TT Comedian UGALI for Uninvited Guest _ EPISODE 10

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @majiptong9067
    @majiptong9067 3 года назад +196

    TT bado tunakufollow kutoka south Sudan. Jameni like zangu zikam

  • @leonidamoraa2612
    @leonidamoraa2612 3 года назад +76

    Conglatz TT COMEDIAN leo nipe,like za TTcomedian jamani hata kama Niko late wah mwanaume lzma aongeee

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hahaha apana uko on time

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi 3 года назад +202

    Good Sana TT Comedian big up kwa kazinzuri pamoja na tim nzima ya TT comediani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +19

      Asante sana @steveMweusi tunashukuru kwa ku appreciate kazi.....thanks.. more love bro.😍❤

    • @hanashhanash535
      @hanashhanash535 3 года назад +7

      Naomba mufanye KaZi na pamoja

    • @hanashhanash535
      @hanashhanash535 3 года назад +9

      TT ukikutana na Dogo sele KaZi itanoga

    • @malaki047
      @malaki047 3 года назад +7

      Steve mweusi thnx fr yr Support.

    • @vincentkipkemoi7327
      @vincentkipkemoi7327 3 года назад +8

      Mkutanishe na dogo sele watafanya mambo

  • @scoviaokaronon4305
    @scoviaokaronon4305 3 года назад +32

    This boy walai is my everything here on youtube.. yaani kama nimeboeka nakuja kutoa stress hapa. Much love 💕💕💕💕

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +2

      Hahahahaha thank you very much keep on supporting

  • @rajemmie23
    @rajemmie23 3 года назад +123

    "Uncle akisoma babangu alikuwa wapi"...."mbona mnanipimia maji"...😂😂😂🤣🤣

  • @godsownpriority5243
    @godsownpriority5243 3 года назад +38

    🤣🤣🤣🤣anko akisoma babangu alikua wapi🤣🤣TT comedian u'll not kill me with laughter ooooh 🤣😂

  • @manisobblowi8894
    @manisobblowi8894 3 года назад +12

    Tt mtoto mdogo lkn uko na mambo ya kizee ,kwan ugali utamalizaa wee Tt aki uko maneno ww love u boy mwaaah

  • @richiecech4774
    @richiecech4774 3 года назад +449

    Kama unawatch from Kenya gonga like ya Tt

  • @bradoxidenoor4678
    @bradoxidenoor4678 3 года назад +15

    I will send you my contribution Tt I can't left you this way...Kenyans pliz let support this talent

  • @sammymwash5405
    @sammymwash5405 3 года назад +47

    Sionekana mm ni mweusi, Leo TT umewaka moto🤣🤣🤣🤣, just one like for this kid

  • @ruthbuyaki3649
    @ruthbuyaki3649 3 года назад +16

    TT comedian is such a vibe ....my rib are cracking his humour is on another level 😂😂😂😂😂😂😂😂..wapi likes za TT comedian

  • @mercyoriwo5318
    @mercyoriwo5318 3 года назад +37

    Uku kwa unco nikuzuri unco akisoma baba yangu alikuwa wapi,😀😀😀

  • @dannietvshow1063
    @dannietvshow1063 3 года назад +22

    Likes za TT comedian zikam, huyu kijana ana talent kweli kweli

  • @monriz0316
    @monriz0316 3 года назад +6

    Huyu mm akaja kwangu nakapeleka mpaka nje ya gate mbio na nifunge sipedi ujinga 😂😂😂😂anyway good work TT

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Hehhehe wacha uchoyo....wewe aki hahhahah

  • @leilajarso870
    @leilajarso870 3 года назад +8

    TT comdian is at it again wenyee sauti waongee this kid has talent respect it iwafikie wanaomkashifu TT comedian na umri wakee hiyo bidii itakupeleka far

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      WOW ❤️❤️❤️❤️ Leila....asante sana kwa support yako na imani mulioweka ndani yangu..najikaza sana...kuhakikisha mnafurahia kila siku

  • @sammymarangach6705
    @sammymarangach6705 3 года назад +9

    Tt this time hakupigia OCS simu juu alishiba but I like him so much, now Kenya has new young commedian twakupenda tt

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +2

      Hahaha nlisahau cm home..hahaha......nashukuru kwa upendo wenu mkubwa sana

  • @kimzo3p
    @kimzo3p 3 года назад +6

    Raw talent ...TT you're rocking the show kwa mpigo

  • @ignizsmarto9963
    @ignizsmarto9963 3 года назад +12

    Am always proud of the young boy😂😂😂😂👊👊👊 my best comedian😂😂😂😂😂😂 anadai maji nusu glass kwani ako lotwa😂😂😂😂😂😂😂

  • @agnessrichard253
    @agnessrichard253 3 года назад +16

    Anko akisoma baba angu alikua wapi🤣🤣🤣baba y TT tunaomba jibu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 3 года назад +145

    Tanzania Huyu Mtoto T T Tunajitahidi Tumtengenezee Sanamu Yake Pale Njia Panda 😂😂😂😂

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +15

      Hahahahah blaza njia panda pale kariakoo bana hahahahah

    • @Mbeyaconscious
      @Mbeyaconscious 3 года назад +7

      @@ttcomedian 😂😂😂😂 Unajua Sana Mdogo Angu. Lazima Tukutengenezee Sanamu Lako Kwetu Tz. 🙏🙏🙏

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +18

      Hahahahah asanteni sana Tanzania ni nyumbani.... nilikuwa kinondoni juzi....

    • @Mbeyaconscious
      @Mbeyaconscious 3 года назад +7

      @@ttcomedian Karibu Sana Kwa Mara Nyingine Tena 🙏🙏🙏🙏

    • @egideniyonkuru9705
      @egideniyonkuru9705 3 года назад +6

      Razima intengenezwe mjo kwa niaba yangu iwekwe kule Mbeya mjini tukuyu iwe kumbukumbu ya milele kwa wanyakyusa pia mimi huku nishaanza ya kuweka Bujumbura town 🇧🇮💓💓💓💓💓🇰🇪🇹🇿🇹🇿💓

  • @markjuma1421
    @markjuma1421 3 года назад +6

    Wallahi TT kako level ingne " Uncle akisoma babangu alikuwa wapi"🤣🤣

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 3 года назад +9

    Nakukubali umewazid watoto woteee wa EastAfrica 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 love from Tanzania

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Kabisa asante sana blaza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 3 года назад

      @@ttcomedian 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lilianmwenderanimwenderani1409
    @lilianmwenderanimwenderani1409 3 года назад +16

    Uyu dogo ataniua na kicheko jamani 🇰🇪🇰🇪my kenyan people never dissapoints 🤣🤣🤣🤣

  • @johnmbafu2882
    @johnmbafu2882 3 года назад +15

    😂😂😂 from TZ namkubal sana uyu mtt tt comedia 😂😂😂 et anko akisoma baba yngu alikuwa wapi😂😂😂😂😂 nimecheka sana 😂😂😂😂😂

    • @egideniyonkuru9705
      @egideniyonkuru9705 3 года назад

      Umesikia eeee huu dogo balaa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kom.j
      @Kom.j 3 года назад +1

      Super talented ,,i like, wapi likes?

  • @Urbane28
    @Urbane28 3 года назад +11

    TT nakupenda bure, u made my day😅😅

  • @malaki047
    @malaki047 3 года назад +51

    Let support our own Kenyan Tt comedian amevuja record ya Est'africa👌kp it mjuku and the team👊

  • @jafriceasienwa3209
    @jafriceasienwa3209 3 года назад +2

    Kwa uncle ni kuzuri,, uncle akijenga baba ya TT alikuwa wapi??? This boy is on another level... You always rock TT keep it up

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hahahahah safi....kabisa huyu mzee alikuwa wapi......

  • @janeleahwanyama8607
    @janeleahwanyama8607 3 года назад +8

    T T huwa anacheka kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati wanaume hawawezi ongea 🤣🤣🤣🤣The audacity ..
    my boyfriend from today 😂

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Heheheh my dear umesema ukweli wanaume hatuwezi ongea..❤️❤️❤️

    • @magdalinemghoi64
      @magdalinemghoi64 3 года назад

      Wewe no mdosi kweli

  • @tashmuthama7502
    @tashmuthama7502 3 года назад +58

    This kid is on another level big up

  • @josiahnyakundi5830
    @josiahnyakundi5830 3 года назад +6

    This is beyond my laughter parameters 😆😆😆🤣This boy is naturally talented. May he prosper....

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Amen and thank you,keep on supporting

  • @khateqhate9123
    @khateqhate9123 3 года назад +2

    TT, iko kali sana yani mo 🔥🔥🔥. Gwasi...ukuyu...sembe mluhya omena luo....uchoyo awa pple siwasemi...TT is a fully Kenyan. ❤❤❤ kwako TT

  • @shadracktoo2978
    @shadracktoo2978 3 года назад +4

    Watching from US, kazi mzuri TT comedian 🥰

  • @nelmertrends
    @nelmertrends 3 года назад +71

    This is more than a talent..what shall I call it?..Mambo yamzidi umri yake🤔🤔

  • @hellennasambumasibo917
    @hellennasambumasibo917 3 года назад +4

    TT eti saani mbili ni ya nini 🤣🤣🤣TT aky we mtoto wauna nipa raha we👌👌👍wapi like sa TT munipe

  • @joycegabriel8916
    @joycegabriel8916 3 года назад +2

    TT comedian.. taniua ety sima kilo moja tna tumbo bdo iko na nafasi.. kwli we kijana wa pekee kwa boma lzma ukule. Congrats...u have done a good job.

  • @dorrismoraa3033
    @dorrismoraa3033 3 года назад +8

    Kijana mkubwa kwa boma ety lazima ajue kukula,,,, hahahaha talanta kweli,,, TT big ups

  • @vbuyuka
    @vbuyuka 3 года назад +4

    TT was my name while growing 😂😂😂the difference is the courage displayed by huyu hero aki... My hero!

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +2

      Wow name sake❤️❤️❤️❤️❤️..... asante

    • @vbuyuka
      @vbuyuka 3 года назад

      @@ttcomedian you've no idea of how I hated the name 😂😂😂
      Being a child is fun, you hate everything including what can make you 🤣🤣

  • @MagwayaNdani
    @MagwayaNdani 3 года назад +52

    Watching from Mombasa. Nipeni TT likes....
    Magwaaaaayaaaaaaa

  • @geoffreyoreng
    @geoffreyoreng 3 года назад +26

    This young star should get more subscribers and likes yawa thooo.Thumbs up

  • @amook68
    @amook68 3 года назад +6

    😅😅..heshima hidumu haha..TT comedian kasi nzuri

  • @linetnekesa8019
    @linetnekesa8019 3 года назад +7

    Tt hutaniua we wakijua hoyeeeei kweli you ugali n kidogo mwachie TT ale surely how old a u c kwA ubayA naomba kujua umri wako najifunia kuwa mluhya atlist tuko na kaboi Keri 🔥🔥🔥🔥🔥🙏

    • @humphreyayuks5187
      @humphreyayuks5187 3 года назад

      Haha no mluhya?

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад

      @@humphreyayuks5187 what you mean by saying no a ulidhani n mi ayuks?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Pole kalaa mumaveka

    • @humphreyayuks5187
      @humphreyayuks5187 3 года назад

      Ni miss type mummy

  • @josephmwangi9453
    @josephmwangi9453 3 года назад +9

    first here....tt I subscribed yesterday your videos are awesome

  • @missmomanyi1114
    @missmomanyi1114 3 года назад +16

    😂😂kila mtu angeorder ugali TT you will repair my broken assets out of laughter 😂😂😂

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hahahahahha am here to make you laugh

  • @josephtai3322
    @josephtai3322 3 года назад +12

    hey TT comedian you've made my day... ukaamua kumaliza hiyo ugali yote 😂😂😂 big up sana you will go far

  • @jamesmasudiofficial4227
    @jamesmasudiofficial4227 3 года назад +91

    How does someone dislike this kid's content honestly?the 26 wachawis nyambeni

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +10

      Mambo mengine mwachie Mungu pekee

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 года назад +2

      Nihatal mi nawashangaa sana

    • @felixsaruni304
      @felixsaruni304 3 года назад +3

      Supu ya kichwa 😂😂😎

    • @chambingui3725
      @chambingui3725 3 года назад +1

      Uenda they don't know ya kulike na dislike

    • @Kwa123
      @Kwa123 3 года назад +1

      Hawa ni witchcrafts wa social media shetani zombies 🧟‍♀️,,,,

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 года назад +7

    Anko akisoma baba angu alikuwa wapii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @harunamugisha9386
    @harunamugisha9386 3 года назад +9

    This guy will surely kill me one of these days with laughter and he helps me to keep in touch with my swahili.keep them coming TT.

  • @bonsianabisawa4384
    @bonsianabisawa4384 3 года назад +3

    Sionekani kwani nmekuwa mweusi😂😂😂🤣🤣🤣🤣 ni kama yy ni mweupe... This kid

  • @egideniyonkuru9705
    @egideniyonkuru9705 3 года назад +2

    Daaaaaahhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu dogo nikiboko yao ninavo mupenda yaani sidhani kwamba siku mja nitakuona macho kwamacho shida niko mbali ila MUNGU azidi kukubariki kwa kazi unayoyifanya huku Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunakupenda mno💓💓💓

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Mimi pia nawapenda sana.... nawapenda watu wangu wa Burundi bujumbura ....tumuombe Mungu nitakuja huku niwaone macho kwa macho

    • @egideniyonkuru9705
      @egideniyonkuru9705 3 года назад

      @@ttcomedian karibu sana mshikaji wangu nitafurahia xn pia mimi janga likipunguwa natarajia kutimba huko kenya huenda nitabahatika kukuona nikupongeze

  • @deniceonyango1572
    @deniceonyango1572 3 года назад +6

    Aki nimekubali na huyu mtoto walai...sasa sijui akikuwa mkumbwa tuseme 18 years atakuwa aje sasa...anyway TT I wish you all the best😍...🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂uncle akisoma baba alikuwa wapi..??....Baba TT,,,,we need your answer😂

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hehehehe acha baba akikuja tuta muuliza

    • @neemasamwel9545
      @neemasamwel9545 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 3 года назад +8

    Masha Allah baby boy may God continue blesse your more ❤❤😘😘😘🇰🇪🇰🇪

  • @judahwillgofirst7964
    @judahwillgofirst7964 3 года назад +5

    Huyu na yeye,ni wa wapi,,,lakini let's support this katoi,tuwe na ka emanuella ka EAfrica,,big up TT,,,

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Thank you alot support yako muhimu

  • @joysyomikuku6184
    @joysyomikuku6184 3 года назад +1

    Wah nimekua addicted na video za uyu mtoto aki keep it up baby boy

  • @harrydastukwa666
    @harrydastukwa666 3 года назад +12

    Waking up to watch T for TT before the video hits 200k views 🌅 💯💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @aulynewambani6297
    @aulynewambani6297 3 года назад +5

    Tt weee utakuja kunimaliza aky 🤣🤣🤣🤣mtu anaweza kula ugali na maji

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 3 года назад +9

    🤣 🤣 🤣 TT,. am watching you from +255, Tanzania 🇹🇿 i really appreciate you boy and may god bless you

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Amen AMEN I appreciate you my people from home 255 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @yusufjuma3773
      @yusufjuma3773 3 года назад

      And me from Tanzania in Arusha town

  • @dorcaschebet3664
    @dorcaschebet3664 3 года назад +7

    Nashangaa na wasee hudislike video za T.T shually he's rocking tamu sanaaaa watching from Kenya

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Mambo mengine mwachie Mungu Pekee

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 года назад +6

    😂😂😂😂😂Boy mbona nimekupenda sana na maneno 🤩🤩🤩👌

  • @elgahchepatiy7527
    @elgahchepatiy7527 3 года назад +2

    Si kwa ubaya ile njaa niko nayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣alfu ety anko kunywa maji wah !!! TT big up young soul ✌️❣️

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Heheheh uncle akunyue maji ni muhimu sana kwa maisha...bwana

  • @creativekenyan5120
    @creativekenyan5120 3 года назад +11

    Uncle si ulikuwa hapa nikipiga order yangu ya ugali 😂😂😂😂 Acha tu heshima idumu 🤣🤣🤣🤣

  • @sheilaberg9084
    @sheilaberg9084 3 года назад +5

    Anko akisoma babangu alikua wapi 😂😂😂😂that made .my day😆

    • @sophiesam7392
      @sophiesam7392 3 года назад +1

      I was looking for this commemt

  • @johndenverjunior2465
    @johndenverjunior2465 3 года назад +5

    😂😂 tafadhali heshima idumwe 😂😂😂 much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Wow wapi likes za my people from UG ....I love Uganda is home too..🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @mjukuu2543
      @mjukuu2543 3 года назад

      Thanx Uganda keep on sharing

    • @johndenverjunior2465
      @johndenverjunior2465 3 года назад

      @@ttcomedian we love you bro

    • @johndenverjunior2465
      @johndenverjunior2465 3 года назад

      @@mjukuu2543 Ok

  • @footballedits9778
    @footballedits9778 3 года назад +61

    This kid has talent

  • @dorcasruth5088
    @dorcasruth5088 3 года назад +5

    TT our own Baby, kipaji unacho cha haki ya juu.✓✓✓

  • @extrovert5829
    @extrovert5829 3 года назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂ati ngwaci then ugali 😂😂😂hapeani itakuwa sawa this boy will be end of me

  • @cynthiamuhindra1051
    @cynthiamuhindra1051 3 года назад +7

    Wow una kipaji small boy 🤣🤣🤣 chai Tena

  • @nyaorakevintv3518
    @nyaorakevintv3518 3 года назад +8

    🤣🤣🤣🤣niokotwe nairobi kenya 🇰🇪 kwetu

  • @magdalenenzili9782
    @magdalenenzili9782 3 года назад +15

    I love this kid tt comedian ur indeed a genius of words n acting is in you...I have never missed his videos.👌👌👌🙌👏👏👏👏

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Wow ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ thank you for the support

    • @mjukuu2543
      @mjukuu2543 3 года назад +2

      Great thanx

  • @joelichem7909
    @joelichem7909 3 года назад +4

    'Uncle, kunywa maji... maji ni muhimu ' 🤣🤣❤

  • @josephinekarwitha7439
    @josephinekarwitha7439 3 года назад +13

    TT killing me with laughter. I just love your comedies.

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +2

      Thank you so much you 💕 my work

  • @julietmureithi1186
    @julietmureithi1186 3 года назад +4

    I just can't stop watching TT's comedies 😂😂😂😂😂😂

  • @syprinanyango7089
    @syprinanyango7089 3 года назад +4

    Ooooh my God...this child is so talented nampenda sana

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 3 года назад +3

    I like this kid jamani! Much ❤️ from🇹🇿 TT

  • @Noma_ntv
    @Noma_ntv 3 года назад +5

    This kid manze is on another level....May God bless you

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Thank you 💕😊💕💕

  • @roshdadah6525
    @roshdadah6525 3 года назад +1

    Aaah TT wewe mkali I say
    Ila shukrani kwa MJUKU PIA KWA KUKUZA NA KULEA TALANTA HILI
    HONGERA KAKA KWA KAZI NZURI
    EAST AFRICA TO THE WORLD
    NIMEWAVULIA KOFIA

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Asante nashukuru nyie pia kwa kuni support 100%

  • @elvinotara3982
    @elvinotara3982 3 года назад +4

    Si kwa ubaya ....ile njaa nko nayo 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hahahaha sio mchezo hii njaa bana...na lockdown

  • @shiro.76
    @shiro.76 3 года назад +4

    Naomba Ni towe wimbo na huyu mtoi 😄😃😄❤️✔️

  • @tekelke4343
    @tekelke4343 3 года назад +5

    Zurfa naomba karatasi nifunge hii ugali😂😂😂 TT cracking my ribs

  • @fatmaatoti9483
    @fatmaatoti9483 3 года назад

    Sapoti kwa kumbonyeza kengele ........ Kazi nzuri Sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @emilyowich2075
    @emilyowich2075 3 года назад +5

    Love you TT,you're soo talented baby,God's blessings upon you

  • @habibabusharif8164
    @habibabusharif8164 3 года назад +1

    Ati anko akisoma baba yangu alikuwa wapi😂😂😂big up tt comedian nice work💪💪💪💪

  • @grolyminja8433
    @grolyminja8433 3 года назад +9

    Anko akisoma baba angu alikuwa wap 😂 😂 😂

  • @sannycpaul9423
    @sannycpaul9423 3 года назад +1

    Sio kwa Ubaya!!! Ila iyo Sima umeifanya kitu mbaya sana 😁😁😁😁na uko unaagiza na tee 😆😆😆ila ni vipi maji wanakupimia 😆😆😆😆be blessed uko juuu kama mawingu 👍👍👍🙌🙌🙌🙌🙌

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Asante sana kwa kuniaminia kiasi hicho

  • @jabirabdi1196
    @jabirabdi1196 3 года назад +20

    The boy is very talented

  • @enockcaleb9071
    @enockcaleb9071 3 года назад +1

    More love for TT more support for him. Nimepotea kwani umesikia nimepotea😂😂😂 kwani wanaume hatuwezi ongea😂😂.... uncle akisoma baba yangu alikuwa wapi😂😂😂😂 😂😂😂😂😂

  • @mwamikazililiane7614
    @mwamikazililiane7614 3 года назад +4

    Sio kwa ubaya ile njaa niko nayo...😂😂😂😂

  • @getrayamboyeamboye8563
    @getrayamboyeamboye8563 3 года назад +2

    😂😂😂😂tt u have made my day aki nilikuwa na stress za mwarabu aki cmeiisha .... 😂😂😂

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад +1

      Heheheheh am glad....your stress is out its my happiness to see you happy

  • @w_afu_l_a___josephke9255
    @w_afu_l_a___josephke9255 3 года назад +4

    one of the best commedis to watch👩‍🏭👩‍💻👨‍💻👨‍💻

  • @kelvingoodguy8944
    @kelvingoodguy8944 3 года назад +1

    we🔥🔥😂.... huyu msee ako fitty.. always making my day 🤦🏾‍♂️😂

  • @sangbenard6648
    @sangbenard6648 3 года назад +4

    TT unaulizia haujui babako alikuwa wapi anko akisoma?🤣🤣🤣 umenifanya nijiulize hivyo ata mimi

  • @Euniques
    @Euniques 3 года назад +2

    Anko kunywa maji...maji ni muhimu
    Ugali imekuwa gold😂😂😂😂

  • @teckie__songsofworship6680
    @teckie__songsofworship6680 3 года назад +19

    Wapi likes za TT baby...hapo Kwa Ugali😂💪

    • @ttcomedian
      @ttcomedian  3 года назад

      Hahahaha hapo alicheza ka yeye

  • @anthonykaruiru9519
    @anthonykaruiru9519 3 года назад +2

    Huyu bamdogo ananifurahisha sana eti uncle achana na weetabix😂😂. Nice actors all

  • @favianwandera3360
    @favianwandera3360 3 года назад +5

    Hii ugali yangu kidooogoo😂😂😂

  • @marywairimu8006
    @marywairimu8006 3 года назад +2

    Uncle akisoma babangu alikuwa wapiii?!!!!imeweza

  • @valentinesaitore1762
    @valentinesaitore1762 3 года назад +6

    TT ako poa sanaa big up

  • @hazelrush5821
    @hazelrush5821 3 года назад +1

    Ugali na omena ikuje!😂😂😂..very talented tt👌

  • @njugunathomas5526
    @njugunathomas5526 3 года назад +11

    Doha Qatar twakupenda kijana 😅😅😅😅

    • @mjukuu2543
      @mjukuu2543 3 года назад

      Great kaka how is the going there

  • @sarahm316
    @sarahm316 3 года назад

    Wa!!!! Hii inaitwa talented eti uncle we kunywa maji🤣🤣🤣🤣🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

  • @josematesh4374
    @josematesh4374 3 года назад +12

    Congrats TT👏👏