulyaMussa 7 дней назад

    mungu amlehem

  • @LukumanUlomi
    @LukumanUlomi 7 дней назад

    Mola tunakuomba umsamehe sheh wetu Mohamed iddy

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 8 дней назад +2

    Sawa

  • @MariamJuma-j3p
    @MariamJuma-j3p 7 дней назад

    Muung amlaze sehem nzur pa1 na cc

  • @rizikirihani7903
    @rizikirihani7903 8 дней назад

    innarilah wa innarilah rajun 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 3 дня назад

    Huyu si ndiye aliyekuwa na kipindi chanel ten

  • @SalamaJuma-i6v
    @SalamaJuma-i6v 8 дней назад +1

    Yaa Rabbi mtilie Nuru Kabri lake

  • @MustafaAli-w4x4s
    @MustafaAli-w4x4s 4 дня назад +1

    halafu huyu anojita m bachu achungesan elimuyake itamuweka pabya ,asipotunia hekma na busara katika kuelimisha bas ataishia pby umaarufuwake siwaelimu bal umaarufuwake wa kuwakejel wanadini kwakibr na zarau, ajue kwamba yeyemwenyewe hajakamilika, na hajuikwamba ibadazake zinakubaliwa?

  • @MtulyaMussa
    @MtulyaMussa 7 дней назад

    napendekeza uwe una toa kalenda ya mwezi muandamo kama alway akujaalie wepes

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 8 дней назад +1

    Allah mghufirie mja wako huyu.
    Nasisi utupe mwisho mwema.
    Aaamiiin

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 7 дней назад

    Huyu mwandishi wa ISLAH TV analipenda hili neno(BILA KUPEPESA MACHO)

  • @adolfchiwangu9406
    @adolfchiwangu9406 7 дней назад

    Tulimzoea kwa mafundisho yake kipindi Cha Ramadhani,

  • @fatmamsellem-qe4dw
    @fatmamsellem-qe4dw 7 дней назад

    Hapo sasa maskini hakuchagua watu wa kuongea nao
    Wote kwake nisawa
    Alikua na upendo na kila mtu

  • @dreamersonlinetv6496
    @dreamersonlinetv6496 7 дней назад

    ruclips.net/video/iHqNxV83USs/видео.htmlsi=UGyyCLnrl2SmEhuD

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 7 дней назад

    Huyuu jamaaa ataa simuelew maaana hana ushehee shehe unakataa pank na kunyoa ndevu kihun kuekaaa o😅😅

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 6 дней назад

      Hii habari ya taazia ni habar ya huzuni,ww unaleta habar za pank? Yeye ilikuwa unasikiliza huku unatafuta Cha kukosoa sio kujifunza juu ya mauti?

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 7 дней назад +1

    Kama ni huyu kwenye picha ndogo chini kushoto basi nasikitika sana. Sometimes nilikuwa naangalia vipindi vyake channel ten japo mimi siyo muislam. Alikuwa anaonekana kuwa ni mtu muungwana sana na mwenye maarifa.

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 7 дней назад +1

      Ndiyo yeye

    • @frankmwinuka6298
      @frankmwinuka6298 7 дней назад +1

      Tunafanana nami ni Mkristo lakini nilimpenda na kuipenda dini yake kwa ajili yake😭😭😭😭😭

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 7 дней назад

      @Annalisejg2ur Aisee, shida kifo hakikwepeki. Otherwise he was a real man

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 6 дней назад

      Asante I sana wakristo nyinyi kwa kuwa wakweli

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 6 дней назад

      @ramadhaniomary9241 Ukifanya vema unapata kibali.

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 8 дней назад +1

    HALAFU ANATOKA MTU ANJIITA NI WA SUNNA ANASEMA tunamshukuru MUNGU kwakumuuwa huyu muhammad iidi , sasa sunna itaendelea. dah , msiba wa kufikiri sana.

    • @muddathirkassim2407
      @muddathirkassim2407 7 дней назад

      Wewe wapenda uchochezi nimzushi sana wewe,,,,maongezi nimengineee....wewe unayako kumetajwa Sunnah hapo??

  • @RashidChamola
    @RashidChamola 7 дней назад

    Huko hakuna uchawa

  • @MugaruraIssa-z8e
    @MugaruraIssa-z8e 8 дней назад

    Kwanini asiwe na mapunguvu ila wasifu zake kama aliweza kuwa na masaa 24 inamaana iliwadhulumu wake zake

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 8 дней назад +2

    Innalillah wainna illah rajiun

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 6 дней назад

    Innaillah wainnalillah Rajiyun

  • @SalimuKawindi-g1j
    @SalimuKawindi-g1j 4 дня назад

    Innalillah wainna ilayhi rajoon

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 6 дней назад

    Innaillah wainnalillah Rajiyun

  • @faridanurdin9635
    @faridanurdin9635 3 дня назад

    Innalillah wainah ilayh rajiun