DUH JAMAA AKILI KUBWA "BUNGE LITUSIKILIZE WAFANYABIASHARA BAJETI INATUFANYA TUWE WAHUJUMU UCHUMI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 июн 2024
  • DUUH JAMAA AKILI KUBWA "BUNGE LITUSIKILIZE WAFANYABIASHARA BAJETI INATUFANYA TUWE WAHUJUMU UCHUMI"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Комментарии • 23

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 4 дня назад +2

    Bonge la interview! Hongera sn ndg mwandishi kwa maswali mazuri na hongera zaidi kwa Mw/kiti wa wafanyabiashara wa kinondoni kwa majibu sahihi na ufafanuzi🎉

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 5 дней назад +3

    Yaan watanzania bhana sisi sijui tumelogwa nanani jmn yaan tunakubali kudanganywa kama watoto mgomo ndo tiba tosha viongozi wa serikali wanacheza michezo na viongozi wa wafanya biashara wanaghaili kugoma ushatatuliwa matatizo yenu?ujinga uliojaa vichwani kesho unavaa nguo ya ccm vumbi adi kwenye kope hawa dawa yao kuwaweka pembeni kwanza tuangalie chama kingine tuone wakizingua nao watakaa pembeni

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 дня назад

    interview nzuri sana. halafu huyu m/biashara sio tuu mzoefu lakini ana mawazo chanya kweli. taifa linatakiwa kuitisha vikao mara kwa mara kusikiliza watu kama hawa. wanamchango mzuri kwa taifa letu. ona alivoongela wamachinga..msingi mnoo

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 5 дней назад +2

    kosa kubwa waliofanya wafanyabiashara ni kukubali kumaliza mgomo wao kabla ya matatizo yao kufanyiwa kazi..Nawashangaa leo kushangaa madai kutofanyiwa kazi

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 23 часа назад

    Tatizo la kuwa na kuongozi mwenye elimu ya msingi . 😂😂😂

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 дня назад

    Akili kubwa sana

  • @hudhaifamsafiri8731
    @hudhaifamsafiri8731 4 дня назад

    Ety nyerere alivotuumba😅😅. Nyerere mwenyewe yupo analiwa na funza huko😂😂😂😂

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 5 дней назад +1

    Sheria za kodi Tanzania zilikuwa ni za mkoloni
    MF VAT

  • @emanuelnisetas7510
    @emanuelnisetas7510 5 дней назад +1

    Tuna takiwa tuandamane tuwache uwoga

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 7 часов назад

    Ni nchi tuu yetu yenye mambo ya kitumwa mbona nchi zinazotuzunguka hazina huu ujinga sisi tuu upole wetu kuwa km wafungwa ndani ya nchi yetu lazima tuwe wakali ili tuelewane

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 6 дней назад +1

    Huwezi kuzuia hela za Mzabuni huku unamtaka akue alipe kodi.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 5 дней назад

    VYUMA VIMEKAZA JAMANI 😢😢😢😢MWENDAZAKE

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 3 дня назад

    Mimi najiuliza sharia zinatungwa na watu gani

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 6 дней назад

    Kuna Wazabuni wanatoa huduma katika taasisi za Serikali ikifika mwisho wa mwaka wa Serikali madai yote unayodai yanaingizwa kwenye madeni. Unamtaka tena ahudumie na hela ipi na zimepelekwa kwenye madeni. Kama kweli kodi ni muhimu Serekali watafakari upya.

  • @MalakiGerald-bh5jv
    @MalakiGerald-bh5jv 2 дня назад

    Mwakani!!? Naamini maneno ya mzee BUTIKU,watanzania tunashindwa kujisimamia kwa sababu ya UJINGA.

  • @Wiittole
    @Wiittole 5 дней назад +1

    Siamini kama ni kiongozi wa watu huyu

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 5 дней назад +1

      Kosa Kubwa Sana waliofanya wafanyabiashara ni kumaliza Mgomo kabla ya serikali kushughulikia/kutatua matatizo yao..

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 4 дня назад

    Siyo raisi kufanya biashara katika mazingira kama hayo ukapata faida nchi hii. Hizo kodi utitiri zimalalamikiwa kwa miaka mingi. Ifike wakati sasa viongozi wetu wawe na huruma kwa raia wake. Bunge lichukue nafasi yake kiualisia.

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 3 дня назад

    Kodi mpaka kuku,ngombe kondoo mbizii,hadi takataka

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 7 часов назад

    Time westing with such palament your a tanzania on your national forget about palament take action stick to the point your not loser clouse your shop is the gavment wich get lost collection under pressure because Tanzania people won't be silence the will put pressure on gavment msiwaogope diluni na wanaofungua wapeni azabu huko mtaani ili wajue kuwa penye haki ni umoja wetu

  • @hudhaifamsafiri8731
    @hudhaifamsafiri8731 4 дня назад

    Ety nyerere alivotuumba😅😅. Nyerere mwenyewe yupo analiwa na funza huko😂😂😂😂