SHEIKH MUSTAFA ATOA ONYO KWA MASALAFI WANAO MBEZA MARHUM SHEIKH IDDY | AELEZA WASIFU WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 96

  • @OthmanaliOthman-wb7lg
    @OthmanaliOthman-wb7lg 7 дней назад +4

    Allah kuhifafhi shekhe wet ume ongea point sana hao maslafi hawafai

  • @AzizaSalim-n2q
    @AzizaSalim-n2q 6 дней назад +2

    SubhannAllah!! Vyovyote ilivyo kufurahiya kifo, maradhi, au mitihani yoyote ya kilimwengu, inapomkuta mja, si sw, kwani, vyoote hivyo vinamkuta mja yoyote!!!! Inasikitisha mno mno,, waja tunavyojisahau, na kujihisi ww ndie mbora na ni msahihi wa kila ulitendano, Allah ndiye ajuaye, na yy ndio atamuhukumu mja wake, Allah amlaze pema peponi, Muhamad Idd, amemaliza ya kwake, kafa, kaoshwa, kajafiniwa, na kasaliwa na waislamu wengi tu, na kalazwa qabrin, Ww je! wajijua kifo chako kitakavyokufika??? Endeleeni kufurahia.

  • @AwaShaban
    @AwaShaban 7 дней назад +4

    Wallaih tumepata pingo mungu amrehem shekhe wetu

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 6 дней назад +3

    C kila avaae Kanzu ni Sheikh wengine ni Wauza Bucha mfano ni huyo Mpuuzi alomtaja vibaya Sheikh Muhammad Idi RahimahuLlahu

  • @NabilAhmad-i1i
    @NabilAhmad-i1i 7 дней назад +2

    Allah amrahamu sheikh wetu hao majaahili waendelee kufurahia mashetani wakubwa hao

  • @KarimHusseni-g2g
    @KarimHusseni-g2g 7 дней назад +1

    اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه فسيح جنانك يا رحيم يا رحمن يا كريم يا الله

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 6 дней назад +1

    KATIKA SIFA ZA MAYAHUDI NI KUTOSOMA QUR'ANI KWA MJIBU WA USOMAJI WA HUYU SHEIKH WA QUR'AN BILA SHAKA NI MYAHUDI HAJAPATIA HATA AYA MOJA KUISOMA

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 5 дней назад

    Masalafi ni msiba wa Dunia

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 7 дней назад +1

    Hakika tumepata pigo zito sana kwa kuondokewa na sheikh wetu muhammad Abu Idd,hakika nilimsikiliza yule wahabi alivyokuwa akishangilia kifo cha sheikh nimesikitika sana hakika mawahabi hawana mafunzo ya uislamu wao wana dini yao inayokwenda kinyume na mafundisho ya mtume wetu muhammad s,a,w kama alivyosema sheikh hapo,waislamu tuchukue tahadhari dhidi ya genge hili,allah swt amrahamu sheikh wetu insha allah,

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      Mungu akuweke mahali moja na yeye siku ya qiyama

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 6 дней назад +1

    Tunamshukuru Allah kwa kutupunzisha kwa kifo cha muhammad idd mzushi khurafi

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 6 дней назад

      haja kushinda wewe labda wenge isoma taudhihu al,ahkami ya albasamu miongoni mwa mashehe wenu ndio kitabu alichokua akikisoma shekh kuwafahaniaheni msimamo wenu wenyewe lakini hamujielewi masikini

    • @jikonikwamamaSwaumu
      @jikonikwamamaSwaumu 6 дней назад +1

      Kwa maisha aliyoishi mafunzo yake yametuingia kaacha alam kwenye vichwa vyetu sasa hapo umeshukuru nini?watakuja kina babu Iddi wengine Insha Allah

    • @massoudkhamis-k3h
      @massoudkhamis-k3h 6 дней назад

      Hekma huna hata akili umekosa

    • @as-salafy354
      @as-salafy354 6 дней назад

      @@massoudkhamis-k3h wewe ndio huna akili ambae huijui dini yako uislamu ni sunnah na sunnah ndio uislam tuambie abuu idd ni sunnah gani alikua ana lingania

    • @as-salafy354
      @as-salafy354 6 дней назад

      @@massoudkhamis-k3h zaid ya kuiponda sunnah na watu wake allah amsamehe madhambi yake lakini pia tunamshukuru allah kwa kifo chake hayo ndio maneno walikua wakisema wema waliotangulia kwa watu mfano wake

  • @mzulwa2006
    @mzulwa2006 6 дней назад

    Tatizo tuna wasndishi wa ovyo sana wasioweza kuchambua habari kulingana na athari zake

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 5 дней назад

    Acheni kiki tena mumepata cha kusema .Kufurahia sio sawa ila kushukuru kwa kufa kwake ni sawa kumepungua mtu wa bidaaaa.

  • @jafarabdallah5795
    @jafarabdallah5795 6 дней назад

    Allah amghufiri shekh Muhammad ayub lkn shekh tumekatazwa kuitana majina mabaya SASA shekh na wewe umewaita wenzako mayahudi wahabbi mpumbavu Hana akili SASA hapo kidogo hakuko Sawa

  • @magambosinogo4048
    @magambosinogo4048 6 дней назад

    Hayo ni mapandikizi ya mayahudi

  • @hamisibakari7271
    @hamisibakari7271 День назад

    Pandikizi la kiyahudi hawa ziwez kusema ni wenzetu hata siku moja

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 7 дней назад +1

    Nikweli nimwehu Hana akili

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 5 дней назад

    Mwana chuoni tena jamaa mpumzisheni ashayaona yale sie hatujayaona.

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 6 дней назад

    Bado mpaka sheikh mmoja wa kisalafy apande mimbari adhihirishe ile furaha tulioipata hasa ndio wataelewa kama vp sheikh muniir as-saad alivyo dhihirisha furaha yao kwa kufa jizushi la kule yemeni

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 6 дней назад +1

    Ni kweli Abu IDD alikuwa mzushi na kupinga sunnah, dhibitisho wa maneno yangu mtume asema tufuge ndevu na tunyoe masharubu ilhali Abu IDD amenyoa ndevu na kufuga masharubu, opposite ya mtume kwa hivyo alikuwa anapinga sunnah, pia angalia kanzu ya Abu IDD ilikuwa inavuka kwato hadi kugusa chini na mtume kasema kanzu isipite ankal

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 6 дней назад

      Kwahiyo unaona uislamu ni kanzu na Ndevu?

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 6 дней назад

      Roho mbovu zenu zimejaa chuki, ukiona una chuki jiangalie sana, Dini ni nafsi yako ilivyo, jiangalieni sana, huenda mkawa mnapatia na huenda mkawa mnakosea

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @hamisisalimu6908 tumia akili yako, uislamu ni 1+1+1+1 na huwezi Pinga moja ufanye ingine, hatuna ruhusa ya kupinga sunnah ya mtume hata moja na ukipinga ama kukejeli basi unaweza kukufuru, chunga sana ndugu. Pia usidogoshe sunnah ya ndevu na kanzu, naona kama unadogosha sunnah ya mtume s.a.w

    • @katalayshemndolwa3146
      @katalayshemndolwa3146 6 дней назад +1

      Ila vijana wa kiwahabi mna matatizo makubwa sana adabu zenu ni ndogo mno

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @katalayshemndolwa3146 story ya kuniita wahabi haikusaidii chochote, let's talk ile kitu muhimu ambayo ni huyo shehe wenu aliishi kupinga sunnah ya mtume s.a.w na nimetoa mfano, wewe leta sunnah gani alihuisha huyo shehe wako kama huna funga mdomo, matusi hayakusaidii chochote

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 7 дней назад +1

    Hakuna Sheikh wa Salafi anaesema
    hayo ni Mambo ya fb

    • @madrassatulihyaa-ilislaami2911
      @madrassatulihyaa-ilislaami2911 6 дней назад

      ipo hta audio wametengeneza

    • @Mussarashidi-b4f
      @Mussarashidi-b4f 5 дней назад

      Hatukatai kua sio Mashekh wakisalafi au wa habi. Kama siyo hivyo wangejitokeza Mashekh wao waseme kukanusha hilo mbona wamenyamaz

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 6 дней назад

    Ibilisi kweli ni mjanja

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 7 дней назад

    ,serikali ingeifuta taasisi ya ansar ni ya zulma na utapeli a niwshujumu uchumi wa nchi huyo kiongozi waokashika msahafu mwezo wa ramadhani kuapauongo kuwa yatima na mama yao mjane hawana haki mara alitoa wakfu atatoa wakfu mtu ana mke na watoto watano awaache masikini wakutupwa wangeacha zulma kwanza wakarudisha haki za mayatima walizowazulumu lakini allah anawashuhudia yeye na barazla zulma a

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      Kama serikali ni yako nenda futa, khurafi wewe

    • @rashidikhamisi4313
      @rashidikhamisi4313 6 дней назад +1

      Serikali siyo ya babu yako

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @rashidikhamisi4313 wakikosa hoja wanakimbilia serikali na idara za ujasusi 😂🤣🤣

    • @rashidikhamisi4313
      @rashidikhamisi4313 6 дней назад

      @@mohagurey2214 nikweli ni yawatu wote haina ubaguzi inazifahamu taasisi zote Kila kitu huwezi ipangia ifute hii ibakize hii

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @rashidikhamisi4313 makhurafi wakikosa hoja si wanapenda kukimbikia serikali 😂🤣🤣

  • @abulhakim2294
    @abulhakim2294 6 дней назад

    Hawa wanao jiita salaf hili nikundi katika makundi yaki yahudi , walikua wakiishi saudia na wakaenda baadhi yaao Yemen, wakijifanya ni waislamu , wakaunda kundi wakaliita kwa jina la salafi, kundi hili kazi yaao kubwa nikutusi waislamu wenzao na kukufurisha mashekhe na wanavioni , huku wakijifanya wao ndio wafwasi wa kubwa wa bwana mtume pia wakijifanya waao wana fwata salaf yani weema walio pita ili waislamu wadaganyike kwa hilo jina , huku ikiwa nembo yao kubwa alama yao kubwa nikukufurisha na kutusi wanavioni wote walio kinyume na wao,

    • @abdu7871
      @abdu7871 6 дней назад

      Dhahiri haya maneno yako ni kusikia kwa watu tu bali hujakaa kuijua manhaj salaf

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 5 дней назад

      Ujue kutofautisha kati ya Jamaat Takfir na manhaj salafy. Sio kila mwenye ndevu yupo katika manhaj ya salafy ndg. Jitahidi kupambanua kwa baswira.

  • @ZaynWalad
    @ZaynWalad 6 дней назад

    Wewe unadhani angekua Amekufa Baba yake, angesema hivyo??ni wendawazimu tu.

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 6 дней назад

    Nyinyi makhurafi siyo wakweli kwenye dini. Nyinyi mnashirikiana na mashia kwenye maulidi wakati shia mnajua kabisa wanawatukana maswahaba wa mtume swalallahu alayhi wasallaam na wanafurahia kufa kwao na wale waliouawa wanawaadhimisha wale waliowaua. Makhurafi ni watu waongo tena wajinga wakupuuzwa.

  • @NabilAhmad-i1i
    @NabilAhmad-i1i 7 дней назад +1

    Kama nimwanaume Sana angeweka sura yake hapo tukamuona na huyo tutamjuatu yahudi mkubwa huyo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 6 дней назад

    Mpumbavu mkubwa ww huyo sufi ghurafi jizushi jitu la bidaah abuu idd alikua na uwanazuoni. Gani zaidi yaupotoshaji

  • @allycomm1553
    @allycomm1553 6 дней назад

    Kila anaenda kinyume na muongozo wa MTUME huyo ni khulafi huelew wap nyote mliopo apo ni makhukafi

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 6 дней назад

    Onyo gani ....KWA KHURAFI SUFI...MLINGANIZI WA BIDAAA......AU MNATAKA KUTUAMBIA ALIKUA ANALINGANI SUNNA????

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 6 дней назад

    Sasa shk alietamka ni huyo mmoja kwanini wachanganya masalafi wote

    • @athumanmwamgupu661
      @athumanmwamgupu661 6 дней назад

      Ni kwa sababu masalafi waliobaki hawajamrudi huyu mwenzao kwamba amefanya makosa.

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 7 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 6 дней назад +2

    Eti tusikhalifu msimamo wa babu zetu😂😂😂"juu yenu ni Sunnah zangu na za khulafau rashidin" imeenda wapi? Babu zetu wengi walikuwa wazushi na watu wa bid'a so tufuate vp

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 6 дней назад

      Umebaki kusema Hadi baba Ako na mama Ako alikua mzushi, na mda c mrefu masalafi watasema had mama zao walikua wazushi sikusudii kutukana kama nyny mlivo watukanifu

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @HemedSerious sawa, wewe fuata Babu yako, sisi tunafuata na kuhimizana tufuate mtume s.a.w

    • @JJ4ZA
      @JJ4ZA 6 дней назад

      Uislamu umekufikiaje kama sio hao babu zako unaowaita wazushi?

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 6 дней назад

      @JJ4ZA nenda nunua akili kwa dukani kama ipo

    • @JJ4ZA
      @JJ4ZA 6 дней назад

      @@mohagurey2214 Walichofanikiwa mayahudi ni kutengeneza mawahabi.

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 7 дней назад

    Acha Kukariri Matukio
    Kwani Salafi Hawana Viongozi
    nani ktk Masheikh wa kisalafi
    aliesema hivyo ?????
    hao ni vichaa
    wa fb Acheni kukuza Matukio
    Waislam wote tunasema inna lilah wa
    inna ilaihi rajuun
    mengine ni. kutafuta umaarufu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 6 дней назад +1

      Hayo maneno tumetumiwa na SALAFY mwenzetu NDANI ya magurupu ya kisalafy na viongozi wa kisalafy wameona wamefurahia. Wewe usijifanye hujui. Serikali inaweza kumfichua ukaadhirika bure kujisemea bila kujua.

    • @solomomadej
      @solomomadej 6 дней назад +1

      Tusisahau aya inayosema waumini wanaume wasiwadharau wanaume wenzao na wanawake wasiwadharau wanawake wenzao huwenda wanaodharauliwa wakawa bora hivyo umakini unahitajika

    • @ZainamavooMavoo
      @ZainamavooMavoo 6 дней назад

      Ww mwehu

  • @allycomm1553
    @allycomm1553 6 дней назад

    Kama wewe sio salaff basi ni myahudi maana usalaff ndio uislaamu wa sawa

    • @ZainamavooMavoo
      @ZainamavooMavoo 6 дней назад

      Usalafi wanu huo wakisenge

    • @user412
      @user412 6 дней назад

      Usalafi wenu ni sawa na mayahudi

    • @user412
      @user412 6 дней назад

      Kwasababu wengi wenu hamuna Adabu au akhlaq