EXCLUSIVE: ALI KAMWE AMWAMBIA FEISAL ASIWE ANAJISHTUKIASHTUKIA, AJIBU YOTE KUHUSU DUBE - PT 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024

Комментарии • 140

  • @user-kk3tv6kw1o
    @user-kk3tv6kw1o 24 дня назад +22

    Stay positive
    All Kamwe you are the Best

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 24 дня назад +12

    Pole Sana Semaji La Africa,💪💪

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 24 дня назад +6

    Namkubali sana Ally kamwe

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 4 дня назад

    ALLY KAMWE pamoujah sana, Hiyo" ASTHMA" MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. ATAKUFANYIA WEPESI IN SHAA LLAH.. YANGA YETU DAIMA MBELE NYUMA MWIKO. I LIKE YOU ALWAYS.🙏🙏🙏🙏

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 24 дня назад +20

    Yanga raha Sana na raha yetu ni watu wake 🔥🔥🔥

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 24 дня назад +7

    Dogo unaitendea haki hiyo nafasi...big up

  • @happymkasiwa5944
    @happymkasiwa5944 24 дня назад +16

    Safi sana semaji letu

  • @user-mg3ws9ud6n
    @user-mg3ws9ud6n 24 дня назад +1

    Ma shaa ALLAH

  • @eliasluchanganya1522
    @eliasluchanganya1522 24 дня назад +5

    Humu tuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 24 дня назад +2

    Mwenyekiti!!

  • @davidchirimi2013
    @davidchirimi2013 24 дня назад +8

    Mungu akubariki mdogo wangu ufike mbali zaidi

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 24 дня назад +6

    Huyu binti ana macho mazuri jamani sijui nanyiye wenzangu mnamuona hivyo sijui 😍😍😍😍

  • @mosokaisack12
    @mosokaisack12 24 дня назад +5

    Semajiiiii

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 23 дня назад

    Humu Tu Semaji I Wish You All The Best ❤🎉

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 24 дня назад +7

    Semaji kama semaji

  • @raymondswed7358
    @raymondswed7358 24 дня назад +10

    Yanga the champion 30th times.
    Raha sana.😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @danielmllay8332
    @danielmllay8332 24 дня назад +7

    💚💚🙏💛💛💛

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 24 дня назад +3

    Milard anaenjoyiiii

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 24 дня назад +10

    semaji la wanachi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 24 дня назад +2

    Yanga raha bhana💛💚

  • @HassaniMahammedi
    @HassaniMahammedi 22 дня назад +1

    Nakukubali sana kijeba

  • @mchomvuelias64
    @mchomvuelias64 19 дней назад +2

    Alikamwe upo organized sana kwenye speech zako. afu huigi sauti za watu. huongei kama muigizaji. congratulations

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 22 дня назад +1

    Bravo semaji

  • @JosephK2030
    @JosephK2030 23 дня назад

    safi sana kamwe

  • @IdrisaKagoma-kr6ql
    @IdrisaKagoma-kr6ql 23 дня назад +1

    Ila milard upo vzr kuhoji,una kipaj kzr Sana.

  • @law93king
    @law93king 24 дня назад +6

    jamaa ni the best 😅

  • @yahayalugongo4825
    @yahayalugongo4825 24 дня назад +7

    Safi sana SEMAJI

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 24 дня назад +9

    Dada Frida anaonekana kuvutiwa sana kaka Ali Kamwe

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 14 дней назад

    Leo nimecheka hongera kamwe,

  • @reyminja
    @reyminja 24 дня назад +5

    Dunia ya yanga ipo mikonon mwako congratulations 🎊 👏 my brother Alkamwe

  • @AgathaMatambula-lf7fv
    @AgathaMatambula-lf7fv 4 дня назад

    Ally kamwe 🔥🔥

  • @christinapeter810
    @christinapeter810 20 дней назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @julianobihabansi4000
    @julianobihabansi4000 23 дня назад +2

    Frida anacheka vizuri

  • @EiidKalebo
    @EiidKalebo 24 дня назад +1

    Daaa kwelii kabisaa wambie

  • @alkhudhertarek976
    @alkhudhertarek976 23 дня назад

    Frida NAKUPENDA ❤️😍

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 24 дня назад +5

    Ally kamwe akili mingi

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q 24 дня назад +3

    Jamaa ana sauti kali ya kutangaza

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 23 дня назад

    Subject Master, ongeaa!

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 24 дня назад +5

    ila kaka 🎉🎉🎉Ali 😂😂😂

  • @dkasfilmstudio4641
    @dkasfilmstudio4641 24 дня назад +1

    Daaah mbona huyo mtoto fridaa amekuaa mzuri hiviiii 😂❤

  • @happyinnocent8621
    @happyinnocent8621 14 дней назад

    Pole semeji letu

  • @michaelmisana650
    @michaelmisana650 24 дня назад +13

    Pole sana semaj la mabigwa

  • @sengakijumiletv8125
    @sengakijumiletv8125 24 дня назад +3

    Huyo anaitwa Afisa wa Habari waTimu kuu Yanga siyo msemaj wa timu kubwa

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 21 день назад +1

    Nafikiri hiyo kazi Haikufai kwa hiyo kwa vile huwezi kupata furaha milele kwenye Mpira

  • @ElisiaDanken
    @ElisiaDanken 24 дня назад +4

    Kamwe waambie kabsa hii yanga ni levo nyingine japo hawaelewi

  • @user-iw3kb4kk6d
    @user-iw3kb4kk6d 24 дня назад

    Kwaiyo manara vp

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda 24 дня назад +5

    Sema semaji tunakupenda sana

  • @BiasharaZetuPoint
    @BiasharaZetuPoint 20 дней назад

    Frida mrembo sana jmn🤩🤩

  • @vivathebest5300
    @vivathebest5300 16 дней назад

    Stay positive 🔰🔰🔰

  • @pioustrevol3468
    @pioustrevol3468 24 дня назад

    Humu Tuuuuh

  • @suedsiraji9779
    @suedsiraji9779 24 дня назад

    Nampenda sana frida niko napicha zake kama 100

  • @doreenkweka3869
    @doreenkweka3869 19 дней назад +3

    Semaji huna baya. Keep it up

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p 24 дня назад +40

    Dah huyu Dada ana sura nzuri sana. Ukweli mi mwenzenu nimempenda sana. Hivi anaitwa nani na nawezaje kupata nafasi ya kuzungumza nae?

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 24 дня назад +7

      Anaitwa Frida Amani, ni msanii wa hip-hop pia. Anachana balaa

    • @ramadhanitokwete8069
      @ramadhanitokwete8069 24 дня назад +1

      Test zali mzee si unajua kama upofu yale hayana mwenyewe

    • @SamwelSospeter-lz9fm
      @SamwelSospeter-lz9fm 24 дня назад

      Account inasomaa? jamaaa

    • @Whoisthismantalking
      @Whoisthismantalking 24 дня назад +1

      Acha usenge kuma wewe, unaongea ongea ujinga tu.

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 24 дня назад

      Hayahya ya mpira unakosa uungwana wa kutambua kazi ya mungu?

  • @naomikaaya4798
    @naomikaaya4798 13 дней назад +1

    Mleteni na ahmedy ally

  • @HassaniMahammedi
    @HassaniMahammedi 22 дня назад

    5:32

  • @OMARYDIMOSO
    @OMARYDIMOSO 10 дней назад

    Shekhe Kama shekhe,,, Tia madini kak😎😎😎

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba 23 дня назад

    Frida mekupendaa😋

  • @user-iu5gy4ju1l
    @user-iu5gy4ju1l 24 дня назад

    huyu ali ni mjinga sana

  • @AnnoyedCabin-ps5ek
    @AnnoyedCabin-ps5ek 24 дня назад +4

    Alafuuyo mdada anaonekana koloo maswaliyake yakikolokolo kabisa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 24 дня назад

    6:19 😂😂😂😂daah ofisi chumba kimoja 😂😂

  • @DuniaSanaatz
    @DuniaSanaatz 16 дней назад

    Ninamwomba mwandishi mwenu Ayo tv hapa Arusha ofice iko wapi?

  • @nassibuawadhi5737
    @nassibuawadhi5737 24 дня назад +4

    Mi kwa mawazo yangu j,mos wakat kombe tukilitembeza,wangetupa na kiatu cha mfungaj bora,aziz ki kwa pamoja itakuwa shangwe sana,ni Abuu mniga,pande za rombo tarakea.

  • @binwasiumbanga9256
    @binwasiumbanga9256 23 дня назад

    We kweli semaji la Afrika, unajua kuongea sana,pia unajua kua umeumbwa na Allah, nimeipenda hiyo kauli kua kuumwa ni sehem ya ibada.

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 23 дня назад

    Ukosawa kabisa msemaji wetu mkuu

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 23 дня назад

    Yanga pia haijawai kukosa chakusema hongera semaji

  • @flaviabaruti7602
    @flaviabaruti7602 20 дней назад

    Frida Aman namkumbuka kwenye mashindano ya BSS 2015-2016 , kumbe yupo huku had raha jamn

  • @user-en1nj5zw4w
    @user-en1nj5zw4w 23 дня назад +1

    Ali kamwe tunampenda baka tunampenda muda tunampenda lkn tuachie feisal tuachie fesali usitulazueshe wazanzibar tukuchukie yani yani kama nyonyo

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 18 дней назад +1

      Kwani mkimchukia atapungukiwa Nini! Feisal Siyo Yanga tutamchambua Kama inavyotakiwa.

  • @rahelnamonde
    @rahelnamonde 23 дня назад

    Na akicheka ana mwanya

  • @user-zd5pc5nc9c
    @user-zd5pc5nc9c 24 дня назад +2

    Eti anajifanya hajui dube alipo.

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 24 дня назад +4

    Dada acha shobo

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 24 дня назад

      Dada mzur huyu .🥰🥰🥰😋😋

  • @juliusdogo1777
    @juliusdogo1777 24 дня назад +4

    Kazi nzuri🧠🧠

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 24 дня назад

    Huyu jamaa anafaa kuwa Dalali kabisa 😂😂😂🙌

  • @HusseinMaarufu-zf1kc
    @HusseinMaarufu-zf1kc 20 дней назад

    Mh mijitu mizizi utaijua tu

  • @KhadiaAli
    @KhadiaAli 11 дней назад

    Huwezi kumfikia Ahmed Ali anacofedence

  • @KassimHenry-vt9yg
    @KassimHenry-vt9yg 11 дней назад

    In lmlm

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 20 дней назад

    Acha❤niombe KAZI kwa miladi Ayo ili niwe karibu na huyu mdafada 🤣🤣🤣
    Hakika Machoye na kicheko maishalah😂😂😂

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 24 дня назад +1

    Msemaj unaongea kwa utulivu Sana yn unaongea ki soccer sio comedy za jamaa ako dah

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 12 дней назад

    Huyu dada frida ni mzur

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 14 дней назад

    Roho inakuuma tu kwa toto

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 23 дня назад

    Ahmed ally ndio funga kazi kwako Ally kamwe

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 24 дня назад +2

    Kuweni makini asije akazimia hapo studio😂😂😂

  • @salimrashidy3513
    @salimrashidy3513 24 дня назад

    Kauliza alafu ningekua nini???
    😅😅😅

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 22 дня назад

    Sikiliza ww azam uliomba watu wakuombee kazi halafu unapenda sana kuikandiya azam jiyangaliye sana ipo ck watakufukuza halafu utaomba urudi azam tena.

  • @kelvindaimon9171
    @kelvindaimon9171 22 дня назад

    Offisi kama staff ya shulee

  • @OkwSunzu
    @OkwSunzu 23 дня назад

    Huyo frida huwa ananiudhi kucheka cheka bila pozi 😏

  • @DenisMsanzya-kc7bv
    @DenisMsanzya-kc7bv 24 дня назад +1

    MPAKA.WASEME.MAJI.ETI.MAAA

  • @user-tq1jz3wm3f
    @user-tq1jz3wm3f 17 дней назад

    Kwa mashuti fei toto tangu zenji hajafundishwa yanga ukitaka ushahidi tizama video zake RUclips akiwa jku

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 24 дня назад

    Kamwe bado amezimia tulifunga ma5 siyo ma4

    • @daudmwaipasi5672
      @daudmwaipasi5672 24 дня назад

      Hapana hajakosea ni nne kweli ilikuwa Mechi zidi ya waarabu

  • @user-iu5gy4ju1l
    @user-iu5gy4ju1l 24 дня назад

    hajapata kuona robo

  • @Marandomedia
    @Marandomedia 23 дня назад +4

    Tangu mwanzo wa interview hadi mwisho huyu dada katajwa na kamwe yaani😅😅

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 24 дня назад

    Elimu gani sasa unaweza kumpa Ahmed Ally? Simba imewazidi kila kona ya mitandao sasa unasemaje kuna engagement

  • @maxezeaguttu7821
    @maxezeaguttu7821 24 дня назад +3

    😂😂😂

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 22 дня назад

    Hakuna kitu nakishangaa saana eti kuumwa ni ibaada yaani ninyi

  • @KhadiaAli
    @KhadiaAli 11 дней назад

    Wapi bwana Fesal haipendi yanga wewe Ali kamwe

  • @user-iu5gy4ju1l
    @user-iu5gy4ju1l 24 дня назад +1

    huna kitu mjinga wewe

  • @amaniMazengo-qf2ok
    @amaniMazengo-qf2ok 23 дня назад

    kunaraha ukiwa na msemaji ambae IQ kubwa afu huropoki unaongea uhalisia.

  • @HassaniMahammedi
    @HassaniMahammedi 22 дня назад +1

    Piga keleleeeee oy yanga tam

  • @user-iu5gy4ju1l
    @user-iu5gy4ju1l 24 дня назад +2

    acha ujinga sana wewe ni nani

  • @mussandimbo9920
    @mussandimbo9920 24 дня назад

    Hakuna kitu hapo utopolo ni wabovu mno kuna siku huyo mhindi atakaa pembeni alafu mtarudi kwenye mabakuli yenu

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 24 дня назад

    😂😂😂😂😂