DUH! LISSU KIBOKO AMCHANA MAKONDA"HUYU MWANAUME MWENZANGU MBONA ANAWIVU MI SINA KAZI NAYE"
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2024
- DUH! LISSU KIBOKO AMCHANA MAKONDA"HUYU MWANAUME MWENZANGU MBONA ANAWIVU MI SINA KAZI NAYE"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Tajiri lisuuu.
...afu yupo tayari kulala gerezani, na dhahama nyingi tuu kwa ajili ya kukutetea ww mnyonge😂
Wewe ni bwege jizi kama lisu anamtetea nani?
DAWA NI NCHI IUZWE NDO MTAPATA AKILI KUWA LISU ANACHOKIONGEA KINA MAANA. AKILI ZENU MATOPE
Iuzwe na Nani ss NDIO wenye Nchi
Lisu nijambazi la makinikia
Hakuna takataka nzito kama lisu, et mwanasheria gan alitetea wezi wa makin ikia?
Umeseahau magufuli anahangaika kukamata wezi wamakinikia harafu yy alisema tuwaache waendelee kuiba? Analosema hivo kwasababu alihongwa nawazungu akawa anapewa hela namwenzie zito Kabwe.tunajua sana
Lisu njaa yaurais hana njaa nyingine
Wanasiasa wa Tanzania mnatuchezea lenu moja kutafuna nchi.
We mbona una ongea bumba una vunja watu moyo lao Moja na nanii jitambue ww
Umeongea fact San aisee
Hyu mzee bado sana
Kutoka Kenya nampenda Sana Paul makonda kazi nzuri brother achana na uyu abweke
Makonda hawezi kumaliza matatizo ya Tzania Bali matatizo yetu yatamalizwa na katiba nzuri. Kw mwe Nye akili anaelewa
Wewe ni mtanzania Tena ccm mjinga wewe
Kuma la mamako pambaneni na ukabila wenu huko kenya
Asante sana.makonda kwA sasa hata akisema anagombea urais hana wakumshinda.
Lisu ni tapeli wa kisiasa,aliwatetea wezi wa makinikia
Yaan sisi tuandamane watoto wetu waumie was kwako wako USA 😊😊😊
Kwani wew unakuwa unaandamana masilahì ya nani niyawatoto wa tundu lisu au ni yakwako
@@rashidyusuphwewenimtotowam1761Jawabu zuri Sana.
watoto wenu wanaumizwa na nini acha uzushi. Hata wewe unaruhusiwa kupeleka watoto wako nje kusoma kama huna uwezo kaa kimya
Kweli kabisa
Kwandamana ni kdai haki si familia
Daaaaaar lisssu umenichekesha kweri ila kweri anaonaje wivu uyo sasa
Hongera sana calvin nyanda kijana home boy wa old shinyanga
LISU HANA NYIMBOOOO HUYOOOO.😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉😂🎉
Nimecheka sna
Mfireni sana huyo Hana akili 😂😂😂😂 anaenda umama
Wrwe je umesha acha hiyo tabia ..utaiona mbaya mbele
Pumbavu kweli,yaani wewe kutafuta haki yako mpaka watoto wa lisu wawepo,ebo! Hawakosi mahisia ,je lisu mwenyewe asingekuwepo? Mi nashauri watu wasimhadili mtu bali ajadili juu ya maandamano kwako yanalipa au hayalipi,hoja iko hapo?
nani aliyekulazimisha uandamane?? sisi tutaandamana wewe lala kwako..Tanzania na chadema itajengwa na wenye moyo
Ndo akili ya vilaza haangalii ukweli wa kinachoongelewa
Leta watoto na mkeo kuandamana
Atakuwa anakupenda hakuna siku ajakusema na mbaya sana alikukosa kupoka uhai wako
Lisu bwana
Wapo marekani eeh
Mzee mihuni ya chadema hiyo milisu
Makonda ana wivu sana nae si atafute mzungu wake tatizo ni nini? aache wivu wa kike
Hayakusaidii hayo toa hoja tukuelewe
Makonda oooooyeeeeeee
Daah kumbe wanasoma Marekani na ni wamarekani
Halafu wewe ukaandamane wao waishi marekani
Kaa nao tena wafungie kwenye kitundu cha nguruww au cha kuku giza la kukusa umeme uone litakufinya huko mpaka ukome, bei ya sikar bado, vibano vya tozo bado,hospitalini nadawa ghali itakufinya kuzani wenzako wanafanya ngonjela
Lisu mhuni sana 😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂
Uvivu wa kufikiri
Hahahaha Mwamba Ban
Hiki kichwa ni hatari sana
Yaani Mimi
Ningekuwa mm Ni?ngemrudia Mungu ningemrudia Mu ngu
Kama nimeelew vizur huyu syo mtanzania ila anafanya kazi Tanzania na familia yake Iko marekan mke Yuko uberigij sas vp atakuw na machungu na vijana wa kitanzania
Nenda kagombee huko huna chako tz
DAWA YENU KODI IPANDISHWE NDO MTAKUWA NA AKILI TAZANIA
Wabongo hawajawahi pata akili kwanza hawanaga akili wewe, hata auawe mamayake hapa bado ni zero
Kuandamana UN huna ishu
Mnamsikia huyu watoto wako marekani mama ubelgiji huku anadai maandamano hana familia hapa atoke ni muomgo watu huwa wanapanga wapi wazae ameamua akazae marekani
Shida tulizokuwa nazo je zinahusiana na familia yake
Kapula ni Kapula kwel
Kwani kakwambia wewe upeleke wanao?
Yeye mke hayupo tz watoto hawspo anataka kuharibu kws wenzake
@@MubinaRoshan kati ya mke wake watoto wake na wako wapi wanamaisha magumu elimu duni sukari shida umeme shida na uongozi mbovu wa CCM hivi nani kawaroga nyinyi.
Huyu Lissu sdhani kama hakuliwa Ubelgij. Mbona hatak kuhana uko😂
Hizo fedha umepata wapi ya kuwasomesha marekani
Ww umekosa pesa unafikiri kila mtu ndio hana?😂😂😂
Tuandamane sisi watoto wako marekani duh
Umelazimishwa, Kalale unenepe
Dah, huyu Jamaa kumbe aliwahi kufanya kazi Marekani! Dah kweli Dunia hii ametembea
Kwani unadhani viongozi wa CCM watoto wao wanasoma Tanzania?
Ningefurai kusikia kwenye maandamano yao ile ela ya ruzuku wagawe kwa wanao hamasisha kuandamana
@@alphoncewilliam4325 Hivi hayo mav8 na matumizi mabaya ya kodi wakati kila kitu ni hovyo hakuna chenye unafuu huoni umeshupalia ruzuku what is rong with Tanzanias special you are you made !
Toka ameukubali ushoga,mm nimemkataa kutoka moyon Tindu Lissu
Akili huna Bwege,wapi aliukubal ushoga mBwa Wewe
Mbona papa humsemi unafata mkumbo tu na uhakika huna
Huna akili yawezekana wewe ndo shoga unatafuta wanaume hawapo wa hivyo
Aliukubali wapi ...tueleze au dishi lime hrza
Ndo maana anaukubali ushoga 😂😂😂
Ndio mashoga wenzio
Kumbe huyu jamaa si mwenzetu !!!
Sasa weee unataka urais wakati familia yako iko nje je inahusu mungu na akufundishe
Mpuuzi kamawapuuziwengine
TUSI HILI JAMANI, YANI MAANAAKE MAKONDA ANAMUONEA WIVU MZUNGU AU? NDIO MAANA LISSU ANASEMA MAKONDA YEYE NI MWANAUME 😂😂😂😂😂
Mke yupo uberigiji alafu kinataka kutuletea fujo huku hata tukikupa nchi ww ndio rahisi kituuza
Wewe pandikizi,unahamasisha wetu wagome wako wanaishi marekani nenda kadanganye wazungu
Watoto wa masikin waandamane wakwako wapo marekani mbwa nini
Maandamano ni haki ya mtanzania masikini wanyonge sio matajili wala mtoto wa lisu sis masikini ndo tunahangaiķa mfano jana nmaa anagombana na konda kisa 200 halafu konda andai haki yake
Maskini nikina nani acha kudanganya watu. Mmejificha kwenye hilo chaka kutudanganya muendelee kutuibia
Kwani alipo andamana alikua ni kivuli
Lisu hafai tena hatufai lbs
Wanasheria toeni elimu hivi maandamano ni vurugu mbona majuzi hata sisimizi hakukanyagwa na yalifanyika
Kwasababu mbowe alikuja na familia
Kwakweli tundu ww mtu wa hovyo sana
Na huku unahamasisha familia za wezako kufanya mahandamano
nani aliyekulazimisha uandamane?? sisi tutaandamana wewe lala kwako..Tanzania na chadema itajengwa na wenye moyo
😂😂😂😂Mke yupo ubelgiji watoto wapo marekan c tunaandama Tanzania....Nyau kabisa wewe
Ivi nyinyi mnaomsifia makonda hakiri zenu matako kabisa mutu jambazi,muuanzi,mporaji
Lissu aliishi USA miaka mitatu, na watoto wake wawili wakazaliwa huko ndani ya hiyo miaka mitatu.
Shida iko wapi
Kwani ndani ya miaka mitatu huwezi kuwa na watoto wawili mkuu?
Huna maono na nchi Yako makonda humuwez Tanzania imeuelewa MAMA
Labdawewe nafamiliayako ndiomnamuelewa mamayenu
Lisu nimtoa tarifa sio mtendaji ni muhuni tu
Makonda ndo Rais wako
Tuandamane wewe familiayako iko malekani😂😂😂😂😂😂😂
Kuandika hujui,huwez kujua sabab au maana ya kuandamana kudai haki yako
Wewe kaa nyumbani kwako uendelee kununua sukari 5000 na kuhangaika na umeme
@@user-gr9wc7bc2m Nenda barabarani ss sukari5000? Kwani inaurazima🤣🤣🤣
@@user-gr9wc7bc2m Nenda barabarani ss sukari5000? Kwani inaurazima🤣🤣🤣
@@mvukiedavid4332 Hakiyako niwewe namaisha yako kaka haukna rais atakaekuja kukuletea majumba magar napesa nyumbanikwako. Atahuyo anaekusihi uandamane akichukua madaraka bado utaenderea kumkosoa. Chakukushaur pambana namaishayako pigakazi kwabidii na ukimtanguriza mungu. Utafanikiwa. Achana na siasa siasa inawenyewe broo,, 🤣🤣
Lisu kuwa raisi bado sana una chuki za ndani
Tajiri lisuuu.
...afu yupo tayari kulala gerezani, na dhahama nyingi tuu kwa ajili ya kukutetea ww mnyonge😂
Mfireni sana huyo Hana akili 😂😂😂😂 anaenda umama