Miraji: Benchikha ameondoka kwa sababu hizi, atoa siri ya Mgunda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 36

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 7 месяцев назад +2

    Unajua sana Mkuu safi sana🎉💯

  • @protaspessa8615
    @protaspessa8615 7 месяцев назад +5

    Vick ameingia kwenye mfumo wa miraj .
    Bega kitang'oka 😅😅😅

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 7 месяцев назад +3

    Daah...! Mdogo wangu Miraji hivi wewe ni teacher maana hiyo shule ya nguvu,Simba Nguvu Moja

  • @addymansor7259
    @addymansor7259 7 месяцев назад +2

    Endelea kuwa mkweli miraji wanakuelewa ila wanajifanya hawakuelewi

  • @contempo_builders
    @contempo_builders 7 месяцев назад +2

    Mzee wa Kuwawamba Makofi Waandishi....😅😅😅😅

  • @SadahHamis-hy8ys
    @SadahHamis-hy8ys 7 месяцев назад

    Uko vzur kaka

  • @EnesmoChipsi
    @EnesmoChipsi 7 месяцев назад +1

    Brother ukonamawsxo yang saf

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 7 месяцев назад +2

    Kibabage broo Gamond kamuonesha

    • @deogratiouswipson8448
      @deogratiouswipson8448 7 месяцев назад

      Acha uongo bro kibabage kashaafeli lini pale yanga gamondi akamuonyesha wakat tangu kasajiliwa anachezeshwa tena mpka mechi kubwa

    • @johnmutombo3828
      @johnmutombo3828 7 месяцев назад

      Nakubali

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa 7 месяцев назад +1

    Amemnyanyuwa azizi ki

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 7 месяцев назад +2

    Miraji nahuyo mshike mabega

  • @mwinyisarai-rm5oo
    @mwinyisarai-rm5oo 7 месяцев назад +1

    Miraj mpigepige tena viki

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 7 месяцев назад +3

    Dish linayumba... huwa anameza maneno yake mwenyewe

    • @myself-T2
      @myself-T2 7 месяцев назад

      yeah skuiz anakanyaga maneno yake mimi ni shabiki yake sana na nafuatilia interview zake ila daa jamaa skuiz anaongea leo kesho anakuja analiongelea ila anajikanyagakangyaga

    • @MagesaMkami
      @MagesaMkami 7 месяцев назад

      Acha mbwembwe umuoni pakome mkude yaoyao semea Tim yako

    • @myself-T2
      @myself-T2 7 месяцев назад

      @@MagesaMkami kwani huyu aliyecomment ni simba au yang? maana mimi ni yanga

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 месяцев назад

    Miraji ata mm ukiniletea wachezaji wa quality niwe kocha ntaleta makombe kocha lazma uweze kumtengeza mchezaji hio no moja yakoja vengine vinafata

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 7 месяцев назад +1

    miraji mbona huyu mdada humgongi mabega

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 7 месяцев назад

    Were unachangia nini kwenye simba au maneno kila siku

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 7 месяцев назад

    😂😂😂miraji kwa waandishi wa Tz umesema ukweli na usiombe wakutane na wanaoongea kingereza congratulations how do you see the game 😂😂😂 wanaogopaga kuwauliza kitu Cha maana

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk 7 месяцев назад

    Miranchika

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 7 месяцев назад

    upo sahihi kuna muda ukweli huu ndio utumike

  • @AloyceNdalije
    @AloyceNdalije 7 месяцев назад

    😂dakweli milaji nimchambuz wakimataifa

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 7 месяцев назад +1

    Mmetoa suluhu

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 месяцев назад

    Miraji unapata tabu ndugu unataman umpige vibega huyo mdada ushamzoea chagamba kumpiga piga Hahaha ila unakitu mwilin miraji

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 7 месяцев назад

    Yani ww na gb64 ndio wasema kweli sio kisugu mpumbavu

  • @henrysadam7406
    @henrysadam7406 7 месяцев назад

    ww pambana na simba yako mkuu

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 7 месяцев назад +1

    Kocha sahihi alikuwa robatinyo nyie

  • @vincentshekibula6670
    @vincentshekibula6670 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @FredyTz02
    @FredyTz02 7 месяцев назад

    miraj piga makofi na huyo

  • @SaidHamoud-h9t
    @SaidHamoud-h9t 7 месяцев назад

    Tatizo kubwa la simba mawazo Yao yote ni kuifunga yanga siyo wanataka maendeleo ya kama falsafa ni kuifunga yanga endeleen na mgunda kama ni maendeleo ya klabu acheni mpira wa mdomonii

    • @Hery-tg5ef
      @Hery-tg5ef 7 месяцев назад

      Nimtizamo wako