#KUNGWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 49

  • @sumayananabintimusa6321
    @sumayananabintimusa6321 2 года назад

    Haki ndiyo nimemukumbuka huyu dada😭😭😭😭nilikua sijuwi kama alikua yule alieye fariki 💘💔💔💔😭😭😭imeniuma sana but allah alimupenda sana innalillahi wainailehi rajiuni allah akusamehe popote ulipo kosea nasi atupe mwisho mwema amiin

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Год назад +1

    Allah akulaze mahala pema dada😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 3 года назад

    Mungu akupokee fatuma

  • @maryammuscat3716
    @maryammuscat3716 4 года назад +1

    Alllah akurehem dada😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔

  • @maryammuscat3716
    @maryammuscat3716 4 года назад

    Aallah akuwe peponi

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 5 лет назад

    Baba mtoto wangu kakimbia malezi, wanaume ni noma sanaa.
    Mungu haniachi napambana kumlea mtoto wangu.

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 года назад

    Allah akurehemu

  • @asiaasai5606
    @asiaasai5606 4 года назад

    Kungi Leo umenifulaish mm yamenikut. MNA MTT nimemqambi Bb kaf

  • @ummal-shuwehdy2217
    @ummal-shuwehdy2217 6 лет назад +3

    Diamond message delivered hapo cha cha

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад +19

    Mzanzibar umeongea point, Me nilipata ujauzito nikiwa chini ya miaka 16, alienipa ujauzito hakukataa ila hakuwa na matunzo ya mimba wala mtoto, baada ya miezi mitatu alijirudi akawa anatoa kimche cha sabuni cku mojamoja baada ya mtoto kukaribia mwaka aliondoka bila kuniaga, ghafla tu, akawa cku akijisikia anatuma kigauni cha mtoto, baadae alipotea kabisa ckumuona tena, nikapewa namba ya cm kila nikimpigia ni ugomvi, nikaachana nae, tukakutana tena 2016 ckukataa tamaa nikajua ipo cku tutakaa chini na kuelewana kuusu kumlea mtoto, nilimfanyia kitu kizuri ambacho Mwanamke yoyote alietendwa awezi fanya, mwisho wa cku nilishindwa na hana Msaada na mimi miaka tisa iliyopita amjui mtoto anahitaji nini wala ana avaa nini, sasaivi namshukuru Allah yuko darasa la saba nasimama mwenyewe na mtoto wangu, najua ipo cku atanisaidia tu, niko radhi nisivae Nguo nzuri au chochote kizuri nimtimizie mwanangu, mimi yaliyo nikuta kupata mimba ya utotoni ni kutokana nakukosa malezi bora, sababu nimekuwa yatima chini ya miaka tisa, pamoja na haya yote namshukuru sana Allah kwa kuendelea kunipa pumzi na nguvu za kuweza kumtaftia rizk ya halali mwanangu. 😭😭😭 Alhamdulilah.

  • @ndzmah47ali6
    @ndzmah47ali6 5 лет назад +1

    Hahaha,santhaa mama waambie wamezidi sanaaa..nakupenda mommy

  • @miriamquite7665
    @miriamquite7665 5 лет назад

    Aki umeogea ukweli tuna pata tapu sana💔😢 unauma kwa kweli yani inafika una uoni raha maishani Mungu tusaidie atupe nguvu tuwalee wtoto wetu

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад +1

    Nimependa nguo yako rangi nzur sana

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 года назад

    innallilah wainailaih rajiun

  • @selemannasoro9084
    @selemannasoro9084 4 года назад

    Swadakita

  • @munam7104
    @munam7104 6 лет назад +1

    Shukran habity I hope wamekusikia

  • @najma3268
    @najma3268 6 лет назад +1

    Asante kumngwi

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 6 лет назад +1

    Kichambo Day 👌👌👌👌

  • @saumouramadan4588
    @saumouramadan4588 6 лет назад

    Heheheee halooo teeena maneno kuntu wape mama nimekupenda bure

  • @jeanbosconsabimana1076
    @jeanbosconsabimana1076 6 лет назад

    Asante kungwi

  • @halimamunga1681
    @halimamunga1681 6 лет назад +1

    Ahsante kungwi

  • @rasheedadjdjj5197
    @rasheedadjdjj5197 5 лет назад

    Swadakta Dada umenigusa Leo tena mtuanakupamimba Kisha anaikataa 😭😭😭😭😭

  • @pillykenedy2140
    @pillykenedy2140 6 лет назад +1

    Wape kungwi liwashuke vishuka

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 года назад

    Wasichana pia wanayataka wenyewe waachiwe watupiwe watoto, kwani hajui kama atabeba mimba, inakuwa hakubakwaa

  • @mwajumamashallah3122
    @mwajumamashallah3122 6 лет назад

    Waachetu wakatae yawezekana wamzaa bos wako ooh shaulizao

  • @zara1892
    @zara1892 6 лет назад +6

    Daaah yamenikuta aya mpka sasa naangaika na mtoto wang...tangu mimba mpaka sasa mwanang anamiaka 3 baba yake alimkataa inaumaaa sana.............

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 лет назад +1

      Pole sana mpenzi, me wangu ajakataliwa ila hana malezi kutoka babaake toka anamiaka miwili, mpaka Leo hii yuko la saba kila kitu juu yangu, Alhamdulilah nishamshukuru Allah amekuwa na najimudu kumlea na Sina mawasiliano nae na wala simtaki.

    • @zara1892
      @zara1892 6 лет назад +1

      @@saumuhassan6365 malipoa apa apa dunia...bdae mtoto akishakua na uwezo wake...ndo baba anajitokeza...

    • @najma3268
      @najma3268 6 лет назад

      Saumu Hassan mm wangu hakukataliwa lakin baba kakimbia majumumu mtt sasa yupo form 2 na hamjui baba na ndo mtt wake wa kwanza wa ujanani

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 лет назад +1

      @@zara1892 We acha tu, ila cheti cha kuzaliwa ckumpa jina la Baba mwingine, nimemuandika uyo uyo jini kisirani.

    • @mwanaiditz3900
      @mwanaiditz3900 6 лет назад

      Pole mpnz

  • @gshdhshhshs3362
    @gshdhshhshs3362 6 лет назад

    Imenitach😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yamenikuta

  • @zawadisulubu32
    @zawadisulubu32 6 лет назад +4

    Lavalava inamuhusu hii

  • @marhahamad2398
    @marhahamad2398 6 лет назад

    Uo ni ukwelii kungwi ntkukodi cku ya hrux yngu ningeomb t utup nmba ya CMU

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад

    Mwambie baba ake boss😂

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 лет назад +2

    Boc wenu uyo

  • @suleimanalifaki7781
    @suleimanalifaki7781 6 лет назад

    Duh dada unaongea kiswahili mpaka najiskia raha, kiswahili kimenyooka