ONE ON ONE ALI KAMWE PART 4: HAJI MANARA ALINIDHALILISHA MBELE YA WATU/NAAPA SITOMSALIMIA TENA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 сен 2022

Комментарии • 278

  • @denismvula300
    @denismvula300 Год назад +5

    Bila shaka Hii media ni ya Ally kamwe
    Congrats bro

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Год назад +20

    KAKA NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH,TABIA YAKO YA UPOLE NA IFAHAMU WA JUU
    NAKUSHAURI ACHANA NA MPIRA KASOME MASOMO YA DINI,UPATE UTUKUFU DUNIANI NA KESHO AAKHERA!!
    AHSANTE KAKA

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 Год назад +48

    Mimi ni MWANANCHI ila HAJI sikuwahi kukubali ujio wake YANGA... Ni mswahili mnoooooo

    • @bokekaone2516
      @bokekaone2516 Год назад +3

      Hata mimi sijawahi mpenda yule kiumbe

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 Год назад

      Kawaida hawezi kukubalika na watu.

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 Год назад

      kimwaga udugu

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Год назад +1

      Mimi simtaki kabisa na hasa alivyosema wanayanga wote hatuna akili isipokuwa Kikwete na Baba yake tu.

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 Год назад

      Kwakweli mimi mwenyewe simkubali kimsingj siku akitoka yanga ataisema pia

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 Год назад +1

    Pole Ally Kamwe umejaribu njia zote za kumweleza kilichotokea imeshindikana wewe samehe suala la riziki anatoa Mungu hata kama usingepata kazi Azam kupitia Haji Mungu angekupa kazi mahali popote

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 Год назад +17

    Ally Kamwe mdogo wangu kwanza nikupe saluti kwa kumsoma mtu, umepambania sana urafiki na Hajj lakini yeye mwenyewe amekukataa,naimani kama dhambi umeivua,riziki yako mungu aliipanga hata kama asingekuwa Hajj Manara ungeipata tu amini hilo,Mzee Said Salim Bakhresa mungu alimpa mali na yeye anatugawia kwa uwezo wa mungu hivyo huyo Hajj siyo mungu.

  • @eshasaid7516
    @eshasaid7516 Год назад +22

    Kufadhiliawa kubaya,,,,but ni mungu ndio aliokufikisha hapo💚💛💚💛🇰🇪

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 Год назад +27

    Kwakweli hata Mume wangu hapendi kusema uongo hongereni sana wenzetu waislam ila Ally uko vzuri bro usijali kabisa

  • @yonasmrope9372
    @yonasmrope9372 Год назад +15

    Kagombana na prisca kishamba, jemedar said, shafih dauda, maulidi kitenge, Wilson oluma, geof lea na sasa Ali kamwe du sasa nimeamin manara ana shida tena so ndogo aendelee kula bani ya miaka 2

    • @dommycash1
      @dommycash1 Год назад +1

      KILAZA wew

    • @mugishagweedwine8860
      @mugishagweedwine8860 Год назад

      Hajagombana na huruma ,geof Lea na kitenge

    • @jareengeorge5478
      @jareengeorge5478 Год назад

      Ameshawai kusema yeye kasomea unafiki.kwakweli manara amefukuzisha watuwengi kazi.

    • @thendindindithendindindi1601
      @thendindindithendindindi1601 Год назад

      @@mugishagweedwine8860 Wewe utakuwa ulikuwa mdogo sana. La kitenge mpaka wazaz wao waliingilia kati. Fatilia Ama Andika TU RUclips kuhusu kitenge na manara

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 Год назад

      @@dommycash1 wew kiazi

  • @janaakimu6171
    @janaakimu6171 Год назад +6

    Ally Kamwe thE Boy from #TEMEKE💪💪💯%.

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 Год назад +9

    Ally ni geniuos🙌

  • @edinamgulila8827
    @edinamgulila8827 Год назад +18

    Piga kazi ndugu ...hizo ndo changamoto za kazi , ww piga kaz Mungu atakupambania

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад +4

    Pole Sana Kaka nimekusikiliza SN pole mtu Kama kweli Hadi salami mbele za watu mmmh shida pia haji Kaka msamehe elimu Hana kwa hiyo ANATUMIA nguvu kubwa SN ktik Mambo yke lkn cjapend mtu anakukataaa Hadi salamu aaaaah no shida pole kaka kaza fanya kazi kwa juhud ilimradi yy hajapenda kakukataa Mungu atakupa marafik wengine nimeumia SN MTU kukataa mkono ukiwa hai ukifa huyu hawez kukuzika lkn msamehe haji shule Hana vitu vingi anaforce sn

    • @drkasudia9921
      @drkasudia9921 Год назад

      ally uko vizuri ila pia umekosea kumbuka haji alikuchulia kama mdogo wake

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 Год назад +2

    Kama ukitafakari kwa kina zaid utagundua huyu Ally yupo na matatizo mawili
    1. Kibri, kwa mfano suala alilowauliza waajiri wake kuhusu mchango wa Haji au uwezo wake wa kiutendaji ndo ulomfanya kuajiriwa? Hichi ni kibri
    2. Kuto kuchunga heshima ya mtu alokusaidi, hio article aloandika kwamba 'simba ni ileile kilichopungua ni makelele' hapa kwa mashabiki na wafatiliaji wa masuala ya michezo tz hakuna atakaepinga kwamba mlengwa sio Manara.
    Kwaio suala la uhuru wa uandishi ni jambo jema ila kutafakar nini unaandika ni jambo jema zaid. Na nina imani aliandika article hii baada ya kuhakikishiwa kwamba yupo kazini kwa uwezo wake na sio kwa msaada wa Manara, hii ilimpa kiburi sana.
    Pia Ally anatakiwa achunge mipaka ya uandishi, kama Juma Mgunda pia alikutafuta maana yake wewe ni kawaida yako kuandika article zenye zinazo leta kero
    Ila kwa upande wa pili Manara pia ana makosa yanayofanana na hayo ya Ally.
    1. Kibri, kwa kukataa hata salam ya muislam mwenzako.

  • @ramadhanizaki272
    @ramadhanizaki272 Год назад +4

    Ally unaongea vitu vikubwa sana Allah aendelee kukuhufadhi

  • @ayubleo
    @ayubleo Год назад +1

    Jamaa anapenda sana sifa

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 Год назад +3

    Nakukubali Sana Ally sanaaa

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 Год назад +1

    Kamwe pole lakn kikubwa nimepanda kazi Nzuri ya kujituma kutoka kwako nimekusikiliza sana lakn kikubwa ww ni dhahabu inayowaka gizani

  • @bimbaboy816
    @bimbaboy816 Год назад

    Uyujaa anahakiri nyingi sana mungu azidi kumurinda nakumubariki

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Год назад +1

    Tayar hapa mm nimejifunza kitu kutoka kwa manara manara inaonekana ajafunzwa nahis ata maisha yake yatakua magumu sana make yeye kila mtu Ashagombana na watu yeye mtu gan

  • @allymtungunyu2425
    @allymtungunyu2425 Год назад +32

    Lakum dinkum waliyadiini: surat al qaafiruun.

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 Год назад +1

    Pole sanaa

  • @ilhamswaleh3428
    @ilhamswaleh3428 Год назад

    Dah haji roho mbaya

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 Год назад +9

    manara ana shida haiwezekani kila mtu akosane nae sijajua anajitengenezea mazingira ya aina gani sasa,zamani watu walijua anaonewa sasa hivi wanajua,TFF haina ugomvi na Yanga,wala Yanga na TFF bali yote yanayojiri ni manara binafsi

    • @mugishagweedwine8860
      @mugishagweedwine8860 Год назад

      Mbona hajakosana na baba ake au mama na we umekosana nae kwan

    • @rajabumrope8732
      @rajabumrope8732 Год назад

      @@mugishagweedwine8860 BALANCE SHOBO AFU PITA HIVI

  • @hammy7664
    @hammy7664 Год назад +8

    Classmate we always like that.

  • @lukasanga685
    @lukasanga685 Год назад

    Pole sana Ali kamwe ila haji mmmmh 😢😢

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад +5

    Kichwacha habari yakohukupashwakumjibu^😴mpumbavu akinyamaza huhesabiwahekima😎😎

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 Год назад

    Ali kamwe unabusara sna kaka

  • @charlesmpagama7117
    @charlesmpagama7117 Год назад

    Dah yani

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 Год назад +2

    Pole but your very smart boy.👌🤲

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 Год назад +7

    Simba ni ile ile kilichopungua ni makelele hahahaha

  • @tizomkonga7859
    @tizomkonga7859 Год назад

    Dogo upo sawa sana sema haj mswahili sana .

  • @stanleyhenrish4114
    @stanleyhenrish4114 Год назад +16

    Haji ni mnafiki Sana anataka akimsaidia mtu lazima ulimwengu ujue

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 Год назад

    Tatizo la watu ambao Mungu huwatumia kua madalaja ya sisi kufika mahali hufikili waoooo ndio wamesababisha ,wakati Mungu tu aliona wawe wao kufikia tulipo, sasa hutumia ule msaada kutuchapia kisa tu mtu alikusaidia kiukweli inaumiza,kisa mjini umenipokea ww ndio unitawale kwenye kila kitu jaman.utasikia bila mm usinge kua apo aaa kwan ww ujawai kusaidiwa maishan masimango yanaumaa jaman kuliko Kofi

  • @jescaamani3774
    @jescaamani3774 Год назад +1

    Point

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 4 месяца назад

    Khaaaaa nmeiangalia mwaka hii interview leo baada ya Cr belouzdad kutolewa na Yanga ilaaa kusema kweli
    Nmegundua uyu Alikamwe anatisha sana

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 Год назад +1

    Haji ana roho ya kichawi mno

  • @michaelmabawa4951
    @michaelmabawa4951 Год назад +3

    Mwanzo nilidhan marana ana roho mbaya kumbe ni mtu mzur sana hadi anatagutia watu kazi! Hongera sana Haji. Ally unafanya kazi nzur lkn mtu kama nakupa maisha huwez kumnanga. Ww familia yako na ndugu zako wanakula kwasababu yy kakupa kazi. Usimkosee heshima bila sababu.

    • @alexanderjustine1523
      @alexanderjustine1523 Год назад

      Safi

    • @martinajuma8401
      @martinajuma8401 Год назад

      Huko ni kutaka Ali awe mtumwa kisa kasaidiwa, Haji kafanya kitu kizuri sana kumtafutia mwenzie kazi lakin isiwe fimbo ya kumchapia ,asitake asujudiwe sana , inshort sion kosa la Ali hapo

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 Год назад

      Kwa hiyo wewe ukimtafutia mtu kazi basi wataka akusujidie kwa kila jambo asikwambie ukweli dah

    • @justinmkumbwa2330
      @justinmkumbwa2330 Год назад

      Huoniupuuz wakumshukuru no MUNGU pekeyake kwani huyo manara ndiyealiye leta kaz zotehapa dunian mpuuzi tu huyo wangap wanawatafutia watu kaz hawawafanyi watu watumwa waheshima

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 Год назад +2

    Kumbe na ww unamaneno ya kifara.mara coastal mara MANARA.

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 Год назад

    Subir jamaa likikujibu utajua hujui mzee baba

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Год назад

    Umezidi ushoga wew nishoga na uyo manara wote ni mashoga

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 Год назад +14

    WEMA WAPONZA,bwamdogo jifunze MAISHA! urafiki ni LAZIMA maishani huwezi kufaidika na FADHILA za watu halafu UWAHUJUMU na waendelee KUKUCHEKEA! DUNIA HAIENDI HIVYO!!! MTU YEYOTE ANAETAKA KUJIUA ANA MATATIZO YA KI AKILI (PSYCHIATRIC ISSUES) ALI KAMWE UNAONYESHA KILA DALILI ZA PSYCHOLOGICAL ISSUES.

    • @andersonjamal7523
      @andersonjamal7523 Год назад +2

      Kwani hakuna kingine Cha kuandika Hadi umguse alikupa fadhili,basi kama yeye mkweli awe anamchana Bakhresa alafu tuone itakuwaje au awe anaichana Azam pakubwa alafu tuone itakuwaje ,mwambie aache unafiki ,kila kitu kina mipaka

    • @ahmadnakwilinga8260
      @ahmadnakwilinga8260 Год назад +1

      Mbona yeye anamsema sana Mo na Simba wakati ndo wamemfanya awe mkubwa acheni hizo kama vipi Kila mtu afanye anachokiona Bora amuache Ally afanye kazi yake

    • @fredaboud7838
      @fredaboud7838 Год назад +1

      Hujawahi kupata matatizo ww

    • @emmanuelzwallo3933
      @emmanuelzwallo3933 Год назад +2

      Mm nakuunga mkono.haiwezekan hata mm nimekupa shavu harafu uanze kunichura? Kwanza huo ni unafiki mkubwa na hufai kabisa.Unakoswa watu wengine wa kuwaandika mpk uandike Mambo yanayomhusu mtu Wako wa karibu?

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 Год назад

      Kweli Ray ni manara typical. Yani nawe unaongea kama zeruzeru badala ya kudigest hojo ya kamwe ikuingie kichwani.

  • @awalinabakilile2427
    @awalinabakilile2427 Год назад

    mmmh

  • @frankmhamilawa9334
    @frankmhamilawa9334 Год назад

    Mmmh

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 Год назад +2

    Haji kinacho msumbua ni elimu..hana elimu ndio anagombana na kila mtu mjinga yule.

  • @johnlihawanipoiringa6339
    @johnlihawanipoiringa6339 Год назад

    Ww tako sana ally

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 Год назад +7

    Tatizo Wachambuzi hamchambui michezo mnachambua watu

  • @mwanduedward3833
    @mwanduedward3833 Год назад

    Bro pole sana ww piga kaz hiyo nikaz yako usiangalie mtu

  • @issaibrahim7797
    @issaibrahim7797 Год назад +1

    Mbona alipokua ana kutafutoa kaz hukuweka mtaon afu mbona alipokua ana kutafutia kaz hakukuweka mtandaon

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 Год назад

    Ali Kamwe.. ACHANA NAE UYO jamaa.. wivu umemjaa ata kama kakusaidia . ACHANA NAE MBLOCK WALA USIMJALI.

  • @bonifacemizambwa2251
    @bonifacemizambwa2251 Год назад +1

    Uwezi kumaliza tofauti kwenye media kamwe huungwana ungemtafuta hata ungekutana na baba yake angemuita mmalize tofauti zenu ndio dini inataka cyo ivyo tunaona km kiki

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 Год назад +1

    Ali kamwe

  • @footballtv9988
    @footballtv9988 Год назад +6

    Manara Hata Mimi Amenibrock🤣🤣🤣 Cjui Kwann..

  • @martinsamatajr7972
    @martinsamatajr7972 Год назад

    kwann baada ya ali kamwe kusema hii ishu ndo yy aje ajibu kwaiyo haji manara anamatatizo piga kaz broo kikubwa hauli kwake aaahaa we fanya yako

  • @hamiduhk3856
    @hamiduhk3856 Год назад +1

    haji hapo kweli alikosea lkn ni kweli ali kamwe unanafkia sana💯

  • @salumshomv6293
    @salumshomv6293 Год назад

    Haji nae binadamu kikubwa kusemaana kaka

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 Год назад +1

    Acha kumtangaza mtu kwenye online TV matatizo yenu mbona mlipo kwazana huko hatukujua

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 Год назад

    Kosa na Wewe ulikuwa unamwandika sanaaa, hilo ndo kosa lako,

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 Год назад

    Maarifa makubwa mwili mdogo mdogo wangu Ali kamwe achana na huyo Kimwaga udugu kila siku yeye anaonewa yeye anadharirishwa mpuuzi huyo akabrashi meno yake domo Kaya huyo mtu mzima anashindwa kujielewa..

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 Год назад +3

    nimesubiri muendelezo kwa hamu

  • @ladislauslingwentu9670
    @ladislauslingwentu9670 Год назад

    Samehe 7,70! Ally!

  • @issakwisamwakisambwe4080
    @issakwisamwakisambwe4080 Год назад +5

    Hilo sukule lisikutisheee kabisaa bora wewe alikusudia kuliko yeye kaolewa anatoa mpododi 😂😂😂😂😂

  • @rahimuomari4147
    @rahimuomari4147 Год назад +1

    Manara kichaa aaache bangi

  • @charlessomeke8992
    @charlessomeke8992 Год назад

    Manara ni jembe aisee . Jamaa yuko good. Sana

  • @msimbazijr7725
    @msimbazijr7725 Год назад

    Haji punguza bwana uadui na kila mtu cyo mzuri

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 Год назад

    Hakika

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 Год назад +1

    Haji akili hana akili

  • @omarytajiry7913
    @omarytajiry7913 Год назад

    Ally muandike huyo kwanza anatimuliwa yangu

  • @lucasmlele6748
    @lucasmlele6748 Год назад +6

    Ali kwa imani za dini zote usipoweza kusamehe maana yake unaiambia dunia na mbingu kuwa nawe usisamehewe na Mola

    • @amanimwaifunga6524
      @amanimwaifunga6524 Год назад

      Mungu tu ndo husamehe ila mwanadamu alizayezaliwa na mwanamke tena mwenye Moyo wa nyama anaweza samehe na alachoka kusamehe na asisamehe tena kwa ufupi Mungu pekee ndo husamehe ila sio mwanadamu

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Год назад

    Ndio mjue manara alifukuzwa Simba kwaajiri ya uongo na unafiki.Mungu ameshamlaani yule

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 Год назад

    Hata Mimi manara nishambrock kitambo sana

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Год назад

    Utajutia unafiki Mungu atakulipa hapa hapa

  • @sheikhhusseinsuleimani2755
    @sheikhhusseinsuleimani2755 Год назад

    Niatari kweli achanae Allah yapo kwajili yako

  • @alexmadimo4299
    @alexmadimo4299 Год назад +6

    Kamwe alikosea na pia manara amekosea zaidi kwa kutotaka kuambiwa ukweli na kuombwa radhi

  • @othumanikamilagwa1129
    @othumanikamilagwa1129 Год назад

    Al-kafiruna....

  • @maulidkiswaga1906
    @maulidkiswaga1906 Год назад

    Hayo siyo yakuya leta umu nanyinyi

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Год назад +1

    Hahaha

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Год назад +3

    ACHANA NA MANALA CHA KUFAHAMU UJUE UTAPOTEZA MARAFIKI KINA SS KWSSB HUYU MANALA KWETU NI MUHIMU SANA SANA SANA

    • @pixels_tech
      @pixels_tech Год назад

      Nimuhimu kwako wewe.kwake sio muhim.kwaiyo wewe chagua tu

    • @andrewmadaga7913
      @andrewmadaga7913 Год назад

      Penda Mpira maana ndo umetukutanisha p1 watu huja na kuondoka Alf maisha ndo yalivyo mtu asifanye kitu kizur kisa et yule atanionaje. maisha/kaz ya waandish hayachagui upande.

  • @hajiwaziri4357
    @hajiwaziri4357 Год назад

    Kutofautiana ndio asili ya binadamu, hatuwezi kuwa na fikra sawa, mbora zaidi yenu ni yule aliyemfichia binadamu mwenzake mapungufu yake. Naamini wote mmekosea ila ally umekosea zaidi.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Год назад

    Huwezi kusema uwongo?

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 Год назад

    Kwa haraka haraka huyu dogo anaonekana ana roho mbaya ingawa simkubali manara

  • @omarytajiry7913
    @omarytajiry7913 Год назад

    Haji anajikuta Malaika huyo achaneni nae huyoo anajikuta yeye ni kila kitu. Akikosea piga nyundo

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 Год назад

    Nyote ni wananchi msiendeleze mjadala huo

  • @mairusalexanselimo7400
    @mairusalexanselimo7400 Год назад +5

    Kaka piga kazi achana na MSUKULE

  • @abdulgeuka3985
    @abdulgeuka3985 Год назад

    Huyu ally anatatizo sana

  • @footballtv9988
    @footballtv9988 Год назад +4

    MANARA KUGOMBAN NA WATU NI KAMA KUNYWA CHAI TU🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tintz3157
    @tintz3157 Год назад

    Hivi huyu kitimoto a.k.a hajimanara anajikuta nani kwa mfano

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 Год назад +1

    Tuoneshe sms alizokukandia .pengine na ww usije ukawa kanjanja tu

  • @yunussaleh8493
    @yunussaleh8493 Год назад

    Ww msalimie tu

  • @shukurumotima6846
    @shukurumotima6846 Год назад +1

    Haji ni chapombe usishindane nae

  • @manisuley9240
    @manisuley9240 Год назад

    unazarau sana dogo

  • @dicksoniaidani3822
    @dicksoniaidani3822 Год назад

    Mkianza kuzungumza zungumzeni sio kuanza mambo yenu oooh mimi ni kijana wa kiislam kwaiyo kinaja wa kiislam ndio anakuaje 🙄🙄🙄🙄

  • @majuramaingu8306
    @majuramaingu8306 Год назад

    ally ameongea kwa uchungu mno

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 Год назад

    Watu wapole ni hatari sana kwenye maamuzi

  • @ezrakenyanya7399
    @ezrakenyanya7399 Год назад

    Ally kamwe umezid sometimes unaboa japo manara wamoto

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 Год назад

    Acheni kuhukumu upande mmoja jmn

  • @fakhichapozoyusuph295
    @fakhichapozoyusuph295 Год назад

    Duuh

  • @kondeabeid6295
    @kondeabeid6295 Год назад +2

    Manara anaroho mbaya

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 Год назад

      Hacha ukuma , angekuwa na roho mbaya angemsaidia aajiriwe??kuma kweli wewe

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 Год назад +2

    Manara anatakiwa kuwa mnyenyekevu aache kujikweza

    • @queenraphaher7736
      @queenraphaher7736 Год назад

      hapana ñenda nyumbani nyumbani mkaongee, haki ni mcha Mungu. tuone kama atakuwa kama Karia? kusamehe ni lazima sio hiari.Mungu. anatujua ndio maana usipo samehe, Mungu hawezi kuku samehe.

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 Год назад +1

    Muhimu ungelimtafuta mkayamalizia hukohuko mitaani.
    Sio kumleta hapa MTANDAONI

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 Год назад

    Manar n msengee tu ana loloteeh