Talaka tatu |swahili animation 2021| bongo katuni/cartoon

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 41

  • @kaya1926
    @kaya1926 Год назад +1

    🌟 🌟 love the animations in Swahili, thank you so much❤❤❤😊

    • @bongokatuni
      @bongokatuni  Год назад

      😘♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏

  • @norahyawi4860
    @norahyawi4860 2 года назад +1

    Hahaaaaahahaaaa wanavyo tembey kama hawana komomprs

  • @alinaalina5044
    @alinaalina5044 Год назад +1

    Nzuri sana

  • @rayasaid3734
    @rayasaid3734 3 года назад +1

    Dhana mbaya sana

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 года назад +1

    Sauti hii km vile wagonjwa!!

  • @senkolink
    @senkolink Год назад +1

    Unatumia app gani kutengeneza hizi katuni

  • @mamajudy9519
    @mamajudy9519 3 года назад +1

    Watu kama hao wakomaage tu hahahahahaha!!!

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 3 года назад +2

    To be continued Jambo

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 3 года назад +3

    😂😂😂😂😂😂 mwana kulifind mwna kuliget

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 года назад

    Hahahaaaa noma sanaaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    Unachukuwaa maamuzi bila kuulizaa ilikuwaje??talaka tatu haya subiria aolewe aachikee umrudie😂😂😂😂😂

  • @mrsabuu3017
    @mrsabuu3017 3 года назад +1

    Nice💓💓

  • @bongotrends2987
    @bongotrends2987 3 года назад +1

    Mwanaume anayekubali kumuoa Mke wa mtu ili aje kumuacha kama hivyo amelaaniwa na hayo sio mafundisho ya Uislamu

  • @chontichipya8036
    @chontichipya8036 3 года назад +5

    Wanavyo tembea Kama wanacheza yope

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂itakuwa kama move ya kigosi mke talaka tatu bila sababu kisha umtafute rafiki amuoe week mbili ndouregeshwee Haha wewe utakuwa waumwaa haachwii mtuu wewe tafuta mwingine

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 3 года назад +1

    Mna sheria ngumu

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад +1

      Imewekwa hivyo kwa sababu uislam haupendi talaka na kabla ya kuacha fikiria mara mbili mbili kwanza

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад +1

      Mola hawezi kutuwekea sheria ngumu mungu ni mwema sana kwetu

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 3 года назад +1

      @@mamussi6872 samahani kama uislam hapendi talaka kwanini talaka ipo?

    • @sophiaabdallah7821
      @sophiaabdallah7821 3 года назад

      @@mamussi6872 haswaaa

    • @jafarinahonyo7349
      @jafarinahonyo7349 2 года назад

      @@queen.christelle1 imewekwa talaKa kwa sababu kuna mengine magumu kwenye ndoa yahapaswii kuvumiliwa na iyo talaka unatakiwa umuache moja kama itabidi kuludiana muludiane na sio kukulupuka kwa talaka tatu na mwenyezimungu amemlaani mwanamke mwenye kumtamkia mumewe naomba talaka yangu pasina sababu ya kisheria

  • @teobrown8872
    @teobrown8872 3 года назад +1

    Hasira ni asara

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад

      Imewekwa hivyo kwa sababu uislam hautaki watu waachane hovyo na vile vile kabla ya kuamua kuacha fikiria kwanza

  • @happydamian4525
    @happydamian4525 3 года назад

    Daaaaaa

  • @amanimnola9249
    @amanimnola9249 3 года назад +1

    Haaaaaaaaaa

  • @jackilinemagere6484
    @jackilinemagere6484 3 года назад

    ❤️❤️❤️❤️

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 года назад

    Unaamua jambo kabla hujafanya uchunguzi

  • @moseskapyuku114
    @moseskapyuku114 3 года назад +1

    Mnazingua upande wa saut

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 года назад

    Hahahaha

  • @verostaherman4952
    @verostaherman4952 3 года назад

    Nzuri ila sauti imepoza mpendwa