AINA 10 ZA WANAWAKE WENYE TABIA CHAFU JEE WAKWAKO YUPO WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Hizi ni aina za wanawake wenye tabia chafu katika ndoa

Комментарии • 220

  • @saft9482
    @saft9482 10 месяцев назад +1

    Yaah rabbi tuepushe na hizi tabia. Yaah rabbi mjalie shkh wetu umri mrefu wenye faida hapa Dunia na kesho akher

  • @alihawaii420
    @alihawaii420 Год назад +29

    Sheikh Othman Maalim nakupenda saaanah kwaajili ya Allah In Shaa Allah atukutanishe sote peponi na kipenzi chetu Mtume (S.A.W)❤❤

  • @amishmusungu453
    @amishmusungu453 Год назад +24

    Napenda huyu Sheikh 😂😂😂Allah akuongezee umri uzidi kutuelimisha inshaAllah🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 Год назад +85

    Wallah shekhe. Nakupenda kwa ajili ya Allah darsa zako haziboeshi kabisa yaani unatamani aendelee isimalizike,,,wallah shekhe wetu mwenyez mungu akujalie umri mrefu wenye elmu itufadishe na sisi

  • @BundalaMgassa-yp6jg
    @BundalaMgassa-yp6jg Год назад +18

    Mwenyenzi Mungu atupe mwisho MWEMA Maashallah ❤❤

  • @AminatattuHussein
    @AminatattuHussein Год назад +12

    Mashallah, Allah atuongoze tuwe miongoni mwa wake wema inshhallah

  • @KezakimanaFatuma-ii7we
    @KezakimanaFatuma-ii7we Год назад +17

    Ya Allah tujaliye tujitambuwe sisi wanawake

  • @HusseinShariff-v2u
    @HusseinShariff-v2u Год назад +9

    Mimi hussein Shariff kutoka moyale sheikh uthman maalim mawaidha yako nimefaidika sana Allah Akupe kheri na Akupe long life ile ummah wafaidike shukran

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Год назад +17

    Subhaanallah 😭 mola atuepushe tusiwe miongoni mwao 🤲🤲 namuomb Allah anijalie mume mwema mweny khofu ya Allah amiin..nami allah anidumish ktk Twa'aa yake allah n mtume wake Amiin..mola akubariki akupe kheri dunian na akhera Shekh wetu OTHMAN ❣️❣️

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 11 месяцев назад +5

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah Sheikh Othman Maalim Mwenyezi Mungu akueke In sha Allah Taallah 🤲🤲🤲

  • @Aishamrembo-pk7tl
    @Aishamrembo-pk7tl Год назад +10

    Allah Akbar atupe swabaha wanawake wote inshallah 🙏, Allah akuongoze shekhe wetu uzidi kutuelimsha mashaallah ❤❤

  • @DoricasWawire-ff9os
    @DoricasWawire-ff9os Год назад +5

    Inshallah kuna day ntatembea tz angalau nkapta mawaidha live .. mashallah

  • @AbassiHUSSEIN
    @AbassiHUSSEIN Год назад +1

    Cheikhe wangu niko burundi nakufatilia allah akujaze kila la kheli

  • @husseinnasir9029
    @husseinnasir9029 Год назад +5

    Ustadh othman maalim best in the world❤

  • @WardaSalum-gl5zd
    @WardaSalum-gl5zd Год назад +4

    mashaallah Allah ampe umli mlefu hothuma malimu

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 Год назад +2

    Wa Allah shekhe othumani maalimu nakupenda Kwa ajili ya lilahi Kwa kututolea maidha mazuri na yenye mafunzo Alhhamdulilah Alla akuzidishie kil la kheri Inshaallh taaala

  • @AliJuma-e5i
    @AliJuma-e5i 7 месяцев назад

    Shee mungu akubariki akupeafya njema maishamwako

  • @Forfun-g5b
    @Forfun-g5b Год назад +4

    🤲ya Allah tuepushe na mambo hayo ya Allah tudumishe katka ndoa zetu ya Allah tudumishe katka mema Mungu akulipe kheri shehe wetu Allah akupe umri mrefu

  • @MwanauluSalim
    @MwanauluSalim Год назад +9

    االله بارك يا شيخ عثمان انشاالله

  • @MariamuKimaro-j2y
    @MariamuKimaro-j2y Год назад +1

    Shekhe Othaman ma'alim Allah akuweke shekhe wetu nayapenda sana madarasa yako

  • @MohamedOmary-s9n
    @MohamedOmary-s9n Год назад +7

    MaashaAllah Sheekh Osman maalimu mungu akupe umri mrefu Insha'Allah Aamiin yaa rabbi

  • @aisahi4702
    @aisahi4702 10 месяцев назад +1

    Shekhe Allah akujalie maisha marefu 🙏🙏🙏🙏

  • @ShazmahLuyeko
    @ShazmahLuyeko 11 месяцев назад +1

    Allah atusamehe na atupe mwisho mwema

  • @NassoroMakamla
    @NassoroMakamla 9 месяцев назад

    Maashaallah sheikh othman Allah akulipe inshaallah very nice daras

  • @kingneyo395
    @kingneyo395 11 месяцев назад +1

    🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 Masha Allah

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 10 месяцев назад

    Allha akuongoze zaidi nakupe umrimrefu shekhe athuman inshallha

  • @SeifMahir
    @SeifMahir Год назад +2

    Allah akulipe pepo kwa kufanz kaz ya allah

  • @ChaladinRoja
    @ChaladinRoja 10 месяцев назад

    Allah amjaalie sheikh huyu husnil Khatima pamoja na sisi nampnda kwa ajili ya Allah...

  • @JasmineUled
    @JasmineUled 10 месяцев назад

    Shekhe Allah akulipe kila la kheri. Hutuba zako zinaelimisha huku unafurah.

  • @MustafaAbdulrahman-d9n
    @MustafaAbdulrahman-d9n Год назад +2

    ASALAAM ALAYKUM wa rahmatull LLAHI wabarakatu,nakupenda sana kwa ajili ya ALL AH.mpaka tulivyokuwa Minna 2015 nilikuona umevaa kanzu Kama ya kwangu.kwa jinsi ninavyokupenda niliona aibu nikajificha.

  • @AsmaJuma-gq2zd
    @AsmaJuma-gq2zd 10 месяцев назад

    Napenda Sana

  • @JumaBarua-u4y
    @JumaBarua-u4y 9 месяцев назад

    Yarabbi mjalie shekh wetu mwisho mwema ishallah.

  • @yasinkamlete-fk9up
    @yasinkamlete-fk9up Год назад +2

    Wallah sheikh MoLA Akupe heri nyingi kwa DARSA zako kwa faida YA Umati Muhammad (s.a.w)na ma sheikh wengine mnao shirikiana .

  • @engomaryshibe8445
    @engomaryshibe8445 Год назад +3

    Subhannallah Allah atupe wake wema

  • @AshaAmeir
    @AshaAmeir 10 месяцев назад

    Allah atuongoze kwa sote inshallah.

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 Год назад +1

    Allahu maswali wasalim a'laa Nabiyyina Muhammad wa'alaa aali Muhammad innaka hamiidun majid

  • @SelemaniKindekile
    @SelemaniKindekile 10 месяцев назад

    Mungu.amuweke.zaidi

  • @nadhifagabriel
    @nadhifagabriel Год назад +1

    Mshaallah shekhe aothumani Allah akujalie umriii mrefuuuu

  • @RabiaRamadhan-c9f
    @RabiaRamadhan-c9f Год назад +1

    Mashallah shekhe kisomo tumekipata alhamdulilah ❤❤

  • @HassanMdzomba
    @HassanMdzomba Год назад +1

    Masha Allah nmeyapenda sana hayo mawaidha wallah mwenyez Mungu akuzidishie babaangu ustadha wangu

  • @mursaldima
    @mursaldima 6 месяцев назад

    Masha Allah,Allah akupe umri 🙏,🇺🇲

  • @hekimafashion-ev8nk
    @hekimafashion-ev8nk 10 месяцев назад

    Mungu tudumishe katika ndo zetu inshallah

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 10 месяцев назад

    Wallahi kwanza wacha niseme alhamdhulillah nishkuru kwa neema ya ALLAH SWT ndio ajuwae vizuri nafsi zawaja wake shekh hii dunia nimtihani lkn wacha watu washkuru unaweza kuwa mkee mzuri lkn mume akawa balaa 😢alhamdhulillah alakulu haal

  • @JumaHaridi
    @JumaHaridi 10 месяцев назад

    Wallah shekhe mungu akujalie umli mrefu tuzidi kunufaika unafanya mengi Kwa ajili allah

  • @MohamedSaid-zh3oh
    @MohamedSaid-zh3oh 13 дней назад

    Mashallah ❤❤❤

  • @ZeinabuKassa-xp2mm
    @ZeinabuKassa-xp2mm Год назад +2

    Maa shaa Allah tabarakallah, sheikh Allah akupe mema duniani na mema akhera. Akina mama tumakinike!

  • @mcheniitsolution9413
    @mcheniitsolution9413 Год назад +1

    Allah akulipe kheri Sheikh wetu Othman Maalim

  • @kulthumhaji7823
    @kulthumhaji7823 10 месяцев назад

    SubhanaAllah. Mungu atuongoze na kizazi chetu.

  • @AbdallahHassan-v3r
    @AbdallahHassan-v3r Год назад +1

    MashaAllah sheikh uthman maalim...maneno mazuri hayo

  • @JumaHamis-hp1kq
    @JumaHamis-hp1kq 7 месяцев назад

    ameni❤

  • @saumubuku108
    @saumubuku108 Год назад +10

    Maasha-Allah tabarakallah maombi yangu ilkua nipate mume alosoma dini nakuijua ndani na nje ila sijafaulu😢 wallah dini yetu tamu sanaa alhamdhullah proud to be a Muslim🤲🤲🤲

  • @WalimbwaDerek
    @WalimbwaDerek 10 месяцев назад

    Amina

  • @maryamobady1853
    @maryamobady1853 11 месяцев назад

    Allaha kupe mwisho mwema shekhe wetu unatuelimisha yampendezayo Allah

  • @KessiRamadhaniMkomwa
    @KessiRamadhaniMkomwa 10 месяцев назад

    Allah tuswamehe cc wanawake

  • @kibzrizfan1472
    @kibzrizfan1472 Год назад +2

    MashaAllah...Allah barik🤲🙏

  • @SunezaDiciman
    @SunezaDiciman Год назад +1

    Sheikh othman maalim é muito amado aqui em Moçambique, Allah akubariki

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 10 месяцев назад

    Mm pia napenda mawaidhayake uyu shekhe ❤❤❤❤mashallha

  • @NasibuCharles
    @NasibuCharles 10 месяцев назад

    Shehe Allah akulipema unaponya nafsi yangu ❤

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +5

    Subhannallah mtihani kwakweli, Shukran shekhe Othman Jazakallahu kher 🙏

  • @dizzoramadhan
    @dizzoramadhan 11 месяцев назад

    mwenyezi mugu akujalie afya njema shekh wetu

  • @waleedbinali3211
    @waleedbinali3211 Год назад

    Mungu akubariki na kuzidishie nehema in shaa Allah sheikh

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 Год назад +1

    Assalam aleykum WarahmatuLLAH Wabarakatu IshaaALLAH ALLAH atuongoze sisi wanawake atujalie takwa na khekma

  • @shaabanramadhan
    @shaabanramadhan Год назад

    Akujaalie Allah min ahliljannah

  • @SwaumMuddy
    @SwaumMuddy 11 месяцев назад

    Asante shekh wetu uwe pamoja na mtume wet kwa kutupa mafunzo mema

  • @robinsonmungisha1233
    @robinsonmungisha1233 10 месяцев назад

    Mashaallah sheikh unasema kweli

  • @JumaHaridi
    @JumaHaridi 10 месяцев назад

    She sisi tusio na uwezo bas tu ila nilitaman mtoto wangu akue Kwa elimu Yako mungu kakuzalia hekma🎉

  • @YoanWins
    @YoanWins Год назад

    Sheikh Othman nakupenda bure imam🎉🎉🎉❤❤❤

  • @g-comcustomers370
    @g-comcustomers370 11 месяцев назад

    MASHAALLAH ALLAHUBARIK.MAWAIDHA MAZURI HAYA.

  • @eunicebaya1378
    @eunicebaya1378 Год назад

    Waaah mm hyo Acha nisijifiche Mwenyewezi Mungu nisamehe na ulifanye mke mwema amin

  • @OmaryBakari-n1l
    @OmaryBakari-n1l Год назад

    Àllah akupe maisha marefu sana shekha othamani

  • @mariammapendo7265
    @mariammapendo7265 Год назад +2

    Shukran sheikh kwa mawaidha tutayafanyia kazi IshaAllah

  • @MariyamusefukhamissiMariyamuse
    @MariyamusefukhamissiMariyamuse 10 месяцев назад

    MashaAllah tabaraqallahu ❤❤❤❤❤shukurani jazakum'Allahu'khayran ❤❤❤

  • @hamisimohamed4794
    @hamisimohamed4794 10 месяцев назад

    mashaAllah

  • @NailatuAhmad
    @NailatuAhmad 11 месяцев назад

    Masha Allah Alhamdulillah Allah Akujaze kheri Insha Allah

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv Год назад

    Mashallah sheikh unasema Kila kitu but Kuna waume wenye wanaudhu yy labda utakuwa familia yakuonyesha vituko inkufanyia mambo yasiyo ya sawa unapo mwambia hawezi suluhisha sheikh mm acha tu nikwambie ukweli mm nimeoleka na ndoa but niliishi na mavyaa pamoja but ilifika wakati mavyaa yuaongea mafumbo yakiwa ataondoka atuachie mji nimevumilia mengi na mume wangu naye kuswali ukimwambia yuasema inshllah n hata hivi nisemavyo sheikh siko kwangu mie niliamua nirudi nyumban Kwa sababu mavyaa alizidi kusema ataondoka saa ii nisemavyo niliamua kusafiri coz hata mume wangu hakutaka kujua zaidi kilicho niondo pale kwao

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 Год назад +1

    Mpende MUNGU sheikh
    Ukimpenda mke kuliko MUNGU unaabudu sanamu.

  • @ZuwenaSalim-c2f
    @ZuwenaSalim-c2f 11 месяцев назад

    Wanaume hawapendeki ndio mna wakiambiwa Ivo wanapenda zinaa

  • @mariammohammed9198
    @mariammohammed9198 Год назад

    Maxhaalah Maxhaalah Allah akulipe duniani na akhera

  • @مونا-ج6ذ
    @مونا-ج6ذ Год назад

    😢 Allah atulinde wanawake

  • @SaraBashiru
    @SaraBashiru 11 месяцев назад

    Mashaala allah akuweke miongoni mwa waja wema ❤❤

  • @siaminimwakumanya8804
    @siaminimwakumanya8804 11 месяцев назад

    Maa Sha Allah...tabaraka Allah

  • @DullaMgongo
    @DullaMgongo Год назад

    Manshallah nataama.n xhekh kucoma kwako daaa Allah

  • @AmisseSulemane-sb4re
    @AmisseSulemane-sb4re Год назад +2

    Lailaha ila llah

  • @MOman-sc8rq
    @MOman-sc8rq Год назад +1

    Allah atusamee wanawake
    Ya rabby
    JazzakaAllah kheir

  • @HamidaAlBattawi
    @HamidaAlBattawi Год назад

    Mashallah
    allah atuepushe nasifa hizo mbaya, na atupambe na tabia njema na atujaalie tuwe wake wema kwa.....

  • @abdalaincuemba7591
    @abdalaincuemba7591 11 месяцев назад +1

    Estou a acompahar a partir de Moçambique❤

  • @nuhuamini1528
    @nuhuamini1528 11 месяцев назад

    Mashaallah Allah atuongoze

  • @mtavusuleiman752
    @mtavusuleiman752 11 месяцев назад

    Allah akuhifadhi sheikh Othuman

  • @fatumaali2493
    @fatumaali2493 10 месяцев назад

    Mashaalah mawaidha mazuri sana❤

  • @Yusuphshabani236
    @Yusuphshabani236 Год назад

    Allah Akuzidishie iman shekh

  • @JamilaOzil
    @JamilaOzil Год назад

    Mashallah shuqran Allah akuefadhi akuepushie naadhabul qabri ..🤲

  • @KhalifaShaban-n6x
    @KhalifaShaban-n6x Год назад

    Shekhe mawaidha yanapingana na mitihani yangu ya ndoa

  • @JalinaMaluma
    @JalinaMaluma Год назад

    Allah akudhidishie sheik

  • @MusaSaidi-s8u
    @MusaSaidi-s8u Год назад

    Mashallah mungu akupe umri mrefu

  • @HarounAbdiBakar
    @HarounAbdiBakar Год назад +1

    Mashaallah mashaallah allah akuwek inshallh ❤❤❤❤🎉🎉

  • @Hannansaid-sb9pd
    @Hannansaid-sb9pd Год назад

    Mashallah shek allah akubariki nakupe umri murefu maneniyako nimatamu sana❤❤❤❤❤❤

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 Год назад

    Mashallah tabarakallah shekhe❤❤❤

  • @rukiamashaka7577
    @rukiamashaka7577 Год назад

    Nakupenda ustaadh ❤❤❤❤

  • @ibrahmuhussen1485
    @ibrahmuhussen1485 Год назад +1

    Mashallah

  • @AminaKinero
    @AminaKinero Год назад +5

    Mashaallah tabaraka Allah 🙏🙏