Serekali ya Samia inatuuzia maeneo yetu ya wafugaji tunaongea kwa sauti Moja kusema bila kupepesuka atutakii uwezo tunayo Nia tunayo tupewe tujitawale kimikoa sababu mikoa yenye utajiri walioko mamlakani wanauza mifugo yetu
CCM N I mdudu mwenye nyuele anae dhuru mwili wabinaadamu Samia Wacha kuuza ngorongoro ni kwetu sisi tuende wapi tukawe raia wa uko Aya yote ni serekali imebebwa na wageni atutapata haki tupewe haki zetu zote
Hakuna wanauchi wanao hama Kwa iyari yake sema ni kulazimishwa kuhama 😭😭😭😭
Serekali ya Samia inatuuzia maeneo yetu ya wafugaji tunaongea kwa sauti Moja kusema bila kupepesuka atutakii uwezo tunayo Nia tunayo tupewe tujitawale kimikoa sababu mikoa yenye utajiri walioko mamlakani wanauza mifugo yetu
Wapi huko ipo kama ngombo
CCM N I mdudu mwenye nyuele anae dhuru mwili wabinaadamu Samia Wacha kuuza ngorongoro ni kwetu sisi tuende wapi tukawe raia wa uko Aya yote ni serekali imebebwa na wageni atutapata haki tupewe haki zetu zote
magufuli naomba sana uwasaidie hawa wafugaji tulikuchagua tunaimani na wewe kwa 100% hili kwako ni jambo jepeesi
Raisi Samia wanatia inji yetu umasikini tupu sio haki kabsa ni uonefu tupu ng'ombe za kimasai ibekuwa bei ya serikali
Nhihi tunakokwenda hata sisi wa sinza tutahamishwa