AJALI KAGERA, WATU SABA WAPOTEZA MAISHA, WENGINE TISA WAJERUHIWA, RPC AFUNGUKA "NI UZEMBE WA DEREVA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 90

  • @AgnesSipilianMbuga-n8z
    @AgnesSipilianMbuga-n8z 13 часов назад +3

    huyo Beria hiondowe hapo iwe kwe sehemu nyungine make ikuwa inasababisha ajari za Kila mara aisee pole sana mulio patwa na ajari kuwa na Imani mungu yupo atawaponya amina😢😢😢😢

  • @ElishaMshana
    @ElishaMshana 6 часов назад +2

    Tunazika watu sababu ya berrier😢

  • @timothnakiz-zb4rz
    @timothnakiz-zb4rz 16 часов назад +3

    Daaaah Gari ya uncle wangu anaitwa sema

  • @mwashyombo9241
    @mwashyombo9241 3 часа назад +1

    Kwann muweke beria sehem mbaya ninyi ndo chanzo ajali na kama aliwasha dabo hazad inamaanisha alikuwa kwenye hatari wekeni sawa ss ni wasafir tunasafiri Kila dakika mungu atulinde😊

  • @abdallahbriancaucus8559
    @abdallahbriancaucus8559 2 часа назад

    Beria ipo pabaya nilishawahi kupata ajali kutokana na uzembe wa aina hii,Mungu awalaze pema peponi...
    Mnapenda Beria za kufichwa

  • @TwalbuMussa-h6j
    @TwalbuMussa-h6j 16 часов назад +10

    Msimlaum daeleva et mgen nyie ndyo wasababishaj mnasimamisha magali ovyoovyo

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 16 часов назад

      Huku dar kuna sehemu morogoro road eneo la ubungo karibu na bandari kavu, yani milori inapaki njiani mpk inatumika single lane, yani hatari tupu na foleni zisizokuwa na sbb

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n 16 часов назад +1

      Kwanza makosa yakusimamisha magali mengi ktk beliya uhamiaji litareta ajali sana.Mfano utoke benako kwenda karagwe mwanzo munashushwa beriya yabenako karibu Kimisi.Katikati Kimisi polini munashushushwa tena nawahangaza huibiwa sana kwakusachiwa kilakitu kwakutojua kiswahili vizuli

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c 3 часа назад +1

      Kweli kabisa wanakera

  • @TitoKuselya
    @TitoKuselya 16 часов назад +3

    Hapo kosa niwakaguzi kwan wenyewe wasikaguli sehemu inayoonekana

  • @juliuspeter6971
    @juliuspeter6971 15 часов назад +1

    Mungu tusaidie katika mwaka huu tuvuke salama

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 Час назад +1

    Vijana wa nsunga tumuombee dereva wetu sema apone ndo hice ya kwanza kutoka mutukula kwenda karagwe na imegongwa nimeumia sana

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 6 часов назад

    Dah 😢

  • @allysamson4821
    @allysamson4821 13 часов назад +1

    Inna lilahi wainna ilayhi raajiun,Allah awarehemu wote waliotangulia mbele haki katika ajari hiyo.

  • @georgedavid2981
    @georgedavid2981 13 часов назад +2

    Hao wenye beria ndio wenye makosa Askari mwenyew amesema dereva hawezi kuiona akija kwakasi siwaiondoeee mbona bado wameiweka

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 15 часов назад +3

    Wee polis kajifunze speaking skills

  • @sein.208
    @sein.208 14 часов назад +1

    Subhana Allah
    Innah lillah Wainnah iley Rajioon

  • @StellaLugemkamu
    @StellaLugemkamu 15 часов назад

    Polen ndigu Mwenyezi Mungu awape wepesi

  • @mussaedward-sl6wq
    @mussaedward-sl6wq 14 часов назад

    pole sana ndugu zangu karagwe nyumban

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj 15 часов назад

    Poleni sana

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 16 часов назад +1

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 16 часов назад +4

    Shetani yupo kazini. Yesu, Mungu Mkuu na Nuru Halisi naomba utusaidie, utuepushe, Amen🙏

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 16 часов назад

      Yesu sio mungu wewe Acha kufuru

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 16 часов назад

      @@zaidiissa3714 JUA LAKO LA KUMSWALIA MTUME, MIMI NAJUA YESU NI MUNGU MKUU

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 16 часов назад

      @@zaidiissa3714 kwa hiyo YESU ni mzee issa

    • @iammy1278
      @iammy1278 15 часов назад +1

      Amen

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 15 часов назад

      ​@@easternyerembe7271Wacha Ujinga Na Upumbavu Yesu Ni Nabii Nasio MUNGU UJINGA TU

  • @EdwardAngetile-t8f
    @EdwardAngetile-t8f 13 часов назад +3

    Polisi anashindwa kijielezea ajalili

  • @deokalinga3791
    @deokalinga3791 30 минут назад

    Sababu hapo ni Berrier

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 14 часов назад +1

    Na mimi nikiangalia hapo siyo seemu ya kusimamisha magari kwanza hakuna pak

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 4 часа назад

    Msiba mkubwa wanakagera wwnzetu😢😢😢

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 17 часов назад +2

    Inna lilah wainna ilah rajiuun

  • @bs5802
    @bs5802 15 часов назад

    Kwanini muwee beria sehemu mbaya😢😢😢

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 16 часов назад

    Daaah mbona hapo ata angetoa gari nje ya barabara angeokoa roho za watu.. kaenda kufanya magari yenye abiria ndiyo break zake😢😢😢😢😢

  • @shedrackshaibu1986
    @shedrackshaibu1986 15 часов назад +1

    Kwa kusikiliza maneno ya afande kweli huyo dreva ni mgeni kwahiyo sio uzembe wa dreva

  • @rashidkingazi3430
    @rashidkingazi3430 16 часов назад +1

    Mbona kamanda hawezi kujielezea vzr

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 6 часов назад

    Kwel yawezekana mfumo wa breack ulikua mubovu kama aliwasha taa

  • @hamadially5585
    @hamadially5585 16 часов назад +1

    Lakin katika maelezo yako hapo awali umesema hiyo beria sio rahis kuiona kwa mbali sasa huon nayo n hatar kama hakuna ishara za kutosha kuwa kuna beria au ndio taarifa ya habar ilitakiwa kuwa hvyo

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 8 часов назад

    Sasa hao watoto hawana jisiya???

  • @AgnesSipilianMbuga-n8z
    @AgnesSipilianMbuga-n8z 13 часов назад

    pole sana walio ondokewa na wapendwa wao Pamoja na watoto😂😂😂

  • @PriscaPrinces
    @PriscaPrinces 13 часов назад

    Pumzikeni kwa amani ndugu zetu 😢😢naihis maumivu duuh

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Час назад

    Siku hizi watu wanakufa kwa ajali sana

  • @ProjestusRwechungura
    @ProjestusRwechungura 6 часов назад

    Beria , Beria, Beria, wizi mtupu, Rushwa Kila eneo la nchi hii eti Beria. Iondoe mara Moja isingekuwa Beria maafa hayo yasingetokea.

  • @SharifaHamisi-k1m
    @SharifaHamisi-k1m 17 часов назад

    Duh

  • @leilashayo4723
    @leilashayo4723 15 часов назад +1

    Kwanini beria iwekwe sehemu ya mteremko ?yapasa beria iwe sehemu ya tambarare panapoonekana umbali mrefu

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 15 часов назад

    Ivi nikiesabu asilimia 80 ya ajali zinazopatikana mabarabarani wengi niwakunywa maji.nasiyo watumiyaji wapombe.duh ilo mini bus limesambuka kweli,kweli,ivi kuna haliye patikana hai kwenye bus ndogo.kakimbiya😂😂😂 lishenzi lishikwe liishiye jela mpaka kaburini.

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 часов назад

    Yani barrier inawekwa kwenye mteremko unategemea nini?

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 часа назад

      Yaan sisi watanzania nyie, tunajua tuu kuelezeaaa, lkn kuchukua tahadhari ahaaaaa.... 😢😢

  • @fedelynntangeki3185
    @fedelynntangeki3185 16 часов назад +1

    Hicho kizuizi hakiko mahali sahihi, maana kamanda umesema kuna kona kona.

  • @Anfure-n2r
    @Anfure-n2r 16 часов назад

    Waliopatwa na janga ilo polen xan🥳

  • @williammaxmillian5738
    @williammaxmillian5738 6 часов назад

    Alafu unaskia mtu anasema tuspewe lesen mpka tuwe na vyeti.na ikitokea ajali mnasema uzembe Sasa mbna hatuwaelewi na belia kwanini ziwekwe kwenye Kona

  • @NaziruIddy
    @NaziruIddy 5 часов назад

    Daah kama hii inasaba bishwa na ukiukwaji wa Sheria eneo lenyewe linaonyesha Lina makazi ya watu kwanini atembee mwendo mkali pia kingine kwa tz mara nyingi madeleva so waoga kushababisha vifo kizembe make Sheria zetu Bado haziwabani vizur lakin pia muda mwingine hizi hongo hongo zinaharibu hii nchi watu hawawajibishi inavyotakiwa

  • @feezdidthis2220
    @feezdidthis2220 11 часов назад

    Mbona huyu anakua jaji na hakimu tena.. manake ni nini hiki? Yeye ndo mtoa hukumu au? Mbona wanajisahaulisha hawa.. naona lawama zote kwa dereva wakati na nyinyi barrier iko pabaya

  • @MartinJohn-eu5qr
    @MartinJohn-eu5qr 14 часов назад

    Sisi wenyej wahapo kihanga,uhamiaj ndio wenye makosa usiwatetee ,watafute sehemu peny kituo malum kwa jir ya kukagua abiria

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 4 часа назад

    Madereva mnalaumu lakini ukiangalia kuna alama za barabarani na zinakuongoza na apo ukimsikiliza mkuu kuna viashiria vya belia c angechukua taazali

  • @KusagaNabahani
    @KusagaNabahani 14 часов назад

    Jamani mwisho wa mwaka huu nadereva wawe makini watatumaliza

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 5 часов назад

    Serikali haichukui hatuna atuwahi kusikia kauli ya serikali kuhusu ajali

  • @KelvinMarco-zq1ie
    @KelvinMarco-zq1ie 15 часов назад

    Huyo dereva abakwe

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 15 часов назад

    Serikali yetu njiani kwakweli mjitaidi kusimamisha magari sehemu salama asilimia kubwa unakuta mnasimamisha magari double parking tena sehemu finyu beria zenyewe usiku unakuta imewekwa kwenye kona tena bila indication kwa mbali mfano beria ya kutoka bukoba kuelekea kyaka mwanzoni mwa mlima pale ukitoka mjini bukoba kuna kammlima pale kana kona kali sana lakini unakuta beria iko pale na hamna tahadhari za mbali itakuja kuleta shida mnafanya kazi nzuri sana usalamma mzuri sana ila jitaidini sana kuweka alama zakutosha barabarani tunapenda mnachokifanya barabarani na hili la double parking ata madereva wa mabus na hiece asilimia kubwa wanapaki ovyo njiani kwa mazoea nenda geita nankumbu pale njia panda ujioneee maajabu ya coaster pale zinapaki hovyo sana hadi itokee ajali

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 5 часов назад

    Police hawafanyi kazi wanashughulikia rushwa tu

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 15 часов назад

    Afande kisha hukumu na kifungo tayali sio kwa maelezo hayo mpaka mb zimeisha. Utadhani alikua kwenye roli asee

  • @WakalaJumanne
    @WakalaJumanne 13 часов назад

    Kwann ajar nying zinatokea uko

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 16 часов назад

    Siku tukiamua kuweka sheria kali za wazembe kama hawa ziwe naye auwawe ndio suhulisho pekee kutoweka ajali zisizo na ulazima sheria zirekebishwe ziende na wakati tulio nao ziwatishe hao madereva wazembe wafanye kazi zingine kinyume chake vilio vya mara kwa mara havitakoma daima.

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 15 часов назад

    Muwakamate na wasiojulikana kwa mkono HUO mrefu mlionao

  • @PetroLyimo
    @PetroLyimo 17 часов назад

    Yeajasema nimgeni minaamini tahazari hazikuasawa

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 16 часов назад +1

    Hivi mikoani hakuna jua kali? Maana ni green 💚 everywhere

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 13 часов назад

    Tatizo maderva jeuri hawasikiii wao ndowao ukiwambia wanakuwa wakorofi mimi niko zanzibar nilikuwa naenda kazini mida ya jioni nimetoka nyumbani mbori borini naenda kazini fuoni niko na baskeli njiani nimefika kwerekwe sokoni kunafoleni pale sasa mbele yangu kulikuwa na gari la abiria gari lambele yangu likawa linanionyesha endiketa ya kushoto kama anapinda nasiwezi kupita kulia kulikuwa na gari so siwezi pita sasa nyuma yangu kulikuwa na bodaboda ananipigia maoniii nimpishe apite nikawa najiuliza ananipigia maoni haoni foleni wala haoni gari inawasha endiketa kama ishara anapinda kushoto nilichokifanya nilisimama nikamwacha apige oniiimpaka achoke alivooona simpishi akawa ananiambia unataka nifamaamuzi magumu nikamwangalia mpaka foleni ilipo Isha ndonikamwambia ayapita naharaka zako so madereva wengi hawazingatiii sheria barabarani unakuta dereva anashusha abiria au kupakia lakini gari kalisimamisha katikati ya barabara wala hawazi ukiwambia wanakwambia hakuna sheria yoyote