VIDEO IKIONYESHA MWANZO MWISHO MWILI WA NISHER ULIVYOAGWA HADI KUZIKWA NYUMBANI KWA NABII GEORDAVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 117

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 11 месяцев назад +29

    Nyie hamumjui NABII anaumia ndani kwa ndani ambayo ni mbaya sana sana,tumwombee Mungu amtie nguvu asijepata shida ya shinikizo la Damu.Baba Mwenyezi Mungu akutie nguvu na familia yako katika kipindi hiki kigumu. pole baba pole.najua unaumia lakini huna jinsi.Achana na maneno ya watu wa mitandaoni angalia Mungu nae akutie Nguvu

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 11 месяцев назад +8

    Arie muona hamorapa msibani agonge like hapa chinii😂😂

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 11 месяцев назад +10

    Anaye jua siku ya mwisho ni mungu tuu sisi ni viumbe vyake pumzika kwa amani kaka NISHER

  • @athanasyohana8720
    @athanasyohana8720 11 месяцев назад +2

    Jamani naona maajabu.ni msiba ama ni nini.

  • @AsamoahBen-l3r
    @AsamoahBen-l3r 11 месяцев назад

    Mungu awasamehe bure nyote Mungu mwenyewe ndy ajuae ukweli wala cy binadam

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 месяцев назад +1

    Ila daaah!!!' mbona kama na mashaka kwa hili!!!!

  • @AnnyPhesto
    @AnnyPhesto 11 месяцев назад

    Aisee3!!!! Utamalza watoto nawe Mungu atakulp jinsi unavyotenda w Jiandae t huna loloteee😅😅😅😅😅😅

  • @alicemama9099
    @alicemama9099 11 месяцев назад

    Poleni sana wote, shemeji yangu mpendwa na ndugu yangu Anenyise. Ndugu yako wa KDC Moshi. Mtoto wetu spumzike kwa amani.

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 11 месяцев назад +1

    Poleni sana wanafamilia, mungu awatie nguvu huku tukimuombea marehemu pumziko la milele: "BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.... AMEN"

  • @MakrinaLuoga
    @MakrinaLuoga 11 месяцев назад +1

    Poleni Sana mungu awatie nguvu makusudi ya mungu hayazuiriki kila.mtu ataondoka kwa jinsi.yake faraja ya mungu..iwe.nanyi

  • @MusengimanaJeanette
    @MusengimanaJeanette 11 месяцев назад

    Ultimate experience

  • @KALULUALLI
    @KALULUALLI 11 месяцев назад +3

    Wakristo mjifunze uongo wa Geodavie hakuweza kumfufua mwanawe

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 11 месяцев назад +7

    NAMHURUMIA SANA NABII MKUU, ILA HANA LA KUFANYA

    • @NaomiMinja-i1w
      @NaomiMinja-i1w 11 месяцев назад

      Pole Sana baba

    • @NaomiMinja-i1w
      @NaomiMinja-i1w 11 месяцев назад

      Ila mungu amtie nguvu

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 11 месяцев назад

      Na bii mku aja Muongezea siku ya ku ishi mwanaye.sote ni mali ya Mungu

    • @CosmaKomba
      @CosmaKomba 11 месяцев назад

      Poleni sana wanafamilia wote Mungu awe faraja kwenu

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 11 месяцев назад +1

    Nabii kashindwa kulumdisha mwanee mungu anisamehee bulee ila alisemaga mwenyewe Nabii😢

    • @neemamabiki3923
      @neemamabiki3923 11 месяцев назад

      Unajielewa wewe au unakurupuka tu,kuna nabii aliwahi fufua mtu zaidi ya yesu??acha ushamba wa mitandaoni.

  • @josephemmanuel388
    @josephemmanuel388 11 месяцев назад +12

    wanamwinamia mwanadamu

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 11 месяцев назад +4

    Mungu anisamehe kwa hiki nilichokiwaza😭😭😭😭

    • @stratonlyari9563
      @stratonlyari9563 11 месяцев назад

      The same to me .the way I see have something am thinking ,_ _ but not ,++

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 11 месяцев назад +1

      R.I.P Nisher😭😂

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 месяцев назад +3

    Mzee ana zambi huyu na huyo dadaake na nguo yakubana ila wew baba kwani mbona ss maskini tunaisha utamaliza watoto kutoa kafara rudisha mali hata usipojaza kanisa ili uishi kwa amani watoto wako wataisha nibola ungezaa wengi basi😊

    • @SalumMfaume-on2ks
      @SalumMfaume-on2ks 11 месяцев назад

      njia nimoja wakuu kwaiyo kila mt ajiandae tusisemane kwan mungu ndiyo ajuae

    • @findinglela
      @findinglela 11 месяцев назад

      Wengi kama wangapi?

    • @davidcharlesi3570
      @davidcharlesi3570 11 месяцев назад

      Uko sawa jamaa Mungu anawaona.Anakoelekea anamalza familia shetan hana urafk na binadamu....

  • @MusengimanaJeanette
    @MusengimanaJeanette 11 месяцев назад

    Family Knows all money 💰 will make people to be come crazy 🤪

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 11 месяцев назад +2

    Nimekuja kugundua masikini wanahasila sana nawatu walio fanikiwa YAN MTU MWENYE PESA AKIFIWA UTASIKIA FREEMASON
    LAKIN AKIFIWA MASKINI UTASIKIWA MASIKIN WOTE HAKUNA ATAKAE SEMA KUWA AMETOA FREEMASON

  • @emmymwashitete3332
    @emmymwashitete3332 11 месяцев назад

    Monika noma no chozi kwa kaka yake ametisha

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 11 месяцев назад +4

    Kiukweli uyu Mdogo wake Wa kike ni noma
    Kauzu hasa sijawahi kuona
    Wakati yeye ndio alikua karibu na maremu sanaaaa enzi za uhai wake lakin mhhhh
    Kauzu kwakweli 😢

    • @aishaabrahaman9957
      @aishaabrahaman9957 11 месяцев назад

      Anajua kujikaza ila ana maumivu sana huyo nipo ivo pakitokea kitu silii lakini maumivu unaweza kufa moyo unaniaga sanaa😊

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 11 месяцев назад

      Kauzu aswa

    • @MRHURUMAHuruma
      @MRHURUMAHuruma 11 месяцев назад +1

      Watu wengi wanaona hivyo kweli jicho kavu sana sijuii kama kaka alikuwa anakera sana kias ambacho Mungu alimpo mpenda jina la bwana libarikiwe maisha yaendelee

    • @mbanaoyaaweso8029
      @mbanaoyaaweso8029 11 месяцев назад +1

      kakumbuka na kujilembaaa jmn kwel

    • @SekelaJakson-ls7dd
      @SekelaJakson-ls7dd 11 месяцев назад

      Yan mi nmeshangaa ad nmehis kama uwenda akili yake haiko timamu

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 11 месяцев назад +1

    Pole Sana baba yangu kwa msiba mkubwa Mungu akutie nguvu baba 😭😭😭🎂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 месяцев назад +1

    Rest in peace NISHER ❤️😭😭

  • @ErickSeurisambeke
    @ErickSeurisambeke 11 месяцев назад

    Hatukujua alikufa na nn tulisikia kifo bc ila atukujua alikufa na nn

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 месяцев назад

    Kumbe nisher alikua mtoto wa geordave!!!' sikulijua hili

  • @MatronaTesha-z3p
    @MatronaTesha-z3p 11 месяцев назад +2

    😊pumzika kwa amani

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 11 месяцев назад

    Hamorapaa naye yumo😂😂

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 11 месяцев назад +1

    Wanafunzi wa yesu walimuuliza yesu tutawajuaje watu wako? Yesu a kasema mtawajua kwa matunda yao na hata kwa shetani kuna matunda ndo haya kijana kufa akiwa mdogo tukaneni mnavyoweza ila huyu nabii ni freemasoni mkubwa na katoa mwanae kafara hakuna utajiri wa Mungu ulio ainahiyo ya geodavie iko siku watu watatoa hesabu

  • @NaomiMinja-i1w
    @NaomiMinja-i1w 11 месяцев назад +2

    Ni mungu kampa uvumilivu ndio maana.ajalia.unajua.tena.awawaumini walivyo

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 11 месяцев назад

    Mchungaji hamshiki mkono mke wake au sio jamani ila poleni sana

  • @rebecahlaizer6449
    @rebecahlaizer6449 11 месяцев назад +1

    Pole Sana dr . comments zinatisha Ila jitie moyo baba .watanzania ck hizi hawana uchungu na misiba ya wengine.ila waombee

    • @janembiro3057
      @janembiro3057 11 месяцев назад

      Tunaambiwa tusihukumu ni dhambi.Mungu awatie nguvu wazazi wake

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 11 месяцев назад

      Biblia insema wanadamu watahukumu hata Malika Hilo ni pepo limelipa sadaka kuzimu mtaona atakayo fanya

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 11 месяцев назад

      Wafiwa wenyewe inaonyesha wazi kabisa hawana uchungu na Msiba wa ndugu yao' iweje sisi?

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 11 месяцев назад +1

    Amen..baba

  • @elionoradavid4704
    @elionoradavid4704 11 месяцев назад +8

    Mbona dada ake ananguvu ivo yaan mkavu kichizi

  • @Neverbeensame
    @Neverbeensame 11 месяцев назад +1

    Majitu yamekuwa maigizaji eeeh Mungu uturehemu

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 11 месяцев назад +1

    Nabii mkuu akipita Lazima tuinamishe shingo??

  • @ahlamsaleh670
    @ahlamsaleh670 11 месяцев назад

    Hamorapa nai eti analia 😂

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 11 месяцев назад +1

    Wengine wanamsema mdada dada yake marehemu kua aonyesh kuumia na msiba ila kiukweli uchungu wa mtu upo katika moyo wake akuna asieumia atakapofiwa na ndugu yake au mtu wake wa karibu Au aloozooea ila tu Mungu samtaim anamtia nguvu mana atafanyaje hana jinsi ata akifanya kazi ya kulia tu kujigalagaza tu ni kazi bure isitoshe msiba tokea alipokufa mtu kalia sana mpaka sasa machozi yamekauka ndio ivo jamani

    • @clemensiadaniel8479
      @clemensiadaniel8479 11 месяцев назад

      Upo correct ndugu siyo haumii anajikaza tu utashanga akiwa home muda wote ni wakulia maana huyu ni damu Yao imetoweka

  • @ShukraniHebroni
    @ShukraniHebroni 11 месяцев назад

    Poleni sana😂😂

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 11 месяцев назад +1

    Ivi uyo bint anaakili timamu kwel mbona anatabasam mda wote na blich zake haumii kuondekewa na kakaake😢😢

  • @ThomasEmmanuel-to5mz
    @ThomasEmmanuel-to5mz 11 месяцев назад

    Mungu awape faraja kipindi kigumu hiki kwenu

  • @pachachidy4346
    @pachachidy4346 11 месяцев назад +2

    Wa kwanza naomba like

  • @RukiaSamalu-kv5gy
    @RukiaSamalu-kv5gy 11 месяцев назад +1

    Poleni jamani

  • @feristadaudi6599
    @feristadaudi6599 11 месяцев назад +2

    Mtumishi bwana akupe kushida

  • @siphaeljoseph2156
    @siphaeljoseph2156 11 месяцев назад

    rest easy young bro, Mungu awatie nguvu Familia Nabii Mkuu

  • @florafilbert3288
    @florafilbert3288 11 месяцев назад

    Mke wa marehemu hajaonekana

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 11 месяцев назад

    Mungu amempenda zaid

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 11 месяцев назад +1

    Watu wamejaji sana uvaaji wa monica na ugumu wa kumwombolezea kaka yake ana nguvu sana ila mimi sijaona kama nikosa alivyo vaa

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 11 месяцев назад

      Kama kila anachoona mtu ni sawa ndio sawa basi hakuna kisichokuwa sawa!😂

  • @BetriceKitalika-zf1jp
    @BetriceKitalika-zf1jp 11 месяцев назад

    Ee M/Mungu Nakuomba umtie nguvu Nabii Mkuu ,Roho Mtakatifu Uwe mfariji wa familia hii katika JINA LA YESU ALIYE HAI. AMEN.

  • @ChugaKazi-rb2ts
    @ChugaKazi-rb2ts 11 месяцев назад

    Eti karibu baba karibu mama misiba ya matajiri bana

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 месяцев назад

    Wanafamilia wengine wanainjoi baba anajua hana wasi kafara io

  • @sophiamhando7281
    @sophiamhando7281 11 месяцев назад +1

    Kumbe wafiwa siku hizi wana nguvu za kupakwa hadi makeup😮😮

    • @IMANWILLIAM-bl2ui
      @IMANWILLIAM-bl2ui 11 месяцев назад +1

      tafuta ela uone kama haiwezekani

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 11 месяцев назад

      Na mie nashangaa ndugu yangu!!!!

  • @RJurumboRJurembo-df5uv
    @RJurumboRJurembo-df5uv 11 месяцев назад

    Asipoacha kufuru lake bado atapokea mapigo ajue Yesu ndio nabii mkuu na mkuu wa wote,heshima na adhama ni zake milele sio huyo binadamu kama mm

  • @janembiro3057
    @janembiro3057 11 месяцев назад +1

    Pumzika kwa amani Nickel

  • @branicemunyanya
    @branicemunyanya 11 месяцев назад +1

    Eeeii wana inamia binadamu😮poleni sana jamani magumu na uchungu ila mungu awape nguvu

  • @jamesmulokozi9429
    @jamesmulokozi9429 11 месяцев назад +3

    Sad

  • @johnhosea6389
    @johnhosea6389 11 месяцев назад

    Godi monica anakufaw

  • @francisfrednand2475
    @francisfrednand2475 11 месяцев назад +1

    Pole sana baba

  • @DarajaniZanzibr
    @DarajaniZanzibr 11 месяцев назад

    Pole baba

  • @MagyMunna
    @MagyMunna 11 месяцев назад +1

    Huyo Monica hata kujilegeza uongo uongo amna yaani kama mwaume!jamaniii

    • @verohmchihiyo5029
      @verohmchihiyo5029 11 месяцев назад +1

      Akishajilegeza vya uongo ili itokee nn, fikiri kabla ya kuropoka uswe mtu wakupigilia msumari kwenye maumivu ya wenzako.. unataka ajilegeze vya uongo unafikir ni maigizo hayo

  • @RinaRoberts-c6n
    @RinaRoberts-c6n 11 месяцев назад

    Mbona watoto wa marehemu nisher nasikia alikuwa na mwana mke na watoto sasa mbona kwenye kuaga sijaona na mwenye wasifu sijasikia kuhusu watoto na mke jmn why ?

    • @mariedelarie873
      @mariedelarie873 11 месяцев назад

      Hata mke wake sijamuona wala kusikia wazifu wake

  • @JosiahHaji
    @JosiahHaji 11 месяцев назад

    R.I.P

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 месяцев назад

    Wanawake hatujui roho za wanaume wanaume wengi wanatanaa za pesa bola amuue mwanae kisa pesa utakufa na wew na mali za filimasoni zitaisha familia ibaki maskini inaumiza kimtoa mtoto wako kafara mama ndo anaumia

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 11 месяцев назад

      Hivi mna uhakika au kwakuw maon ni uhuru wa mtu

  • @RemmyTuva-p4h
    @RemmyTuva-p4h 11 месяцев назад

    sasa badala MTU ulie unanificha ficha

  • @RJurumboRJurembo-df5uv
    @RJurumboRJurembo-df5uv 11 месяцев назад

    Asipoacha kufuru lake bado atapokea mapigo ajue Yesu ndio nabii mkuu na mkuu wa wote,heshima na adhama ni zake milele sio huyo binadamu kama mm